KICHECHE AMVAA CLAM VEVO KIFO CHA CHARMING CHARLES - NASEMA UKWELI; EXCLUSIVE INTERVIEW

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2023
  • #kicheche
    #clamvevo
    #has_billion
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 120

  • @ScoshasviaSikuku
    @ScoshasviaSikuku 10 หลายเดือนก่อน +16

    Ukisemwa jua umewazidi kicheche anafanya yote haya sababu clam kamushinda vitu mongi ikiwemo ucommedian🎉🎉kama unamkubali clam likes zake hapa

  • @gastonmulondani8900
    @gastonmulondani8900 10 หลายเดือนก่อน +68

    Kicheche unashtukiya umaharufu tu... Congo tunamtambuwa camedi mkubwa mmoja anaye juwa kazi vizuri CLAM VEVO. Kuna kuvuma na kujuwa, kwasasa sote tunamusubiriya Kanumba aliye kuja ili kutufuta machozi. CLAM VEVO ni kama kanumba na zaidi.

    • @moffimms8211
      @moffimms8211 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kwr

    • @MILIKI_MBONDE_TV
      @MILIKI_MBONDE_TV 10 หลายเดือนก่อน

      sio kweli ww upo kongo ya wapi hiy inayo mtambua clam vevo ndo msanii mkubwa au kongo magengeni

    • @cptnbazil6121
      @cptnbazil6121 10 หลายเดือนก่อน +2

      Fanya kumheshimu kanumba wewe mtoto wa juzi speed ya kanumba unaijua wewe

    • @chidymagoly5105
      @chidymagoly5105 10 หลายเดือนก่อน +2

      Hamjui kanumba huyu
      Kaz ya kanumba VEVO hajafika hata nuxu yake

    • @PeterMulehi-tc8oe
      @PeterMulehi-tc8oe 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kanumba wewe wacha uongo Akuna wakumfananisha Na Steven Kanumba Is the Legend Rest in peace Kanumba tafadhali Hawa vijana Wa sai Wanaongopeana Alafu pia Wanaongeana sana badala ya kufanya kazi na Kumueka mungu mbele Angalia kicheche Anaongea nini kwa Clam vevo ? Hapana Legend ni Nani bado sana King of Comedy in Africa And International Is Eric Omondi from Kenya ...Clam Vevo Steve mweusi Mkojani na Mwakatobe hao ni kiboko Kicheche awache shobo izo

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 10 หลายเดือนก่อน +10

    Kicheche Amfiki Vevo Sanaa Ata Kuongea Clom Yupo Maakini Sanaa Ongera Sana Vevooo❤❤❤❤

  • @charlesbandu632
    @charlesbandu632 10 หลายเดือนก่อน +24

    Clam vevo number one from DRC Goma 🇨🇩

  • @eddytabenkiponda4287
    @eddytabenkiponda4287 10 หลายเดือนก่อน +2

    Clam yuko vizuri kwa kazi yake.

  • @user-cd7ox5et4c
    @user-cd7ox5et4c 10 หลายเดือนก่อน +8

    Kicheche ach madharau hashimu clam please sai umeangukia ujui penye alikutoa wanasemanga binadamu ni binadamu to ajui kufikiria ya nyuma alf clam iyo ngoma ya sipo huru please naomba umalizia please 🙏 love clam nakuheshimu we ni mnyama hatari sana❤

  • @COMECHRISTZ-zh3pr
    @COMECHRISTZ-zh3pr 10 หลายเดือนก่อน +8

    Kicheche we ni kuma namkubali clam vevo 💯 kwa 💯

  • @manueloscartomas7440
    @manueloscartomas7440 10 หลายเดือนก่อน +3

    kicheche Asha unafki wee Vevo ni the best🇲🇿

  • @assumanichristian9954
    @assumanichristian9954 10 หลายเดือนก่อน +2

    Clam is the best of all watching from Zambia

  • @faidhacute
    @faidhacute 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kicheche anashindwa kuwa na utu na kumshukuru clam coz ye ndo amemtoa aise kweli tenda wema Uende zako usisubr shukran

  • @umaima1178
    @umaima1178 10 หลายเดือนก่อน +17

    CLAM VEVO NAMBA MOJA🎉

  • @89_Media
    @89_Media 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wanataniana tu hao wacheni makasiriko😂😂😂❤

  • @GraceKwayu-yo4zf
    @GraceKwayu-yo4zf 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kicheche mpaka umfikie CLAM VEVO co leo. Salut kwa CLAM❤

  • @pstmichael
    @pstmichael 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kusema ukweli kicheche na clam ni watu wa wiwili tofauti Clam anajua sana bt kicheche ni mtu wa hovyo yaani upuziupuzi maneno ya kipuzii huwezi kumshindanisha na Clam

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 10 หลายเดือนก่อน +4

    All in all Kicheche yuko smart mie bora nijichekee mwenyewe siku imeenda😂😂

  • @ASUKULUNYASSA-hf6wk
    @ASUKULUNYASSA-hf6wk 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kicheche ana utoto mwingi anafikiri anajua sana ona ayuko makini na ongea yake. Clam ni mtundu sana pia anajua kuzunguusha ulimi wake kinywani kabla yaku tamka kicheche ana kazi gani nzito kama clam? Clam uko sawa na unastaili nyingi.

  • @MILIKI_MBONDE_TV
    @MILIKI_MBONDE_TV 10 หลายเดือนก่อน +1

    yani apa watu mnashindwa kuelewa hata kwenye mziki kuna hit song na mziki mzuri clam anawez kuwa na commed nzuri ndef ty like play ila kicheche anakommedy ambaz ni hit na had promoter kumchukua kicheche kwenda congo ameona commedy za kicheche zime hit congo kwan wengine hakuwaon wanaonekan ila awajahit kwa hik kipind alich enda kicheche hakun mungine anae hit kule zaid ya kicheche

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kilamu ni mwamba 🎉

  • @John-ie4wf
    @John-ie4wf 10 หลายเดือนก่อน +22

    Uku kenya tuna tabua clam n msanii mkubwa

  • @KhadidjaIssaJamal
    @KhadidjaIssaJamal 9 หลายเดือนก่อน +1

    Clam vevo nimstaarabu Sana Aise endelea baba sisi tuko nyuma yak

  • @user-tl9iz3yb5z
    @user-tl9iz3yb5z 10 หลายเดือนก่อน +1

    Clam yupo juhu sana

  • @immamwerr9202
    @immamwerr9202 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa mimi mmoja namkubali clam mvevo

  • @rumbemwanarusi
    @rumbemwanarusi 10 หลายเดือนก่อน +9

    Kicheche unafaa umshukuru sana clam sababu alikutoa ushamba likua hujielewi hata huezi mfika ww huna lolote umbwa ww

  • @krispapa
    @krispapa 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kicheche ameishiwa na ideas bro clam ana kazi poa

  • @JamesJacob-pm4rm
    @JamesJacob-pm4rm 10 หลายเดือนก่อน +8

    HUYU MWENYE MEDIA NA MWENYE AMAANDIKI HIKI KICHWA NI PIMBI KWELI

  • @melitalaunoni4018
    @melitalaunoni4018 10 หลายเดือนก่อน +5

    Tunamkubali sana clam

  • @Gifted-jc5ew
    @Gifted-jc5ew 10 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu jamaa hajielewi anakaa mlevi😮😮.....hana wisdom hata kidogo😢😢😢kwanza eti wasanii wa comedian 😂😂😂 sema wasanii wa comedy 😅😅

  • @rqgabalr7937
    @rqgabalr7937 10 หลายเดือนก่อน +9

    Kicheche Acha kutafuta Kiki clam hufikiii hata kidogo humuoni hata anapo pita ww bado sana

    • @rqgabalr7937
      @rqgabalr7937 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa kicheche ndio WA kujifananisha clam

    • @kyungumedardmaurice8321
      @kyungumedardmaurice8321 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli bro clam anajuwa kicheche mtu wa fact

  • @aimablemuvunyi738
    @aimablemuvunyi738 10 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo mbwa clam mukubwa

  • @medardmwiyande-oc8ut
    @medardmwiyande-oc8ut 10 หลายเดือนก่อน +4

    clam Vevo nakubali sana 🇨🇩🇨🇩

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sijawai kumpenda kicheche hanivutii

  • @user-xd2tg8eq1h
    @user-xd2tg8eq1h 10 หลายเดือนก่อน

    We humuwezi clam vivo unajidanganya we kicheche ni mtoto mdogo sana kwa Clam

  • @kyungumedardmaurice8321
    @kyungumedardmaurice8321 10 หลายเดือนก่อน +4

    Clam anajuwa sana sema tuu vile kazi nadawa

  • @hassansaid3833
    @hassansaid3833 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kicheche yupo sahihi kwahili hii mambo inapendeza win win deal

  • @StevenAkilimaliBienfait-rm4cs
    @StevenAkilimaliBienfait-rm4cs 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kicheche asi ji linganishe na Clam Vevo, maana Clam ni msaani mukubwa zaidi yake

  • @user-dt3gh8pk1g
    @user-dt3gh8pk1g 10 หลายเดือนก่อน +3

    clam wewe tu mdogo wangu

  • @djinomwisley
    @djinomwisley 9 หลายเดือนก่อน

    🎉vevo ndo mkali❤❤

  • @kaneza932
    @kaneza932 10 หลายเดือนก่อน +4

    Natamani nijuwe sehemu maman marehemu ana ishi nije nimufikiye eko😭😭😭😭😭😭

  • @issambonde1469
    @issambonde1469 10 หลายเดือนก่อน +1

    VEVO yuko vzr

  • @germainfola275
    @germainfola275 9 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kicheche iyo ni Congo msani yeyote akija congo huwa tuna mpokea kwa shangwe ila juwa mwamba mwenyewe ni clam vevo kwasababu hakupenda kuja congo

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 10 หลายเดือนก่อน

    Umekosea kusema clam hawezi kwenda Congo, toa sababu.

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij 10 หลายเดือนก่อน

    Clam vevo ni muamba number 1 Mozambique

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 10 หลายเดือนก่อน

    Kicheche unajitambua sana,nikweli hawa wasaniii wanataka ku supportiwa tu ety wao

  • @mwana9848
    @mwana9848 10 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe kicheche ni mzur 😂mbwa yule😂😂😂😂

  • @AnnyAnitha-dj6uv
    @AnnyAnitha-dj6uv 10 หลายเดือนก่อน +12

    Kicheche ni mbwa Hana lolote

    • @umaima1178
      @umaima1178 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @emilywambui9920
    @emilywambui9920 10 หลายเดือนก่อน +1

    Vevo🔥🔥🔥🔥

  • @AssinaMsafiri-ud5so
    @AssinaMsafiri-ud5so 10 หลายเดือนก่อน

    Uyu kicheche ni mnafki saana kweli laaah

  • @COMECHRISTZ-zh3pr
    @COMECHRISTZ-zh3pr 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kicheche kuma

  • @amanirazalo4338
    @amanirazalo4338 10 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kicheche ajipange sana kwa cram ila kicheche namuangalia kwasababu ya clam tu

  • @BIGSTONE-lb9po
    @BIGSTONE-lb9po 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kicheche umehongeya jambo.kweli kuhusu hicho cha sapoti.nikweli

  • @Huda1-vj9ws
    @Huda1-vj9ws 10 หลายเดือนก่อน +2

    Kicheche mamako mkubwa kakubali wewe n mdogo wa clam😊

  • @eddy_wannaman
    @eddy_wannaman 10 หลายเดือนก่อน

    kicheche kaka ww n atar sanaaaa

  • @especherathuman2693
    @especherathuman2693 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu msenge kweli na makofia yake mekundu😂😂😂

  • @mamamwajabu188
    @mamamwajabu188 10 หลายเดือนก่อน

    kicheche Asante ya mpunda ni mateke

  • @detabepe5022
    @detabepe5022 10 หลายเดือนก่อน

    Bila kicheche bado sana

  • @RajabuIssa-tf9lt
    @RajabuIssa-tf9lt 10 หลายเดือนก่อน

    Wote wako best ila clam the best

  • @JulianaTitus-zy1tm
    @JulianaTitus-zy1tm 10 หลายเดือนก่อน

    Kichechee mbnaa Huna komedy yoyoteee

  • @edenvevo254
    @edenvevo254 10 หลายเดือนก่อน

    Vevo all the way

  • @user-xd2tg8eq1h
    @user-xd2tg8eq1h 10 หลายเดือนก่อน

    Unajichekeshaga sana kama mwanamke malaya huwezi kitu wewe

  • @fatumariziki7276
    @fatumariziki7276 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kicheche acha ulimbokeni ww nahuyo clam ndio alikutambulisha achaushamba 😏😏mmi namkubali sana clam ila ww baki na ulimbukini wako😏😏😏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AsribyNera-kf3cm
    @AsribyNera-kf3cm 10 หลายเดือนก่อน +2

    Anafanananajinalakekweli

  • @zuhuraMangapi
    @zuhuraMangapi 10 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi kicheche ila upon pow sana kicheche

  • @user-iz2jw8bt7p
    @user-iz2jw8bt7p 9 หลายเดือนก่อน

    Clam ni mutu mwenye busara sana🎉🎉🎉🎉

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 10 หลายเดือนก่อน

    KICHECHE BADO SANA KWA KLAMU VEVO HATA NUSU HAFIKI

  • @mrben227
    @mrben227 10 หลายเดือนก่อน

    Ila waandisi wa bongo ni wachonganishi sana

  • @radhiamohaa3723
    @radhiamohaa3723 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya twmjua clam Vevo,kicheche hana lolote sema upuuzi tu ety comedian huna lolote mbwa ww

  • @Damagemweusi274
    @Damagemweusi274 10 หลายเดือนก่อน

    Aha dah clam na kicheche no wamoja Ila clam ndio kusema au vipi

  • @dayvanny_graphics2172
    @dayvanny_graphics2172 10 หลายเดือนก่อน

    Umeleta update ya zamani wakati kicheche anarud kongo 😂😂

  • @mapendomabogamo6123
    @mapendomabogamo6123 10 หลายเดือนก่อน

    Clam ni mkali

  • @abuuvanlampard2564
    @abuuvanlampard2564 10 หลายเดือนก่อน

    Clam ndo kusema

  • @Isael.6396
    @Isael.6396 10 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo kicece mimi siezi kuwa shabiki wake hata siku moja kwani yeye ni adolescent,na alijaza huku congo kwasababu show yake ilikuwa beyi ndogo sana.

    • @AssinaMsafiri-ud5so
      @AssinaMsafiri-ud5so 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa achana na ilo lijinga kicheche

  • @denotheactor
    @denotheactor 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mmmmm😮😮😢🎉❤

  • @Huda1-vj9ws
    @Huda1-vj9ws 10 หลายเดือนก่อน

    Naniliii😂😂😂😂

  • @Tystongang
    @Tystongang 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kicheche ahana manguo yengine

  • @WilondjaMleke
    @WilondjaMleke 7 หลายเดือนก่อน

    Vevo mwenyekiburi uzidiwa nina ongelea kuhusu wewe

  • @user-vh5jv3pn6t
    @user-vh5jv3pn6t 10 หลายเดือนก่อน

    Kicheche huwez mfikia clam jamni kweli kbsa an huwez lingania na clam clam ana akili San namkubali mno

  • @kiliancloud2437
    @kiliancloud2437 10 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa ashaanza kuleta ushamba sasa

  • @StephenSimiyu-rs9qd
    @StephenSimiyu-rs9qd 10 หลายเดือนก่อน

    Clam Ni mkali kicheche wewe hauezi mfikia.....

  • @kaneza932
    @kaneza932 10 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @user-bq5rr5xj9x
    @user-bq5rr5xj9x 10 หลายเดือนก่อน

    Cram anajua ila kicheche mpiga kelele 2

  • @sukisa1234
    @sukisa1234 10 หลายเดือนก่อน

    Clam baba tuliza mzuka hili lijama wanaloliita kicheche halina lolote tunakukubali baba huna mbamba

  • @cityrachid6676
    @cityrachid6676 10 หลายเดือนก่อน

    Yote kwa yote kicheche ni wivu😂

  • @JumaMwambandele-bi9hp
    @JumaMwambandele-bi9hp 10 หลายเดือนก่อน

    Kicheche pumbafu wewe enderea kuwongea clam ndo akagusaport unazinguwa ww mujing mutu akagupandisha arafu unazinguwa bwan wewee clam anagutazam2

  • @missionboy605
    @missionboy605 10 หลายเดือนก่อน

    Clam hatar xana

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kumbe mbwa kweli wewe wakushindana na clam kwanza hutoi kazi umebakisha mdomo tu nilikuwa nakukubali ila kwa upuuzi unaoongea clam kakupiga bao mbwa wewe

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 10 หลายเดือนก่อน

    Mwehu huyo anakera matusi

  • @user-bp1hw9mr3e
    @user-bp1hw9mr3e 10 หลายเดือนก่อน +2

    😅😅

  • @johnMshenga-mj5br
    @johnMshenga-mj5br 10 หลายเดือนก่อน

    Kicheche hujui ktu sai n Steve na Clam wewe acha ujinga

  • @ndayisengarunken9802
    @ndayisengarunken9802 10 หลายเดือนก่อน

    Kicheche acha domo ubwa wewe l love you but clam VEVO is best more than u

  • @platnumzkangu3236
    @platnumzkangu3236 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ila kicheche anajaribu kweli

  • @o.ballek.e4265
    @o.ballek.e4265 10 หลายเดือนก่อน

    We mchmbaa tu zuchu, chogo kaa mwiko😂😂😂

  • @aimablemuvunyi738
    @aimablemuvunyi738 10 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo mbwa clam mukubwa

    • @umaima1178
      @umaima1178 10 หลายเดือนก่อน

      Namba moja clam

    • @mdangulesamila6626
      @mdangulesamila6626 10 หลายเดือนก่อน

      Mm siamin kama clam vevo ni mchekeshaji

  • @Mamumc
    @Mamumc 10 หลายเดือนก่อน

    Cram nakupenda mpk unakel una mpinzan we ninom kura chapati na maharange acha vitoto viongee wew mkubwa usijibu

  • @RajabhamiskanikRajabkanik
    @RajabhamiskanikRajabkanik 10 หลายเดือนก่อน

    Nyot ni comedian haina haja kulumbana😅😅