Jinsi ya kufanya sehemu ya ku chat iwe ya kuvutia ,kipekee, ajabu - jinsi ya kubadili muonekano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Tazama jinsi ya kupendezesha simu kwa kubadili muonekano wa sehemu ya kuchatia na kufanya ionekane kipekee zaidi. Weka urembo kwenye sms app au message app ya simu yako ya android ,
    #urembo #rayvanny #maujanjayasimu
    fanya simu yako iwe ya kuvutia .best messaging app for android.jinsi ya . vinei tv. kwa wanawake. urembo kwenye simu. mapishi ya haraka. jinsi ya kupika keki, jinsi ya kupika cake. jinsi ya kupika maandazi. pishi la mchele. nyinbo mpya ya diamond platnumz, nyimbo mpya ya rayvanny. jinsi ya kudownload pes 2021,jinsi ya kudownload fifa,jinsi ya kuongeza ram
    sms nzuri za mapenzi,
    sms nzuri za mapenzi usiku,
    sms nzuri za asubuhi,
    sms nzuri kwa mpenzi aliye mbali,
    sms nzuri za kutia moyo,
    sms nzuri ya kumtumia mpenzi wako,
    sms nzuri za kuomba msamaha,
    sms nzuri kwa umpendaye,
    sms nzuri za happy birthday,
    sms nzuri kwa rafiki yako,
    sms nzuri za mapenzi kwa umpendae,
    sms nzuri za mapenzi asubuhi,
    sms nzuri nzuri,
    sms nzuri za usiku mwema,
    sms nzuri za kumtumia umpendae,
    sms nzuri za mahaba za asubuhi,
    sms nzuri za siku ya kuzaliwa,jinsi ya kubadili muonekano wa simu,jinsi ya kutuma sms,harmonize,mbosso,tanzania technology,Mautundu ya simu,jinsi ya kusoma sms,wasafi,maujanja ya android,Urembo wa wanawake

ความคิดเห็น • 62

  • @aminaabduli2717
    @aminaabduli2717 11 หลายเดือนก่อน +2

    Oooh!! Ni nzuri sanaa🙌🏼

  • @GraceMkoi
    @GraceMkoi 13 วันที่ผ่านมา +2

    Nzuri sana vinei

  • @YudaDangat-lh2zd
    @YudaDangat-lh2zd ปีที่แล้ว +2

    Kak mbon yang haikubali upand wa themes??

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      ntapost mpya

  • @LizzyLady-fo7qf
    @LizzyLady-fo7qf 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kwangu imekubali kakin sms haziend

    • @Vinei
      @Vinei  4 หลายเดือนก่อน

      Hio app ya zaman sana , hai function vizur kwa sasa

  • @elizeusmathis8982
    @elizeusmathis8982 2 ปีที่แล้ว +1

    So good

  • @marywilliam4680
    @marywilliam4680 2 ปีที่แล้ว +1

    Natamani sana ila kwangu inagoma

    • @Vinei
      @Vinei  2 ปีที่แล้ว

      Naweka mpya labda itakubali

  • @faizajuma3296
    @faizajuma3296 2 ปีที่แล้ว +1

    Au nipe nambaa yak ya whatsapp nikuonesheee unavyokuaa

  • @Jackielfamily
    @Jackielfamily 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nimeshindwa ninaomba namba zako za wassaph please

    • @Vinei
      @Vinei  11 หลายเดือนก่อน +1

      0624741607

  • @masteamon3872
    @masteamon3872 3 ปีที่แล้ว +1

    Nicheki watsaap siku yangu. I itel a56 iligoma kuroot 0687683613

  • @RodgerxCollerx
    @RodgerxCollerx หลายเดือนก่อน +1

    Nafurah San kaz nzuri San

  • @KizitoKizito-pi9mk
    @KizitoKizito-pi9mk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali👎👎

  • @hasfaastore929
    @hasfaastore929 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kwangu inataka nilipie why

  • @jamesjaphet831
    @jamesjaphet831 ปีที่แล้ว +1

    Oi bro kwema ukitaka kuludisha accaunt yako ya FB iliopotea unafanyej

  • @mkongwedawa6155
    @mkongwedawa6155 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimeweza lkn shida niktka kutuma sms aziend brother

    • @Vinei
      @Vinei  2 ปีที่แล้ว

      Labda hauja allow

    • @domynik
      @domynik ปีที่แล้ว +1

      Mbona nadownlod fali ya go sms linaktaa kuingia

    • @TimotheoMbilinyi-kh7gk
      @TimotheoMbilinyi-kh7gk ปีที่แล้ว

      Mbona fail linagoma kudalod

  • @IreneMagali-c3d
    @IreneMagali-c3d 26 วันที่ผ่านมา

    Mm kwangu imegoma dr

    • @Vinei
      @Vinei  26 วันที่ผ่านมา

      Ni ya zaman sana

  • @NodaHenjewele
    @NodaHenjewele 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni nzri

  • @PrinceImmanuel-y1l
    @PrinceImmanuel-y1l 4 หลายเดือนก่อน +1

    Oa mjomb an ipo poa xana

  • @AbdulikalimuIssa
    @AbdulikalimuIssa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi mbona aikubali

  • @HuseniJuma-bn9ow
    @HuseniJuma-bn9ow 6 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama sana

  • @Amobizzy_OG
    @Amobizzy_OG 3 ปีที่แล้ว +2

    Hata MOOD MESSENGER IKO VIZURI PIA

  • @ZaituniKondo
    @ZaituniKondo 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mm kila siku najalib lakin inakata

    • @Vinei
      @Vinei  10 หลายเดือนก่อน

      App ya zaman saiz inazingua

  • @zuhuratychumu2420
    @zuhuratychumu2420 2 ปีที่แล้ว +1

    Bro nimedanload hiyo Go sms lakini mesg zinakuja kimya kimya bila sauti nifanyaje niweke mlio wa messg?

    • @Vinei
      @Vinei  2 ปีที่แล้ว +1

      Turn on notification

    • @sinzoyihebabonuer9554
      @sinzoyihebabonuer9554 2 ปีที่แล้ว

      Naomba unipe namba yako ya whatsapp ili tuongee imbox

  • @JoesB-i5i
    @JoesB-i5i 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante

  • @saultito3179
    @saultito3179 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana kak

  • @lydiajoseph7526
    @lydiajoseph7526 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante lkn kwangu inagoma kua default nifanyajee

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Nitatoa update

  • @washingtonv199
    @washingtonv199 3 ปีที่แล้ว +2

    Nime ipenda

  • @geroldpilly8923
    @geroldpilly8923 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzur sana

  • @ravvannyravvannyinnocent6707
    @ravvannyravvannyinnocent6707 3 ปีที่แล้ว +2

    Tum no yko ya WhatsApp

  • @MasoodmhamedMhamed
    @MasoodmhamedMhamed 9 หลายเดือนก่อน

    Ya kwang imekata a fa ya nj

  • @emmanuelnkuba9945
    @emmanuelnkuba9945 2 ปีที่แล้ว

    Najalib kuchati sms haziendi nifanyeje

    • @Vinei
      @Vinei  2 ปีที่แล้ว

      hakikisha umeweka kama default app

  • @elizabethjohon5840
    @elizabethjohon5840 ปีที่แล้ว

    Mbona Sasa lakini nikituma sms haziendi msaa please 🙏🏼

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      cheki mpya

  • @MashakaGhobi-s8z
    @MashakaGhobi-s8z ปีที่แล้ว

    ❤nimeipenda. Ninzuri

  • @naahthegreat8018
    @naahthegreat8018 ปีที่แล้ว

    Inagoma nn shida

  • @AishaMatelaka-uw6jh
    @AishaMatelaka-uw6jh ปีที่แล้ว

    Ni nzuri san

  • @ThomasMlelwa-s9i
    @ThomasMlelwa-s9i 7 หลายเดือนก่อน

    Haitumi bando kweli kaka

    • @Vinei
      @Vinei  7 หลายเดือนก่อน

      No

  • @jennifermollel9489
    @jennifermollel9489 ปีที่แล้ว

    Nzuri Sana sanaah

  • @magrethanthony1285
    @magrethanthony1285 ปีที่แล้ว

    Imegima hta kudownlord

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      btapost mpya

  • @TickeyMwakalundwa
    @TickeyMwakalundwa ปีที่แล้ว

    Nime ipenda nzur

  • @iddyathumanathuman8450
    @iddyathumanathuman8450 ปีที่แล้ว

    Sikupingi brooo

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Pamoja kaka

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      Pamoja kaka

    • @christianshehiza2109
      @christianshehiza2109 ปีที่แล้ว

      @@Vinei vp umestij maana nikituma text aziendi

  • @colethanyaku1077
    @colethanyaku1077 ปีที่แล้ว

    Tuwekee hii app kwenye telegram ya vineitv vitu spesho huwa napata kwenu

    • @Vinei
      @Vinei  ปีที่แล้ว

      sawa