ALLY SALIM ANAWEZA KUZIBA MASHIMO YA AYOUB LAKRED| ALIKUWA SHUJAA WA SIMBA KWENYE NGAO YA HISANI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 28

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 14 วันที่ผ่านมา +3

    Edu Kumwembe ameongelea vizuri sana Matola. MATOLA NI SIMBA

  • @boscoShama
    @boscoShama 14 วันที่ผ่านมา +3

    Nia ya oscar mpuzi ni kuchonganisha uongoz wa simba tumekugu ndua

  • @MichaelMipawa-vx5om
    @MichaelMipawa-vx5om 14 วันที่ผ่านมา +2

    KAKA hapo umeongea la maana Sana huyo matola ndo jipu Simba hayo mambo ya undugu ndo yanagharimu timu tunamwamini sanaaa

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 14 วันที่ผ่านมา +2

    Yan hii tv waliopo wot ni mashabik wa yanga wanachambuw mpir kiunafik na fik tu media ya kupat tarifa za uhakik skuiz ni crown t

  • @oscarery9727
    @oscarery9727 14 วันที่ผ่านมา

    Hawa jamaa niwanafki Sana uchambuzu wao wakichonganishi kinoma

  • @SamsonMwambope
    @SamsonMwambope 14 วันที่ผ่านมา

    Chalenji yanini pale wote wapo kazini,awapo kwenye ushindani

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 14 วันที่ผ่านมา +2

    Oscar na domo lako kubwaa umejaa unafiki

  • @victordanistan7470
    @victordanistan7470 14 วันที่ผ่านมา

    Oscar acha upuuzi basiii, Uwe unauliza kwanza hayo maswali ya Matola kuwa kocha Msaidizi, Inaonesha huna kumbukumbu nzuri za mambo yaliyopita... yaan unakuwa kama mtoto...

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 14 วันที่ผ่านมา +1

    Makipa wetu wapiga GENZ kama wakina MANURA ukikutana na Yanga hela zisha weka Kwa acount zao

  • @amaniomar1755
    @amaniomar1755 14 วันที่ผ่านมา +1

    Sema Simba SC muda mwengine inachanganya sana

  • @KasaleAndrew
    @KasaleAndrew 14 วันที่ผ่านมา +1

    wa kwanza

  • @boscoShama
    @boscoShama 14 วันที่ผ่านมา +1

    Oscar we mnafiki tu momo anaakili sana

  • @MwatangaSalum
    @MwatangaSalum 14 วันที่ผ่านมา +1

    Bwege uyo oscar

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 14 วันที่ผ่านมา +2

    Oscar wacha ushabiki !!!

  • @gabriellaizer9925
    @gabriellaizer9925 14 วันที่ผ่านมา

    Oscar uko sawa kabisa matola ni tatizo kwenye hiyo timu matola aondokee

  • @MichaelMagawa-xn2ht
    @MichaelMagawa-xn2ht 14 วันที่ผ่านมา

    Et abeeeeeee naaaam

  • @bonifacegasper9508
    @bonifacegasper9508 14 วันที่ผ่านมา

    Acha kuonyesha langi moja,hayo majungu.

  • @AllyHussein-qc3vm
    @AllyHussein-qc3vm 14 วันที่ผ่านมา

    Acheni ushamba mnaona oscar mchonganishi hilo swali la msingi sana

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 14 วันที่ผ่านมา

    Ina maana kama matola anawamonitor makocha basi ndio anaye tuhalibia

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 14 วันที่ผ่านมา +1

    Sorry , sio Katompa bali ni Matampi .