@@kohelethpaul hakuna kosa kusoma Apocrypha, maana ni vitabu vya kweli na hulipoti matukio ya kweli, ila yalio ongezewa mtazamo wa mwandishi, pia uandishi wake hautokani na msukumo wa Mungu , yaani vikiabdikwa kama vile wanahistoria wanavyo lipoti historia mbalimbali pia vina makosa madogo ya kimatukio
Islamic muda mwingi ni kujidai kushelehesha hakuna kitu ndacha hizo hoja za huyo najua ulisha zishinda seems nyingi hivyo huyo anatafuta nae ajulikane tuu
MashaAllah sheikh mbogo allah akupe umri refu enye ibada na baraka inshaAllah
Nkuombe mungu akubee nguvu ndacha
I thank God for you Ndacha
Bwana awabariki watumishi.
Ndacha juuuu sana
Biblia mwandishi wa kwanza kabisa ni Mungu mwenyewe, kaandika amri kumi kwa kidole chake mwenyewe
Mungu akupe heri mwalimu swali langu je ni Bora kusoma Apocrypha books
Umesoma biblia yote ukaelewa.ndio uende kwa Apocrypha?
Inamaana kwamba mtu haezi aka mixi ilikuelimika zaidi?
@@kohelethpaul hakuna kosa kusoma Apocrypha, maana ni vitabu vya kweli na hulipoti matukio ya kweli, ila yalio ongezewa mtazamo wa mwandishi, pia uandishi wake hautokani na msukumo wa Mungu , yaani vikiabdikwa kama vile wanahistoria wanavyo lipoti historia mbalimbali pia vina makosa madogo ya kimatukio
Amen 🙌🤲
God bless you Ndacha
yaani mbogo kutoka faragani Hadi kitandani
When we speak about Bible means library, collection of books. So the bible has 66books written by different writers inspired by Holy Spirit.
huyo mbogo anatumiwa Kama CID,ili Friday,mazinge atoe mada ya kukubabaisha
hakuna mada ya muislam itababaisha mkristo
Ishaq Sasaka
Islamic muda mwingi ni kujidai kushelehesha hakuna kitu ndacha hizo hoja za huyo najua ulisha zishinda seems nyingi hivyo huyo anatafuta nae ajulikane tuu
Vipi ikiwa allah anailinda hiyo qur'ani kwa nini sura hiyi ya ngombe idai kwamba aya yoyote munayo isahaulisha munailetea iliyo bora kuliko hiyo?