TUMEMPOTEZA MKOMBOZI/SHUJAA/MPIGANAJI/MTETEZI/BABA/MFALME NA MZALENDO HAJAWAHI KUTOKEA AFRIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 เม.ย. 2021
  • 👉 HOTUBA ZA MFALME JPM ZITAKULIZA ALIJUA ANAONDOKA MAISHA YAKE ALIYATOA SADAKA KUIJENGA TANZANIA MPYA; • HOTUBA ZA MFALME JPM Z...
    👉 AFRIKA YA MAGUFULI NI MFANO WA KUIGWA/WAZUNGU WAKAE KIMYA USHETANI WAO HATUUTAKI; • AFRIKA YA MAGUFULI NI ...
    👉 AFRIKA TUMESALITIWA NA VIONGOZI WANAOPOKEA MICHANJO ZA WAHUNI WANAOTAKA KUTUUA WATU WEUSI: • Video
    👉 OBAMA ALIMUUA NDUGU YAKE GADDAFI KISA WAZUNGU WALIOMPA URAIS MAREKANI; • OBAMA ALIMUUA NDUGU YA...
    👉 AFRIKA TUTAENDELEA KUWA WATUMWA WA WAZUNGU TUSIPOBADILISHA MIENENDO YETU; • AFRIKA TUTAENDELEA KUW...

ความคิดเห็น • 175

  • @johnlukumwaisvisanmaguvuli4885
    @johnlukumwaisvisanmaguvuli4885 3 ปีที่แล้ว +34

    Maguvuli alikua ameona mbali Sana alipigania corona alikataa chanjo kwakweli nitakukumbuka daima shujaa wa afirika lala salama ndugu yangu

    • @saddykayage9227
      @saddykayage9227 3 ปีที่แล้ว +1

      Baba aliyekuuwa Mungu wetu hatanyamaza

    • @fraviansweetberty8819
      @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว

      Asa kipind cha Coron Apo ndo aliniacha oh pumzk kwa Aman kiongz wetu

  • @charlesmihayo1275
    @charlesmihayo1275 3 ปีที่แล้ว +10

    Inatia uchungu ninapoisikia hii hotuba nalia sana kweli hatuko nawe inaumiza kweli lini atapatikana tena mtu mwenye moyo na maono kama ww itanichukua miaka kuyasahau haya mungu akupumzishe mahali pema peponi Amina

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +18

    Ni nani kama Hayati Magufuli? Hata wanaosema miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni mateso makubwa, hawa watu hawana dini. Magufuli legacy must continue. Ametuacha mapema sana. Mungu amuweke pema.

    • @rehemamost444
      @rehemamost444 3 ปีที่แล้ว +1

      Maguful rais wetu mpendwa, tutakukumbuka daima!! Jaman tulikuwa, tnaringa kwaajiri yako, hapa naandika kwakujikaza sana, nabubujika Kwa machozi,

  • @joycemarko3037
    @joycemarko3037 3 ปีที่แล้ว +19

    Hata kama watakusaliti hawatakufikia ww umewafumbua macho wasioona mungu akuhifazi

  • @kalutalumenge1459
    @kalutalumenge1459 3 ปีที่แล้ว +13

    Hayo ndio yaliyokuwa mabaya yako baba???
    Sitachoka kusikiliza Hotuba zako Baba.
    Kama kuna mkono wa mtu kwenye kifo, Mungu amrehemu tu. Ila umeumiza wengi.RIP Baba.

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 3 ปีที่แล้ว +20

    Lala salama mzee wangu tutakukumbuka daima

  • @mackenzikamuga7283
    @mackenzikamuga7283 3 ปีที่แล้ว +8

    Tutambuwane wanafunzi waadilifu Jpm..na tutakao ishi ktk farsafa zake za uzalendo Huyu alikuwa mwana mwema wa Taifa leo 💪tujuwane tutakao muenzi kwa upambanaji wakweli wa Shuja JPM 😭😭😭😭😭😭

  • @ponsianamataka4607
    @ponsianamataka4607 3 ปีที่แล้ว +16

    Mungu Baba mpokee kwenye Raha ya milele.
    Ni vigumu kukubali na kuamini kwamba hayupo.

    • @magrethndola6988
      @magrethndola6988 3 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweri

    • @dicksonchauganga5325
      @dicksonchauganga5325 3 ปีที่แล้ว

      Km ndoto, ukweli sidhani km kilio cha huyu mtu wa Mungu km kitawahi kusahaulika kwa watanzania!

  • @joshualukosano8758
    @joshualukosano8758 3 ปีที่แล้ว +22

    mzalendo wa kwel

  • @Ramadhanimsingwa
    @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว +19

    Magu kilio chetu hakina kikomo tukiona hotuba hizi Mungu Fanya miujiza Magu pumzika ulikuwa mwema Wasomi wetu ndiyo wezi pa kukulilia ni wewe Mungu mapenzi yako yametimia

  • @ikrammichael833
    @ikrammichael833 3 ปีที่แล้ว +21

    Tutakukumbuka daima mfalme wetu

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 3 ปีที่แล้ว +30

    Umeenda too soon. You were a very good man with a vision, a good heart, smart, never see a man like you. We miss you JPM we miss you. We will always love you, and live your legacy we, have lots and lots of good things to say about you. JPM R.I.P😭😭😭

    • @sumasamwel9081
      @sumasamwel9081 3 ปีที่แล้ว

      Hakika tutakukumbuka kwa mengi
      Ila tunamin kabisa MUNGU hawazi kama sisi tuwazavyo anatuwazia mema
      Lala salaama jpm wetu,,
      Atatuletea jembe lingine kama wewe,,,
      Ulitusihi tumtangulize Mungu kwanza nasi tunafanya ivoo tunamin atajibu too kilio chetu

  • @stephendaniel7019
    @stephendaniel7019 3 ปีที่แล้ว +3

    We'll live to remember these three African Legends forever; Thomas Sankara, Mohamad Gaddafi & Dr. John Joseph Pombe Magufuli. The people who cared for Africa and Africans.

  • @mimifineliving2022
    @mimifineliving2022 3 ปีที่แล้ว +17

    Sauti ya Mungu

  • @augustuss4503
    @augustuss4503 3 ปีที่แล้ว +17

    MAGUFULICATION of Africa, R.I.P President Magufuli. Legends never die 🙏🏾

  • @furahafrank8267
    @furahafrank8267 3 ปีที่แล้ว +8

    Alikuwa wazi sana.kiongozi wa pekee.

  • @geoffreymwarabu8323
    @geoffreymwarabu8323 3 ปีที่แล้ว +13

    Hakika tutakukumbuka mfalme wetu. Umetuacha yatima baba

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 3 ปีที่แล้ว +16

    Hatuchoki kukusikiliza baba umeondoka lkn bado tukonawewe kifikila

    • @salimkidelah6360
      @salimkidelah6360 3 ปีที่แล้ว +1

      Nikwel aisee yan kila cku nkiingia 2 mtandao lazma nipitie japo hotuba yke 1 ili nilale kwa matumaini

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 3 ปีที่แล้ว +8

    Daaah!nataman iwe kama ndoto,we miss u

  • @faidaimmaculee28
    @faidaimmaculee28 3 ปีที่แล้ว +7

    Mzalemdo watanzania mungu akulaze mahalipema peponi

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 3 ปีที่แล้ว +20

    Hisa za fikra zako tunazo mpendwa wetu!

  • @asnethmichael3830
    @asnethmichael3830 3 ปีที่แล้ว +10

    Looooo mungu tusaidie

  • @saitawilson7307
    @saitawilson7307 3 ปีที่แล้ว +14

    😭😭😭😭😭R.I P JPM 💔💔 💔💔💔💔

  • @taturajabu5977
    @taturajabu5977 3 ปีที่แล้ว +9

    Tutakukumbuka sana,hayati raisi wetu

  • @wiliampaulo5556
    @wiliampaulo5556 3 ปีที่แล้ว +14

    Hatuna hatutapzta kama huyo wengine ni wababaishaji tu.zoweeni tu ndugu zangu

  • @missmrs829
    @missmrs829 3 ปีที่แล้ว +4

    Hakika ulikuwa mfalme 💪👍nabii 👌 mtabibu ✍️tulikupenda Sana Kipenzi chetu uendelee kutuongoza lakn binadamu wamekukatili mapema sasa wanafanya madudu tu

  • @feisalsalum1258
    @feisalsalum1258 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akupe pumziko la milele ila nimeumia Sana na nitakukumbuka Sana walahi

  • @fraviansweetberty8819
    @fraviansweetberty8819 3 ปีที่แล้ว +5

    Sina neno juu yako ila Mungu tuu akupe pumziko jema

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 ปีที่แล้ว +3

    Nakukumbuka Sana Jamani Magufuli Rais wangu ❤️,hakuna mtu nilimpenda kwa dhati na kujivunia kuwa magufuli ndioo Rais wangu.

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 3 ปีที่แล้ว +4

    Mimi sielewi tulikosea wapi ukaondoka jpm jamani mbona tu me para asara kubwa sana kwa taifa letu sidhani kama atakuja wa aina yako lala salama baba

  • @iharewisura7972
    @iharewisura7972 3 ปีที่แล้ว

    Ewe mwenyezi mungu ulieumba mbingu na nchi ukaviweka vinavyoonekana na visivyoonekana mfalme wa amani mweke mahala pema peponi jpm Amina.

  • @abduljuma7547
    @abduljuma7547 3 ปีที่แล้ว +7

    Rais wa kweli mfalme jpm

    • @Ramadhanimsingwa
      @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว

      Sana itabaki kukuombea na kuchukua hazina ya busara

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 3 ปีที่แล้ว +4

    AFRICA BWANA ...ITABAKI AFRICA SIKU ZOTE..NDIO TULIVYO NDIO UKWELI HATA TUFANYEJE ..R.I.P JPM

  • @Ramadhanimsingwa
    @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu tunakulilia,mtu huyu siri ya haya wewe unajua,Baba yetu pumzika Mungu akuhifadhi,Binadamu muogopeni Mungu dunia itapita yote mtayaacha

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 3 ปีที่แล้ว +7

    Tanzania ni ngumu sana kuiongoza. Hayati Magufuli alifanya kazi kubwa kutujengea misingi lazima tuindeleze.

    • @magrethndola6988
      @magrethndola6988 3 ปีที่แล้ว +1

      Nani wakuvaa kiatu cha BABA yetu

    • @magrethndola6988
      @magrethndola6988 3 ปีที่แล้ว +1

      Nani wakuvaa kiatu cha BABA yetu

    • @missmrs829
      @missmrs829 3 ปีที่แล้ว +1

      Hayupo yan kama huyo mama yenu ndiyo simuelewi kabisa

    • @Ramadhanimsingwa
      @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว +2

      Hazina hii ya hekima ingetumika kila mtanzania angefurahi ila mmmmm

    • @jordanclassic7849
      @jordanclassic7849 3 ปีที่แล้ว

      Si lahisi ndugu yangu

  • @Manyanyatv8551
    @Manyanyatv8551 3 ปีที่แล้ว +8

    Et tz Hakuna ajira wakati mnazipata mnazichezea

  • @zubedasoud9204
    @zubedasoud9204 3 ปีที่แล้ว +8

    Utakumbukwa daima RIP.

  • @nuruabasi5503
    @nuruabasi5503 3 ปีที่แล้ว +6

    Tutakukumbuka daima jpm 😭😭

  • @nathanaelpetro5466
    @nathanaelpetro5466 3 ปีที่แล้ว +4

    Mchozi wangu unadondoka kila nikimsikiliza huyu mwamba aliyererjesha heshma kila sehemu hadi katikati ya jiwe liitwalo ccm

  • @ramadhanmgaya1984
    @ramadhanmgaya1984 3 ปีที่แล้ว +8

    Magufuli wewe., mimi mpaka leo siamini kama umetutoka . Allah akulipe malipo unayostahili.

  • @johnjustice6970
    @johnjustice6970 3 ปีที่แล้ว +3

    Nalia kila siku baba..Umetuacha mapema.Sisi maskini tumekosa tumanini..Huyu mama uliyetuachia bado tunahofu kama anaweza.Hatuoni anafanya kama wewe.Tumemwachia Mungu

  • @smmak7140
    @smmak7140 3 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante mungu kwa zawadi ya maisha ya JPM ndani ya taifa Tanzania ! Sijaona kama wewe mpaka sasa !

  • @nduhirabandiabdallah
    @nduhirabandiabdallah 3 ปีที่แล้ว +10

    Wa Swahili wanayihalibu Tanzania 💔

  • @timbukwa9771
    @timbukwa9771 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu husikia kilio cha watu wengi, ni naamini kutoka moyoni ipo siku atajibu kwa vitendo, tusikate tamaa tuzidi kumoumba Mungu, Mwalimu nakuomba sana zidi kufukua hotuba za BABA yetu ili watu wajue ni jinsi gani aliikuwa ana sifa ya kuitwa BABA mtetezi wa wanyonge na muadirifu wa hari ya juu na pia GENIUS wa first GRADE.

  • @godfreymkanje5667
    @godfreymkanje5667 3 ปีที่แล้ว +5

    Wataisurvive vipi hawa watu. Daima tutakukumbuka rais wetu

  • @amrygoerge3989
    @amrygoerge3989 3 ปีที่แล้ว +6

    Mm huyu ndie rais wangu

  • @adammwakosya4325
    @adammwakosya4325 3 ปีที่แล้ว +4

    Ulizungukwa na wanafiki baba leo wanasema hukushauriwa vizuri, pumzika kwa amani.

    • @johanesbina1302
      @johanesbina1302 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaa na ukiona huyu wa kudemka anavyotikisa kichwa 🙄🙄🙄🙄

  • @magrethndola6988
    @magrethndola6988 3 ปีที่แล้ว +8

    TUTAKUKUMBUKA BABA

    • @Ramadhanimsingwa
      @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      Mimi sioni kiongoz anayeweza kumkuta huyu kama wanampinga

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      Mimi sioni kiongoz anayeweza kumkuta huyu kama wanampinga

    • @prudencehighness477
      @prudencehighness477 3 ปีที่แล้ว +1

      Machozi ya watanzania hayakomi kukulilia baba yetu,mzalendo,mtetezi wa wanyonge,mwanga wa milele ukuangazie,magu ,

  • @salimkidelah6360
    @salimkidelah6360 3 ปีที่แล้ว +2

    Yan hii hotuba kuna wengine walisema kwamba eti mzee hana hela azina duuh yan sis wabongo cjui tumepe nn aisee ila 2takukumbuka sana baba ila kwa sis 2liokuwa 2taelewa nin unafanya moyon mwenu bado inaumia kwann umeondoka mapema r.i.p JPM

  • @aviationwonders7575
    @aviationwonders7575 3 ปีที่แล้ว +7

    💔💔😭😭😭😭😭

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว +2

    Sauti ya mkomboz tz aliyelala kabla hajatufikisha nchi ya ahadi..pumzika baba tutakukumbuka daima milele

  • @marionntomola1686
    @marionntomola1686 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtu wa hekima na uzalendo.

  • @marthamarashi1913
    @marthamarashi1913 3 ปีที่แล้ว +3

    Nani. wakutufuta. machozi. mungu. wangu

  • @mihambokayj5854
    @mihambokayj5854 3 ปีที่แล้ว +2

    Alifanya kazi kubwa mno Tanzania

  • @daudminja8118
    @daudminja8118 ปีที่แล้ว

    Mungu akuangaziye mwanga wamilele

  • @mihambokayj5854
    @mihambokayj5854 3 ปีที่แล้ว +1

    Mfalmeeeee. Mteule Wa Mungu.

  • @gracemisokalya1061
    @gracemisokalya1061 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuja kukusahau wewe ni ndoto baba,ulifanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi sn. Mungu akupe pumziko la milele baba

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndio maana mimi huwa nawashangaa wanaosema makonda awe kiongoz. Hivi beach unajenga kwa bilion 14.

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 3 ปีที่แล้ว +3

    R.I.P JPM

  • @kristinamsuya8654
    @kristinamsuya8654 3 ปีที่แล้ว +13

    tupate wapi mtu kama huyu

  • @msomimosomy9812
    @msomimosomy9812 3 ปีที่แล้ว +2

    Alijulikana nikiongozibora tokazamani waliobaki hawjaonekana nahawatoonekana

  • @jumaevarist9103
    @jumaevarist9103 3 ปีที่แล้ว +1

    Manafiki yote yaliokuwa yamemzunguka raisi wetu yote yanachekelea saiv

  • @jordanclassic7849
    @jordanclassic7849 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaniiii hatunaye tena mmmm m jamaniiii nashindwa hata nicometije m ila bas

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 3 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tu Jpm

  • @swaleheamiri1284
    @swaleheamiri1284 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aiweke roho ya makufuli mahali pema

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 3 ปีที่แล้ว +3

    Amelala kishujaaaa

    • @Ramadhanimsingwa
      @Ramadhanimsingwa 3 ปีที่แล้ว

      Mungu atamhifadhi alikuwa mwema kwa watu Wa kawaida jamani?

  • @jeremiahkigao5304
    @jeremiahkigao5304 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba, utaishi ktk mioyo yetu wa🇹🇿

  • @teddymhagama611
    @teddymhagama611 3 ปีที่แล้ว +1

    😭😭magufuli wee

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 3 ปีที่แล้ว

    19/5/2021.JPM wetu,Watanzania Wazalendo bado tunakulilia.kifo chako Kuna Watanzania walisherekea wakafrahia,utadhani wao hawatakufa.JPM umepambana kuweza kuiweka nchi hii sawa,lakini kwa wale walio zoea vyakunyonya,walimchukia sana,kama ulivyo tuudhirishia sisi wananchi.MUNGU BABA,TENDA MIUJIZA YAKO,KIFO CHA JPM NI UTATA MTUPU.

  • @tommykonga5767
    @tommykonga5767 3 ปีที่แล้ว +1

    Tungekuwa tunapiga kura kwa kifo isingekupata baba yetu

  • @innocentkulola4122
    @innocentkulola4122 3 ปีที่แล้ว

    Dah!!...sijui tutakuja kupata tena kiongozi kama magufuli,... Wote waliomzunguka na kumpigia makof,siku chache baada ya kifo chakei tayari wameshageuka,,yaani huwezi kuamini,mambo yameanza kurudi kama zamani

  • @catherinechifebe5800
    @catherinechifebe5800 3 ปีที่แล้ว

    Labda tulkosea mahala Mungu akatuadhibu kwa kutunyanganya WEWE CHOMBO KIADILIFU....MUNGU AFANYEJAMBO MWUJIZA UTOKEE UWADHIBITI WAHARIBIFU WASIO NA HURUMA NA TAIFA LETU..LITETEE TAIFA LETU HUKO ULKO JAMANI

  • @akilihabibu4203
    @akilihabibu4203 3 ปีที่แล้ว +1

    Eee mwenyezi kwann ulimpenda huyumtu kwann usingemchukia ilituwenae mudamrefu aaaaaa

  • @zubedasoud9204
    @zubedasoud9204 3 ปีที่แล้ว +1

    Umefanya mengi hukutaka mchezo ndo wengi wezi waliondoka sasa umeondoka wanarudi. RIP.

  • @johnsonjulius7832
    @johnsonjulius7832 3 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiye Rais wangu mpk nitakapokufa. Alikuwa msema kweli na siyo mbambaishaji Kama wengine waliyopo.

  • @kimyou5733
    @kimyou5733 3 ปีที่แล้ว

    Willibroad William Mukula T Z. Ee Mwenyezi Mungu nchi yetu Tanzania itatokea tupate kiongozi kama hayati Magufuli?

  • @humphreykarua5241
    @humphreykarua5241 ปีที่แล้ว

    Rest in peace raisxNagufurl. Hali ya maisha imekuwa ngunu sana,kwa wananchi kwa ujumla

  • @zuhurakassu1427
    @zuhurakassu1427 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunauliwa uku bila siku zetu kufika sijui corona iko wapi tunadanganywa Ili miradi ya mabeberu ikamilike

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu mwenye huruma ya hivi kwa wananchi wake useme fisadi pumbavu zenu,mamtu yanateuliwa yanangoja rais afanye kazi zao

  • @aviationwonders7575
    @aviationwonders7575 3 ปีที่แล้ว +3

    Unashangaa hatuko naye?? Watu hawajali

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 ปีที่แล้ว

    Kwa jinsi kundi hili la mbwa mwitu lilivyowazunguka kondoo, naogopa sana ikiwa kondoo watasalimika. Bado naendelea kuamini kwamba Mhe. JPM alikufa kifo cha kawaida kama mama alivyosema. Nalazimika kupuuza hujuma alizokuwa anafanyiwa kisha hata sauti tukazisikia. Nashukuru Mungu kwamba JPM aliishasamehe, na Mungu aliwasamehe, japo baadhi yao sasa ndio wanajifunua wazi. Nashukuru Mungu kwa kuamuru kifo kwani kinamfanya mmoja kufa kama atakavyokufa yule.

  • @boniphacedaniel2001
    @boniphacedaniel2001 3 ปีที่แล้ว +1

    Tunaomba itolewe sdii yakumbukumbu

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe8930 3 ปีที่แล้ว

    Sijui wizi utakoma lini😳😳😳

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 ปีที่แล้ว +5

    Mwanamke gani atamzaa Msghuguli jamani? Na lini? Tanzania inateketea.. Ni uchungu mno. Mungu tuletee Maghufuli mwingine haraka.

    • @nickodemsimchimba594
      @nickodemsimchimba594 3 ปีที่แล้ว

      @Dorah umeongea maneno magumu Sana mpka machozi yamenitoka😭😭😭😭 hakika umenena kweli.....huyu Baba alizaliwa na tumbo lenye heri

  • @evangelismchannel8810
    @evangelismchannel8810 3 ปีที่แล้ว

    Kumusahau huyu Mzee ni vigumu sana. Yaani kuna mda utadhani ni kama kuna sehemu ameenda na atarudi. Maumivu sana

  • @yusuphsobo7997
    @yusuphsobo7997 3 ปีที่แล้ว

    Nizaidi ya kiongozi,,,rip papaa

  • @kiboleekitams5353
    @kiboleekitams5353 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania haitokaa ipate raisi mwenye akili kubwa na moyo wa dhati kwa upendo wa watu wake kama jemedari huyu ila siku zote thamani ya jicho huwezi ijua mpaka litoke tutakukumbuka kuliko chochote katika Tanzania eeh mungu iangalie Tanzania hii kwa jicho la huruma utuletee jembe lingine kama hili

  • @danielngalawa1198
    @danielngalawa1198 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenye uchungu na hii nchi 😭😭😭😭

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 3 ปีที่แล้ว +1

    Aliongea kirafiki sana.Allah ndiye anae faham zaidi wapi pa kukuweka wewe uliekua kipenzi cha watu!

  • @salmakavishe7028
    @salmakavishe7028 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakulilia rais wangu magufuli'naililia nchi yangu.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 ปีที่แล้ว +1

    Ulazwe mahali pema peponi Rais magufuli

  • @laziloskeystone9272
    @laziloskeystone9272 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakaa Australia, na sijawahi ona mfalme ka JPM, alikuwa na vision, alikataa vaccine na alikua na ukweli, vaccine zimeua badhi ya watu huku na wakaamua ku stop. I bet you Tz hakuna kama JPM.

    • @johanesbina1302
      @johanesbina1302 3 ปีที่แล้ว

      Mzee tupeni connection ya nje tupige kazi

  • @dieudonnemombya5109
    @dieudonnemombya5109 3 ปีที่แล้ว +1

    Niukweli tuta yakumbuka hayo a ta kwaumeyasha ya twambiya unasita hili baba sijuwi hawa wnabaki nawo watayatumiza ou

  • @andrewmwasomola6161
    @andrewmwasomola6161 3 ปีที่แล้ว

    Hakika huyu mtu alijali wanyonge,du tutaendelea kumkumbuka

  • @jacksongabriel4693
    @jacksongabriel4693 ปีที่แล้ว

    Raisi wangu alikua anatutete sana

  • @chikwindichikoswe4200
    @chikwindichikoswe4200 ปีที่แล้ว

    Nimekumisi

  • @himilefurniture1214
    @himilefurniture1214 3 ปีที่แล้ว

    Uyu ndio kiongozi

  • @fedrickgeorge290
    @fedrickgeorge290 ปีที่แล้ว

    Huyu mtu nikichwa,,Yan watu wamekaa kimyaaaa

  • @zuhurakassu1427
    @zuhurakassu1427 3 ปีที่แล้ว +1

    R I p baba 😭 uku tunaumizwa

  • @dieudonnemombya5109
    @dieudonnemombya5109 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa munaona haya mulfame alile ya zungumuza yatatimilika kweli ukwambiye kama utatimolika mimi na ona kwamba lale baba aliye ya towa naona wemayalundisha sasa sijuwi kwamba yatatimilika