RC. CHALAMILA : "NTAKUFYATUA NA UTASAHAULIKA | RPC. KAMATA WEKA NDANI."

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2023
  • #knews24

ความคิดเห็น • 49

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 11 หลายเดือนก่อน

    Safi mkuu Ukicheka na nyani utavunna mabua

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kachawa kadogo aka akajashiba

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umechelewa

  • @PascalinaMushi-je9jn
    @PascalinaMushi-je9jn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huo ndio ujinga wa watanzania. Kila kitu ndioooo mwisho wa siku inageuka vilioooo.

  • @allyhasani3750
    @allyhasani3750 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jama mshamba sana

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 11 หลายเดือนก่อน

    This country needs an urgent reforms!

  • @bahatisejuwa5955
    @bahatisejuwa5955 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi huko mbona matusi tena uongozi ninafasi ambayo mnapokezana.

  • @user-hy9kd4yb1j
    @user-hy9kd4yb1j 11 หลายเดือนก่อน

    Daaaah,,,sawa bwana

  • @alphoncembasa592
    @alphoncembasa592 11 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu uongozi ni balaaa

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 11 หลายเดือนก่อน

    KWA HIYO YEYE ANAMAAMUZI YA KUFUNGA SOKO AKIJISIKIA TU, KUWAKOMESHA WATU HII MAMLAKA WANAITUMIA VIBAYA SANA

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 11 หลายเดือนก่อน +1

    Utafyatua mtu Kwa mujibu wa sheria kama chalamila au mkuu wa mkoa

  • @maryamos7663
    @maryamos7663 11 หลายเดือนก่อน

    Jamani kutukana si kutoa hoja. Hoja ya msingi ni ile yenye mashiko. Raisi mwenyewe ni mstaarabu jamani tusimpake doa kwa matusi. Kanuni, sheria , taratibu na miongozo ipo.

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 11 หลายเดือนก่อน

    😇😇😇😇

  • @PascalinaMushi-je9jn
    @PascalinaMushi-je9jn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Udicteta hautaisha Tanzania.

  • @boniphacesandarya2259
    @boniphacesandarya2259 11 หลายเดือนก่อน +1

    Afuu yanashangiliaa mnashangiliaa nn

  • @kingungemaster4811
    @kingungemaster4811 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa swala la jela ni amri yake au ya mahakama?? 😂😂😂Kuna Shida sana kwenye hili Taifa

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 11 หลายเดือนก่อน

    hawajamaa huwa hawatumii hakili hutumia mihemko .ni saikoloji tu utamjua mtu

  • @Aggreymbugano
    @Aggreymbugano 11 หลายเดือนก่อน

    Mhehe ana hasira za ki mkwawa 😂😂😂

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 11 หลายเดือนก่อน

    Mtoto wa mama hakui.

  • @aminaothman4917
    @aminaothman4917 11 หลายเดือนก่อน

    Serikali inaangalia uzalilishaji huu kwani hakuna lugha ya kutumia

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 11 หลายเดือนก่อน +1

    Chalamila leo mmemfanya nini? Leo mmemkera mhehe huyu. Msimuuzi mkawasikiliza wachache waliovimbiwa.😮

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kunawakati kiongozi anatakiwa kuwa mkali kabisa kwa maslahi mapana ya jamii, tuko pamoja mkuu KAZI IENDELEE

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 11 หลายเดือนก่อน +2

      Sasa huyu ni kiongozi au mhuni tu wa mitaani?

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 11 หลายเดือนก่อน

      @@yassinnabwera4273 muhuni nikama lema aliongea hadharani kuwa MUNGU hagawi riziki! Wakati kila mwenye kumuamini MUNGU anajua riziki anagawa MUNGU, cha ajabu watu walimpigia makofi!!!!!!!!!@@@@@

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@istambulahmed6664 Lema unamwingiza wewe kwenye hilo kundi la wahuni,Lema sio mhuni aliongea kitu chakweli,ukitaka kujua maneno ya kweli,wewe ingia chumbani ulale huku ukiendelea kumwomba Mungu eti akupe riziki hapo kitandani kwako,uone matokeo yake.

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 11 หลายเดือนก่อน

      @@yassinnabwera4273 inaonesha hata maana ya riziki hujui!! Kwani hata kulala ni riziki, kuvaa nguo ni riziki, kula ni riziki, kwani huoni mgonjwa amelala kitabdani kwa mda mrefu na MUNGU anampa riziki? Au mtoto mdogo ana zaliwa tu nawala hafanyi kazi na MUNGU anampa riziki, kwahiyo RIZIKI MTOAJI NI MMOJA TU NAYE ni muumba wetu, kama wewe ni Mkiristo unapo sali yesu anase unaseme MUNGU utupe leo riziki yetu, haya lema na yesu nani zaidi? ...

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 11 หลายเดือนก่อน

    Kwenye nchi hii unampenda mtu kiongozi wa namna gani? Mpole au mkali? Ukizingatia ufahamu wako ulivyo kwa watanzania wengi au wachache walivyo kwa tabia zao?

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 11 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba siku moja aje Songwe

  • @freddymdassa
    @freddymdassa 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi hizi kauli zimeanzia wapi?hivi hakuna wanaomzidi umri huyu bwanamkubwa?
    Tabia ya kiongozi ni lazima iwe dira kwa wanaomsikiliza.kitendo chakutoa lugha za namna hii sichakiungwana hatakidogo.

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa nimeamini kwa hili Makonda alikuwa malaika kwa ubabe huu Makonda ni malaika

  • @jacobkamilurio
    @jacobkamilurio 11 หลายเดือนก่อน

    Bongo sii wa kudekeza..mama amewadekeza wamesomba mapesa..fimbo lazima itumike

  • @user-hy9kd4yb1j
    @user-hy9kd4yb1j 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona Rais wetu haongei hivyo? Anatumia busara? Huyu mteule dah inasikitisha sana...

  • @kitomariKitomari-ge9pr
    @kitomariKitomari-ge9pr 11 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa lakini kauli zako si za kiuongozi.

  • @kabataginiaaz9906
    @kabataginiaaz9906 11 หลายเดือนก่อน

    Eti nn

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 11 หลายเดือนก่อน

    Huyo kenge mbona anajiona kama Tz ni yake? Mpumbavu wa kutupwa. Hasira zinaanza kuvimba kwenye akili za watanzania na vurugu ikianza kuituliza ni vigumu.

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 11 หลายเดือนก่อน

    Mzeeeee punguza asila

  • @wazirimwenevyale6395
    @wazirimwenevyale6395 11 หลายเดือนก่อน

    Hivi vitisho vya kitoto kupewa madara ya kuteuliwa ndio utoe lugha za namna hii hapana huu sio uongozi ni ujinga

    • @rosekajuki1787
      @rosekajuki1787 11 หลายเดือนก่อน

      Huyu bwana ndo maana mbeya walimfungia kazi mpaka akaondolewa mbeya hawachezewi bwana alifyata mkia kwa aibu amshukuru mama samia kamuibua Tena ana dharau za kijinga

  • @asha-bo9sn
    @asha-bo9sn 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani mimi sijaona kiongozi ana maneno yaseyo kuwa na heshima mbele ya wananchi!! Alafu watu wanashangilia mtu anaongea vibaya hivyo!!

    • @malindimalindimerinyo1632
      @malindimalindimerinyo1632 11 หลายเดือนก่อน

      Kwani watanganyika wanajielewa??? Mtanganyika ukileta kondoo ilimradi uwe na cheo serikalini useme huyu ni mbuzi na pakatokea moja wapo akasema ahapana ni mbuzi alafu akazabwa kofi waliobaki wote watasema ni mbuzi aliyenona mkia...kuna watu hapooo???

    • @alphoncembasa592
      @alphoncembasa592 11 หลายเดือนก่อน

      Muda mwingine hasira hasara . Kiukweli hata hao waliowafukuza viongozi wa serikari na kutaka kuchoma gali sio SAWA kabisa

    • @user-hy9kd4yb1j
      @user-hy9kd4yb1j 11 หลายเดือนก่อน

      Sijui wamelogwa na nani?

  • @malingazeboss9351
    @malingazeboss9351 11 หลายเดือนก่อน

    Watanzania wajinga mnashangilia upumbavu wa RC mpumbavu 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @user-sw3hs6go5v
    @user-sw3hs6go5v 11 หลายเดือนก่อน

    Kweli watanzania wajinga

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 11 หลายเดือนก่อน

    Hata kama ni kiongozi jifunze kutumia lugha nzuri

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 11 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kubembeleza watu ambao hawataki maendeleo yetu wenyewe,kama nyumbu wa chadomo

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 11 หลายเดือนก่อน

    ANAWATISHA WATU KWELI VITISHO TU. SASA KUNA KOSA GANI KUZOMEA...