Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️ youtube.com/@Jackchalz INSTAGRAM: instagram.com/jacchalz TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
Brother Jack tutakuwa hatuna shukurani Kama hatuta kushukuru kwa unalotutendea walah tunajisikia faraja sn na ni Kama tupo America tuafanya utalii,mungu akubariki Sana na akuepushe na mabalaa uzidi kutupa ufahamu zaidi ya nchi hiyo
Sijambo. Haujambo Mr. Jack wa USA? Naomba uende Hollywood ukarekodi video ya - Studio ya 20/21 century fox - Alama za vidole/mikono za masupa staa zilizo wekwa kwenye mtaa mmoja wa hapo Hollywood zikiwemo za mtu mweusi aliyetunga wimbo wa Christmas uitwao Mary's boy child - Studio ya Colombia pictures.
Unajua jack kitu nilicho Gundua ..awa zungu sio wakali sana kwa izi show ila ...vyombo vyao vya Habari ni very powerful...ndio maana kazi zao zinaenda mbali sana...lKini ni wa kawaida...
Please Subscribe to the English Version of my channel ⬇️ ⬇️
youtube.com/@Jackchalz
INSTAGRAM: instagram.com/jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@jackchalz?_t=8aAkPhjhOMV&_r=1
Congratulations jack for taking us live to American got talent, you are the first African to this, big up!🔥🔥🔥 we love you too much ♥️♥️♥️
Brother Jack tutakuwa hatuna shukurani Kama hatuta kushukuru kwa unalotutendea walah tunajisikia faraja sn na ni Kama tupo America tuafanya utalii,mungu akubariki Sana na akuepushe na mabalaa uzidi kutupa ufahamu zaidi ya nchi hiyo
Amina na Asante!
Kaka. Uko vizuri sanaa. Keep up bro. Tunajifunza mengi sanaa
Nakubali kazi zako mkuu Mungu akupe mpunga mrefu zaidi
Amina. Ubarikiwe sana!
Uko tofauti na watoa content wa uko USA,,, content zako mzuri sana na zimeshiba ,,,you are genius bro salute nying sana kaka
🙏🏾🙏🏾
No offense but Ibrahim Onami and the rest should see this
@@jackwausa habari yako naomba number yako please
We jamaa ni moto..💥💥💥mpaka huku umetubeba....eh bhana eeh.... Basi nshafika US sasa ngoja tuvibe tu👏👏👏👏
Pamoja sana!
Niaje kk
@@bakarisultanindima3513 gudah man
Nicely wow am so proud of you Mr jack that place got talent is very amazingly for this showtoday, u have been killing it for me
Hii video imenigusaa💪🚀..Much love From Daressalaam,Tanzania ☺️
Mzazii nakubali mitaa unaikata kama upo mbagala😂😂😂
POA Sana from 🇹🇿
#more_health_more_confidence_more_skills_more_power God give you🙏🙏
Thanks!
You are so talented boy ,big up
💪💪💪 upo safi sana blood haujawah niangusha since day one pamoja sana blood
Noooma saaaaaaaaaaaaaaaana brooo so kwa vibe hilo wooooooooooow haatariiii sana
Poa sana jack,nakukubali
Jack we mtam!!..uko vzr sana
daaaaa!! yaaani mwamba umefika mpaka umu kweli ww noma😂😂
Content yako ni to notch for sure...❤
Wow! Jack
Mm nakufatilia sana ndugu niko manzese hapa
I feel like I am in los Angeles already,Mr jack hivi karibuni nitakuwa america.
Simon 😊😊😊😊😊
i was watching there show one day i thought i saw you I was Right well done bro thanks for representing
"wanakagua vitu kama una mabomu"🤣
Habari zenu tena nakukubari sana mzee
Pamoja sana
Kazi nzuri mwamba
Ss hatuwezi kufika huko lakoni tunaahukuru kwa kujitoa kwako ili nasi tuone watu wanaishije asante sana
Good Master
Moja mbaya keep it up bro
Kazi nzuri kaka yangu nipatieni subscriber kaka zangu watazania
Umetisha babu
Vzr sana got talent naikubali kinoma
Hongera sana Sanaa Mr Jack nipo Tz nimependa sana
Broo me Niko Tanzania naitwa hasheem mwiru nakukubali sana aisee
When Jack said, you don't need a Visa and Flight to USA He mean it. I feel like I am in USA without flight and VISA
Nakubali kazi zako kaka
Kazi nzur
Kaka upo vzr sana aise
Very amazing content bro. Keep going!
Keep it up broh ..umefanya Cont. Ya kinyamaa ..jmn tuendelee kushare ili kukuza account ya bro wetu .. subscribers na kushare kwa wingii
This it's incredible ❤
Nice content, Always Mr Jack 💪🏽
BRO KISWAHILI CHAKO NI TOP NOTCH.
Shukrani!
We jamaa utengwe ni 🔥🔥
Kazi safi sana bro
Asante
Eeeh mzee nakubali adventure zako siyo za kitoto kabisa , hii funny hata mimi naweza Nika dandiya aiseee. 🇧🇮
Noma
Kaz zuri jack 🇹🇿👍🥰
Hongera Bro...Simon ni maarufu sana
AGT is on TOP
Yah cool man
Kazi nzuri sana
Shukrani!
Noma sana 🔥🔥
Jack Millard ayo needs you alot
Nairobi iko ndani
nakukuuubaliii miaka miyaaa
Sijambo. Haujambo Mr. Jack wa USA? Naomba uende Hollywood ukarekodi video ya - Studio ya 20/21 century fox - Alama za vidole/mikono za masupa staa zilizo wekwa kwenye mtaa mmoja wa hapo Hollywood zikiwemo za mtu mweusi aliyetunga wimbo wa Christmas uitwao Mary's boy child - Studio ya Colombia pictures.
Wa pili. Simon yuko vizuri sana
that is good
Bro natamani sana kwenda AGT unaweza ukanisaidia kaka
Keep it up Jack
Vizuri sana jack
Jack wa USA
🔥🔥🔥🔥
Wakwanza Leo 🔥🔥🔥
Shoo nimeipenda
congrat
Du uyu Jamaa jembe anajiamini balaaa
jack nakuelewa sana tunaona watanzania wanashiriki wengine wanasema hiyo ni edit sasa hebu tufumbue tuliowaona ni kweli walishiriki au
Bless brother enjoy life. Unyama mwingi
🙏🏾
Safi kk piga kazi kaziinderee tupo tunasafotiana kk tz big up
Mambo Vipi Jack Upo Fresh We Na Shida Na We Kam Hutojali Naomba Namba Zako Tuwasiliane
Jackcharles2021@gmail.com
Good content🔥
One love
Content ingine kali
America's Got Talent 🔥🔥🔥
Ushauri wangu bro nenda zile sehemu ambazo kunawatu ambao wanaishi maisha magumu ili tujifunze kitu kwa wale ambao tunatamani kufika huko
Duu vip
Alafu we wakishua ujue 😂😂😂😂😂
kaka mungu akubariki endelea kutuonesha zaidi
Amina!
Have a good time jack!
Broo unatembea balaa naomba ela ya idd kaka🤣🤣
Unyama mwanangu
🎉🎉
nakumbuka mwezi wa kwanza ndugu alituambia kua atatuonyesha malekani ambyo hatuiyoni kwenye tv.
Nime enjoy hahaaa watu wanaenda najesy bongo huwazuiii😢
♥️🇹🇿🇺🇸🇹🇿🇺🇸♥️
Tukutanishe na watanzania hata mara moja asee mbona wenzetu wakenya hua wanatuinesha wako pamoja
Kuna siku alienda live ya zaid ya saa 1 akiwa na watz wenzake walikuwa kama 8 hiv
Safisana. Ushauri wangu kwako muache kuweka marasta kichwani .unapendeza sana
Makini 😅
Good work broo😂😂
Thanks!
@@jackwausa 👍
Kazi njema sana kaka, content ya kebabe sana
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
Una tisha
Unajua jack kitu nilicho Gundua ..awa zungu sio wakali sana kwa izi show ila ...vyombo vyao vya Habari ni very powerful...ndio maana kazi zao zinaenda mbali sana...lKini ni wa kawaida...
nmependa sana wenzetu wanavyofanya mambo kistaarabu kwanzia kwenye foleni ya tiketi .,kuingia na kutoka ukumbini kistaarabu sana yaan daah unyama sana
Kwanza wanavyovaa, mpangilio wa mitaa, usafi wa maeneo yao kuitazama tu unaona hawa wastaarabu
ninutamaduni walipjengewa toka watoto sie huku tunasukumana
🤣🤣🤣mbavu zang yn apo kwenye kusumana nd kila sehem mpk benki sasa subir iyo cku y kupig kura hee yn wapigwa kikumbo kimoja t chalii
Unaupiga mwingi sana
Kwa siku show ngapi and kwa wiki mara ngapi wanafanya ?
VIP ni mangapi bro pesa ya Kenya
Kimya kaka
Iyo ticket Ina cost hela ya kwetu km kiasi gani ? TZ
Unaupiga mwingii balaaa