Saves za golikipa Ally Salim Simba vs Yanga (2-0) | NBC Premier League 16/04/2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • KARIAKOO DERBY: Ni mechi iliyomalizika kwa Simba kushinda 2-0 dhidi ya Yanga huku wakiwa wameingia na 'surprise' ya golikipa wao namba tatu, Ally Salim ambaye alikuwa akiicheza mchezo wake wa pili kwenye ligi lakini derby ya kwanza katika historia ya maisha yake.
    Hii ni sehemu ya kazi aliyoifanya langoni kwa Simba...
    Je, unadhani angekuwa mwingine ubao wa matokeo ungesomekaje?

ความคิดเห็น • 89

  • @ramadhaniamri3465
    @ramadhaniamri3465 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana Ally salimu Dogo janja Mungu akujalie uzima na nguvu na hekima na akili ktk timu yetu ya Simba sc..... Aamiin

  • @shanmlawa
    @shanmlawa ปีที่แล้ว +7

    Alivyoletwa Koch wa keeper Simba waliosema Teja Ila hio ndo kaz yake sasa

  • @sesanyisesanyi-mh7ug
    @sesanyisesanyi-mh7ug ปีที่แล้ว +1

    He might be THE FIRST BEST in the SIMBA FC for my opinion

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 ปีที่แล้ว +1

    Dah Yupo good sana

  • @zehrahaji1566
    @zehrahaji1566 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Mungu azidi kukubariki🤲🤲🤲

  • @mwajumaabdallah3254
    @mwajumaabdallah3254 ปีที่แล้ว

    Hii mechi hainitoshi kuangalia,i’m so happy ❤❤❤

  • @yasintakahamba1320
    @yasintakahamba1320 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri golikipa

  • @aginsagins-jf4vz
    @aginsagins-jf4vz ปีที่แล้ว

    Kipa wa boli ni Ally #salim tu tunakupenda wana msimbazi❤❤❤

  • @emanuelmasele8213
    @emanuelmasele8213 ปีที่แล้ว +2

    Goalkeeper Yuko vzur Sana

    • @AbdallahMohamed-uz3vr
      @AbdallahMohamed-uz3vr ปีที่แล้ว

      Ila Nikosa kuruhusu mashambulizi kwa kiwango kile kipa anachoka

    • @hanifaomar7438
      @hanifaomar7438 ปีที่แล้ว

      ​@@AbdallahMohamed-uz3vr kweli alitumika sana

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 ปีที่แล้ว

    Well done Alli Salum Goalkeeper Simba Sports club

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 ปีที่แล้ว +1

    Ali Salim amecheza Kwa nafasi kubwa Sana ukisikia kupambana basi dogo alipambana

  • @azizaMohammed-jh4oq
    @azizaMohammed-jh4oq ปีที่แล้ว +1

    Ulipo sikia namba tatu ukajuwa co namba huyu ni kipa wa boll💪

  • @athmaniidd437
    @athmaniidd437 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 ปีที่แล้ว +2

    Ni mwepesi ukilinganisha na air manula!

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 ปีที่แล้ว

    Umeweza broo

  • @hasreeyasini
    @hasreeyasini ปีที่แล้ว +2

    Ttz mvua Mpira unateleza

  • @Michael-mr5rm
    @Michael-mr5rm ปีที่แล้ว +1

    Hapo ni kipa namba tatu sasa angekuwa yule wa club bingwaje

  • @stephenkingdomofgod-tq9sk
    @stephenkingdomofgod-tq9sk ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwa namna hii utasema yanga walidharau mechi? Ulitaka wachezaje? Ila wasifu simba lkn yanga huna cha kuwadai...

  • @heryjafari7786
    @heryjafari7786 ปีที่แล้ว +1

    Huyu sio kipa ni jini jamani

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 ปีที่แล้ว +1

    Keep jikaz usiwe unatematema baron watakufunga san ukifanya kosa kam hilo

  • @harounali9057
    @harounali9057 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri Azam tv

  • @omarbuud-tc4jj
    @omarbuud-tc4jj ปีที่แล้ว +1

    Kusema kweli huyu dogo mzur kuliko salum manula simba wawewanamuanzisha huyu dogo hata katika team ya taifa iwehivyo ila manula mhh hamna kitu

    • @DrswalehOmarry
      @DrswalehOmarry ปีที่แล้ว +1

      Ndugu samahan lkn japo ni mtazamo wako ila pls huko ni kumkosea heshma manula na taifa kwa ujumla iwe ni shabiki wa simba au yanga thaman na uwezo wa manula upo juu sana kuliko ally salim ila kwetu mashabik ni kuzid kumuombea Dua na kumpa hamasa zaid coz ndio hazina ya taifa kwa bdae kidogo lkn kwa sasa manula ni topp golikipa ndani ya tz

    • @omarbuud-tc4jj
      @omarbuud-tc4jj ปีที่แล้ว

      @@DrswalehOmarry hahahahaha mm sishabiki WA team yyte but Hua naangalia kizur mm nahua nasema fact sikama ninachuki lahasha this my truth... Huyo dogo apewe nafas then we will see

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 ปีที่แล้ว +1

    Inonga alikumkubali nami masema dogo anajua Tena anajua Tena

  • @muhammadjamady-zx1jy
    @muhammadjamady-zx1jy ปีที่แล้ว

    duuuu bongo ban

  • @shaamefaki5013
    @shaamefaki5013 ปีที่แล้ว

    Bwana yule Ali salimu ni kipa la caf

  • @jiweg-unit5408
    @jiweg-unit5408 ปีที่แล้ว

    Sijui kwanini wachezaji wa Tanzania ligi ya psl ya South Africa inawashinda laki wamalawi,Botswana na wazimbabwe kibao tuu

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว +1

    Kama utaangalia vizuri mashuti aliyookoa huwezi kumsifu huyo kipa wa Simba kwasababu mashuti mengi aliyookoa yamepigwa pale alipo, na sio pembeni ya goli au katika engo.
    Ni wapigaji wa Yanga hawakuwa makini katika kupiga mashuti, tatizo fowadi hawaangalii akina Messi wanavyofunga, kuna mipira mingine ile ya karibu na goli ili ufunge hutakiwi kupiga shuti kali ila unakiwa upress tu kidogo

    • @restitutampande6465
      @restitutampande6465 ปีที่แล้ว

      Poleeeeeeeerre mno

    • @halima1798
      @halima1798 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂inakuuma eee jikaze tu hamn namna🦁🦁

    • @ppab
      @ppab ปีที่แล้ว

      Siku zote ukitaka kujua kitu kizuri usiangalie tu hiyo siku moja lakini angalia siku tofauti tofauti ndio utajua hiki ni bora au lah! Wewe sema unaongea kishabiki huyu kipa mimi naweza nikasema ni zaidi ya Aishi Manula maana anajua anakaa je kulinda lakini Manula siku hizi amekuwa wa kuruka ovyo tu hata ukiangalia magoli anayofungwa ni ya ovyo sana

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 ปีที่แล้ว +1

      mimi ni simba lakini kiukweli sijaona miwa yakufaa mtu ulemshuti wakibu denis angepigiwa nakuipangua ndio tumsifuuu mashutu yavikojozi yanga hayakuwa na afya

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 ปีที่แล้ว

      @@halima1798 mimi nazungumzia uhalisia, sipo katika ushabiki. Halafu mashuti mengine yalikuwa ya mbali sana kama aliyopiga Mayele mita 20+, hata kipa ningekuwa mimi hunifungi umbali wa zaidi mita 20.
      Simba waliwazidi Yanga katika ukabaji na ndio maana Mayele alikuwa akijaribu kupiga mashuti mbali kwasababu ilikuwa ngumu kwao kulikaribia lango la Simba.

  • @josephfrank4446
    @josephfrank4446 ปีที่แล้ว

    Ally sakimu

  • @victormbugobola802
    @victormbugobola802 ปีที่แล้ว +1

    Kukuta mashabiki wa bongo ni mandaz Leo kipa kasifiwa siku akipgwa nyingi wanaanza kumpondwa mbovu hiii nd bongo😂😂😂😂😂😂 wanatakaga mazur tu wanasahau Leo unaweza kuwa form kesho game ikagoma

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      Kubali umepigwa boya wewe

    • @victormbugobola802
      @victormbugobola802 ปีที่แล้ว

      Boya mwnyw nan kakata kupgwa mbwa koko ww ngurewe nyeus KoLo

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 ปีที่แล้ว

    Ally salim goli kipa wa boli

  • @user-jm8xp5tu9p
    @user-jm8xp5tu9p ปีที่แล้ว

    Da tujuwane wale wenye mpresha

  • @shahidukatiko8534
    @shahidukatiko8534 ปีที่แล้ว

    Golikipa wa mpira

  • @ashuu7772
    @ashuu7772 ปีที่แล้ว

    Nabi suruali ilikuwa inanini

  • @muhammadjamady-zx1jy
    @muhammadjamady-zx1jy ปีที่แล้ว

    nyieee msifun tu

  • @maulidmnukwa3171
    @maulidmnukwa3171 ปีที่แล้ว

    Ila huyo dogo alitubeba mbwa Sisi kimtindo Hatari saana

  • @PhillipoSamwel-yv6sz
    @PhillipoSamwel-yv6sz ปีที่แล้ว

    Muweken na wydad

    • @naimahhussein8430
      @naimahhussein8430 ปีที่แล้ว

      😅😅😅aliwekwa kwa ihefu mkasema muweken darbi kawekwa amemaliz vizur mkasem muweken na waydad kawekwa tena katoka salamaaa 😅😅😅😅mpe mauwa yake 🌷💐🌷💐🌷💐🌺🌺🌺🌷💐💐🌷🌷🌷💐😊😊😊😊😊😊

  • @starWeldo2022
    @starWeldo2022 ปีที่แล้ว +1

    Mulijuwa muweke huyu mungeliweka kile kibonde kilicho hogopa much mungeliona 5-2
    Ila ongereni sana watani pia mungu away bless Champions league African

    • @gikadotv2148
      @gikadotv2148 ปีที่แล้ว

      Andika vzr kiswahili 😂😂

    • @ramadhaniamri3465
      @ramadhaniamri3465 ปีที่แล้ว +1

      Lione hata kuandika hali jui muandiko mbovu kama yanga yako.

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      ​@@ramadhaniamri3465 😂

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

    Eti kipa wa boll😂😂

  • @hajihija1903
    @hajihija1903 ปีที่แล้ว

    Azam tv muna vimbwembwe kweli ikipocheza Yanga ikamfunga Simba mechi zote skuona hii kitu ila mechi ya kushinda simba kila kitu munachambua

    • @Michael-mr5rm
      @Michael-mr5rm ปีที่แล้ว +1

      Simba ndio icon ya mpira ndugu😊

    • @iamdivineimage
      @iamdivineimage ปีที่แล้ว +1

      Kama mechi haina save za maana wapost nini? Acha unazi wewe Uto

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 ปีที่แล้ว

      Jamani wanamkaribisha mgeni 😹😹😹😹

  • @hassanhamad1292
    @hassanhamad1292 ปีที่แล้ว +2

    Hapo hamna kipa msimsifie bule bdo anatakiw ajifunze mipira bdo anaiachia san yan inamtoka sn

    • @innocenthaulee
      @innocenthaulee ปีที่แล้ว

      Cleansheet

    • @rogersapolo6181
      @rogersapolo6181 ปีที่แล้ว +2

      Sawa, lakini angedaka Aishi au Beno ukweli nikwamba lazima pangekua na tungepigwa. Hii match ni ngumu ina presha na yeye maskini ndio anajitafuta kwahio hana ule u comfortable saana. Anaogopa akikosea atalaumiwa na kuto kuaminika tena

    • @melkiadgangai5271
      @melkiadgangai5271 ปีที่แล้ว +1

      Acha roho mbaya ww mtu anapofanya vzur mpe sifa zake, achana na ushabiki maandazi kwakuwa imefungwa timu yako ndo mana maneno yanakutoka hivo. Huyo anayejua kudaka mbona kafungwa mawili au hakuwa golini? Unaongea pumba

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 ปีที่แล้ว

      Kwa mvua ile unadhani mpira unaweza kukaa mkononi kwa uhakika??..au unaangalia kishabiki,ndio maana mipira mingi badala ya kudaka alikuwa anaipiga ngumi hiyo ni moja ya njia nzuri kwa mpira unaoteleza

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 ปีที่แล้ว

      Na kama hamna kipa mbona yanga wameshindwa kumfunga?hebu na yanga mechi kubwa wajaribu kuweka kipa namba tatu waone itakuwaje..huyo mpaka mechi ya CAF kadaka tena vizuri tu

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 ปีที่แล้ว +1

    Kwakipa huyu mtakulanyingi tu

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว +1

      Huoni refa kageuka kuisadia yanga na kutoa faulu nyingi ili yanga wasawazishe lkn wamekwama?
      Yaani WAMELLOWWA

    • @teddymhagama611
      @teddymhagama611 ปีที่แล้ว

      mmekandwa🤣🤣🤣

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 ปีที่แล้ว

      Inauma sana lkn mtulie tu

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      😂😂 wewe ulikula ngapi kwa Ihefu kwa simba umekula ngapi 😂😂😂😂😂😂😂

  • @JoshuaMercuryMercury-dt7mr
    @JoshuaMercuryMercury-dt7mr ปีที่แล้ว +1

    Huyo dogo hajakutana za Moto bado ipo siku atashikwa pabaya 🤔🤔

    • @ramadhaniamri3465
      @ramadhaniamri3465 ปีที่แล้ว +2

      Hajakutana za moto ndiyo nini? hata kuandika hujui atashikwa pabaya ndiyo nini! Pabaya utashikwa wewe punga chele.

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 ปีที่แล้ว

      Huoni wa yanga kapelekewa moto hadi refa kupunguza goli kwa kusudi
      Yaani yanga WAMELLOWWA mpk mwisho

    • @teddymhagama611
      @teddymhagama611 ปีที่แล้ว

      unaumia ukiwa wapi?

    • @zehrahaji1566
      @zehrahaji1566 ปีที่แล้ว

      Unauma Sana lkn kitu kimeingia na amjafanya lolote kudadadek

    • @Michael-mr5rm
      @Michael-mr5rm ปีที่แล้ว

      Ila sio zidi ya utopolo

  • @jumayusuf1694
    @jumayusuf1694 ปีที่แล้ว

    Hamna kitu hana mambo ana mambo ya kujifunza ukitizama mipira karibia yote anaitemea ndani karibu na maadui sasa hali kama unakumbata na straika ambaye muda ote anacheza kwenye boksi basi habari ni tofauti N.B Gemu ya Waydad Hatufai huyu

    • @marrypius576
      @marrypius576 ปีที่แล้ว

      We naye sijui mchawi wa gamboshi yqn mtu anajitahid bado unaleta maneno utadhan shangingi la kizaramo yan wanaume wengine bahna😏😏🤤

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 ปีที่แล้ว

      @@marrypius576 inawezekana ndugu yangu umejaji mpira baada ya kuona Simba ameshinda ila narudia bado ana nafasi ya kujifunza binafsi Gemu ya Wydad ni bora golini akae Beno huyu Ally Salum kama umemtizama vizur save mipira anatema mbaya zaidi anatemea mbele sasa kama unapata mpinzani ambaye wanamshambuliaji anaecheza ndani ya boksi muda wote basi tambua mapema tu tunafungika SIKUSHANGAI KUTONIFAHAMU KWA KUWA UNAITWA MARRY JINSIA YAKO INAKURUHUSU KUWA BARMAID NA SIO KUJADILI MPIRA

    • @donaldtadeodontado9991
      @donaldtadeodontado9991 ปีที่แล้ว

      Acha wivuu we mzee mzima unamuonea wivu kijana ushakufaa fala weww

    • @jumayusuf1694
      @jumayusuf1694 ปีที่แล้ว

      @@donaldtadeodontado9991 Ndugu hii ndo shida ya kuwa na mashabiki walokuwa wanaishi mikoani haya Tumuweke gemu ya Wydad

    • @marrypius576
      @marrypius576 ปีที่แล้ว

      @@jumayusuf1694 una akili kweli ww kwahiy ww unaishi mbinguni yan ujielew kabisa eti mikoan kwahy dar ndo mikoa yakuringia asee🤣🤣🤣 na tunaoishi nje je tusemeje? Ww kukaa dar ndo unaon umefikaaaaa🤣🤣🤣 kweli akili kisude