Mungu uibariki hii kwaya na wakatolika na wasio wa katatolika wote kwa ujumla. Uibariki pia Afrika na wana Afrika kwa ujumla. Kiukweli wimbo huu hunisaidia sana kwa kutafakali maisha ya ukiristu. From Colorado 🇺🇸
Mbarikiwe Sanaa ❤️❤️ Mmeimba Kwa Utulivu Na Hisia Za Kuiombea Miito Hakika Mungu Yu Pamoja Nasi Kuiimbea Miito Mitakatifu katika kanisaaa💒💒💒💒 Nabarikiwa snaaa ninapo Isikiliza hii Nyimboooo🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hakika Mara zote mmekuwa mkinifariji kiukweli uvikanjo mmepata kunipa faraja pia kwa kongamano la vijana taifa Tanga hakika kazi yenu haiwezi kusahaulika
Kazi nzuri ilifanywa na Ayoub Myonga hakika kipindi hicho ndio utume Wa kwaya ulikuwepo, sasa imebaki jina uimbali ni Wa kiasi,ila Mungu awajalie mrudi katika uimbaji kama huu.
Mungu awabariki katika kulitangaza neno la Mungu. Hongera sana kwa wanakwaya na mtunzi, nasikia furaha sana nisikiapo na Kuona nyimbo hii. Sijawahi choka kusikiliza Siku zote
Hakika mmefanya kazi nzuri ya kitume.Mmetumia karama yenu kuhamasisha wote tuwajibike kuombea miito.Mbarikiwe sana.Nawakaribisheni wanaopenda kujiunga na shirika lolote la kitawa.....Nayafahamu baadhi ya mashirika pia. Hongereni sana tena sana wapendwa.
Hongereni sana waimbaji mnaimba vzri sana Mungu awatangulie katika kumtumikia Mungu ...na wapenda sana ...pia Mungu awalaze mahali pema wale walio kufa kwa ajari njombe Mbele yetu nyuma yenu
Asanteni sana ujumbe wenu,kwa kweli sala ndio nguzo imara,Frt Nicodemus Mutisya wa shirika la Missionaries of Mary Immaculate (MMI) toka jimbo katoliki la Machakos nchini Kenya
uvikanjo kwaya mbarikiwe sana kwa kutuinjirisha mungu awabari sana wimbo mzuri sana sichoki kuusikiriza mungu awape nguvu ya kuwahubiria wanadamu hapa duniani mavuno nimengi rakini wafanyakazi ni wachache tumwombe bwana wa mavuno awapereke watenda kazi shabani mwake
Mungu wetu ni mwema!Na tumwombe aongeze watenda kazi katika shamba lake ili Basi mavuno yale yaliyo mengi yapate wavunaji(watenda kazi) wa kutosha nasi tupate kuokoka
Hongereni jamani kwa uimbaji pia mnainjirisha mko vizuri Mungu awabariki na azidi kuwapa Upendo katika kikundi chenu na uaminifu katika Kumtumikia Mungu Asanteni.
Hongereni waimbaji kazi nzuri sana. Mungu wetu mkuu azidi kuwatia nguvu huduma yetu ya uimbaji Njombe izidi kukua na kuieneza injili kote ulimwenguni. na zaidi MIITO IWE NI CHACHU YA KUMTUKUZA MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI.
Mungu uibariki hii kwaya na wakatolika na wasio wa katatolika wote kwa ujumla. Uibariki pia Afrika na wana Afrika kwa ujumla. Kiukweli wimbo huu hunisaidia sana kwa kutafakali maisha ya ukiristu. From Colorado 🇺🇸
Hakika wimbo mzuri Sana, na mmeutendea haki kabisa kwa wote walioshiriki ktk kutuletea ujumbe huo. Hongereni Sana wanakwaya🙏🙏🤔
Aliwapeleka kweli mnanikumbusha msiba uliotokea kwenu kupitia wimbo huu naamini waliotangulia wanasifu na bwana mbinguni
Mbarikiwe Sanaa ❤️❤️ Mmeimba Kwa Utulivu Na Hisia Za Kuiombea Miito Hakika Mungu Yu Pamoja Nasi Kuiimbea Miito Mitakatifu katika kanisaaa💒💒💒💒 Nabarikiwa snaaa ninapo Isikiliza hii Nyimboooo🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Daah wimbo mzuri, Mungu awalaze mahala pema wale waliofikwa na umauti 😭
Hakika Mara zote mmekuwa mkinifariji kiukweli uvikanjo mmepata kunipa faraja pia kwa kongamano la vijana taifa Tanga hakika kazi yenu haiwezi kusahaulika
Amina wimbo mzuri kweli mavuno ni mengi watendakazi ni wachache
Asanteni watumishi wa MUNGU, vijana wa Njombe mbarikiwe. Kwa nyimbo nzuri.
Hongera wanakwaya
Hongera Myonga
Hongera organist
Hongera mwl. wa step
Hongera mumeutendea haki wimbo.
Kazi nzuri ilifanywa na Ayoub Myonga hakika kipindi hicho ndio utume Wa kwaya ulikuwepo, sasa imebaki jina uimbali ni Wa kiasi,ila Mungu awajalie mrudi katika uimbaji kama huu.
Mungu awabariki katika kulitangaza neno la Mungu. Hongera sana kwa wanakwaya na mtunzi, nasikia furaha sana nisikiapo na Kuona nyimbo hii. Sijawahi choka kusikiliza Siku zote
Niwimbo mzuri sana hongereni sana 🙏🙏👏👏
Tuzidi kuombea mapadri mabruda na mashemasi wazidi kutueka mbele ya Mungu
Ni moja ya kwaya iliyonifanya mpaka nikaweza kuutambua wito wangu na sasa nipo seminary kuu kwa malezi ya Upadre ,,,Mungu awabariki sans
Hongera sana kaka... Yesu kristo rafiki ako Akushikilie kweli kweli katika safari hiyo njema kabisa aliyoianzisha ndani mwako 🙏🏽❤️🙏🏽❤️❤️❤️
Kazi nzuri kutoka kwako kaka nyonga na nimefurahi kuona Kilocha seminari
my jimbo nakubali sana gonga like zote kama unawakubali kama mm apa
Given Israel yaa
@@martinkiwali2891 nawapenda bure uvikanjo
Hakika mmefanya kazi nzuri ya kitume.Mmetumia karama yenu kuhamasisha wote tuwajibike kuombea miito.Mbarikiwe sana.Nawakaribisheni wanaopenda kujiunga na shirika lolote la kitawa.....Nayafahamu baadhi ya mashirika pia. Hongereni sana tena sana wapendwa.
Hongereni sana waimbaji mnaimba vzri sana Mungu awatangulie katika kumtumikia Mungu ...na wapenda sana ...pia Mungu awalaze mahali pema wale walio kufa kwa ajari njombe Mbele yetu nyuma yenu
Jamani mnabariki sana,mko vzr kuanzia sauti,mavazi,style na vyote,,,bila kumsahau mpiga kinanda rafiki yangu A.Muyonga,,barikiwa sana
Basi naamini kwamba mmeenda,waliofikwa ma umauti mungu awape pumziko la milele
Nimemuona mwalim wangu mbarikiwe San sir luzo hongera san
Asanteni sana kwa wimbo mzuri mungu awazidishie baraka 🙏🙏
Hongereni kwa wimbo mzuri....tunaomba mtusaidie nota zake swahil music ili nasisi tuweze kuimba
Very pain full kwa ajali iliyowapata Mungu awapumzshe kwa amani na wngne uponyaj
Wimbo mzuri tulivu sana vijana njombe hongereni kwa kutuwakilisha.mungu awabariki mmeutendea haki kiukweli
Mbarikiwe sana
Uvikanjo mko juu sana ... Uimbaji wenu umetukuka na unapendeza sana
Hongern sana vijana kazi nzuri.hongeren sana HT mko vizuri sana.
Daaaa naikubali sn Nakumbuka fr. Wangu mwadende parokeya y mwambni songwe
Amina mavunonimengi watendakazi niwachache Mungu Awabarkisana.
Tumwombe BWANA wa mavuno awapekele watenda kazi shambani mwake. tuombe bila kuchoka. Hongera kwa ujumbe wenu umetufikia vema
Asanteni sana ujumbe wenu,kwa kweli sala ndio nguzo imara,Frt Nicodemus Mutisya wa shirika la Missionaries of Mary Immaculate (MMI) toka jimbo katoliki la Machakos nchini Kenya
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html Karibu kusikiliza zaidi Muziki mtakatifu kupitia link hii. Please subscribe🙏🏽.
Barikiwa sana
Huu wimbo umenibariki sana vijana tujiunge na kwaya
uvikanjo kwaya mbarikiwe
sana kwa kutuinjirisha mungu awabari sana
wimbo mzuri sana sichoki kuusikiriza
mungu awape nguvu ya kuwahubiria
wanadamu hapa duniani
mavuno nimengi rakini wafanyakazi
ni wachache tumwombe bwana
wa mavuno awapereke watenda kazi
shabani mwake
Mmm kweli mmeimba wimbo mzuri sauti zimetula mbarikiwe sana
Please for meaning 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾! So beautiful
yaani sijawahi kumiliki neon la kusema juu ya ufundi wako mkuu wangu Ayubu j Myonga ila namuomba Mungu akuzidishie ki-awa katika utunzi wako
Nikajua ni Albert F.Muyoga , maana nae fundi balaa yule mzee.
Am proud to be Catholic 🙏🙏
Ahsanteni kwa wimbo mzuru mito nayo huwa ni nguzo ya maisha yetu ya kanisa letu
Etoqae
Hadyis
Barikiwa sana kwa uimbaji wenu wimbo ni mzuri sana pamoja na ujumbe uliomo,,,,,,,,,,
Nyimbo nzuri Sana ndugu zangu hongeren❤
Asanteni sana kwa wimbo mzuri.Mmeimba mkiwa na utulivu wa kutosha .Mbarikiwe sana:
Mungu atukuzwe miito ibarikiwe.Amen
Namuonea wivu mcheza kinanda hongera sana kak unaweza pamoja na mashibe nyie talented
Mpaka kufundisha anafundisha anaitwa Mwalimu myonga nyimbo zake ni kali saana
Hongereni sana, bila kumsahau sir A, muyonga tallented one
Bravo sana kwa Ndugu yangu A.J Myonga pamoja na kwaya nzima. 🔥🔥
Hongera mtunzi ayubu muyonga daaaa na jopo lako
Mungu wetu ni mwema!Na tumwombe aongeze watenda kazi katika shamba lake ili Basi mavuno yale yaliyo mengi yapate wavunaji(watenda kazi) wa kutosha nasi tupate kuokoka
Hongera sana Mtunzi .... YOU ROCK
Copy kaka naweza kuipata? Wimbo umeusuka kisawasawa
Hongera sana kijana
Tafadhali tusaidie copy ya hii nondi kaka maana hiki ni kitu cha karne hongera sana
Can mm
Ninakuwa na furaha moyoni mwangu ninapo sikia nyimbo sa kwaya mbali mbali za kanisa letu Katolika. Mungu aendelee nguvu ya kutimiza kazi yake.
Ongereni Sana kwa uinjilishaji mzur
Hongereni jamani kwa uimbaji pia mnainjirisha mko vizuri Mungu awabariki na azidi kuwapa Upendo katika kikundi chenu na uaminifu katika Kumtumikia Mungu Asanteni.
The best thing Katika hi video ni kuona mazingiraa mazuri ya kilocha. .God bless u UVIKANJO Kaz nzuriii mmeifanya
Hongereni sana nawatakieni utume mwema
Hongereni sana kwaya nzuri
Hongereni Uvikanjo ujumbe mzuri,hongera sana mpiga kinanda na Holly Trinity studios hakika wimbo mzuri.
I just love the orgarn, moves, vocals, May God bless you, tuzidi kuombea miito katika kanisa
kazi safi...tuombe pia tuweze kulieneza neno la mungu pote na popote.heko
Ayubu na kuona katikautendaji wakazi kumtumikia mungu ipasavyo mbarikiwe wote mlioshiriki hongereni wimbo uko poa sana amiina
Mbarikiwe wanakwaya wote...kazi nzuri sana, Tuendelee kuiombea miito Mitakatifu Amina
Dada tele kwa mbaaaali,, ruzooo tas na woooote barikiweni saaana tuiombee miito
namwona roozo na dada rudesinta
Hongera sana wapendwa kazi nzuri sana ya Kumsifu Bwana Mungu,, HT Mungu awabariki
hongeren kwa kwaya nzur mngu awabariki mzidi kuitenda kaz ya mngu kwa amani
Honger kwa kuimb vizur
Safi sana watu wanjombe yaani katoliki bwana raha sana mziki wa njombe ni sawa nawa ukerewe
Mungu awabariki ndugu zangu UVIKANJO kwa wimbo huo na wote waliowezesha kufikia hatua hii.
Mellow Studio chini ya B.M Hongera.
wimbo mzuri umetulia saut saf mpiga Kinanda safi video safiiii
Hongera Xana Wana kwaya
Great choir, mtunzi apewe soda nakuja kulipia. God bless you guys. Asante Myonga
Hongereni uvikanjo makambako mmeimba vizuri mmetulia mwenyezi Mungu azidiii kuwajalia afya njema
Tumwombe Bwana wa Mavuno apeleke watenda kazi katika Shamba la Bwana..Baraka tele kwenu kwa Ujumbe mzuri..
Waaooh 🤗🤗🙏🏽❤️🙏🏽❤️🙏🏽❤️❤️❤️🔥
Asanteni kwa ujumbe mzuri na kutukumbusha jambo muhimu kweli yatupasa kuiombea miito mitakatifu
Mungu awabariki
Kazi nzuri sana wana Uvikanjo. Nimewaona ndugu zangu Mungu awabariki sana.
Amina MUNGU Awabariki wote Mlio shiriki kuinjilisha
Hongereni waimbaji kazi nzuri sana. Mungu wetu mkuu azidi kuwatia nguvu huduma yetu ya uimbaji Njombe izidi kukua na kuieneza injili kote ulimwenguni. na zaidi MIITO IWE NI CHACHU YA KUMTUKUZA MUNGU KATIKA ROHO NA KWELI.
Mpo vizuri sana wana UVIKANJO wenzangu Mungu awabariki sana. Nitawaalika kwenye jubilei yangu.
Sawa sr tutakuja
woyooooo kazi nzuri sana, hongereni HT, Uvikanjo pamoja na mwalimu Myonga Mungu awabariki sana
Kwakeli Mungu awabariki sana uvikanjo...hii style ya uimbaji nimeipenda sana aisee...
hongereni sana ! wimbo umenibariki sana
Hongereni sana nawapenda bureeeee
Daa! mbarikiwe Sana mmetoajumbe mzur katka mandhar nzur kabsa, mzki umetulia kabsa
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html Karibu kusikiliza zaidi Muziki mtakatifu kupitia link hii. Please subscribe🙏🏽.
Wimbo mzuri nimeupenda sana hongereni sana
Safi sana Wanakwaya, Hakika Kuna Raha tele ndani ya Kanisa Katoliki.
Mubarikiwe wapendwa wimbo umetulia
hongereni sana jamani.MUNGU awabariki kwa kazi nzuri,hakika MUNGU atukuzwe daima.
I'm proud to be Catholic. Kazi nzuri saana. Hakika Ujumbe umefika, hongereni kwa utunzi mzuri
Mmeimba vizuri Sana na mmependeza. Mungu awabariki Sana.
Bwana pokea ombi letu. Amina.
Hongera Wanakwaya
Mungu awabariki. Wimbo umetulia na kuimbwa kwa utulivu. Nasi tumeutafakari
Uvikanjo Njombe hongera kwa ujumbe mzuri Mungu awe nanyi
S
Safi sana uvikanjo.
WOW WIMBO MZURI SANA..... 👌👌👍👍
Mavuno ni mengi watenda kazi wachache
Kazi nzuri sana hongera nawatakia kila LA heri katika uimbaji wenu
Holly trinity kazi yenu Nzuri Sana Mungu awabariki
Mungu awabariki sana.
kwakweli wimbo mzuri sana hongela
Nzuri San 🎵 naona jamaazangu wapo vizuri holly trinity mpojuu mungu awape nguvu zaidi ya hapo mfike mbali zaidi
Hongeren sana
Nyimbo ni nzuri sana hongereni sana
Ujumbe mzuri sana , Hongera sana mwl wangu Myonga Mungu aendelee kukutumia.
Nice song big up HT kwa kaz nzur
Ahsant
safi sana, hongereni mno.... naomba msaada wa nota zake ka inawezekana🙏
Kazin nzur Amina sana
Asanteni sana wanakwaya kwa nyimbo nzuri
Nyimbo nzuri sana aisee, Nabarikiwa sana ninaposikia nyimbo nzuri. Mungu azidi kuwaongoza katika utume wenu wa uimbaji.
th-cam.com/video/UWbuppK_p78/w-d-xo.html Karibu kusikiliza zaidi Muziki mtakatifu kupitia link hii. Please subscribe🙏🏽.
Pongezi kwa video production umefanya kitu kitamu sana naiangaria toka babati
Mungu ni mwema
Hongera sana kwa kutumia talanta ya kuwimbia Mungu
Asanteni Wana njombe na mwalimu wangu