Mwijakuuuu atasubiri sanaa akwa mjengooo huuu wa mwijaku mwezi wa 4 mwakani 2025 atahama pale mwijaku mvua zikianza atakimbia nyumba yake injinia aliyemjengea kamdanganya nyumba msingi upo chini sana alafu amejenga kawaida msingi ajaimarisha kuweka mawe kigamboni udongo mfinyazi itapata ufa nyumba mvua zikianza na maji kujaa ndani kigamboni sehemu ya maji mvua msingi upo chini sana
@@OmickiMichael sio wivu huo ndio ukweli mimi pia nadondosha mjengo wangu cheka kigamboni nimejipanga wenyeji wamenipa taarifa za kutosha kuhusu ujenzi kigamboni nimejipanga
Jaman kwan wengine pesa wenapataga wap kwa haraka mna iyo?nakumbuka tangu apost haujaisha hata mwaka daah hongera sana nilikuwa nakuchkulia jinga jinga tuu
Yt ya nini huku tuliko nyumba zaidi ya hiyo ni magofu tu wanalala misusing na mipaka wote wamefaliki watoto hawa a ht mpango wl hakuna kurisi sjui akae ndugu hmn yt tunayaacha
Mungu nibariki namimi nipate mjengo wangu umri unaenda nasalimiwa kama mama mwenye nyumba kumbe mpangaji dah
Rose Mungu ni mwaminifu na hashindwi usikate tamaa hakuna linaloshindikana mama angu
ameen mungu atakusaidia inshaalah
Utapata tu ndugu pambana
Muombe mungu pambana utaipata hata ikiwa ndogo
Mama angu ni maisha tuu Mungu hakawii Wala hawai
Ipo siku takuwa na Nyumba yangu Sijuwi ni lini ila one day tamiliki Nyumba yangu mwenyewe Mungu baba hatima yangu ya Nyumba itimie inshalah
Mungu nibariki nipe ujasiri na mm nifanikiwe niweze kujenga nyumba ya kifahari
Hongela sana bro
❤
This house is beautiful. Congratulations
Mwijakuuuu atasubiri sanaa akwa mjengooo huuu wa mwijaku mwezi wa 4 mwakani 2025 atahama pale mwijaku mvua zikianza atakimbia nyumba yake injinia aliyemjengea kamdanganya nyumba msingi upo chini sana alafu amejenga kawaida msingi ajaimarisha kuweka mawe kigamboni udongo mfinyazi itapata ufa nyumba mvua zikianza na maji kujaa ndani kigamboni sehemu ya maji mvua msingi upo chini sana
Sio kwamba nakupinga ila usipende sana kuifurahia mwenzako akipata matatizo. Amejitahidi kwa uwezo wake
@@barackhussein312 wa tz wana wivu sana
Bora ww unaonyesha wivu hadharani 🤪😳
@@OmickiMichael sio wivu huo ndio ukweli mimi pia nadondosha mjengo wangu cheka kigamboni nimejipanga wenyeji wamenipa taarifa za kutosha kuhusu ujenzi kigamboni nimejipanga
Hii sio nyumba ya Baba levo
Kaijenga tunaona Mpaka mara ya mwisho alikuwa na wale wasafirishaji wa mizigo kutoka china na Duabai wakiwa wanamahauri finishing aweke vitu gani.
Basi ya kwako
Mwijaku Sema tena😂😂😂
Du hongera sana bhan 🎉🎉🎉
Nyumba ya King D sijui mnamzushia b levo
Ndo nimeshangaa na mie
King D ndo nani
Hongra
Jaman kwan wengine pesa wenapataga wap kwa haraka mna iyo?nakumbuka tangu apost haujaisha hata mwaka daah hongera sana nilikuwa nakuchkulia jinga jinga tuu
Mwijaku ukaseme tena naona hongera sana umeweza naumeweza tena
Sio ya baba revooo jmn
Nmemkuta chooni mwijaku anacheka alafu analia😅
Kweli Ile ni Choo aisee❤❤
Mbona yakawaida sana iyo nyumba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂tuonyeshe yako
Yako iko wapi???😂😂😂😂😂😂😂
Yako sio ya kawaida😂😂
😂😂😂 bangi hizi I swear
Hhhhhhhhhhhhh maskini hatuna jema aiseeee
Hongera ila usije betia hiyo ni ya Revo na wadogo zake
Hongera sana broo
Sasa hapo kwa sisi watalaamu wa mijengo hapo kazika milion 600 hadi 900 haifiki bilion moja
sio nyumba y bablevo ww wacha kutafut laki
Hiii nyumba ya Simba
Kuwa msanii kazi sana, sasa baba levo ajenge nyumba ya hivyo kwa hela gani😂😂😂
Alishinda tamari ml 600
Unaujua mfuko wake?
Unaujua mfuko wake?
Ndoapo sasa
@@elinamilyatuu7337 ndiyo
BABA LEVO ALIITWA KUIZINDUWA HUO MJENGO WA TAJILI MMOJA BWANA MDOGO TU ATA MIAKA 40 AJAFIKA ANAISH SALASALA....BABA LEVO YEYE ALIKUWA KAMA MC
Duh mjengo huu hata uyo boss wake mondi hana
Kama mondi hana huyo babalevo pesa namanikio yake anayatoa wapi 😏
Hongera mwijaku
Mwijaku atasubiri sana😂😂😂😂
WATZ MKO NA PESA AKI😂😂😂🙌🙌
Hapana hela yetu sisi haina thamani😅😅😅
Mashalha
Sio babalevo ni king D
Kwel usani ni ujanjaujanja na uwongoo ndani yake watakuja tu kutuomba michango
Mashallah
Mashallah nice
Ebwana uchawa kazi
Thubutu sio wako aibu👺👺👺👺
AC zipo Kila mahali maana Dar joto?
Saafii kabisa
Hii nyumba hata diamond Ana Kama hii
Hapa tunasubiria milard ayo apost
Na Mjenzi wa hii nyumba ya Baba levo?
Jmn🙌
Kama umekosa Habar. Siuende choon Unye uposti.
Nice,...
Jengen halafu kaburi linawaita
Wivu
Acha roho mbaya
Ambao hawajengi wao wataishi milele?tupunguze makasiriko na wivu jaman, mtu akifanya jambo zuri apongezwe❤
Ndo faida ya uchawa
Mjengo wa nani
Mjengo mkali sana 👊
Kwani nyumba sasahivi imeisha?😮 hakii siamini mmmh
Yt ya nini huku tuliko nyumba zaidi ya hiyo ni magofu tu wanalala misusing na mipaka wote wamefaliki watoto hawa a ht mpango wl hakuna kurisi sjui akae ndugu hmn yt tunayaacha
Kwahiyo unashauli wasijenge waone kawaida kama unavyoona wewe wakati huna
Chawa
Muongo Hana nyumba
Tafuta pesa mzee
Mwijaku analilia chooni
Nchii Kuna baazi ya watu wachache wamejimilikisha mapesa mengi sana
Kujituma ndugu😂😂
Nyumba ya King D sijui mnamzushia b levo