STEVE MWEUSI AMLIPUA CLAM VEVO '' HAWEZI KUWA NA BILLION 2/ IHEFU WAMEMZOEA YANGA'' / CLAM NI MUONGO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Baada ya msanii wa maigizo nchini Clam vevo kufunguka kupitia kipindi cha Clouds Fm kinachoitwa XXL kuwa tangu ameanza kutumia TH-cam Channel yake mpaka sasa ameingiza Billion 2, rafiki yake wa karibu Steve Mweusi amefunguka ndani ya Mpenja tv kwa kusema kuwa hakuna ukweli kwenye hilo kwani yeye anajua kuhusu mapato na amempita Jumla ya watazamaji TH-cam hivyo sio kweli
Aidha Steve Mweusi amefunguka kuwa anafanya mawasiliano na Golikipa wa timu ya Yanga Djgui Diara anatumiana nae ujumbe kutumia mitandao ya kijamii
Huyu Jamaa anajitambua na anaheshimu Wote .. Hana muda wa Kuongelea wenzake.. Kazi zake zinatembea bila kuforce wala kuongeza sufuri.. Legend 🙌🏾👊🏾
Hakika yuko vizuri uyu mwamba
Kweli kbsaa yuko vzr
Kabisaaaa jaman
Vraiment ce gars, il respecte toujours bien les autres
Nakubar xan
Kiukwel mimi steve mweu namkubali. Afu Mungu kamjalia mambo meng kwanza anamtanguliza Mungu kwenye mambo yako,pili hana majigambo yaan kujigamba afu la tatu na la mwisho hapendi kuyajadili mambo ya mtu mwingine anajali mambo yake. nakupenda sana steve japo mimi mwanaume mwenzio ila nimekunoki ongeza vitu jamaa angu kama vp niahirikishe hata mie nipo mwanza nataman sana nikuone ama niunge kwenye genge lako...
Uko vizuri ndugu yangu Steve unajua maisha Sana, Mungu akusaidie zaidi✝️🙏
Kiukweli Steve kanenaa hata akipata tatizo unaweza kumchangia chochote kitu lkn hawa matapeli wanaosema wana B.l2 siku wakilata ttz watu wanashindwa kuwasaidia kwa 7bu wanaongeza sifuri mbele wanaect maisha Steve hongera🙌💪🔥🔥
Uyu jama iko tofauti, nimwenye hekima fulani, natokea kumupenda zaidi , kwamwisho nimependa pale alipo sema '' mimi ni Steven Moïse nime OKOKA'' njomana uko mwenye hekima ndugu yangu sababu umeokoka. Nous t'aimons énormément frère, Que Dieu te bénisse, depuis la République démocratique du Congo 🇨🇩🇨🇩
Steve kweli umeongea point kaka ,kuishi maisha yako halisi inapendeza sana
Aiseeee Sikuwah Kujua Huyu Jamaa Ni Smart Saaaana .... Very Matured And Smart ,Na Naamini Vijana Wengi Wa Comedy Wamepitia Kwake Na Bado wanasaidiwa Na Yeye
❤
Yani Steve ni mmwelewa sana, na ninamini uyu kweli anamtegemeya mwenhyezi mungu🙏, kwaiyo anaitaji sana sapot zetu Ili asichoke kutuleteya ilimu mzuri kupitia komedy❤❤❤❤❤
Steve Anajitambuwa sana.heshima kwako karibu Gitega Bdi
Unamuarifu Gitega uce umushikana mu Gishora atamba ingoma?
Steve wew unakili sana unakuja kujibu hata aujisifu natokea Moçambique namkubali sana
Atakuketisha na wakuu safi sana Steve kwa kumuweka Mungu mbele
Lijamaa linaongea likiwa limetulia sana nakukubali steven
Nakubal stev mweusi bro huwa mkwl san big up bro
Watching from Kenya,,,I like the way mweusi is answering the questions, he's the only comedian am watching in from Tanzania
Bro nakukubali xana umeongea point watoto hawajui maisha endelea kuwapa elimu
Ukovizuri
Nakuelewa sana ndg yangu Steve,long life to you....😂😂😂
Tatizo la clam ni sifa na ulimbukeni Ila Kuna siku utamponza,,hongera stev kwa kujitambua
Nakukubali xana mwanangu Steve Huna mambo ya kumuongelea mtu mungu akujalie uwe hvo
Hamzidi clam kiuchekeshaji
Kiukweli Steve nakukubali mno.maana maisha unayajua sana
Anajiita mweusi steve big up broo mbna nakukubali xan much love from us
Sema jamaa ni mkwel sana steve congratulations brother ❤
Stive unayajua maisha uwemshauri kwa sisi
Bloo unajuw kuongea na Medea kiukwel you are my favorite comedian
This man is very wise. He speaks when necessary and he fights to keep his personal life private. He is a Wise man
Namba ya sitivu
Safi sana Steve mweusi, uko na hekima sana!
..big up bro be blessed
Safi sana Steve mpe elimu bwanamdogo ache kujitapa mm namini hata milioni kumi hafikishi😊
Tumusapoti ndugu yetu Steve we love you in Burundi 🇧🇮
Una juwa ongeya kweli ndugu yangu Steven. Suis congolais.
Kaka upo vizuri xana steve nakuombea ufanikiwe zaidi
Utafika mbali Kaka, Mungu akupe maisha marefu saaaana tuendlee kujifunza vijaana
Haaaa Asante sana Steve nifuraha kubwa kufatilia kipindi cako alafu naskia unataja mchezaji wetu Ntibazonkiza🇧🇮🇧🇮🇧🇮💕👌
Yaan nmkubali san uyu kak alfu pia anajua maisha ni nin😍Mungu Akuzidishie ya kadri uombavy🙏
Interview nzr sema Steve nilichoona auitaji kujikuza Sana Ni Mambo mazur big up bro.
Daa steve MUNGU aku baliki huna sifa 🙏🙏🙏
Steve uko vizuli sana na mimi pia ni fan wako kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮💕💕👌
🎉🎉chukuwa mauwa yako kabla hujafa Mungu akupe maisha malefu huna baya.
Steve uko vizuri man keep it up
Steve mwenye akili sana na pia naweza penda kuiga muenendo wake...love from Kenya artist 👌👌👌
Dah mshikaji yupo very simple hongera
Mimi ni mcongomani nasema stivu ata jaza goma na bukavu aaadi Lubumbashi 🎉🎉❤❤
Katavi stend up uko xahihi broh🌹🌹🌹
Sikuwahi kukufata but umenishawishi steve. You are the best. May God double for you
Natafuta comment yenye kupinga alichokiongea lakini sioni hata moja
@@albertkatuga2434hautopata me nimeshindwa sijaipata😂
Safi sana steve huna baya kakaaa humsemagi m2 kakaaaa tukupe maua yako kakaaa
Safi sana Steve kwa kua mkweli na Hali unayoishi
This man is very wise and modest i have come to respect him very very much. Msanii wasioongelea wengine ni wachache sana. Mola ambariki sana na kazi yake daima na milele
Wanakutukana sana lakin shabiki zako hatuhami . Steve unajitambua bro 💪💪
Big up ndugu Steve, you're so humble
Steve madze napenda lifestyle ako bro,,,hujigambi aisee
Steve nakukubali ndugu yangu kazi njema mungu akuliki🙏
MOZ 🇲🇿
Tatzo Clam anapenda brand sana alaf utoto unamsumbua mdogo wetu yule mwachen2 au mpuuzien cz hafikirii kuhusu future😢
Nikajuaga huyu jamaa ni dishi kweli,,, kumbe mmmh jamaa Lina hekima sana hili mungu amzidishie... Msalimie Hamad kijicho
Steve mweusi Ako very humble
😂😂😂 Unajielewwa Sana stive Amos kutoka burundii
Kiukweli steve wewe utafika mbali maana hata mwenyez MUNGU anatuambia tuseme kweli,na ninavyokuona wewe ni mkweli sana.
Kwa mara ya kwanza nimemwelewa Steven.
Nakubal brother Steve
Steve Asante sana Kwa kuwa mkweli😂😂😂😂
Mi nikiskia2 sauti ya stivu mweusi😊ah mmi hufrahi saaana🎉
Hongera steve ndio maana nimekupenda sana sababu hutaki uongo uongo
Msema kweli mpenzi wa Mungu unazidi kuongeza wafuasi kwa sababu unajitambua kaka
I just love this man he is so wise... Iam his fun... Forever 👍👍😍❤️❤️... And also he's funny my all time commedian
Uko vizuri mungu akupe maisha marefu
sema yanga sana kaka Steve uko vizur
Kuanzia leo shabiki yako broo umetisha
Vraiment j'apprécie ta sage tu es très sage vraiment tu as bien répondu Que te bénisse abondamment mon frère
tre sage ajamais
Steve napenda ulivyo mkwwli na muwazi mungu akuzidishie saaan kakaa kipaji unayooo
Huyu kijana sikuwa nafikiria kama yuko ivi, hakika wewe ni mutu mkubwa kiakili, yani nilikuwa nikikuchukuliya kama unavyo cheza nikajisaulisha kuwa ni kazi, hakika Big up brother
Wasanii wengi NI matajiri Ila usijitangaze chameleon ni tajiri Sana Ila he is still cool
Stiv uko pow mimi nakukubali
Ukweli lazma tuseme mambo tunasikia mitandaoni na interview ya Steve kuhusu bifu ya Steve na clam si kweli kabisa , Steve hekima n'a anabusara ataki kuongelea majina za watu.big up bro.
Steve mweusi ❤❤❤ ukovizuri sana lakini unacekesha😂asikukuzi nini😂😂
Dah nakuelewa sana my brother huna baya kabisa aise nimependa umesema ukwel kabisa❤❤❤❤❤❤
Kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 napenda steve mweusi na Ndaro
Umesema kweli broh
ANAONGEA POINT HALAF ANAJBU KAMA HAYUPO SERIOUS INALETA LADHA ZAID KUONA KAMA YUPO KWNY COMEDY. Gud interview
Nakubar sana steve
nampenda saan stive
Good job may god bless you in your life unajua kutumia ulimi safi sana kaka❤❤ from Kenya
Umuhimu wa kua Muture..... Ahsante Mweusi........
Unyenyekevu Tu kaka UNATOSHA sana kwenye Maisha Utafika mbali
Bora ukawa mkweli kama sitivu hongera kijana
I love your videos 😍
❤mi nakupenda na unazid kunifuraisha steve abd sele
Nasi huku USA tunamkubali sana Steve barikiwa Dallas tunakufwata sana
Hekina ni kitu kikubwa maishani mwa mtu Steve fundi sana endeleya hivyo hivyo
Steve uko vizuri sana mungu akuzidishiye sana
Steve Mweusi mtu wangu kabisa wewe ndio mwamba wa uigizaji hapo Bongo
😂😂😂😂😂😂 yaani we hamadi kijicho leo umenichekesha
Safi sana steve black unasema ukweli mtupu
Kk umetisha Sana kwenyemaisha kufunguka hali halisi niki2 yabusara Sana. Ila menaomba kuwa mwana Chama wako naweza kuigiza komed and serious alafu sy kuweza 2 pia napenda kuigiza
Uko vizuri kiongozi
Wewe steve uliomba nsaada kwa clam.uongo kweli ? Sema kweli
Uko vzr stev karibu manyara tunakupendaa ❤❤❤❤❤
Namkubali sana stive hana Masifa kama hawa wengne hawa wengne anajitambua
From Kenya I support you and I reely love your comedy
Stive kweli anajuwa natamani sikumoja tufanye naye kazi ni clovis
This guy is masterpiece
bro Steve ukopis sn kk mung akupe uli mlef
Hebu mwambie Steve aache kutudanganya bwanaaaaa😅😅😅😅😂😂😂😝😝🤪🤪😀😀😮😮😮🥴🥴🥴😅😅😆😆😆🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😁😁