HUYU HAPA ALLY KAMWE AKITEMA CHECHE/AMEPATIKANA ALIPOJIFICHA/WANANCHI WANA MAUWA YAO HAPA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 325

  • @FanyJimmy
    @FanyJimmy 2 หลายเดือนก่อน +58

    Ali kamwe ni kiongozi
    Kiongozi ni yule anaejitoa kwaajili ya watu wake 📌❤️🇹🇿
    Wanasimba punguzeni majungu kwa Ali kamwe wetu

  • @noelamkwala4462
    @noelamkwala4462 2 หลายเดือนก่อน +28

    Smart boy semaji la wananchi. Big up Ali Kamwe. Brilliant boy🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน +52

    Asante kaka Kamwe kwa kazi ngumu. Umekuwa pamoja sana na wananchi. Pole kwa kazi.

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 2 หลายเดือนก่อน +31

    Yanga ni kubwa, Asante Ally Kamwe, mmefanya vizuri.💚💚💛💛🌻🌻💐

    • @MosesShileka
      @MosesShileka 2 หลายเดือนก่อน +1

      Moj me
      Ono.u

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 หลายเดือนก่อน

      Nani asiemjua Ally Kamwe...Muulize Ahmed Ally atakujuza vzri😆😆😆

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 2 หลายเดือนก่อน +11

    Very Good bro Ally Kamwe. Wewe utaishi miaka mingi sana. Well done. Kazi zako zitakutambulisha mkuu

  • @FirdausyAbubakary-bl2wo
    @FirdausyAbubakary-bl2wo 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ally nakupenda saana wallahi Allah akuhifaadh tunaomba uwe msemaji wetu milele biidhnillah inshaAllah❤❤❤❤❤❤

  • @hawajohn749
    @hawajohn749 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akuongezee ally kamwe na akupe mwelekeo mwema

  • @MatswelopeleMphela
    @MatswelopeleMphela 2 หลายเดือนก่อน +5

    Asante brother your hero ally kamwe

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 2 หลายเดือนก่อน +24

    Ali kamwe wetu mungu akutunzeee 💚💛💚💛💚💛💚💚💚💚

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 หลายเดือนก่อน +10

    Safiiii sana Ally kamwe unaupendo mkubwa sana mungu akujalie Maisha marefu hapa duniani🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana halisi ya kuwa kiongozi

  • @asinahussein2176
    @asinahussein2176 2 หลายเดือนก่อน +10

    Hongera Ally kamwe semaji la kitaifa.

  • @peterjohn8301
    @peterjohn8301 2 หลายเดือนก่อน +19

    Semaji miaka mingi saana upewe uitumikie timu kwenyevodara ya habar..huna mpinzan

  • @MossiSaadat
    @MossiSaadat 2 หลายเดือนก่อน +23

    Nakukubali semaji langu huna baya hongera

  • @dullamuso6955
    @dullamuso6955 2 หลายเดือนก่อน +8

    Ally wewe ni Mtu wa Maana Sana 🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu Akulinde

  • @angeldanniel2041
    @angeldanniel2041 2 หลายเดือนก่อน +8

    Manara ataftiwe Kaz nyingine msemaj ni all I kamwe manara atauza mechi so mshabiki was yanga alii anaiongelea yanga moyoni ila manara maneno mengi mdomoni

  • @MysarahMohamed
    @MysarahMohamed 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana Ali Kamwe kwa kazi nzur,na pole pia mpk saut imekata huyu ndo kiongozi halis🔥🔥🔥🙌🙌

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 หลายเดือนก่อน +39

    Ally ni smart guy mtu wa maana sana 😂😂

    • @simonshija2476
      @simonshija2476 2 หลายเดือนก่อน +2

      huyu jamaa akamua kuacha kule akaja huku kuwatia moyo wadau safi sana!!!!

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 2 หลายเดือนก่อน +3

      ni mtu maana zaidi ya maana sana, sana sana!!! May God bless him

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 2 หลายเดือนก่อน +18

    mdogo wangu nilikuona unawibika uwanja wa uhuru achana nao hao hawana jip

  • @micksonmick3036
    @micksonmick3036 2 หลายเดือนก่อน +15

    Anhsate mwenyekiti wa wasemaji ally kamwe 👏👏👏✅✅

  • @rukiakyaka1827
    @rukiakyaka1827 2 หลายเดือนก่อน +2

    Alhamndulilah Allah atuzidishie zaidi Inshaallah

  • @fistonmakopa598
    @fistonmakopa598 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga tamu

  • @CatherineMwaikamba
    @CatherineMwaikamba 2 หลายเดือนก่อน +1

    We mwamba unajielewa sana

  • @JacksonZakayo-tt3jg
    @JacksonZakayo-tt3jg 2 หลายเดือนก่อน +6

    Nitaongea na mama yangu mpendwa samia raisi wetu mpendwa akuteue ufanye nae kazi maana uko vizuri unaweza dogo😮.

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yah, nimeona pia kumbe matajiri wanatofautiana. Tajiri mmoja ni wa mtandaoni plus maneno mengi vikiwemo na vijembe uchwara, halafu mwingine yeye ni wa vitendo tu na si maneno. Huyu maneno yake mawili tu "YANGA BINGWA!"

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mwenye kiti wa wasemaji

  • @rehmadamian8020
    @rehmadamian8020 2 หลายเดือนก่อน +7

    Dah! naKupenda bure semaji letu❤😂😂

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me 2 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaa asiondoke yanga yule zeruzeru mpiga kelele

  • @lydiadaudi4076
    @lydiadaudi4076 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kamwe ni mmoja tu ❤

  • @aishaadam9933
    @aishaadam9933 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akulinde ukwer wazazi wako wanajivunua san ww unafany kaz bora san

  • @Adje244
    @Adje244 2 หลายเดือนก่อน +4

    Nakupenda Ali unaakili upo smart

  • @PrisilaKatobe
    @PrisilaKatobe 2 หลายเดือนก่อน +5

    Tumeinjoi Sana semaji letu asante

  • @SadaniBadi
    @SadaniBadi 2 หลายเดือนก่อน +3

    kamwe nakugawa maana sikwa kuwajaza makolo,ivihawaogopi❤❤❤

  • @jeminusitala9713
    @jeminusitala9713 2 หลายเดือนก่อน +4

    Congratulation alikamwe

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 2 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉safi sana Ally kamwe

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kamwe kamwe hongera sana naona kazi zako

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 2 หลายเดือนก่อน +3

    Tuko pamoja na ww Eng Ally!🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    Shafii Dauda anakutafuta huko

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 2 หลายเดือนก่อน +3

    Shkrn mtt wng,una busara/mahaba mazito kwa Yanga yetu.Ulijiongeza kwa faida ya Yanga yetu,umefanya kazi ilihotukuka iwe icwe nawe ktk HISTORIA ya Yanga UMO/UTAKUWEMO tu,Mungu akujaze siha njm inshaAllah !

  • @haifamiraji6483
    @haifamiraji6483 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani ww semaji letu ni mtu na nusu. Be blessed

  • @mariakeyamba9757
    @mariakeyamba9757 2 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo aliyesema hujatambulishwa tushamwambia akashughulikie jambo la Manula kwanza huku atuache.

    • @ElizaYanga
      @ElizaYanga 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @ShukuruMgimba
    @ShukuruMgimba 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ally ukiacha uafisa habari takufunga Kwa kosa la utekaji, umeuteka moyo wangu

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hitimisho ni Yanga Bingwa 💚💛💚💛

  • @MajaliwaMadua
    @MajaliwaMadua 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ally kamwe wewe mwamba hao wapuuzi wasi kudanganye kila mtu na kazi yake kwenye nafasi yake hao wala tano wana kuchomekea maneno eti hukutambulishwa uwanjani wakati ulikua kwenye majukum yako kule uhuru nimekuona.

  • @omondilouis8659
    @omondilouis8659 2 หลายเดือนก่อน +7

    Yanga mmetisha🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hamzanangameta6243
    @hamzanangameta6243 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kamwe winner of the competition ❤❤❤ acha wakutafute kazini na sio majunguni 😂😂😂

  • @BrunoClement-j7u
    @BrunoClement-j7u 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ali mungu anakuona ongera sn

  • @VICTORIAMHANDO-ge1yr
    @VICTORIAMHANDO-ge1yr 2 หลายเดือนก่อน

    Uko vizuri ❤ wamekuelewa asieelewa basi hatokuelewa

  • @OctaJohn-ov9gc
    @OctaJohn-ov9gc 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ali kamwe is a special one

  • @jacminjosefh4400
    @jacminjosefh4400 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kukuweka 💛💚💛

  • @augustinomkongwa5444
    @augustinomkongwa5444 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ali kamwe unastahiri kuwa mkurugenzi wa habari wa yanga 🎉🎉🎉🎉

  • @AlawiHalima
    @AlawiHalima 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nimefarijika kukuona Ally Kamwe kweli huu ni mpango kazi kweli nimeamini Yanga nikubwa kuliko

  • @fabianmihafu697
    @fabianmihafu697 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ali Kamwe umepiga kazi sana, unastahili pongezi. Mpaka sauti yako imekauka

  • @MwasitimajidMajid
    @MwasitimajidMajid 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera semaji 💛💛💛💛

  • @MafuruGeremu
    @MafuruGeremu 2 หลายเดือนก่อน +2

    Semaji hana baya kabsa unafanya kazi yako sahihi apewe maua yake aisee 🔥🔰👊

  • @mwankenjatv9330
    @mwankenjatv9330 2 หลายเดือนก่อน +3

    Alafu ally mwenyewe hata shida hana sasa vimbea vya Simba sasa eti yuko wapi yuko wapi ili iweje??

  • @AngelaMkwava
    @AngelaMkwava 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante yanga kwa ushindi huu I❤ yanga

  • @HassanMbega-r3t
    @HassanMbega-r3t 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akulinde

  • @jumamakung8146
    @jumamakung8146 2 หลายเดือนก่อน +4

    Msemaji mwenye akili 🙌🙌

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yanga bingwa

  • @SussankhanKhan
    @SussankhanKhan 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wape salaam mpaka waseme

  • @neemabochellah8416
    @neemabochellah8416 2 หลายเดือนก่อน

    Kamwe nakupe nda mwangu unajuwa sans kujieleza mungu akupe maisha marefu

  • @mrsab303
    @mrsab303 2 หลายเดือนก่อน +4

    Good job Ally and Manara

  • @benssonmayalla7982
    @benssonmayalla7982 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kamwe Unajua 👏👏👏👏

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 2 หลายเดือนก่อน +26

    ASANTE MWENYEKITI UMEWAKATA MAINI WANAFIKI WALIKUWA WANATAFUTA CHOKOCHOKO ZAO

    • @godsonmosi8428
      @godsonmosi8428 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaaa ✍️✍️✍️

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani wanaacha Sasa?? Yaan wao mpk waone vurugu yanga ndo wanafurahi wameanza na magoma sa hv wamehamia kwa Ally na manara

    • @akilizawadieli3610
      @akilizawadieli3610 2 หลายเดือนก่อน

      Wacheni uongo janja mkapa gepu hiyo ni ili mwonekane kuwa mko wengi kumbe janja hiyo

  • @checkchannel3876
    @checkchannel3876 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kumbe kitendo cha Aziz Ki kuweka bao jioooooni kimewauma???!!!

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kamwe nenda kapumzike kaka yetu umechoka sana hujalala tangu jana.

  • @mohamedMlez
    @mohamedMlez 2 หลายเดือนก่อน

    Mauwa yako semaji letu watu wanaumia huku❤❤❤❤

  • @noellaalfred8371
    @noellaalfred8371 2 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU akubariki alikamwe wetu ufikie ndoto zako achana nawatu wasionakazi wanaokaa nakukujadili wewe nimtu muhimu sanaaaaaaa makolo wenyewe wanalijua hilo ndo mana wanakutafuta

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 2 หลายเดือนก่อน +3

    Sema tamasha letu limekua nzuri 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔰🔰

    • @muadhjunior3470
      @muadhjunior3470 2 หลายเดือนก่อน

      Kabisa Aisha wa dube 😅

    • @stellasheba842
      @stellasheba842 2 หลายเดือนก่อน

      Haijawahi kutokea.mashabiki Wana mzuka.wameshangilia mwanzo Mwisho.hongeren sana Wana yanga.
      Na bado nymbn wanayanga wamebak kibao.lkn mmejaza n mmefurika

  • @janethmihali1381
    @janethmihali1381 2 หลายเดือนก่อน +1

    Asantee nilikuajeee nakusakaaaa...makolo wameanza uongoo...Ooooh wamegombanaaa.

  • @NgamelaYussuph
    @NgamelaYussuph 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga hiii Ni Ya Kamwe Miaka Mia

  • @alhajjsimba8833
    @alhajjsimba8833 2 หลายเดือนก่อน

    Ally Kamwe. Wewe ndiye pekee Meneja Habari na Mawasiliano (Engineer) Wa Yanga. Na ndiye tunaye kutegemea Mungu akubariki

  • @BagashekiFelix-jr9cu
    @BagashekiFelix-jr9cu 2 หลายเดือนก่อน +2

    "Think Tanker" Ali Kamwe. Hao wanaokuhoji kuwa hukuja kutambulishwa kwenye uwanja wa Mkapa ni malimbukeni , hawajui Nini maana ya "Manager" wa habari wa Yanga.!?

  • @AyubuTozzo
    @AyubuTozzo 2 หลายเดือนก่อน

    Ishi maisha marefuu bro🎉🎉

  • @bakarially253
    @bakarially253 2 หลายเดือนก่อน +13

    Ila huyu dogo Ali kweli anchekesha kwahiyo Mo aligeuka mwijaku

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 หลายเดือนก่อน +1

    Big brain,Ally Kamwe.

  • @KumbaBoy
    @KumbaBoy 2 หลายเดือนก่อน

    Ukwer yule dj noma sana daa anajua kaz yake

  • @daudishanyangi1072
    @daudishanyangi1072 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa amefanya siku nzima nazunguka mitandaoni kujua kwa nini jana sijamuona. Kuweni makini akiondoka ataondoka na Gen Z wengi sana

  • @AkidaIbunjumaa
    @AkidaIbunjumaa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Fantastic

  • @latifakikoti9808
    @latifakikoti9808 2 หลายเดือนก่อน +1

    safi saaaana injinia wetu tulikumisi sana bosi wetu

  • @HusseinSalim-c3p
    @HusseinSalim-c3p 2 หลายเดือนก่อน +6

    YANGA THE BEST

  • @hassannickson7654
    @hassannickson7654 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndy msemaji Wa 12:45 Yanga akili nyingi na Maneno yenye ukweli ndani yake big up sana Ally Shaaban Kamwe hujawahi kulisha watu matango pori kama kulee kwa majirani striker mrefu anapita goli kwani Tunacheza basketball

  • @alphoncealmack9240
    @alphoncealmack9240 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waambie watu wengi wanapenda kushikilia mazoea sana kila siku wantaka iwe kam ilivyokuwa mwak jana mwaka juz lkn Yanga ni wabunifu watuache na Yanga yetu

  • @deniskissaro
    @deniskissaro 2 หลายเดือนก่อน

    Mentality nzurii saana Hii📌

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hata kama Kuna fukuto lakin ally jinsi unavyoliendo unaonyesha usmart sana big up kwako

  • @laurentpetro-n2z
    @laurentpetro-n2z 2 หลายเดือนก่อน

    Bro always you are the best keep pushing for wananchi 💛💚

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 หลายเดือนก่อน

    Semaj lenye Akil Mingi Dunian,,,,,Kina mwajuma Adera,,wameshindwa kuonesha ukubwa wao,,,wameanza kuuliza semaj liko wapi???

  • @SalumKiduka
    @SalumKiduka 2 หลายเดือนก่อน +2

    Umewaziba midomo Watu woooooote

  • @kharidkinono2490
    @kharidkinono2490 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh! Kweli Jana ilikuwa njema

  • @PRICESSNGUYA-cx2yv
    @PRICESSNGUYA-cx2yv 2 หลายเดือนก่อน

    umeniacha hoi hapo kwenye utambulisho 😁😁😁 ALLAH Akuweke Inshaallah Kaka🙏

  • @MtashobyaJosia-wt9jq
    @MtashobyaJosia-wt9jq 2 หลายเดือนก่อน

    mtashobya josia nikiwa Kenya nawapata kwauzuri kamada wetu uko sawa kabisa tunakukubari sana

  • @awetumtengera1147
    @awetumtengera1147 2 หลายเดือนก่อน

    Tuliokuwa Taifa Benjamini mkapa tulikutafuta baada ya kutojua uko wapi ,furaha yetu ni kukuona ww pia. Kama ulikuwa na wananchi wengine pia Pongezi sana kwako na hongera sana kwa kazi mzuri.💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚wanaichiiiiiiiii,,iiiiiiiiiiiiiiii,

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 หลายเดือนก่อน +2

    Eti send-off party, wanatambulishwa mpaka mashangazi😂😂😂

  • @ZainabuIddy-p9s
    @ZainabuIddy-p9s 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakupenda semeji letu mtuwatuuuu

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 2 หลายเดือนก่อน

    Hongela san kk ali kamwa tunakupenda san jmn

  • @FridaMmari
    @FridaMmari 2 หลายเดือนก่อน

    Ilaa ulitukosea sana kutuachia yule jamaaa

  • @Abdul_wahidMohamed-g5l
    @Abdul_wahidMohamed-g5l 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanz Pamban nauyo mshamb mwenzak manar halaf uwaz ujiung wak

  • @fadhilindunguru7946
    @fadhilindunguru7946 2 หลายเดือนก่อน

    Kamwe is the best

  • @abdullukali2280
    @abdullukali2280 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Eng Hersi ametambulisha-hukiona??

  • @jaywi5681
    @jaywi5681 2 หลายเดือนก่อน

    Heheee, nyinyi Dampo letu lazima tutangulie nyinyi mfuate heheee

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 2 หลายเดือนก่อน

    Hhhhhh huna kaz jitutumue soon kila kitu kitakua waz