Mbona hatuwasifu babu zetu wanao tengeneza flying saucer(nyungo) ni sound proof, pollution free kwenda canada na kurudi ndani ya saa moja. African technology.
Imetengenezwa hapa na muwekezaji ni campuni ya nchini Czech republic, karakana ipo morogoro, ok mweusi hajafanya sawa ila imeundiwa Tanzania from the scratch. Na ni lini tutasifu vitu vinavyotokea hapa kwetu? Toyota zinazotengenezwa SA ni made from SA na kama Japan watasema but ni same brand campuni Moja nchi tofauti. Mpaka hii mindset ya kimaskini itoke kwenye vichwa vya watz wengi dunia itakua ishaisha. Ndoo maana Kenya ealisema Kilimanjaro ni wakwao na dunia ikaamini kwasababu mmiliki kalaza akili bongo lala kabisa
Kuunda lazima kuwe na kipindi cha utafiti (scientific research ) ktk kuunda (manufacturing)vifaa vyake muhimu kwa asilimia kubwa mpk kukamilisha uundaji. ...kama ni hivi basi Tanzania imefanikiwa kuunda treni ya kisasa ya SGR😅 na uundaji wa speedboat ktk ziwa victoria. Watu wa media munatumiwa vibaya na wenye hela kupotosha taarifa! Wapo vijana wazalendo ambao muda huu wanavunja vichwa ktk utafiti ili waunde zana muhimu..watafuteni muwape publicity support!
Mmmmh kwakuw imetengezwa bongo czan km watu watakuwa na Iman juu ya USALAMA wake, coz tunajuana sisi kwa sisi juu ya ufanisi wetu juu kwenye baaz ya mambo😂😂😂😂
Yani we mtangazaji bogus kwl hata kusoma jina la nchi ya chec zinakushinda, sawa nyie ni wanahabari basi jitahidini kusoma kila wkt, mwandishi anapaswa kuwa na elimu ya ulimwengu ya kutosha (General knowledge) ili awasaidie wasiojua sasa ww hata vitu vidogo kama hvy huwezi, ni hatari sana
Huyo ni mwekezaji, ni sawa sawa unavyoona kiwanda cha dangote kipo tz lkn mmiliki ni Mnaigeria hvy sementi inayozalishwa ni ya Tanzania na wala si Nigeria pia tambua hata ww ukienda kumiliki kiwanda China bidhaa zitakazozalishwa ni za china sio Tanzania,
Kitu hujui hata airbus hawatengenezi kila kitu wao engine ni rolls Royce vioo makochi friji za ndani wananunua kwa watengenezaji na kufanya assembly hata toyota hawatengenezi kila kitu wenyewe
Bajaji ya juuu, safiiiiiiiiii
That is good I appreciate thanks Tanzania
Hongereni sana, mwanzo mzuri... hiz ni habari njema kwa Tanzania... kufika 100 ni lazima uanze na moja...
Mbona hatuwasifu babu zetu wanao tengeneza flying saucer(nyungo) ni sound proof, pollution free kwenda canada na kurudi ndani ya saa moja. African technology.
Tatzo inasemekana fuel ni human blood.
Ndio pia na kutengeneza mapiramidi kutoa umeme na mengineo
Tena hauhitaji passport.
Kitu hakionekani unasifu vipi😅
David wambie wakupe hiyo taaluma
Wow safi sana❤🎉❤
Hamna haja ya kujinyonga tena chakufanya unapanda ndege iliyoandikwa made in Tanzania,utakufa mapema sanaaa
😂😂😂😂😂😂😂
I respect your comment 😅😅😅😅😅😅
Wewe mchawi wa maendeleoo😣😣😎
@@saidambarouk2804 anza kupanda ili utuelezee huduma iko vp
Tatizo kubwa Africa tunaona kilichotengenezwa ulaya ndo kizuri. Who will save us from this ideology????? Tujiamini bwana, tunaweza mnooooooo.
Kutengenezwa au kuunganishwa😂😂 huu uandishi wa kifisiem kabisa😂😂
Acha ujinga
Imetengenezwa hapa na muwekezaji ni campuni ya nchini Czech republic, karakana ipo morogoro, ok mweusi hajafanya sawa ila imeundiwa Tanzania from the scratch. Na ni lini tutasifu vitu vinavyotokea hapa kwetu? Toyota zinazotengenezwa SA ni made from SA na kama Japan watasema but ni same brand campuni Moja nchi tofauti. Mpaka hii mindset ya kimaskini itoke kwenye vichwa vya watz wengi dunia itakua ishaisha. Ndoo maana Kenya ealisema Kilimanjaro ni wakwao na dunia ikaamini kwasababu mmiliki kalaza akili bongo lala kabisa
😅😅😅😅kweli hii ni ya watanzania
Ka ndege ketu hoyeeee🙋🏿♂️🙋🏿♂️
Kuunda lazima kuwe na kipindi cha utafiti (scientific research ) ktk kuunda (manufacturing)vifaa vyake muhimu kwa asilimia kubwa mpk kukamilisha uundaji. ...kama ni hivi basi Tanzania imefanikiwa kuunda treni ya kisasa ya SGR😅 na uundaji wa speedboat ktk ziwa victoria. Watu wa media munatumiwa vibaya na wenye hela kupotosha taarifa! Wapo vijana wazalendo ambao muda huu wanavunja vichwa ktk utafiti ili waunde zana muhimu..watafuteni muwape publicity support!
Kwl tume improve too. Great
Nilijua imetengenezwa na watanzania kumbe imetengenezwa na mzungu hapa Tanzania ila sio mbaya kuna siku tutatengeneza wenyewe
Hongera kampuni, hongera awamu ya 6 Kwa kuwezesha wenye viwanda
ONGERA SANA TANZANIA , TUNASONGA KIMYA KIMYA,
Safi sana 🎉❤
Wale mnaoleta kejeli wote si wazalendo na inaonekana nyinyi mulianza kuhisabu namba 100 ndio maana.
Kwl time improve ahead. Bravel
Mmmmh kwakuw imetengezwa bongo czan km watu watakuwa na Iman juu ya USALAMA wake, coz tunajuana sisi kwa sisi juu ya ufanisi wetu juu kwenye baaz ya mambo😂😂😂😂
Wazungu ndiyo waliotengeneza...Wabongo wote waliobuni Ndege walipigwa chini hata Kipanya si mnaona magari yake hayaonekani barabarani.
Mi nilifikiri ni wabongo wametengeneza kumbe wazungu 😅duhh au mimi ndo sijaelewa
🎉🎉
Da hongereni hadi ndege made in Tanzania zipo kweli Tanzania inaendelea
Kwa madini na maligafi tulizo nazo mm naona tumechelewa sana kupata ndege zetu na tulistahili ndege kubwa na kuuza kabisaa
Tumeunda ndege sio kutengeneza ndege rekebisha usemi
Apa apa tz safi,
😂😂😂wacheni ujinga huu mnatufanya wapumbaaaavu
Hio ndege inaweza kukutelekeza kwa P dd😂
Naomba ziwe nyingi sana na nauli zishuke.
Ni Manufacturing au Assembling??
Mbona haijafanana kua ndege, me ndege io siwezi kupanda 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂kwa nin hutaki kupanda
Hata mimi😂😂😂😂
Hata usipopanda kuna nini kitatokea mnatakiwa muwe mnafurahia maendeleo ya nchi yenu muda wotee mnaleta mizaha tu jinga kabsa
@@MashakaShabani-s5m mjinga mama Ako alokuzaa na baba ako
Dua zenu jamaniiii😂😂😂
Ninafuraha kubwa mno mpaka nalia 😂😂😂😂😂
Nilijua wametengeneza wabongo kumbe ni wazungu aishangazi sana
Wametengezeza au wameunga unga
Sema wazungu wamewekeza kutengeneza ndege Tanzania,kutoka sizechekh sio watanzania wenyew ,sis tuko busy na uyu chawa wetu😂😂😂
Kwani wapi kwenye maelezo wamesema imetengenezwa na Watanzania?
Ndege au nyuki
😂😂😂😅😅😂
Vipi; NYUKI?? NOGO SANA?
😂
Hapa inaonekana umuhimu wa Msamiati wa kiswahili...ndege ya mwanzo kutengenezwa au kuwa assembled?
Ni wazungu kumbe aseee
Hiyo ndege au kibiriti?
Kibiriti hicho hamna kitu
juu Cessnas ni nini
waluguru mashemeji zangu mshindwe wenyewee
Now just reduce the amount of sales that most client will be able to buy
😢😢🎉🎉🎉
Sasa inabeba watu wawili 2 tu...kanafaa kuchezea movie
safi sana
Wauze ata million mbili mbili tupate wote.
Watanzania mbona auminjamini 😢😢😢😢😢
Sisi kazi yetu ni mambo ya UNGO
Nilijua tuu ni wazungu..wabongo hata baiskeli hatutegenezi ndo tutengeneze pipa😂
Haaa haaaa 😂😂😂 asee nimechaka sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@belitomanuel6240 hi imenishangaza Tanzania eti tumetengeneza ndege ninachojua sisi ndege yetu ni UNGO
Tunavopanda tuwe tunajulishana kuwa ile ya kitanzania😂😂 hatupendi kujalibu uhai
Hiyo ndege labda Jina lake mi Airbantu
Hiyo ni dege au drone?
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
sh 18000 au
Wakati naangalia Kuna ndege imekatiza apo inavyo tembea kama center bolt imekatiza imechooka 😂
Bei gani kama hiyo!
Siwez kupanda
Maajabu hiyo itakua ni ndegeee au Ungo
Iyo ndege ama mkonga wa p didy
Mngeongeza japo iwe na abiria 20
Yani we mtangazaji bogus kwl hata kusoma jina la nchi ya chec zinakushinda, sawa nyie ni wanahabari basi jitahidini kusoma kila wkt, mwandishi anapaswa kuwa na elimu ya ulimwengu ya kutosha (General knowledge) ili awasaidie wasiojua sasa ww hata vitu vidogo kama hvy huwezi, ni hatari sana
imetengenezwa TZ au wame Assemble apa tz vipande vipande wameunganisha apa tz
ila sisi wa Africa atuto acha kujitekenya wenyewe, very shame.
Wazungu hao
Sasa mbona wazungu ndio wametengeneza
Tuwape moyo
JE NI WATANZANIA PEKEE WAMEUNDA AU MRADI WA WAZUNGU NCHINI?
Huyo ni mwekezaji, ni sawa sawa unavyoona kiwanda cha dangote kipo tz lkn mmiliki ni Mnaigeria hvy sementi inayozalishwa ni ya Tanzania na wala si Nigeria pia tambua hata ww ukienda kumiliki kiwanda China bidhaa zitakazozalishwa ni za china sio Tanzania,
Yani bodaboda ya anga
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ashakum sio matusi😂😂
Kutengeza ama kuunganisha ,kila kitu inatoka inje wanakuja kuunganisha bana acheni ushamba
Kitu hujui hata airbus hawatengenezi kila kitu wao engine ni rolls Royce vioo makochi friji za ndani wananunua kwa watengenezaji na kufanya assembly hata toyota hawatengenezi kila kitu wenyewe
@@charlesolomi9514ni kweli ndege mpka kukamilika kuna mikono ya watu wengi humo ndani kila mmoja anakua na majukumu yake
Sipandi imetengenewa tz mafundi wenyewe mpaka washituke viroba ndo waelewe ufundi
😂😂😂😂😂😂
Wtz Hawaii kusema mtengenezaji kapewa mtaji na Didi
Duu inatikisikass
Hivi hawa watangazaji mnawaokotaga wapi....eti Jamhuri Sizek hahahaha
🤣🤣🤣 inabidi atuambie hiyo inchi iko wapi
Umbari mrefu😂😂
Uandishi unamashaka
😂😂😂😂😂
😂😂
Mgunduzi nani katumia nin
Jina la nchi tu mtihan si usome kabla hujarusha habari,,,unatia aibu Tv yako.
Wtz Hawaii kusema mtengenezaji kapewa mtaji na Didi