Pr. Geofrey Mbwana

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Presenting The message To the people of God Morogoro ECT-Connect.

ความคิดเห็น • 25

  • @pauljames5130
    @pauljames5130 6 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa baba nikwel tunabalikiwa sna na mafundisho mazuri

  • @mishaelmisana1973
    @mishaelmisana1973 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atubaliki PR mbwana

  • @cattydanny814
    @cattydanny814 6 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nimwema kwako Mchungaji wewe ni mnyenyekevu Sana Duuuuh

  • @petermashosho1937
    @petermashosho1937 5 ปีที่แล้ว +2

    Baba MUNGU AKUBARIKI SANA
    NABARIKIWA SANA NA MAHUBIRI YAKO
    NAJIFUNZA VITU VINGI SANA KUTOKA KWAKO
    HAKIKA UNASEMA NENO LA MUNGU TU

  • @momanyiinnocent4125
    @momanyiinnocent4125 5 ปีที่แล้ว

    Be blessed iget it right since childhood up to my stature now may this great gift be addded years am blessed

  • @eliyaedwardi3654
    @eliyaedwardi3654 4 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe mchungaji

  • @sakandalinus3125
    @sakandalinus3125 6 ปีที่แล้ว

    To God be glorified Pastor Geofrey.Surely you're blessing me and God is real using you.God be with you and let Him use you.
    His power will reign forever.
    God bless you Pastor.

  • @benardsillah5200
    @benardsillah5200 6 ปีที่แล้ว

    Let our God in even be with you pastor

  • @alijuma6771
    @alijuma6771 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mchungaji nabarikiwa sana na hotuba yako nzuri

  • @denismodest1540
    @denismodest1540 5 ปีที่แล้ว

    mungu ayageuze matendo yetu ya mpendeze yeye

  • @linussirili4140
    @linussirili4140 6 ปีที่แล้ว +2

    ubarikiwe mchungaji

  • @atinaminzani1372
    @atinaminzani1372 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante mchungaji

  • @nickoomben8128
    @nickoomben8128 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Sana pst

  • @josephmbugu289
    @josephmbugu289 5 ปีที่แล้ว

    Ninabarikiwa sana

  • @evangelistegadokechi9916
    @evangelistegadokechi9916 6 ปีที่แล้ว +2

    Kacou 2:Tamka hukumu!
    6. Haya! Tunajua ya kwamba manabii wajumbe wote walipokea ujumbe yao toka mbinguni na tuone sasa Ujumbe huu wa shairi la 6 na la 7. Ni Ujumbe ya kwanza inao mwambia mwafrika, kwa mfano, amuabudu Mungu wa kweli aliye fanya mbingu: nyota, jua, mwezi, hata pia malaika walioanguka wanao tumia horoskope, orodha za maajabu, dini. Mungu haja wahi kuwa tatika dini. Ukristo halisi siyo dini bali maisha. Malaika huyo anaomba wahaiti na wabenina kuachana na vodoo, uchawi, asili na zingine aina zote za kuabudu na kuita mapepo… Mungu aliumba dunia kwa kuishi kwetu na hatupashwe kuigeuza kuwa msitu takatifu, sanamu na mask kwa kuiabudu… Hii ndiyo ilikuwa Ujumbe ya malaika wa kwanza. Na huyu malaika wa kwanza ni mtume Paulo. Bahari kubwa na chemchem za maji hazikuumbwa kwa kuabudiwa bali ni Mungu ndiye inatupasa kumwabudu; ni Mungu ndiye muumbaji. Mnaona?
    7. Baadaye, kwa shairi la 8, malaika wa pili alitoka; siyo katika seminari wala katika shule la uchungaji bali alitoka mbiguni. Kwa kutangaza teolojia? Hapana! Kwa kufundisha mahubiri ambayo tayari yalihubiriwa tangu zamani kumepita miaka arobaini au mia moja? Hapana! Kwa kuenda kuwafunulia neno waalimu na wenye kuleta mafunzo katika shule za wachungaji? Hapana! Kwa kutoa maoni yake kulingana na yale mtu Fulani alisema imepita miaka arobaini? Hapana!... LAKINI WAKATI ILITIMIA ILI KUHUBIRI INJILI YA UPEO MWINGINE! [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!]. Kuhubiri hukumu ya Babiloni, kanisa katolika kwa kuwa alipiganisha, aliua watakatifu na kuharibu njia zote za wokovu. Na hii imewekwa wazi katika Ufunuo 17. Ilikuwa kwa karne ya XV na ya XVI pamoja na mageuzi. Na ile iliongoza hadi uprotestanti.
    8. Baada ya mageuzi, Martin Lutheri, Ulrich Zwingli, Farel, Yoani Kalvini, John Wesley na wengine walipo fariki, makanisa yakasonga Kanisa la kweli. Mungu akapandisha sasa malaika wa tatu, mjumbe wa tatu pamoja na Ujumbe ya unabii kwa watu wote wa dunia. Mungu hapandishi kamwe kanisa au kundi la watu kwa kuleta au kurudisha Ukweli duniani bali nabii-mjumbe. Kumkataa huyu nabii, ni kumkataa Mungu, kwa kuwa nabii ni kinywa cha Mungu, msemaji wa Mungu, anaye kuja na Ujumbe ya Mungu, anayetumwa na Mungu, siyo mtu anayeleta maneno ya ujuzi au mtu anayeangusha watu katika makutano ya maombi pamoja na maajabu na ufunuo ya udanganyifu, hata kama hizo ufunuo zinakuwa kila mara kweli… [Ndl: Kusanyiko linasema: Amina!].
    WWW.PHILIPPEKACOU.ORG
    #Sikensi #

  • @ledimaniledimaniledimani6081
    @ledimaniledimaniledimani6081 6 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU ANAONGOZA

  • @diloceaser4790
    @diloceaser4790 4 ปีที่แล้ว

    wanatusema ni watu wa Dini

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 6 ปีที่แล้ว +4

    Sikuwahi kuamini wasabato naona wapo tofauti na wakristo wengine lakini kwa mahubiri na mafundisho ya huyu Mchungaji nimewakubali

    • @emanuelmaley2460
      @emanuelmaley2460 5 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe esta kwa kutambua hilo,

    • @tonnsimbasportsclub7168
      @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว

      estherminnah Boaz sasa hiyo ndiyo picha ya wasabato kupitia huyo mchungaji kama nikinyume na hapo hapana

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 ปีที่แล้ว +1

    ***AMINA*** KARIBUNI KWENYE CHANEL YANGU WAPENDWA TUENDELEE PIA KUJIFANZA***th-cam.com/channels/Cmf0QAYStBwKblsjFTxGPw.html