Poleni sana, mbona mnalishana matango pori? Hivi ukiwa na Yesu bado ni mtumwa wa vitu? Basi mnayemhubiri ni Yesu wa kiganga, nasio yule wa nazareti. Ukiwa na Yesu uko huru kwelikweli Huishi kwa mashariti kama ya waganga wa kienyeji. Sijaona tofauti ya imani yenu na ya waganga wa kienyeji au ya zumaridi. Kanda hiyo (ya ziwa) wanaojiita wachungaji wanahubiri utamaduni wao badala ya Yesu wa nazareti. Wanapunga pepo kwa makelele kama wafanyavyo waganga wakienyeji. Tujikomboe na tumvae Yesu msulubiwa wa Nazareti, ili tuwe huru kwelikweli.
Mhh duniani tunakutana na changamoto nyingi sana,mara wachawi wanaturoga,mara majini mahaba mara sijui mizimu,vyote hivyo ni matatizo.sijui tukimbilie wapi
Mafunzo mazito kweli, Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏🇰🇪
Nashukuru kwa hayo mafunzo mazito kweli 🇰🇪 najifunza mengi kuskiza hizi video zako Sheikh Omary
Mbona uganga mtupu? Jikomboeni wana wa Mungu.
Barikiwa mwalimu shehe na mungu alie hai akulinde uendelee kutuelemisha
Jini mahaba kweli ni hatari hafai kukaa mwilini mwa binadam
Poleni sana, mbona mnalishana matango pori? Hivi ukiwa na Yesu bado ni mtumwa wa vitu? Basi mnayemhubiri ni Yesu wa kiganga, nasio yule wa nazareti. Ukiwa na Yesu uko huru kwelikweli Huishi kwa mashariti kama ya waganga wa kienyeji. Sijaona tofauti ya imani yenu na ya waganga wa kienyeji au ya zumaridi. Kanda hiyo (ya ziwa) wanaojiita wachungaji wanahubiri utamaduni wao badala ya Yesu wa nazareti. Wanapunga pepo kwa makelele kama wafanyavyo waganga wakienyeji. Tujikomboe na tumvae Yesu msulubiwa wa Nazareti, ili tuwe huru kwelikweli.
Kweli bila maombi ya kila dakika hatutaweza safari hii ya wokovu,Mungu Baba yetu tusaidie na utujaze Roho Mtakatifu km mwalimu wetu wa kutuelekeza
Ni viumbe vyenye viwiliwili vinavyoishi angani yaani hawa viumbe ni katika ulimwengu wa Roho jaman vijana wenzangu tuujali wokovu
Nina mpangaji mwenzangu kaniambia anasumbuliwa na jini mahaba mpaka kumzalia watoto kamzalia
Mpeleke kanisani
Anatufumbua macho
Mtumishi ungekuwa unawaacha angalau watu waulize ili wajue usiwakatishe huenda akawa na swali ambalo linaweza fungua zaidi
Mtumishi tupe na mbinu
Duh!
Mimi mpaka leo sina mke nilishaoa wake wawili baadae wanaondoka na nimeokoka sasa nifanyeje sasa?
Biga Show ww acha kumwonea Aibu
Kuokoka ni fasheni, kumuishi kristo , kunakufanya uwe huru kweli kweli. Pole.
Unahitaji deliverence
Uyu kijana kwenye vyombo ungemaacha aulize swali zake. Kwanini kumkata?
Kwa nini kukataa ule kijana kuuliza ma swali? Ijapo aswali yake ni ya kujenga?
Mtu anaenzaje epuka watoto wakiroho?
Kaeni ndani yangu nami ndani Yenu
Ombeni mtapewa na babayangu,
Fanya mapenzi ya Mungu,hautoguswa
Kazi ya hao watoto ni nini?
Kutesa Watu pia
Mhh duniani tunakutana na changamoto nyingi sana,mara wachawi wanaturoga,mara majini mahaba mara sijui mizimu,vyote hivyo ni matatizo.sijui tukimbilie wapi
Kwa Yesu
Kinga kubwa ni kua kwa Mungu tu nguvu ya Mungu ndio kila kitu dada Mariam hao hizo roho chafu zinasumbua sabb hatujasimama
Kimbilia kwa YESU, ukimpa YESU awe BWANA na mkozi wa maisha yako, mapepo majini mizimu wachawi waganga, wote watakukimbia,
Tatizo, injili ya Yesu msulubiwa imevamiwa na vibaka. Badala ya kuwatua mizigo, ndio kwanza wanawatwika zaidi mithili ya waganga wa kienyeji. Poleni.
P
Hapo mtumishi sijakusoma,
Yani swala la kuombea linategemea tena mtu na sio jina la Yesu??
Ndio
Ee Mtu anaombaje??Anamtafutaje Mungu??
Kwanini majina ya majini yanafanana na yakiislam?
Ndiko yalisilimishwa na Muhamad
Na yameruhusiwa watu kumiliki