DsHITMaking: ASANTE BABA YA ROSA REE IKITENGENEZWA STUDIO TONGWE RECORDS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • #DsHITMaking Hii ni SHOW MPYA hapa Dozen Selection ambayo itakuonesha mwanzo mwisho jinsi ambavyo mtayarishaji (Producer) akiutengeneza wimbo (Hit Song) wa msanii wa Bongo Fleva. Leo tumekaa na mtayarishaji #BINLADEN wa #TONGWERECORDS ambaye anatupa madini ya jinsi alivyoipika REMIX ya #ASANTEBABA wimbo wa #ROSAREE na Mkenya #TIMMYTDATT

ความคิดเห็น • 14

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 ปีที่แล้ว +1

    jamaa ni mkali like pancho

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 4 ปีที่แล้ว

    Hatarii sna

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 4 ปีที่แล้ว

    Producer Kali sana

  • @kingdeniscrocodile
    @kingdeniscrocodile 5 ปีที่แล้ว +1

    Uko wp

  • @kinubeattz5102
    @kinubeattz5102 4 ปีที่แล้ว

    Qwalite

  • @osmarnkanjo9511
    @osmarnkanjo9511 5 ปีที่แล้ว

    bin laden kwl we n noma ujua brooh

  • @brandsmedia4861
    @brandsmedia4861 4 ปีที่แล้ว

    Nice binladen..bt hiyo Lead huku Quantize vyema..Kuna some delays

    • @maikomgwao4906
      @maikomgwao4906 4 ปีที่แล้ว

      Ame swig hua inakua kama inazubaa nistail tu

    • @maikomgwao4906
      @maikomgwao4906 4 ปีที่แล้ว

      Swing

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni maksudi lazima zingi huachwa hivyo ili kuleta unatural

    • @J4UPro
      @J4UPro 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni maksudi lazima zingi huachwa hivyo ili kuleta unatural

  • @nizobeatz90
    @nizobeatz90 5 ปีที่แล้ว

    Hyo ni reggeton mzee baba ata Nahrel alishafanya hvyo hyo sound ujabun wewe