God bless you PR you changed my life at Eldoret “kuikimbilia medali ya matumaini” I had to travel all the way from Nairobi to Eldoret my life never remained the same
Amen amen amen pastor ni vizuri sana tena sana kuwa na wazazi wakristo kile kilicho gandamizwa katika mioyo ya watoto tangu utoni kina baki maishani mwawo mwote
Kacou 2:Tamka hukumu ! 6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona? 7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti. 8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. WWW.PHILIPPEKACOU.ORG #Sikensi #
I day a i will be a great pastor like you and i will save the multitude..God bless you
God bless you PR you changed my life at Eldoret “kuikimbilia medali ya matumaini” I had to travel all the way from Nairobi to Eldoret my life never remained the same
Amen amen amen pastor ni vizuri sana tena sana kuwa na wazazi wakristo kile kilicho gandamizwa katika mioyo ya watoto tangu utoni kina baki maishani mwawo mwote
Mungu akubariki pastor kwa powerfull story ( Msg) imenifunza na imeniongezea kitu kikubwa.
Bwana YESU asifiwe.. nimechagua kujifunza kutoka kwako Mtumishi Wa MUNGU kupitia kwako naiona nuru ya kweli..barikiwa sana Mtumishi Wa MUNGU
Mungu akubariki sana pster Kwa unyenyekevu mkubwa na nguvu kubwa Bwana azid kukutumia
Amina. Ahsante sana kwa maneno haya matamu. Mungu atuwezeshe kuyashika na kuyatimiza.
asante mchungaji kwa kunisaidia kwa mawaitha yako. tubarikiwe pamoja.amina
Asante baba neno hili
Barikiwa psata,Mara nyingi napenda unyenyekevu wako
Umenifundisha kitu PR ...ubarikiwe sana Mungu akutunze
Amina mtumishi wa Mungu umenikumbusha
Barikiwa sna Pr.
Amen
Amina...kuna nguvu ndani ya Yesu
Fundisho fika Mtumishi.Ahsate kwa hilo neno lililotakazika.
Ubarikiwe
Amen asante
thank you pastor mbwana
mungu akubariki kwa kutukumbusha
Amina
Umekua role model kwangu ubarikiwe
🙏
Asante mchungaji
nabarikiwa sana
BWANA YESU azidi kukulinda daima...
Kacou 2:Tamka hukumu !
6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona?
7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti.
8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
WWW.PHILIPPEKACOU.ORG
#Sikensi #
Amina..
very touching sermon
Amen
Amina mungu atusaidie
amina
Amina.
Amen
amina
Amen
Amen