Kwaya ya mt. Kizito makuburi Mubarikiwe Sana na mungu huo wimbo hua najisikia nikiimba hasa bass and ternor na spra milele na milele napenda kuwatazama kila Mara huo conducter waaah
The song was sang by Mwingi Choir on the river bed not knowing that the Lord was hearing their voice and the death was hearing them too..may their soul rest in eternal peace 😭😭😭😭🙏
Am loving it here in Madrid spain. The song is sure. Imetungwa kiajabu. Mungu awaongozee wito wa uimbaji. God bless Tz. From Madrid. Home ni kenya. Nchi jirani.
Kama unaipenda RC gonga like twende pamoja,, I 💖RC
Safi Sana na mungu awabariki sana
Safi sana
Sanaaa
Huu wimbo kwny mkesha w mwaka w mpya huwa una vibe hatareee
Naipendaaa!
very competent choirmaster.....show love by liking
Praise be to God Bryt
2021 nazid kubarikiwa jamani naipenda rc nasitoama aisee
Amina
Mungu Sikia kilo chetu sisi Watoto wako tuponye na corona. Lord Jesus have mercy on us. All things are possible with you Jesus
Najivunia kua mkatoki good song mungu ni mwema !!!!!!
Am proud to be a catholic,, gud sog
Ooh my😭😭😭 in Kenya we lost our loved ones, through dwowning .Their last song wa this. Wewe Mungu wa wangu wa Ibrahim, wewe ni Mungu kila wakati
What a pity dear. RIP 🙏
Pole sana
The tragedy is still fresh,,how they danced before drowning ,,, atleast they had a chance to worship the lord,,may their souls rip
Jamani poleni sana
We pray for their souls that they may join the heavenly choir. Amen.
asaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,nyimbo nzuri kabsa,munaweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezaaaaaaaaaaaa
I really love this song....sikia bwana sauti yangu.....God bless...it's my daily medication.
Who is here listening to this blessings song🤗🤗🤗🤗
Wacha weeeeeeeeee,,,,,,,,,
This song reminds you to always give praise to God after success
I love this song wewe ni Mungu kila wakati
Mungu sikiya sautiyangu ni epushe jaribu.
Amazing choir......am blessed. Proud Catholic 🙏
Proud to be cathorian
Mungu wangu hio Tenor imeanzisha waaaahhh imeweza......heko kwenu
Huu wimbo unamaliza maombi yangu yoteee ❤
I miss this choir badly. I used to attend masses when I was in Dar TZ. Congratulations!
Mungu awabariki sana
This choir is a blessing. I miss KURASINI Dar..Mungu awabariki.
Nimesikia sauti ya Mungu na Mungu ni Mungu kila wakati.
Kazi nzuri najivunia ukatoliki, najivunia hii choir.👏👏
Congratulations have made my day ,choir master you did not disappoint singing is praying twice Godbless you abundantly
Haleluya amefufuka 12/4/2020 wewe ni mungu kila wakati
Wow..the choir director
Choirmasters na choirmistress wote tuna comment wapi,oh God cjawahi jutia kuwa mkatoliki
Tuko!
Huu unasimua kweli, najisikia kama Niko na mungu mbinguni.
Naona Mwalimu mkasa paleee Kwa Corner. Hongera Wana kwaya Kwa wimbo mzuri
Kunakajamaa kafupi nakaon kwa mbali akajabaki nyumba........Mungu awabariki sana
Amina
Mnatisha Seema nimekosa alubamu ya nyimbo zenu
Tunashukuru Sana kwa utumishi wenu nyimbo nzuri zinanipa mafunzo na furaha.
Cositavia Cosima karibu kwa channel yetu ya Kwaya KMK Makuburi ukiingia pale nyimbo zote za album ya Mimina neema zipo buree kabisa 🙏🏽
Choir master ilibidi awekewe maana hicho kiti kinaonekana kidogo hapati Uhuru wa kujinyanyambua. Safi saaaana
Nabarikiwa sana,,Mungu awatunze mzidi kutumika kwa ajili yake, mbarikiwe sana
My all time favorite choir. Absolutely fantastic performance and uplifting message. Formidable
Mwenyezi Mungu awajaze imani zaidi
Kwaya ya mt. Kizito makuburi Mubarikiwe Sana na mungu huo wimbo hua najisikia nikiimba hasa bass and ternor na spra milele na milele napenda kuwatazama kila Mara huo conducter waaah
Huu wimbo hunibariki mara zote nikisikiliza. Nakuja nimebeba sifa kukuzungushia Mungu wangu.
Mung u azidi kuwalinda milele na milele.......Amina
Mtakatifu kizito asante wana kwaya nyimbo hii uwa naicheke toka mwaka jana
The song was sang by Mwingi Choir on the river bed not knowing that the Lord was hearing their voice and the death was hearing them too..may their soul rest in eternal peace 😭😭😭😭🙏
May they rest in peace
Amen
😭😭😭😭
Wimbo umenibariki sala kuanzia jana,nashindwa kuuchoka
Very interesting live performance,,,,responding accordingly,,metronome attained ,,blading is very nice mostly in all voices,,congrats
This song blesses me every day, when I feel am down I always listen to it,Am staut Catholic and I thank God for the enter choir
Asanteeeni saana kuimba ni kusali mara mbili
Hakuna mshindan juu yenu mubarikiwe kwa uinjilishaji
Amina
Wonderful choir master proud to be a Catholic woo
the conductor really inspires me. I just enjoy the music.be blessed.
Am loving it here in Madrid spain. The song is sure. Imetungwa kiajabu. Mungu awaongozee wito wa uimbaji. God bless Tz. From Madrid. Home ni kenya. Nchi jirani.
Thanks noemi from madrid
Hakika mungu ni mwema kila wakati
Napenda kwaya mt kizito makuburi nawapenda waimbaji wake wote na zipenda nyimbo zao zote nawapenda xna mnaimba vzr
Hongereni Sana.Nawatakieni Utume Mwema.TUMWIMBIE BWANA......,..........
Mungu apewe sifa na utukufu nanyi mbarikiwe sana. +
Nguluvi mwelemi SANA udalikhe yaani nafurahi SANA MUNGU awabariki sana
All Catholic choirmasters you're always on top
Many congrats to the choir master..you made the song more attractive
Waza angepata uwanja mpana ingekuwajeee!!!!????
@@aloycemsacky1433 iiiiiiiiiiiiiiiiiikkiikikiioik
Najivunia kuwa mkatoliki,
Nice song ❤️❤️
Wanakwaya wa makubuli nawakubali sana asante mungu kwa kukuimbia wimbo mzuri ka kukutukuza ww uliye juu Amina
Choir director....you are on point....you made me happy...
Mungu awabariki popote mnapolihubiri Neno lake Yesu Kristo
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼NABARIKIWA saaaana nisikiapo nyimbo zenu MUNGU awasimamie na kuwalinda
Choir master he is very competent
Sanaaa
Amazing
Choir master uko top!!! The choir is super i feel blessed
It was sung on my mums burial ,I like it but everytime I listen to it tears comes out uncontrollably.
Very sorry, God's power are unstoppable
Naupenda kweli huo wimbo. Na Kwaya ya St. Kizito imeutendea haki kabisaaaa. Thanks Kwaya master uko vizuri
Huyu master huwa namwangalia simmalizi
Wameimba vizuri kwa kweli mpaka unafraid kuwa mkatoliki
What a catholic song of best std ever blessings to all who made this song to media
Proud to be catholic 🥳😍
Hii kwaya huwa inanisisimua sanaa.😍
Sikia bwana sikie eeh MUNGU wa wokovu Wang🙌🙌🙌 sikia Leo tu MUNGU wangu naeleza furaha nilionayo mm nimejua ya kua we n MUNGU uliponitoa n siri yangu
Nzuri cana napenda kweli (tumwimbie bwana katika roho na kweli)
Dorcus Antony amina alleluya
Anybody being blessed with this song 2021....🙏🙏🙏We are here to stay with these Angelic voices.....+254 am looking for you🤗😇🥰🙏
Hamna mpinzani mungu awabariki sana na awape afya tele .nikisikiliza nyimbo zenu nasikia lahaaa
It's amazing how they corporate with the choir master.... This is a blessing indeed!
Mnajua hadi raha. huwa sichoki kisikiliza nyimbo zenu.Mung awabariki
Daaa upo vizur sana
Nice one
Hakika amefufuka haleluya
Yohana Mpagama ❤️
Hii ni kwaya gani kwani
Mungu awabarikia kuwa mkatoliki raha unaenjoi tu
Happy new year 2022 haupungui neno wewe ni Mungu Kila wakati
kazi nzuri kweli kweli
Mkovzur mnaimba kwahica kali hongereni sana
Hii ndo kwaya ya taifa bana hongereni mnoooooooo
Hapo sasa penda sana hii kwaya ilishabarikiwa Kwa uimbaji tu huwa mnanikosha sanaaa
Jamani jamani ninawapenda hawa watu Mungu izidi kuwabariki
iv mnaelewa uwo ujumbe vzr, ulishaa wahii sikia wap utaramu wa ivoooo
Aaaaaaaaa mungu apewe sifa kbx!!!
Hapo Sawa,wimbo mtamu kweli,,,manena nayo nisemeje...shukrani sana ...🙏🙏🙏
And finally they are with the Lord they left us with agood message.Amen Amen
Very powerful song, Thank you my Father .... Amen
Kwaya master uko vizuri sana🙏🙏👍
Wah! Nime skiza hii Nyimbo Nimeshinda kama Roho Mtakatifu Amenishukia, hongera sana Naja Kuwashuhudi Mkiimba Live
Mwalim umenibariki sana yaan umenogesha wimboo ipasavyo🙏
Best catholic medley I've ever seen. I didn't realise until the last song.
Ben 0713283960
@@bernardwanjala3070 hi
Mungu ni mwema may you continue RIP mwingi choir
This song makes my day! I love the choir master
Hawa jamaa wananibariki maana sichoki kuwaangalia wanatumia vipawa walivyojaaliwa na mwenyezi Mungu fanyeni kazi ya Mungu
Nakosaje mambo haya choirmaster unavyocheza tuu nami mwili mzima wacheza nice nice nimejua ya kwamba wewe ni Mungu kila wakati
Sauti yangu imebeba hisia zilizo Moyoni mwangu bwana 🙏
Mpiga tact hapo .....ubarikiwe na waimabaj mbarikiwe sana
Nice
mbarikiwe kwa uimbaji mzur
Mungu awabariki kwa wimbo mzuri
Mungu afanyie wepesi ame🎉🎉🎉🎉
Just going through this song evytime am down 😥😥 thanks for this song it helps me feel better
Amina mbalikiwe kwa jina la Bwana
Amina
You people are just on another level👍
Wimbo mtamu Sana ...my best Catholic hymn, congratulations @st kizito makuburi choir...
Kweli wewe ni Mungu kila wakati! Twakuomba uwatulize wote ambayo wamefiwa na wapendwa wao
Mnanibariki Sana wapendwa. Mungu azidi kuwainua kila siku .
Àmina
Liz. I feel blessed when I listen your songs, mkatoliki damu, be blessed
Beautiful music, beautiful choir.
Nimefarijika, kweli kabisa wewe ni mungu.
Baraka tele kwa uimbaji wenu.Mzidi kumtumikia Mungu kwa talanta yenu naye atazidi kuwabariki !
Amina
Amina❤❤
Sikia bwana sauti. Thank you Jesus.
Sikia Bwana sauti tangu, it's a blessing to me, l always meditate on it