السلام عليكم ورحمة الله وبركاته Ikhwa wa akhawaat tunapokea maoni ushari na mchango katika kufanikisha jambo letu la kueneza elimu namna gani kutatua changamoto tulizokuwa nazo Njoo WhatsApp 0719165474 Allah awabariki nyote
Masalafi wote mabwege tu bora uwaskilize ata akina dr sule haya hola mang'ombe mpaka na mafuas yanafcha kuiponda saudia maana ndoyanapata chakula huko alaf mtu akienda kivyake wanamwita kharijii mbwa wa moton yan yametukana masheikh wote ambao sio wa gengelao lakishia lakina muqbil allah awabakishe kwenye unafiq daima
Unamatatizo ya akili inatakiwa wanaoishi nawewe wakuchunguze sana maana mtu mzima kiakili hawezi kuandika upumbavu huu kwenye sehemu ya hadhara kama hapa ndio maana hata jina huna
Je Wapalestina wafanye nini katika kipindi hiki nchi yao inavamiwa,ardhi yao inachukuliwa kipande baada ya kipande,ndugu zao wanauwawa kila siku je wasipigane watulie tu wakiangalia nyumba zao zinabomolewa? Pili ni kweli Irani inawauwa ndugu zetu Yemen, Saudi Arabia imeenda kusaidia,lakini kwanini Saudi Arabia haiwasaidii Wapalestina kama inavyoisaidia yemeni kinyume chake saudia Arabia imejenga urafiki mpya na Israel taifa linalo wauwa waislam wenzao na Mwisho Hammas isilaumiwe kwa kupokea misaada kutoka irani,kwa sababu hawana namna lazima waikubali,Misri imeshindwa kutoa msaada kwa Wapalestina, Saudia imeshindwa kuwasaidia ndugu zao,Sio kama naitetea Irani lakini Palestine ipo desperate inapokea msaada kwa yoyote yule ambae yupo tayari kuwashika Mkono ili wasurvive
Kuna masheikh Wana mshahara kutoka saudia....Sasa unataka wapalestina wasubr...wakae majumbani ...mpaka mungu awape ardhi...😂😂😂...ikuwapi nafasi ya jihad We juhaa
Allah amuhifadhi sheik wetu azidi kutuelimisha
اللهم آمين
chuma ichi
mashaallah
Allah alietukuka atuhifadhie na atulindie nac pia
Allah akuhifadhi ikhwa kwa kusema yaliyo haki
Swahiih .
Baaraqallahu fiika shaikhana
Baraka llah fiikum sheikh Allah Akuhifadhi hakika mwatuelimisha nakutujulishamengi ambayo hatuyajui
F'5
Umeongea hakki
Mashallah jazzakallah khair!
Allah akuhifadh al akhy
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
Ikhwa wa akhawaat tunapokea maoni ushari na mchango katika kufanikisha jambo letu la kueneza elimu namna gani kutatua changamoto tulizokuwa nazo Njoo WhatsApp 0719165474
Allah awabariki nyote
Masalafi wote mabwege tu bora uwaskilize ata akina dr sule haya hola mang'ombe mpaka na mafuas yanafcha kuiponda saudia maana ndoyanapata chakula huko alaf mtu akienda kivyake wanamwita kharijii mbwa wa moton yan yametukana masheikh wote ambao sio wa gengelao lakishia lakina muqbil allah awabakishe kwenye unafiq daima
Unamatatizo ya akili inatakiwa wanaoishi nawewe wakuchunguze sana maana mtu mzima kiakili hawezi kuandika upumbavu huu kwenye sehemu ya hadhara kama hapa ndio maana hata jina huna
بارك الله فيك
جزاك الله خيرا
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته
🧕😭
Je Wapalestina wafanye nini katika kipindi hiki nchi yao inavamiwa,ardhi yao inachukuliwa kipande baada ya kipande,ndugu zao wanauwawa kila siku je wasipigane watulie tu wakiangalia nyumba zao zinabomolewa?
Pili ni kweli Irani inawauwa ndugu zetu Yemen, Saudi Arabia imeenda kusaidia,lakini kwanini Saudi Arabia haiwasaidii Wapalestina kama inavyoisaidia yemeni kinyume chake saudia Arabia imejenga urafiki mpya na Israel taifa linalo wauwa waislam wenzao na Mwisho Hammas isilaumiwe kwa kupokea misaada kutoka irani,kwa sababu hawana namna lazima waikubali,Misri imeshindwa kutoa msaada kwa Wapalestina, Saudia imeshindwa kuwasaidia ndugu zao,Sio kama naitetea Irani lakini Palestine ipo desperate inapokea msaada kwa yoyote yule ambae yupo tayari kuwashika Mkono ili wasurvive
Mwenye njaa hupokea chakula kutoka kwa yoyote yule wakati mwengine hata kutoka kwa adui yake
Kuna masheikh Wana mshahara kutoka saudia....Sasa unataka wapalestina wasubr...wakae majumbani ...mpaka mungu awape ardhi...😂😂😂...ikuwapi nafasi ya jihad We juhaa
Mashaallah wewe aalimu mkubwa, fungua markazi tukasome kwako yaa sheikh😀😀
Huyu aidarus ni shia kias aseme hivyo
Ati mshahara,watu hawapo kwenye njaa km wewe.
Sheikh ww ni juhaa....na jihad alizopgana mtume hukuziona
wacha jazba shekhe ametoa aya turud ktk uislam wetu Allah atatupa nusra
Masalafi wanakataa jihadi ya silaha, wanadai kuwa jihadi ya silaha imekwisha sasa ni jihadi ya kusoma tu.
Wewe ni mfu ulie hai
Kwhyo wapalestina wasubr tu 😂😂😂
Wasipo subiri wanapata faida gani?
Cha kuchekesha kipi sasa