CLAM VEVO AFUNGUKA KILICHOSABABISHA KIFO CHA CHARMING CHARLES; TULIMALIZA VIZURI KUSHOOT BEST FRIEND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2023
  • #clamvevo
    #bestfriend
    #has_billion

ความคิดเห็น • 140

  • @aishafrancis7714

    Ametuachia story sana,tumuombee apumzike kwa amani🤲🤲🤲

  • @issambonde1469

    uwiiuiiii nimeliy kwl mam kaumia hadi net zimekata jmn uuuh Nan km mam mam anauchungu Jap tumeumy ila mom jmn ple sn mam Mungu akutie nguvu sn jmn utapowa mamng🙏😭😭

  • @user-hw9hi2rk2o

    Maskini mama kama kachanganyikiwa😢mungu mpe subra na ujasiri mama huyu

  • @VingDrake-zs6pk

    Clam ako na siri ya charm kufa aongee ukweli

  • @DijaMriri-wc4qd

    Ivi hawa ni wasenge uyu clam ajiangalie yani msiban mwenzio kafa unahojiwa mambo ya nnje ya msiba unaongea mambo ya movie ya nin sasa kazi kulamba Domo tu ndo mana alikiba alkataa kuhojiwa kwenye msiba wa Haitham hii si saw 😢😢😢

  • @happynelson1180

    Ingawa nilikuwa sijawahi kumsikia sababu huwa siangalii tiktok lakini imeniuma sana mpaka nimelia inaonekana alikuwa mtu wa watu, apumzike kwa amani

  • @MwaniPh

    Kuna kitu hapa sio bure

  • @allymbuki3370

    Duh R.I.P charming..ni safar ya kila mwenye pumzi...

  • @aisha_mohammed5825

    Kumbe ni huyu alikufa

  • @meckitridamichael6513

    Ila nyie wasani mm ata sisemi ila weng mnatembelea nyota zawtu

  • @user-lc2nf4vj9q

    Kwakweli charming kajua kutuliza wallah mungu alaze Roho yake pema palipo na wema Amiin inshallah 🙏🥺💔💔💔

  • @fatumakidoa4006

    Charming jamani umeenda kweli 😢😢😢siamini ila nakuombea kwa Allah akupumzishe kwa amani

  • @shamilahussein5294

    Mungu ndie pekee anae jua Siri ya kifo cha mwanadam ila tatizo. Kwann apost halafu halafu afe hapa kuna tatizo anae lijua nimungu pekee. Ila choz la mama 😢 na dua zake inshaallalh mungu ampumzishe. Charming sehem salam

  • @khamisbk8569

    Yaan mpaka machoz yananitoka apo sio kwamba anacheka Ila analia kilio ambacho kimemfanya achanganyiliwe mpk Akili...Yaan Mwenyez Mungu Ampe ujasir mamaetu na Ampe nguvu Kwan apo Amelia mpk uchungu Hana tena

  • @muzafarsharif9465

    subhanallllah kumbe Ni yule anaefanya movie na kina Steve mweusi ,,, Allah amlaze pema peponii😢😭🤲

  • @linetkaminika6221

    Kweli kaka kaondoka kwa njia tatanishi😢😢kitabu kizuri ndo ukurasa wa mwisho 😢pumzika salama Charming 😢

  • @user-ts4zn1sx7h
    @user-ts4zn1sx7h วันที่ผ่านมา

    Mungu ailaze roho ya marehem mahala pema pepon Amen

  • @MaryNaharu

    Jamaniii mama kachanganyikiwa jamnii😢😢

  • @user-kh2du4ww2p

    Awa watu wana ushirikiano sanaaaa iki kikundi mwenyezi munguh awape maisha marefu clam clevo na wenzie ote munguh awazidishie

  • @everlinekenga437

    Rip charming umetuachia kumbukumbu 😢 hata best friend hajaisha hatuna budu😢