Mch Moses Magembe - MAMBO YANAYOTHIBITSHA UAMSHO | KONGAMANO LA KRISMASI 2024 SIKU YA 7

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 วันที่ผ่านมา +3

    Mzee wangu mimi nakupenda!! Bwana Yesu nakushukuru kwasababu ya huyu mtumishi wako Moses Magembe!!! Mtunze Bwana Yesu!!! Huyu mtumishi wako atawafungua wengi sana!!! Amen!!!

  • @ezekiele-m8g
    @ezekiele-m8g 2 วันที่ผ่านมา +5

    Ninamushukuru YESU KRISTO kwasababu nguvu zake hazina mipaka nikiwa DRC butembo nimejazwa nguvu tukopamoja kwenye ibada.❤❤❤❤

  • @mulimeoderhwaeliezer3220
    @mulimeoderhwaeliezer3220 2 วันที่ผ่านมา +6

    Muzee wangu mutumishi wa Mungu muchungaji nakukubali kabisa Mungu wako naawe Ndiaye Mungu wangu nakufata sikumingi nikiwa Congo Bukavu

  • @ezekiele-m8g
    @ezekiele-m8g 2 วันที่ผ่านมา +5

    Nina shukuru mungu asante kwa vyombo vyake ila wakati wa maombi leo nimejazwa pamoja na nyinyi.

  • @mulimeoderhwaeliezer3220
    @mulimeoderhwaeliezer3220 2 วันที่ผ่านมา +5

    Nasikia najengwa sana kwa kwaneno la Mungu ijapo unapitiya chagamoto nyingi naamini tuta tobowa kwakuwa Mungu iko pamoja nasi

  • @ChescoMbena
    @ChescoMbena 2 วันที่ผ่านมา +3

    Nabalikiwa sana na somo hili la uamusho na na matengemezo ndiyo shauku yangu na maombi yangu yangu mwaka jana Sasa naanza kuona mwanga mungu akubaliki baba
    Nipo mbinga songea

  • @MichaelWambula
    @MichaelWambula 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amina mtumishi wamungu magembe ubarikiwe

  • @YeremiaYohana-o9j
    @YeremiaYohana-o9j 2 วันที่ผ่านมา +4

    Amen 🙏🙏 Mungu akubariki sana

  • @ruhekacharles
    @ruhekacharles 2 วันที่ผ่านมา +4

    Naipenda mahubiri yako nikinehemik kukuona nitabarikiwa zaidi kiroho

  • @titoandrew1864
    @titoandrew1864 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki sana baba Huwa unanitia moyo kwa huduma Yako.

  • @shimimamaimu1974
    @shimimamaimu1974 วันที่ผ่านมา

    Napokea karama kwa juna la Yesu kristo

  • @DaudiKasubi
    @DaudiKasubi 2 วันที่ผ่านมา +2

    Kiukwel mzee unanifundisha vitu vingi sana ambavyo nilikuwa sivijui hasahasa kwenye usomaji wa biblia

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala วันที่ผ่านมา

    Ahsante kwa mafundisho

  • @SULEMANIGITASI
    @SULEMANIGITASI 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Baba Ubarikiwe nabarikiwa san

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe baba

  • @DanielFrank-j1n
    @DanielFrank-j1n 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amina Babayangu magembe

  • @jovitaaugustine3753
    @jovitaaugustine3753 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hallelujah 🙌

  • @lucasbunyigetv2414
    @lucasbunyigetv2414 2 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupata sana Baba

  • @EliaKwandaja
    @EliaKwandaja 2 วันที่ผ่านมา +3

    Amina baba

  • @FerdnarndChristopher
    @FerdnarndChristopher 2 วันที่ผ่านมา +2

    Amina Baba Nabarikiwa sanaaaaa INJILI IENDELEE katika JINA LA YESU

  • @fidemikaeli8145
    @fidemikaeli8145 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amina

  • @WilsonPaul-u3c
    @WilsonPaul-u3c วันที่ผ่านมา

    Ameen baba

  • @martinwamlyoma735
    @martinwamlyoma735 2 วันที่ผ่านมา +1

    I receive

  • @VeronicaBernard-l1q
    @VeronicaBernard-l1q 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @MnanilaMrsmnanila
    @MnanilaMrsmnanila 16 นาทีที่ผ่านมา

    Baba yangu,kama koment hii itakufikia tunaomba namba yako au Mzee wa kanisa tuweze kukusapoti hata kidogo

  • @petromhule6996
    @petromhule6996 2 วันที่ผ่านมา

    Kitabu napataje jamani

  • @vicentmwengo2751
    @vicentmwengo2751 วันที่ผ่านมา

    SONGA MBELE KAMANDA WA INJILI WA SIKU ZA LEO.

  • @rev.musabalalarogersmusabalala
    @rev.musabalalarogersmusabalala วันที่ผ่านมา

    Icho kitabu tunaweza kukipataje wa mbali !??

  • @japhetmevoroo113
    @japhetmevoroo113 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa baada ya kuhama TAG huku ni wapi? Mi nlijua anahamia Roman Catholic

    • @mchjohnmasegese8193
      @mchjohnmasegese8193 2 วันที่ผ่านมา

      Heee akabusu sanamu za mama maria

    • @ChescoMbena
      @ChescoMbena 2 วันที่ผ่านมา +1

      Unatakiwa uokoke kwanza wewe ili ujue neema ya mungu Tito 2:12-13

    • @leahpeter691
      @leahpeter691 2 วันที่ผ่านมา +1

      Pole ndugu

    • @japhetmevoroo113
      @japhetmevoroo113 2 วันที่ผ่านมา +1

      @@ChescoMbena kwamba we umeokoka?

    • @emmanuelrweikiza6117
      @emmanuelrweikiza6117 2 วันที่ผ่านมา +2

      Mawazo ya mwanadamu yanabaki kuwa dhaifu mpaka amjue Yesu ndipo ufahamu wake utagezwa na kuwa sawasawa

  • @EdwardChitama
    @EdwardChitama วันที่ผ่านมา

    Amina baba

  • @MrDickson-l7q
    @MrDickson-l7q 2 วันที่ผ่านมา +1

    Amina