Unachotakiwa kumsaidia mwanaume wako ni chakula na maji tu ukimfanya awe wa hadhi ya juu atakuacha atafute wa hadhi yake yaani hawa wanaume ukimtoa babu yangu wote mbwa tu😮😮
Ni kwamba wanawake mmekata tamaa hvy mpk mnawapa wanaume pesa jmn mbon dada mzuri hvy kwann unajikatia tamaa hvy me lishangaz wa miaka 33 lkn sijajikatia tamaa
Rabda mwanmme Allion din itakua taofaut ndo akatafuta din saw rabda na dadaangu ummy huyo mwanmme umefanya kosa la kumpangia seem yake na ww upo seem yako hilo ndo tatizo kwann usingekaa nae pamoja pia poe san kipenz
Hey guy hebu tatua iyo issue ikae sawa huyo binti anatakiwa amsamee huyo jamaa...we ni chanzo cha kujua ukwel kwa huyo dada pia kuwa chanzo cha daniel kupatana na ummy
Mwanaume yyote anaehudumiwa hapaswi kuwa na mahusiano kando umalaya tu naitafu na Ile ya kaka alikuwa anaehudumiwa na akapewa card ya bank lkn kasalit na kakosa vyote nyookori zenu
Me naona uyu dada nae alikulupuka san kumchunguza uyo mwanaume jamani mmependana sasa ya nini tena muishi kila mtu chumba chake apo kuna kitu fafanua Bahn vinzur na ww dada angu au pia wewe unamwingine tena kwanini umpangishie chumba chake peke ake huoni pia ww apo ulifanya kosa kubwa sna immh aya mapenzi Bahn lakini sasa yamekua chenga tu me nikushauli japo ningummu kwako leo MTT mamii achana na uyo mwanaume
Ila ndiomaana machizi wengi skuiz, mdada wawatu kakuonyesha mapenzi na kukujali alafu unafanya ushenzi, hata asipo kuloga kule kuumia kwake na machozi yake ni mikosi pia
😂😂😂😂 kadogo,,si lishangaz jamn
Mapanzia bana
Daa huu niujinga😢😢
Jamani wajina wangu ummy pole😢
Oyaniunganishe na hyodada mm nimriwaze
We lea mwanao achana na hlo jinga
😂😂😂😂😂😂
Ww unadhalilisha kina ummy hatunaga tabia ya kulea waume ovyo😂😂
Zote ni pic😊daadek
😅😅
😂😅
Hivi watu mnapata wapi nguvu za kuhudumia wanaume 😂😂😂😂
We acha tu
😂😂
Atar
Mnalilia mahusino yasiyokua ya ridhaa ya MwenyeeziMungu ?
Unachotakiwa kumsaidia mwanaume wako ni chakula na maji tu ukimfanya awe wa hadhi ya juu atakuacha atafute wa hadhi yake yaani hawa wanaume ukimtoa babu yangu wote mbwa tu😮😮
Hivi hiii nikweri au mipango 😂😂
Huyo ndio Daniel Mengine tuwaachie 😂😂😂
Kingereza chako kinanifanya klipu zako sifuatili mpaka mwisho ongea kiswail
Punguza kingereza
Mdada unamoyo hongera😂😂😂
Aise Kuna watu hawajielewi
Ila wanawake tukome viherehere sb sisi hatupaswi kuhudumia na kupenda jamaniii. Khaaaa. Tatizo siku hizi hatujielewi
Mimi nitajalibu kilimo nione🤣🤣🤣
😂😂😂 single mom kwann ukuuzulia kikao cha mwisho tulivyopanga usiwai vunja rules no 5 ona sasa ushaivunja why unatuaribia usingle mother wetu????
Wanawake mnafeli wapi?? Hv bado hamjui kuwa mwqnaume hatosheki na mwqnamke mmoja??
Yule kaka nifala
Mi hapo sijaelewa sa si ana duka la perfume kwanini bado unamlipia pango jamni wanawake tusijitwike majukumu ya wanaume
Pele humuota asiekua na kucha
Martin Frank Hall Gary Jones Joseph
Uwo ni ujinga wenu wanaume wapo kibao munalalama apoapo
Mr uk nitumie namba ya umi
Daaaa Yan mm siwezii haya mapenzii ya bongoo Yana umizaa kichwaa kwa mm nisiyeenpendaa hekahekaa hapanaa sitawezaa
Njoo marekani
Daniel kashikwa na delila
Ila wanaume wenye majina ya Dan hapana mh🙌🙌🙌
Part 2 Iko wapi???
Mr uk part 2 tunasubilia kwa ham Sana jamn
Inakujah
@@Dylan0nly 🙏🙏🙏
Dah wa2 mna pesa mnahudumia nyumba mbil 2 😅😅😅😅
Bro naomba nmb ya ummy kaka nikutane nae I'm Gregory bro i need her pleasee
Mmmh shkamoo mapenzi❤❤🎉
Part 2 ikowapi
Embu tuache kuhudumia wanaume wakipatag ela hawakumbuki ww ulomuhudumia
Dovy anamacho kama chatu
Sasa kama ni mtu wake kwa nini wasiishi pamoja why anampangishia nyumba
Bc hyo part 2 itacheleweshwa wiki nzma😢
Ila akuna kitu kinauma Kam kumpa mtaji mwanaume ukiamini ni wako peke ako kumbe anawake mpk anahudumia kwa pesa yako duh 😢😢😢
Mr uky na kiingereza chake kama hamorapa😂😂😂nyie wenye kuhudumia wanaume niwaambie tu mkapimwe akili
Hvi hii huwa ni kweli au kuna watu wanapangwa
Mnapata wapi nguvu jmn yakulea bwana
Aisee kumbe wanawake Bongo mna hela eeeh una hustle then unamuhudumia mwanaume easly wakati una mtoto kwanini usiwekeze kwa mwanao😭😭😭
Sasa ww kama uko SINGLE kwanin usikae nae kwako? Kwanin umpangishe awe nayeye Single?
Dorothea 😂, mambo ya dunia haya
ROHO IMENIUMA 😢😢
Hivi ni kwel au maigizo haya😅
Dada says who mkaka analelewa???? Km umemfungulia biashara Alitakiwa ahudumie kila ktu. S ushaplay part tyr
Mapenzi yamekuwa mabaya jaribuni na kilimo😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Umenifurahisha mwanangu
Kumbe unajua Hadi English alafu unahonga
😅😅😅
Ila wanaume kweli ni mazombi hawashibagi damu😡😡😡
Kumbe mkoani ni kijijini😅😂
Mdogo wangu Uky ungeachana na kingereza huja kimudu vizuri Una kikongoa Sana.
Kam dauni wajina wangu 😂😂
Kwani hizo pesa za kumpangia mwanaume mnazotoa wapi😅😅😅
Sio kila mwanamke tegemezi kama marehemu.
Ata mm najiulizaga .
😂😂😂😂😂
Ukimuhudumia ndo anapoxidi kuchit kwa spidj
Alichokosea ni kumpangia mwanaume chumba wakati yeye inabidi Aishi na huyo mwanaume
Ni kwamba wanawake mmekata tamaa hvy mpk mnawapa wanaume pesa jmn mbon dada mzuri hvy kwann unajikatia tamaa hvy me lishangaz wa miaka 33 lkn sijajikatia tamaa
Acheni umalaya
Part two yake je
We dada upendwi unavumiliwa na hela zako 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ummy mzuri Mash'Allah 😊😊😊
Mungu akupe nguva sister
Mapenzi tuwachie wahindi
Oooy wadau asee hii mbona ni hatary na mtotonwa kiume halelewi anatunzwa🤣🤣🤣
Mapenz bhn
mshumii de Ummy.......Nmekumc jmn from kiraenigrls member
Dada unahudumiaje
Kipenz chukua vitu vyako huy mwanaume ni mbwa
Unaweza Bado ukawa na pesa ukachitiwa
Mhhh hiii story mbona ksma huyu ni Danny wangu,am really confused hakiiii😫,and this is serious guys
Daniel is typing and deleting............. 😂😂
Ila naona hamna ndugu wenye shida mpaka mnawaamini Hawa ndugu zetu
😂😂😂😂unalilia mapnz kwani love is all about money mamaa mwanaume muhudumie uwezavyo ila ataenda kuhudumia ampendae🥺
Wonders shall never end😂😂
Rabda mwanmme Allion din itakua taofaut ndo akatafuta din saw rabda na dadaangu ummy huyo mwanmme umefanya kosa la kumpangia seem yake na ww upo seem yako hilo ndo tatizo kwann usingekaa nae pamoja pia poe san kipenz
Nenda kafunge duka hilo mtupe huko akajifunze wadada msihudumie wanaume labda au mume wako tena mkiwa na watoto halafu mgonjwa ukimuhudumia ni sawa
Sitaki ku coment chochot mpaka sasa and 😊😊 by the way i dont understand swahili ila ngoja nisubir part 2 OMG
Sasa si tayari ulimfungulia biashara, sasa kwa nini asiendele kujihudumia mwenyewe,
Hey guy hebu tatua iyo issue ikae sawa huyo binti anatakiwa amsamee huyo jamaa...we ni chanzo cha kujua ukwel kwa huyo dada pia kuwa chanzo cha daniel kupatana na ummy
Chukua duka unalia nini 😂😂😂
Part two plz
Ukiachana na msemo wake "That is very touching" ni neno gani jingine ambalo linamtambulisha Mr. UK ??
Mwanaume yyote anaehudumiwa hapaswi kuwa na mahusiano kando umalaya tu naitafu na Ile ya kaka alikuwa anaehudumiwa na akapewa card ya bank lkn kasalit na kakosa vyote nyookori zenu
Me naona uyu dada nae alikulupuka san kumchunguza uyo mwanaume jamani mmependana sasa ya nini tena muishi kila mtu chumba chake apo kuna kitu fafanua Bahn vinzur na ww dada angu au pia wewe unamwingine tena kwanini umpangishie chumba chake peke ake huoni pia ww apo ulifanya kosa kubwa sna immh aya mapenzi Bahn lakini sasa yamekua chenga tu me nikushauli japo ningummu kwako leo MTT mamii achana na uyo mwanaume
DEAR WOMEN MWANAUME HAUDUMIWI HATA SIKU MOJA TAFUTA HELA ZAKO MWENYEWE NA PIA TAFUTA MWANAUME MWENYE HELA AKUHUDUMIE WEWE NDO MANA MNAUMIZWA KILA SIKU
Khaa kingereza Cha nn? Dada ongea lugha yko nyoo
Usiwe unaongeza kingereza maana ni kama una unga unga😂
Sasa mbona daniel hujamuwek hapo kati wambananisheeeee
Ila ndiomaana machizi wengi skuiz, mdada wawatu kakuonyesha mapenzi na kukujali alafu unafanya ushenzi, hata asipo kuloga kule kuumia kwake na machozi yake ni mikosi pia
Hivi ujasir wa kumuhudumia mwanaume hua mnautoa wap😂😂😂😂
Na kwann wew umuhudumje jmn ikiw n wajibu wake kukuhudumia wew na si yeye
Me ndio mana nimeamua kupambana na kutafuta pesa tu siwezi kupoteza muda tena