Assalam alekum Shekh . Asali sio kinyesi cha nyuki bali na yeye hutumia muda kukikusanya na kuhifadhi kama chakula chake cha siku zifuatazo . System za kwenye tumbo lake ni mbili tofauti . Nimefurahia Daawa yako Allah akujazie kila la kheri na baraka katika haya mema unayoyafanya . Wabillahi Tawfiq .
Janani leo ndo nasikia vitu sijawahi kusikia mh sijui hata niseme nin jama mwenyezi mungu akuongezee umri wenye faida uzidi kutupa mambo mazuri kama haya inshaala. Ila niseme tu ukweli laiti ningekuwa sijaolewa ungenioa wew kwaajili ya allha ili uzidi kunifunza ili niweze kufaulu akhera yangu maana nahisi ningejitahidi kuyafuata na ningekubali hata kuwa mke wanne japo mim nina wivu sana mpaka najiogopa wallhahi
🤣🤣🤣 ma dheikh navipaji awo Allah hajashindwa nacocote mimwenyewe nilikuwa nikipenda modia ivi mudamurefu nikuwasikiya masheikh njo najiona niko muja wa Allah na nipo duniyani wallahi mazingatiyo katika vinwa bya masheikh tafauti ni raha ya kumijuwa mungu yupo YANI huwa wanazungumuza kitu sahihi raha kweli mpaka unajihisi kuruka
Wallah Sheikh Othman Allah akupe furaha ya Rabb. Unatufrahisha Mola akufurahishe wallah.
Mashallah shukrain sheikh wetu allah akujalie afya njema akuifaidhi Allah tujaliye mwisho mwema atujaliye tuingie peponi Allahuma ameen 🤲
Mashaallah napenda sana drsa zako mwenyezi mungu atuingize pepon zote
Allahumma JA'ALNA MIN AS-HABIL JANNAH.
Allahu Akbar,, Allah anatupenda Sana waja wake na kutuhurumia huruma isioelezeka tumpende Sana Allah ndugu zangu
Huyu shekh anajua jamani tuseme tu ukweli Alla akujaalie kheri Inshaalla uzidi kutupa elimu Inshaalla
Shekhe othuman masha Allah tupata mafunzo mazuri Alhamdullah
Maashaallah. Shukran sana kwa elimu munayotupatia hapa. Mola awajaze kheri. Inshaallah
Masha Allah sheikh Authuman mawaidha mazuri sana tunajifunza mambo mengi mema shukran sana Sheikh...lnshallah mungu akubariki emaan na Amani..
Yaa Allah tuingize peponi kwa huruma zako.
MWENYEZI MUNGU WETU NAMUOMBA ATUINGIZE PEPONI
Mash Allah mawaidha mazuri hata sitamani yaishe
Maashallah tabaraqallah..wallah nmekujua hiv karbun na kukupenda ww kwa ajir ya allah na darsa zako
Mawaidha yako mashaallah twajiona tumechelewa kukufahamu mungu akujalie maisha marefu
Masha Allah, shekhe mwenyezi mungu akulipe kher.
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
ALHAMDULILLAH RABBI
Laailaha ilallah
Mashallah mawaidha yk manzur sn
Jamani waislam mpo humu ndani?!!!je wasiokua waislam,,, da!!! Mashaallah
ماشاالله
Allah akufurahishe Kama unavyo tufrahisha.
MashaaAllah jazzak la kheri Allah azid kukulinda inshaallah
Hivi haya matangazo ya mara kwa mara ni kwangu tu ama ndio mpango wa sasa shekh othman michael naomba jibu mana mpk karaha sasa jmn
Allah akupe afya njema tuendee kufaidika
Na shukuru, usoeziwako, napenda sana.
Lakini nadjifunza kiswail kwandika na kwongeya, kwani mimi naongweya kireni basi (Moz).
Mashallah Allah akujalie uzidi kutuilimisha
Inshaallah mwenye zimungu atujalie wenye kisikia na kufata inshaallah shukran wajazaka llahu heri
Jazakallah khairan ya sheikh
Shekh Othman Michael hodari mashallah
Mashallah michael
Assalam alekum Shekh . Asali sio kinyesi cha nyuki bali na yeye hutumia muda kukikusanya na kuhifadhi kama chakula chake cha siku zifuatazo . System za kwenye tumbo lake ni mbili tofauti . Nimefurahia Daawa yako Allah akujazie kila la kheri na baraka katika haya mema unayoyafanya . Wabillahi Tawfiq .
mashaallah. mashaallah shukran
Suratul Rahman.
Janani leo ndo nasikia vitu sijawahi kusikia mh sijui hata niseme nin jama mwenyezi mungu akuongezee umri wenye faida uzidi kutupa mambo mazuri kama haya inshaala. Ila niseme tu ukweli laiti ningekuwa sijaolewa ungenioa wew kwaajili ya allha ili uzidi kunifunza ili niweze kufaulu akhera yangu maana nahisi ningejitahidi kuyafuata na ningekubali hata kuwa mke wanne japo mim nina wivu sana mpaka najiogopa wallhahi
🤣🤣🤣 ma dheikh navipaji awo Allah hajashindwa nacocote mimwenyewe nilikuwa nikipenda modia ivi mudamurefu nikuwasikiya masheikh njo najiona niko muja wa Allah na nipo duniyani wallahi mazingatiyo katika vinwa bya masheikh tafauti ni raha ya kumijuwa mungu yupo YANI huwa wanazungumuza kitu sahihi raha kweli mpaka unajihisi kuruka
Amiin Amiin Amiin
Mashallah
Masha Allah
Endelea
Ka igiza igiza athman maalim..
Kuiga jambo la kheri ata allah kutuusia
Ostadhi
Jitahidini kwenye sauti
Kila mja na sauti yake sheikh
@@pondapondamali2486 hapo ni vifaa kwenye sauti mzeee Acha sio muongeaji
Shukran
Manshaallah swadactar ya sheikh
Aeousa
Mashallah
Masha Allah
Masha Allah