Wanafunzi Zanzibar watumia ngonjera kuelezea umuhimu wa kurejeshwa masomoni baada ya ujauzito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Katika hafla ya uwasilishwaji wa ripoti ya utafiti juu ya utekelezwaji wa sera ya kuwarejesha watoto waliopata ujauzito masomoni, watoto hawa walitumia ngonjera kufikisha ujumbe wao. Shughuli hiyo ilitayarishwa na Shirika la Elimu na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) siku ya tarehe 30 Machi 2022 mjini Zanzibar.

ความคิดเห็น •