Jamani huyo mpiga gitaa mwenye mwanya ametabasamu vzr mnoo , hajanuna kama wengine wakipiga gitaa wanakunja sura,,, ubarikiwe sana kijana UNAIFURAHIA KAZI YAKO WOW HONGERA SANA KWA TABASAMU ZURI KATIKA KAZI YA MUNGU
Waimbaji tujitahid kuimba ktk roho na kweli tusiimbe ili kuonekana na watu kwamba tunajua kuimba bali uimbaji wetu uwe na maana na kutoka ndan ya moyo na roho zetu,tuwe na uimbaji ulibeba sehemu ya ibada na sura halisi ya maisha ya wokovu yanayomtangaza Bwana Yesu,ktk mavazi na namna nzuri ya uimbaji ktk hali ya kiheshimu na kunyenyekea mbele za Mungu
Brother gwamaka mwakalinga,Gwamaka mwakalinga,Gwamaka mwakalinga,,I called you three times,,,Am saying your blessed,you become to be good MINISTER in the world ,and no one can reach at the position which you're,,,,,I love you so much,,wee ni mwimbaji wangu wa moyo na unabariki sana moyo na familia yangu.. nakupenda kaka...... #firstsingerinmyheart♥️✌️
Much love from Kenya!! There's this lady who's usually in the middle by herself (behind the soloists). The way she vibes to the songs makes me just wanna vibe more!! Yaani muziki iko kwa damu kabisa!!! I think she lost an earring and didn't even notice.
Much love from Kenya. I was almost to mention her. There is this song they have done known as BABA YETU. She vibes well I just love her. Music is in her.
Tunao sikiliza huu wimbo hakika tume Barikiwa Hakika Mungu Mwema Ebwana uni takatishe pia Maana kama huu wimbo hakika najiona Nina Baraka tele karibuni Tunduma Amen 🙏♥️🙏
13 minutes felt like two seconds... very sweet sound, nilitamani huu wimbo usiishe.. sehem ya sebene imekuwa fupi yaan ni🔥🔥🔥🔥.. Eliya my brother, essence🔥
Yaani Mungu anawapiga vyombo, ana waimbaji(wana wa asafu) the combination is real. THE RICHEST GOD. Ebu Mungu awatunze nawaombea sana unyenyekevu endeleeni kunyenyekea chini ya mkono hodari wa BWANA
Am Jacinta from Kenya Essence nawapenda bure, Kuna vile u makes mi feel out of this world whenever I listen to ya songs, they av changed mi for real. Yu r a blessing to many 💪❤️
Essence Of Worship M. BEST OF THE BEST African Worship. GBU All. Keep Up the spirit of Praise, The Glory of the Lord shall surely fill the earth. Just Loving evry release. Good Job👌👌
NYIMBO ZENU ZOTE ZINA AKILI YA ROHO MKUU WA KRISTO MFALME, LA! NASIKIA RAHA KUZISIKILIZA, HONGERENI SANA WANA WA UFALME WA KRISTO...KEEP BURNING FIRE..
Honestly, this song is a banger... can't have enough of it here in Uganda... its by far one of the best songs the Essence of worship has released... of course not forgetting Yahweh and Nimewekwa huru (Aloyeniokoa)
Hakika nyie watu mnafanya vyema sana kwakweli Mungu aendelee baraka tele kwa kila kazi zote mnazofanya kwa ajili ya Mungu Kaka Gwamaka Yesu aendelee kukutunza sana
Watching from Kenya. I wish to attend one of your live concerts soon. I want to experience this live ... I wish to know when you have a live performance. Hoping for your feedback. Thank you so much for good music
May the sky of our nation Kenya begin to experience the true worship. Some churches like FEM in Karen and Citam are singing this songs in their services. God be glorified.
Glory and Honor to Jesus. Umejawa Utukufu MUNGU Awabaliki sana Essence Of worship
AMEN
Boaz more grace to you hujawai kosa ku coment
Glory, I love the grace working upon you guys
You are a humble minister sir. Grace and Favor in your ministry 🙏🏽🙏🏽🙏🏽Love from Kenya♥️
Nakupenda Sana Kaka yangu Boaz umekuwa mfano wa kuigwa na waimbaji wengne kwa namna unavyopendezwa na huduma za waimbaji wenzako.
Nice songs nipo Nairobi Kenya🇰🇪🇰🇪 natamani siku moja ni abudu pamoja na nyinyi 2024 uwe mwaka wa baraka tele kwenu. ❤❤❤
JINA LA YESU na libarikiwe mno!
Thank you so much Eliya, you are amazing.
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Waebrania 13
15 Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamayo jina lake.
Jamani huyo mpiga gitaa mwenye mwanya ametabasamu vzr mnoo , hajanuna kama wengine wakipiga gitaa wanakunja sura,,, ubarikiwe sana kijana UNAIFURAHIA KAZI YAKO WOW HONGERA SANA KWA TABASAMU ZURI KATIKA KAZI YA MUNGU
ANAITWA KAZ NI OFFICIAL BASSIST WA AGAPE BAND
ELIYA MWAMTONDO🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌,MWAKALINGA TZ U MADE IT guyz
Asante Kwa wapinga vyombo I like how they doing it's 💓💓💓
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Amen. They are on point like..😊❤❤
Waimbaji tujitahid kuimba ktk roho na kweli tusiimbe ili kuonekana na watu kwamba tunajua kuimba bali uimbaji wetu uwe na maana na kutoka ndan ya moyo na roho zetu,tuwe na uimbaji ulibeba sehemu ya ibada na sura halisi ya maisha ya wokovu yanayomtangaza Bwana Yesu,ktk mavazi na namna nzuri ya uimbaji ktk hali ya kiheshimu na kunyenyekea mbele za Mungu
Watanzania mbarikiwe mnasifu vizuri sana twawapenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen bt utukufu ni kwa Mungu pekee😇
Amen
5:05 pp@@Doggo-h2s
I like that drummer. Kanzi nzuri kwa ujumla.
Oooh Glory wapiga vyombo Blessed uwiiii,🙌🙌🙌🙌
Daahh....hivi Raha kama hizi zinapatikana wapi zaidi ya Kwa Mungu...I love you God your Awesome God always...ahsanteni waimbaji🌅🎵🎶🎤
Weuh @Baraka utavunja drums. 🥁 hio seben🔥🔥🔥
@andrew solo🔥🔥🔥🔥
Eliya +essence lazima shetani ajue MUNGU WETU NI NANI🙌🙌🙌🙌
Jeff nimesikia sauti yangu ikisema twambietwambie, tujagetujage
Tanzania 🇹🇿 worship is in another level to be honest Listening from 🇰🇪
Huyuu gitaa n hatari Santa nimeipenda kazi take utukufu Kwa Mungu muumba mbingu na nchi
Brother gwamaka mwakalinga,Gwamaka mwakalinga,Gwamaka mwakalinga,,I called you three times,,,Am saying your blessed,you become to be good MINISTER in the world ,and no one can reach at the position which you're,,,,,I love you so much,,wee ni mwimbaji wangu wa moyo na unabariki sana moyo na familia yangu.. nakupenda kaka...... #firstsingerinmyheart♥️✌️
Muombee unyenyekevu wa moyo ili adui asipate mlango wa kumuangusha
Upendo kwenu Essence of Worship kutoka hapa Kenya,,,,,so powerful
Mbarikiwe saana watumishi, me naomba siku moja tu nishiriki event na nyie timu.
❤❤❤
Tumefika pazuri sana katika muziki wa injili, setting iko vizuri na na uhakika international tunaingia hasa tukiongeza ubunifu.
Team Kenya 🇰🇪 we really love and appreciate this,,it's such a blessing 🔥🔥
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
wahwahwahwahwah hii ni shule gani wacheza vyombo walienda kusomea, we need a such school in our continent AFRICA
Guitarist, drumist, base Guitarist mob love from Kenya🇰🇪 God bless you abundantly
Tanzanians are so much blessed..it's like God live there.
Much love from Kenya!! There's this lady who's usually in the middle by herself (behind the soloists). The way she vibes to the songs makes me just wanna vibe more!! Yaani muziki iko kwa damu kabisa!!!
I think she lost an earring and didn't even notice.
Anakupa syke ya kudance ako na vibe mbaya😅
Much love from Kenya. I was almost to mention her. There is this song they have done known as BABA YETU. She vibes well I just love her. Music is in her.
Kwanza the dancing aki👌
That dancing leader right?😊😅
@@elenzianjk5543 I always think so too😀
🥁🎸x2🎹🕺🎶 all great glory to the almighty
Backing up the praise from Kenya 🇰🇪🇰🇪💃💃💃🎷🎷🎷🎺🎺
Glory to god 🙏🙏🙏
From Tanzania 🇹🇿♥
Uuuuuuuhhhh,,,,seben itanimaliza jameni🔥🔥🔥🔥🎸🎸🎸🔥🎸🔥🎸🔥🎸
Maybe one day, as in one day this will happen in Uganda 🇺🇬 AMEN
Tunao sikiliza huu wimbo hakika tume Barikiwa Hakika Mungu Mwema Ebwana uni takatishe pia Maana kama huu wimbo hakika najiona Nina Baraka tele karibuni Tunduma Amen 🙏♥️🙏
13 minutes felt like two seconds... very sweet sound, nilitamani huu wimbo usiishe.. sehem ya sebene imekuwa fupi yaan ni🔥🔥🔥🔥.. Eliya my brother, essence🔥
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Yes sure...seben part is on another level🎉🎉
More grace wonderful people
Beautiful song, aittle bit of language barrier, but the annointing is amazing 👌🙏🙏🎶, love from Namibia 🇳🇦🇳🇦
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
This song say we praise God my all our efforts
Amina Sana Sana Hakuna Kama wewe
I love this ministration. Wow 👏
Umejawa utukufu,mamlaka nayo enzi...
These lines give me goosebumps!
nampenda yes..
AMEN
Tuache siasa nyie mnajua bwana asifiwe🎉
Tunawapenda sana Mungu azid kuwaongoza mnawagusa wengi nyimbo zenu ni 🔥🔥🔥👏👏👏🙏🇹🇿
Some. Of the cleanest productions..
This will be a hit song noow🔥🔥Shangilia song imepata competition sasa ..My God💃🔥❤️
Hakika sifa na utukufu vimrudie yeye Bwana wa mabwana
On behalf of Ksf fraternity Nakuru,minister Mwantondo and Essence mmekua wa Baraka mungu awazidishie neema🙏🙏Shalom
Mungu akiabudiwa kwa sifa zake halisi mambo huwa kama hivi...Glory to you Lord Jesus Amen
Oooooh Hallelujah Glory to God
Mbarikiwe na kuzidishiwa kwa huduma hii njema yakuzidi kumwinua Bwana
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Yaani Mungu anawapiga vyombo, ana waimbaji(wana wa asafu) the combination is real. THE RICHEST GOD. Ebu Mungu awatunze nawaombea sana unyenyekevu endeleeni kunyenyekea chini ya mkono hodari wa BWANA
Ila kuna Watu wanajua namna ya kumtukuza Mungu jamani Hadi raha
Kwa kweli kila goti litapigwa na kila ulimi ukiri kwamba Yesu ni Bwana umejawa utukufu. Lots of love from Kenya. King size respect 🙏
Hakika ninyi watu Mungu amewaleta duniani kwaajili ya Roho yangu🙏🙏🙏🙏🙏
Am Jacinta from Kenya
Essence nawapenda bure,
Kuna vile u makes mi feel out of this world whenever I listen to ya songs, they av changed mi for real.
Yu r a blessing to many 💪❤️
Essence Of Worship M. BEST OF THE BEST African Worship. GBU All. Keep Up the spirit of Praise, The Glory of the Lord shall surely fill the earth. Just Loving evry release. Good Job👌👌
Mtumishi gwamaka Mungu endelee kukuinua kiwango Cha juu Zaid pamoja na group lote 🙏
Nyimbo nzuli nipo apa Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 napenda nyimbo zako combo ca mungu mungu akubariki
Hapa 🇰🇪 tunasema hakuna kama YESU Halleluyah 🙌👏👏👏🥳🥳🥳💃💃💃
The soloist guitarist,bassist,The song writer,Eliya thumps up 🙌🙌much love from kenya
Truly god need 2 be blessed 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bwana Bwana
Yesu Yesu🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Powerful powerful song Eliya mwantondo be blessed with essence
That bass and the entire team is just a blessing 🤗
Amen 🙏
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Ooooh yesu nani kama wewe ..umejawa utukufu...nayo enzi...it's a song of season to me
Blessings from Kenya.
NYIMBO ZENU ZOTE ZINA AKILI YA ROHO MKUU WA KRISTO MFALME, LA! NASIKIA RAHA KUZISIKILIZA, HONGERENI SANA WANA WA UFALME WA KRISTO...KEEP BURNING FIRE..
When I say Bassists are going to heaven direct I mean it, like look at what JP is doing here 😅
The band understood the assignment 💯💯
The introduction is🔥🔥the bassist at the beginning🔥🔥God bless the whole team generally
Amen
Can I come join the choir
Umejawa na utukufu Ee Yesu mamlaka nayo Enzi hallelluyahaaaaa
Bwana bwana... One round is never enough for this sweet tune 😃😃👏👏❤️🔥❤️🔥🕺🕺🙌🙌
Wow napenda jinsi mnaimba nyimbo za kiroho 😅 mnatubariki sana watu wa siaya.
The instruments are superb
All I can write here is, BEAUTY BEAUTY
Wooooooh!🤗🤗🎶👏👏 Nice Team Nice Team Never seen before in this Country.....🙏🙏🙏
Mbarikiwe
Wonderful song. That base guitarist is on point 👏👏👏
Lol!! He got slap dat bass🤭🔥
Wow nyimbo nzur Sana Mungu awabariki 😘
The vocals, the instrumentals, the presence 👐🇰🇪🇰🇪
Wimbo nimeupenda
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
This songs is such a blessing to my heart ,soul nd mylife❤
The intro from the amazing instrumentalist 💯🔥🔥God bless
Wimbo mzuri
Utukufu umrudi yeye alie Amina akuna kama yeye 🔥🔥🔥🔥
Honestly, this song is a banger... can't have enough of it here in Uganda... its by far one of the best songs the Essence of worship has released... of course not forgetting Yahweh and Nimewekwa huru (Aloyeniokoa)
The Bassist 🙌
Hakika nyie watu mnafanya vyema sana kwakweli Mungu aendelee baraka tele kwa kila kazi zote mnazofanya kwa ajili ya Mungu
Kaka Gwamaka Yesu aendelee kukutunza sana
Nice song Essence he deserves all the glory and honour love the song from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This Choir God bless it's your are higher than this in Jesus name much love from Kenya 💕💕💕💕
Thats a master piece from Essence. Mungu azidi kuwapa maono zaidi katika huduma hii. Mbarikiwe sana.
This team is always a blessing whenever they visit ICC Nairobi. The lead guitarist starts this song so heavenly!! Blessings from Kenya
The instrumentalists are next level, God bless them, the entire team is just woooow!!!! Glory to God!
th-cam.com/video/syQCeCNTHRo/w-d-xo.html
Thanks for your songs huwa nyimbo haswa kama hizi hunielekeza na kunijenga imani katika ukristo
❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
Awesome praise en worship....may the lord uplift your ministry essence of worship🤲
Watching from Kenya. I wish to attend one of your live concerts soon. I want to experience this live ... I wish to know when you have a live performance. Hoping for your feedback. Thank you so much for good music
This is My national Anthem. Bwana Bwana. Kwanza intro...turutururuturu turururum
Umejawa utukufu❤❤
very amaizing
This Mwakalinga guy was sent from heaven.gwamaka and the team you are absolutely incredible🎷🎷🎷🎺🎺 Much love from kenya.
LYRICS...
May the sky of our nation Kenya begin to experience the true worship. Some churches like FEM in Karen and Citam are singing this songs in their services. God be glorified.
That's true CZ when I began to listen this song from morning till evening I feel on the other sky
thank you God for the other blessings
with Essence of worship together with Eliya Mwantondo.
may your Name stay glorified in the holly name...amen
Eiiish 681 views already ❤️🔥🔥It is a hit song already ghaiii🔥🔥❤️
Utukufu ni kwa Mungu nyie mwalibariki jina la Yesu
EEEH, KAI!!! MAMAMAMMAMAMAAAAAA, AKI VILE MNAJUA NA MMEBAMBA SANA.. THIS IS IS REAL WORSHIP. AM BLESSED. I BLESS YOU GUYS