FOLENI ya MALORI SHEKILANGO - RC CHALAMILA ATINGA BANDARI KAVU - ATOA MAAGIZO.....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 10

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  18 วันที่ผ่านมา

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @SalimAthuman-xh7ci
    @SalimAthuman-xh7ci 18 วันที่ผ่านมา

    Apo pafungiwe kwwza iyo bandali imekaa sehem mbaya sana mazingila mabovu vitendea gazi vibovu iyo kazi nibola apewe T R H uyo ndomwamba nakuomba laisi wangu mpendwa mama samia iyo sehem nindogo mageli mengi imezidiwa asante

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 18 วันที่ผ่านมา

    Action speaks louder than words

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 18 วันที่ผ่านมา +3

    Bandali kavu iamie vigwaza ya kushusha coper ndio suluhisho kule akuna msongmano wowte huku mjini changamoto

    • @geofreykato3976
      @geofreykato3976 18 วันที่ผ่านมา

      Hakuna mtu wa kukupa jibu kamili kwenye hili la kuhamia Vigwaza

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 18 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo barabara nindogo foreni Inaanza charinze hamunamipangoenderevu

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hayo makaburi hapo UFI si yahamishwe?

  • @EmmanuellMunishi
    @EmmanuellMunishi 18 วันที่ผ่านมา

    Hapo ndipo pabaya Yani nipaki nje ya maeneo ya kushusha hilo siung mkono

  • @SalimSalimu-z5c
    @SalimSalimu-z5c 17 วันที่ผ่านมา

    Hopo kwenye leli huto weza matajiri Utagombana nao

  • @EliaMarco
    @EliaMarco 18 วันที่ผ่านมา

    Tumeni maoneo ya urafiki kiwandani wakati mnajipanga