MZEE WA JAMBIA AICHANA UKWELI SIMBA MPYA YA MUTALE NA DEBORA BADO.....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @RamaMaulidi-m7l
    @RamaMaulidi-m7l 2 หลายเดือนก่อน

    Anazingua uyo😊

  • @BenLeeBl
    @BenLeeBl 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu shoga sio bure

  • @inesskasale-hr1em
    @inesskasale-hr1em 2 หลายเดือนก่อน

    Mshauri kama huyo Aishi manual atapona kweli. Hasira za mteja wako kutotajwa isikuonyeshe Simba haijafanya kitu. Wewe na mteja wako mliuza mechi na ametuhatibia jina Kwa kukubali magoli Tano ya kizembe. Nyie mna hatia mbele za Mungu. Jitafakarini na mteja wako. Daniel Kadena alieleza vema maana Manual alikuwa na haki ya kukata ku daka kutokana na kwamba alikuwa majeruhi.

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mutale Fernando balua kijiri fantastic parfomarce

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

      Au xio 😂😂msije kuwakana hao !!!

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu 2 หลายเดือนก่อน

      We unatak nn

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

      @@MabenaKishapu Ninachotaka musije kuwakana tarehe 8 mkasema Kanjibai kakuzingueni na usajili

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu 2 หลายเดือนก่อน

      @@R10_Rajab timu hii ni kwa ajili ya ligi nzima siyo ya tarehe nane tu

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

      @@MabenaKishapu sawa ni vizuri sana ila jitayarishe kisaikolojia usije sema hukuonywa

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 หลายเดือนก่อน

    mutale bado?😊;;;ngojeni nyie na ndo mchezaj aliyeonekana kuliko mchezaj yoyote simba day match.

  • @OmarySingano-mw9qf
    @OmarySingano-mw9qf 2 หลายเดือนก่อน

    Uy mnafikiiiiii mkubwa hata kwenye uchambuzi Ana iponda Simba tunamsikia😂😂😂😂

  • @HusnaOmarry
    @HusnaOmarry 2 หลายเดือนก่อน

    Simba kweli shukurani hawanaa

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 2 หลายเดือนก่อน

    Hajasahaulika.Si aje anunue mkataba wake?Hatutawasikiliza kamwe.

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 2 หลายเดือนก่อน

    Dunia fanya mama kumi laminitis kosa moja linafuta yote ,

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 2 หลายเดือนก่อน

    Vikubwa MPAKA vya kufungwaa 5

  • @abdallahakida7908
    @abdallahakida7908 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa wengine sijui mnawahoji nini mwanamichezo mzuri hakatishi tamaa wengine sasa huyu anafaa kuwa coach wa timu hata ya viwete si atawadharau

  • @OmarRupia-w6t
    @OmarRupia-w6t 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kkkkkk watu wote wamemsifia mavambo wewe😅😅😅😅na Mdomo wako huo😊😅😅😅

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

    Hako kamdomo kanafanana na uongeaji wako wa hovyo hata ueleweki mkiwa na chuki zenu msizilete hapa
    Manula ndio mwenyewe hakutaka nani kamkataa sema tuu alipata shida na bado hakuachwa

  • @felizmwakalasi
    @felizmwakalasi 2 หลายเดือนก่อน

    Bruno Fernandez 😅😅

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 2 หลายเดือนก่อน

    We naw snich mtu ametoka majeruh yy mwenyew ilibid aikatae mech mpka amekubal kudaka ni kwamba alikuw na faida nayo mechi nje ya uwanja

  • @GeorgeSikazwe-mm7nn
    @GeorgeSikazwe-mm7nn 2 หลายเดือนก่อน

    We yanga tunakujua kesh utaskia ooo simba hii ya moto ttz wachambuz wetu ndumilakwili

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 2 หลายเดือนก่อน

    AISHI NDIO NAN VILEEEE

  • @NdongaNdonga-e1t
    @NdongaNdonga-e1t 2 หลายเดือนก่อน

    Ubaya ubwela mtu kaleta usenge adekezwe lazma wamnyooshe kidogo 5 sio goli chache

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu 2 หลายเดือนก่อน

      We mama kaa kmy

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 2 หลายเดือนก่อน

    Amefanya dhambi na amehukumiwa kwa dhambi zake kwa tamaa zake

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 2 หลายเดือนก่อน +1

    Aishi hamekosa washauri wazuri, yuko kama amesusa na ameshindwa kujishusha kama mtumishi wa taasisi kubwa kama simba. Cha msingi avunje mkataba.

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani ujui meneja wake ni jemedari said. Angekua mchezaji mwingine na hs km ingekua yanga bs tungekoma,

    • @ameirmwadini6414
      @ameirmwadini6414 2 หลายเดือนก่อน

      @@maryamtan682 Hongera kwa kulikumbuka hili .

  • @150OmegaaaRepublic
    @150OmegaaaRepublic 2 หลายเดือนก่อน

    Challenge

  • @hamishatibu699
    @hamishatibu699 2 หลายเดือนก่อน

    Aisha ametuhujumu msimu ulioisha, wote walioshiliki kutuhujumu tumewaacha. Manura asubili mshahala wake tu

  • @omarmussa5130
    @omarmussa5130 2 หลายเดือนก่อน

    Wanachoongea Simba na Manula ww hukijui

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani Aishi alikuwa wapi? Hata uwanjani hakuwepo.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

    Soon munakuja kuwakataa wote hao hahahaha

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 2 หลายเดือนก่อน +1

    Katufungisha goli 5 aondoke tu

    • @IsabelaConstantino-ns7kx
      @IsabelaConstantino-ns7kx 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana ule ni mpiraa lolote linatokea

    • @HusnaOmarry
      @HusnaOmarry 2 หลายเดือนก่อน

      Msitupe mbachao kwa msala upitao mtamkumbuka akija yanga msijemkaanza majunguu

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@HusnaOmarryhamuwez kabisa maan mnaamin nimsaliti hamuwez kabisa

    • @bartholomewasorael6616
      @bartholomewasorael6616 2 หลายเดือนก่อน

      Kwenye zile goli Tano alihusika kabisa maana hakupangwa kwenye mechi akang'ang'ana

  • @LubidinhoSamwel
    @LubidinhoSamwel 2 หลายเดือนก่อน

    hauna hakili wewe tena ww ni mwehu kabisa an
    ndio maana upo kama kafurushi
    simba nguvu moja tu