JANGWANI MAMBO SAFI/ALLY KAMWE AGAWA SUPU KWA SHABIKI WA SIMBA/HATUNA UBAGUZI/NI MWENDO WA TANO.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2023
  • Leo tarehe 12 Novemba Klabu ya Yanga imendaa Supu maalumu makao makuu Jagwani kwa lengo la kusherehekea ushindi walipata siku ya Novemba 05 dhidi ya Simba SC.
    Mpenja Tv tunakuletea matukio yote muhimu kuhusu Zoezi hili maalumu la Wana Yanga
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 222

  • @jamalongangari4908
    @jamalongangari4908 8 หลายเดือนก่อน +19

    254 hapa I'm so proud of daima mbele nyuma mwiko. Hii ndio yanga make people happy and together. I love my team Yanga. I love Africa

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 8 หลายเดือนก่อน +27

    Haya ya SUPU DAY yanafanyika JANGWANI tu huipati timu yoyote duniani, ni YANGA pekee. HONGERA sana wananchi.

  • @sheysarahnjeno5207
    @sheysarahnjeno5207 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga vivaaaaaaaaaaaaaaaa.Naipenda sana

  • @hawaadija222
    @hawaadija222 8 หลายเดือนก่อน +19

    Jamani yanga Raha sana 💚💚💛💪

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 8 หลายเดือนก่อน +28

    Ila Timu ya Yanga ina Upendo Saaana kama unaaangalia kwa makini... Timu ipo ki-Upendo hata Washabiki... GOOD JOB VIONGOZI KWA KUUNGANISHA TIMU NA JAMII....

    • @alphoncealmack9240
      @alphoncealmack9240 8 หลายเดือนก่อน +3

      Sana ndug huyo jamaa wa simba kapokewa kwa upendo wangekuwa wao wangem bomoa makonde ya kuua km mwiz vile

    • @PhyinaElias-mu4wf
      @PhyinaElias-mu4wf 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@alphoncealmack9240umeonaee

    • @kiondosaimon6149
      @kiondosaimon6149 8 หลายเดือนก่อน

      Simbaaa wao ni umbeaa na mdomoo tuu ndo maana hawana upendo 😂😂

    • @hassankindamba6633
      @hassankindamba6633 8 หลายเดือนก่อน

      Makafara hayo baada ya kumfunga mtani

    • @hottv1149
      @hottv1149 8 หลายเดือนก่อน +1

      Lazima tuwe na upendo sababu kwetu Ni mambo bado

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 8 หลายเดือนก่อน +13

    Jamani nakula supu nikiwa Arusha 💛💚💛💚yangaaaaaaa 5G🖐

  • @aminakhamis2276
    @aminakhamis2276 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nawapenda wananchiiiiiii kwaushirikiano wenu kwa watani🧡💛💚💙💜

  • @farajasallah2338
    @farajasallah2338 8 หลายเดือนก่อน +17

    Jamani kumbe ni kweli duu, hongereni yanga hamna Jambo dogo

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 8 หลายเดือนก่อน

      Ulijuwa tunatania 🖐️

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 8 หลายเดือนก่อน +8

    Mashaallah Allah atuzidishie upendo Inshaallah

  • @princessvai6
    @princessvai6 8 หลายเดือนก่อน +3

    Naumia sana wananchii wenzangu niko mbali Muscat ila tunakula supu pamoja💛💚💛💚

  • @PhyinaElias-mu4wf
    @PhyinaElias-mu4wf 8 หลายเดือนก่อน +2

    Tabulele laaaaa 💚💛💚🖤🖤💚 soup day 🍲🍲🍲🍲n mwendo wa kusambaza upendo tu wananchiiiiiii 💚💛💚💛💚

  • @magrethshishwa5481
    @magrethshishwa5481 8 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga hatunaga shughuli ndogo aisee😂😂😂😂💚💛💛💚

  • @HusnaSwalehSultan
    @HusnaSwalehSultan 8 หลายเดือนก่อน +7

    Naumia jamani nipo mbali lkn tupo pamoja napatika mascat Omani

  • @RahmaSenga
    @RahmaSenga 8 หลายเดือนก่อน +3

    Masha Allah ❤

  • @faustinewilliam4908
    @faustinewilliam4908 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga Forever💚💚💛💛

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 8 หลายเดือนก่อน

    SUPU DAY, hongera chama langu Yanga kwa kufanikisha haya🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameizing...

  • @tatumasabile
    @tatumasabile 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Daima mbere nyuma mwikoooo🎉🎉🎉🎉

  • @YohanaLuchapa
    @YohanaLuchapa 8 หลายเดือนก่อน +2

    😊😊😊 Dah yanga amnaga jambo dogo duh ay bn

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yanga Wanajua KUKERAAA😂😂😂😂😂

    • @Officialboysafi
      @Officialboysafi 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 na mpka waseme 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

    • @JUU-lw2je
      @JUU-lw2je 8 หลายเดือนก่อน

      Zaidi ya kukera wenzenu wanataka kusahahu machungu nyie kila leo mnawakumbushia

  • @ShomviMgeni
    @ShomviMgeni 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu tupe furaha daima

  • @salmoomorefeelingproductio1744
    @salmoomorefeelingproductio1744 8 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamdulillah,Hii ndio Tanzania hii do Yanga,huu ni utofauti mkubwa na vilabu vingine

  • @fihirishemaadihussein6124
    @fihirishemaadihussein6124 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga mnatisha sn,Ally kamwe ni mbunifu!upendo mkubwa sn wananchiiiiiiiiii

  • @krayna5122
    @krayna5122 8 หลายเดือนก่อน +5

    Dah Hadi Raha huu ndo utani jaman Simba na yanga sio maadui sisi ni watani

  • @bahatibushiri1610
    @bahatibushiri1610 8 หลายเดือนก่อน

    Hongera watani🎉

  • @RenatusBuzuri-zv8zq
    @RenatusBuzuri-zv8zq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Good day 5G and good supu day

  • @user-lp4hr2gl1x
    @user-lp4hr2gl1x 8 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana wananchi,ila maombi yangu muwakumbuke nawatoto yatima na wenyewe wafurahie ushindi wa wananchi

  • @matswelomphela972
    @matswelomphela972 8 หลายเดือนก่อน +5

    Nakunywa supu nikiwa kibaha daima mbele nyuma mwiko wananchiiiiiiii

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waoooooo, Safi sana

  • @bekabeka-ww2mn
    @bekabeka-ww2mn 8 หลายเดือนก่อน +4

    hamasa za yanga hutoboi pigeni supu

  • @user-zb2mj5nd5g
    @user-zb2mj5nd5g 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu nimdogo wake mzee Mpiri maana wanafanana hata utafunaji wanyama🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aamina Inshaallah

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 8 หลายเดือนก่อน +1

    Watanzania tuna aina yetu ya maisha mpaka Raha! Kongole kwa wanayanga!

  • @user-np6vz4ki6r
    @user-np6vz4ki6r 8 หลายเดือนก่อน

    Daah kwelii nakubaliiiii wananchiiiiiiiii

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 8 หลายเดือนก่อน +8

    SUPU VIPANDE 5, CHAPATI 5,MAANDAZ 5,SIMBA KAPIGWA 5,SIKU YA TAR5,RAIS SAMIA KAPOKEA UONGOZI KUTOKA AWAMU YA 5,VODA COME WANA LINE YA 5G,pili pili 5...KILA KITU 5G.😅

  • @NuruSuleiman-lf1ew
    @NuruSuleiman-lf1ew 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nimecheka mtani kapewa supu na chapati 5 _ pilipili 5 _ Ndimu 5 ha ha ha !

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 8 หลายเดือนก่อน +2

    JIRANI jirani karibuni.wana msimbazii.....sisi wanajangwani hatuna Roho ya kwanini.💛💛💛💛💚💚💚💚💚

  • @MelkiadiGeorge
    @MelkiadiGeorge 8 หลายเดือนก่อน

    Asanteee yngaaaaaa

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 8 หลายเดือนก่อน +4

    Mujae na viwanjani sío kunywa supu tuh

  • @tevintevin6254
    @tevintevin6254 8 หลายเดือนก่อน +4

    Simba wataiga tuu ila wao wataweka biriani..nipo nimekaa paleee

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 8 หลายเดือนก่อน +3

      Hahaaa, kolo hakuna ubunifu.. walivyoona yanga wanatoa mechi zao kwa wachezaji wakaiga..kibu Denis mgeni rasmi simba vs yanga... akashindiliwa 5.

    • @user-yu9hn2cq3y
      @user-yu9hn2cq3y 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@josephlorri431🤣🤣🤣🤣mgeni rasmi amekandwa vby wakome 🖐

  • @user-xx5gd3ju7r
    @user-xx5gd3ju7r 8 หลายเดือนก่อน

    Yanga tamu

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 8 หลายเดือนก่อน +3

    Supu imetulia kama ilivyo tulia Simba
    😂😂😂😂😂
    Wabongo hatari

  • @user-bh9if3bo8r
    @user-bh9if3bo8r 8 หลายเดือนก่อน

    Mashallah ❤

  • @RashidiKuji
    @RashidiKuji 3 วันที่ผ่านมา

    Yes vp hapo have a good weekend 😅😅😅😅

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga 4ever watu watapungua uzito safar hii

  • @Abdul-jj6lq
    @Abdul-jj6lq 8 หลายเดือนก่อน

    daima mbele nyuma mwiko pamoja tunaweza

  • @user-xk1wi4dq3r
    @user-xk1wi4dq3r 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga raha jaman nyie achen upendo uliopo yanga ,simba haupo 😂😂😂

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kuna jamaa wa simba namuona na supu yake swaaaafi 😂

  • @user-yy2vr6hf4f
    @user-yy2vr6hf4f 8 หลายเดือนก่อน +2

    five goal na supu day ❤❤❤

    • @daudimaniseli759
      @daudimaniseli759 8 หลายเดือนก่อน

      Supu vipabde 5 chapati 5 Simba kapigwa 5 siku ya tar5 RAIS Samia kapokea uongozi kutoka awamu ya 5,, VODA inaline za 5G....YANI 5x5/five square

  • @user-pm5oj6op5d
    @user-pm5oj6op5d 8 หลายเดือนก่อน

    Wananchiii tunajipenda

  • @husseinmchomolo5271
    @husseinmchomolo5271 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga mna sifaaa😂😂

  • @MohamedHassan-vk9pj
    @MohamedHassan-vk9pj 8 หลายเดือนก่อน +2

    Karibuni Wana Msimbazi. Njooni tunywe pmj tunawakaribisha.

  • @beatricemateza3061
    @beatricemateza3061 8 หลายเดือนก่อน +1

    This is yangaaa...I love u yangaaa

  • @davidmziray2048
    @davidmziray2048 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani yanga jamani raha

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee hana meno lakin nyamaa haachi

  • @mfebricknkuna7106
    @mfebricknkuna7106 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂... Banch la ufundi, Mzee mpili.😅😅😅😅

  • @ImaniChoir-uy3kp
    @ImaniChoir-uy3kp 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂yang rahaaa

  • @chidysule
    @chidysule 8 หลายเดือนก่อน

    shikamoo simba

  • @EmanuelMkotomaka-bz6yb
    @EmanuelMkotomaka-bz6yb 8 หลายเดือนก่อน

    Vzr

  • @maryammussa2835
    @maryammussa2835 8 หลายเดือนก่อน

    Yanga moto

  • @jacksonmichael9098
    @jacksonmichael9098 8 หลายเดือนก่อน +2

    🤣🤣🤣 makolo wameleta mvua na mafuriko himladi tu wananch wacnywe xupu lkn mpango wao umeferi 🤣👋

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahha mzee mwenye meno ana 😂😂😂 dah nimesafiri ningekuwepo apo

  • @user-oq2et1ok1q
    @user-oq2et1ok1q 8 หลายเดือนก่อน

    Jaman ningekuwa dar ningekuja kupga supu asee hatar san

  • @uwesudadi107
    @uwesudadi107 8 หลายเดือนก่อน +1

    Supu iendelee

  • @febroniamsoma178
    @febroniamsoma178 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni asasi ya kijamii na sio timu ya mpira

  • @jacobnduya798
    @jacobnduya798 8 หลายเดือนก่อน

    Sema mpira raha sana🤭🤭

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo rahaaaa ya mpiraaa utani unarahaaa yake

  • @JOSEPHATPIUS-pp6ix
    @JOSEPHATPIUS-pp6ix 8 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂❤❤❤❤❤❤❤ burudani uendelee

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 8 หลายเดือนก่อน

    Na huku zanzibar mungeleta angalau ng'ombe 3

  • @vivanyboy9743
    @vivanyboy9743 8 หลายเดือนก่อน

    Ila wananchi mnasir kumbe watu wanapga supu na chapati 5 😂 alafu hamsemi😂😂

  • @salehwaziri5062
    @salehwaziri5062 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wahuni katika uborawetu 😅😂😂😂😂

  • @Hassanbaoma
    @Hassanbaoma 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ila yanga mna vituko sana yaani kisa kuwakanda makolo ndo mnakunywa supu

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 8 หลายเดือนก่อน

      Mbon tumewafunga mar nyingi tu huu upendo tu

  • @mbwizax87
    @mbwizax87 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga siku hizi mmekua

  • @kevinchaula777
    @kevinchaula777 8 หลายเดือนก่อน +6

    Chezea supu ww, unaweza kuikana timu yako mara 5

  • @salvatoryoscar823
    @salvatoryoscar823 8 หลายเดือนก่อน

    Simba ni timu kubwa ikifungwa inatangazika dunia mzima, wengine ndo hao wanamalizia makafara yao wanazuga watu tu hakuna chochote hapo. Pia ni ushamba mkubwa na ni aibu kubwa mno kufanya sherehe ya kumfunga simba. Hii inamaanisha kuwa hamkuwa na uhakika wa kuifunga simba.

    • @JeftaLukasi-bo4wd
      @JeftaLukasi-bo4wd 8 หลายเดือนก่อน

      Hii supu hawajanunua ng'ombe nizawadi aliyo iweka wazili kua Tim utakayo shinda kila goli ning'ombe ndo maana wamepika supu

  • @barakasenyagwa30
    @barakasenyagwa30 8 หลายเดือนก่อน

    Hy ni Teja sy mwanalunyasi

  • @user-pm5oj6op5d
    @user-pm5oj6op5d 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli huu ni utani.

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 8 หลายเดือนก่อน

    Ila hapo mungewaleta na wacheza aji wallah ingependeza sana zaidi ya sana japo wasile kiihivyo ila wakuwepo tu kwa muda kadhaa kisha wasepe

    • @meleckmbwelwa8551
      @meleckmbwelwa8551 8 หลายเดือนก่อน

      Mmerudisha deni penye toka 1995 mkaage machosasa,sikumoja tu makelele mtaa mzima

  • @brycemoshi2122
    @brycemoshi2122 8 หลายเดือนก่อน

    Yaan utoke kibaa nauli larinoa elfu 8 ufate supu ya buku😂

  • @KudraNtegakaje-ni3dz
    @KudraNtegakaje-ni3dz 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe lah San jmn mmetuwakilisha vizuli san Wana yanga laha san

  • @user-hq9zk2ys3u
    @user-hq9zk2ys3u 8 หลายเดือนก่อน

    Lijmaa linapenda2 kula

  • @JescaMuyabi-ix8ly
    @JescaMuyabi-ix8ly 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo raha ya utani

  • @hawaadija222
    @hawaadija222 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah nimekukosaje hi supu mvua katka niende tu

  • @user-oc1gk3gj4p
    @user-oc1gk3gj4p 8 หลายเดือนก่อน

    aisee siku zote ndoto za mtoto ni kumpiga mkubwa haina noma mmezihirisha kuwa mlitamani kulipiza Ila mlicherewa sanaa

  • @anthonycharles1551
    @anthonycharles1551 8 หลายเดือนก่อน

    Mi nlijuw mzee mpili😂

  • @matswelomphela972
    @matswelomphela972 8 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 8 หลายเดือนก่อน

    Japo nipo mbali nipo dubai lakini naisi kama nipo jangwani nakunywa supu na wana yanga wenzangu yanga oyeeeeeee

  • @jonasayubu1809
    @jonasayubu1809 8 หลายเดือนก่อน

    Hili kolo Limenichekesha

  • @allyhamadi5064
    @allyhamadi5064 8 หลายเดือนก่อน +3

    Uwo ndio utani wa jadi sio kutukanana kupigana kunyomana visu wala aependezi mpira sio uhuadui

    • @dianafredrick8830
      @dianafredrick8830 8 หลายเดือนก่อน

      Sio kunyomana visu 😁😁😁 kuchomana visu

  • @user-zz7ep5of2m
    @user-zz7ep5of2m 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi natumia mpaka nalia ivi kwenye miskiti watu ukuti wengi kiasi iki mtu anatoka mbali kwaajili yapila lakini hakumbuki Alie tupa punzi tunatakiwa kumtaja kwa wingi na kumswalia emungu tusamehe

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 8 หลายเดือนก่อน

    Yani wamepewa mpaka chapati, Yanga kubwa

  • @frankshirima4029
    @frankshirima4029 8 หลายเดือนก่อน

    Leo ndo ile sentensi kuwa simba ni club kubwa inathibitika yaan ukimfunga simba lzm ufanye shereheeee

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 8 หลายเดือนก่อน

      Mnajisahaulisha kwan Yanga imemfunga Simba mara ngapi au 5 zimekuvuruga huu ni upendo tu ingekuw hatujawah kuwafunga ungesema hivyo lakin kwa misimu hii ya karibu tumewapiga san mkatuotea mara moja ya kutufunga 2

    • @frankshirima4029
      @frankshirima4029 8 หลายเดือนก่อน

      @@seciliamchalo5627 nimezungumzia sherehe kwamba ukiweza kumfunga simba goli nying lzm ufanye sherehe maan hiyo misimu umenifunga haujawah kufanya sherehe na mm nimekufunga mara nyingi magoli sita tano nne zote hizo lkn sikusherehekea coz wewe niwakawaida saana mm kukunyoa

  • @gabrielmoses6860
    @gabrielmoses6860 8 หลายเดือนก่อน

    Yanga chama kubwa

  • @arthurmagwagu7689
    @arthurmagwagu7689 8 หลายเดือนก่อน

    Makolo washukuru mchezo ulichezwa tar 5, ingekuwa tar 8 dadeki wangekula nane😂😂😂

  • @mcdanford5389
    @mcdanford5389 8 หลายเดือนก่อน

    Kama umesikia " na vijiko vitano"

  • @googleus4903
    @googleus4903 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ng'ombe wa Simba kachukua Mwamedi😁😂😃

  • @DouglasCyprianmagwira
    @DouglasCyprianmagwira 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa! Ukiambiwa mtu anakula SUPU mwoogope maana ukikutana nae lazima akuvunje mguu hii ndo maana ya SUPU ! Melvi kiboko yake supu

  • @vivanyboy9743
    @vivanyboy9743 8 หลายเดือนก่อน

    Simba mnachakuji funza hapo mpira sio ahadui

  • @epafrasmaganigani
    @epafrasmaganigani 8 หลายเดือนก่อน

    Hahaha hiii ndio yangaa Haina jambo dog ❤❤❤❤❤