Jamani Taji jumbe umekuwa Mkubwa nakukumbuka Jamani na wale ndugy zako wengine waliofariki MMungu awaweke pahala pema peponi na Allah amsamehe sana dhambi zake mama
Mi namfahamu sana huyu bro ni mwalimu wa watangazaji wengi wa vipindi vya Intertaiment nawakumbuka akina mike muhagama, sunday shomari, monica mfumia, Rankim ramadhani na wengine wengi tu na wengi wao tuliishi nao mwenge, ila hii story mama ake aisee its sad story pole sana bro
Una moyo sana nakumbuka ulivyomsaidia bint mmoja mgonjwa pale vjana dispensary niliogopa kumpa namba yako ikabidi nikuombe ukanijibu nimpe na ulimsaidia sana Mungu akubariki bro nurse wa vjana dispenser
Point juu ya malezi nachukiwa juu ya stail ya malezi ila najua faida yake vile nimetembea nchi tofauti nimejifunza sana tz wazazi wengi hatujui kulea hata mm mwanzo sikua mzazi bora nilikua mkali sana aisee
Taji unaongea ukweli kabisa. Nalikumbuka tukio la mama yako kwa kulisoma magazeti I na kulisikia redioni tangu kutendeka,mwenendo wa kesi Hadi hukumu. Lilitokea nikiwa Form II,kesi iliisha nikiwa mwalimu kwenu Kwa asili ya baba yako.Yaandikie kitabu yote hayo.
Jamani Taji jumbe umekuwa Mkubwa nakukumbuka Jamani na wale ndugy zako wengine waliofariki MMungu awaweke pahala pema peponi na Allah amsamehe sana dhambi zake mama
Nimekumiss my bro taji nikikuona namkumbuka marehemu mr liundi swahiba yangu
Mi namfahamu sana huyu bro ni mwalimu wa watangazaji wengi wa vipindi vya Intertaiment nawakumbuka akina mike muhagama, sunday shomari, monica mfumia, Rankim ramadhani na wengine wengi tu na wengi wao tuliishi nao mwenge, ila hii story mama ake aisee its sad story pole sana bro
Una moyo sana nakumbuka ulivyomsaidia bint mmoja mgonjwa pale vjana dispensary niliogopa kumpa namba yako ikabidi nikuombe ukanijibu nimpe na ulimsaidia sana Mungu akubariki bro nurse wa vjana dispenser
Tajiri Liundi,nimekuelewa sana japo ni ngumu sana kulea watoto wa kiswahili hivyo.
MMUNGU akubariki sana na azidi kukupigania
Huyu kiongozi anauelewa mkubwa sanaaa. Usimchukulie pow anajua anacho kizungumza. Heshima yako brow
Taji..Mr Bango..enzi za Ilboru Sec School.. hujikwezi..O level uliyujali.tulikuwa Oldonyo
Nime kuelewa bro
Unaongea point kaka kupitia hayo najitahidi kulea wtt wangu kitofauti
Point juu ya malezi nachukiwa juu ya stail ya malezi ila najua faida yake vile nimetembea nchi tofauti nimejifunza sana tz wazazi wengi hatujui kulea hata mm mwanzo sikua mzazi bora nilikua mkali sana aisee
oi
Kaka taji historian yotenaijua lakini unaniliza jamani Pole mi che Merina kassembe
Taji unaongea ukweli kabisa.
Nalikumbuka tukio la mama yako kwa kulisoma magazeti I na kulisikia redioni tangu kutendeka,mwenendo wa kesi Hadi hukumu.
Lilitokea nikiwa Form II,kesi iliisha nikiwa mwalimu kwenu Kwa asili ya baba yako.Yaandikie kitabu yote hayo.