dungu yangu wengi hawana subira dio kwaza wanaharibu tuna teswa maneno kibao na ndio sababu za wafanya kazi ws omani tunazarauliwa mm natamani nikamuona kuna mwanamke moja anautwa mama b turundi atatuajiri sasa mm nimerundi wa kwaza azee kuniajiri alipe km nilivo kuwa nalipwa
@@salwamohammed4787 rial 80 mbona ni nyingi kuliko wanakaa Tz bila kazi njaa wao washukulu mungu wanastiliwa pengine huo mshahara kuzidi wa mwalimu wa shule huko Tz na wao ni kufanya kazi za ndani tu hawana shukrani
Mimi mwenyewe binafsi nimefanya kazi oman nimevumilia tuu kwa sbb nlikuwa na malengo angalau nipate riski ya nyumba Alhamdulillah nimepata sikuwa mfanyakazi wa ndani nilikuwa saloon lkn sijapewa hata kiinuwa mgongo unashangaa boss anapata pesa kuliko wewe na anashindwa kukuthamini mdaa wakukaribia kuondoka ndoo qnakubembeleza kwa maslahi yake lkn hata asante hupewi mtuu unaona bora basi allah ndoo atakulipia
Ndo tulio wengi ni malengo yanatuweka mpk ss ni mshahara tu hakuna kinachoongezeka na Sasa mpk matibabu ni magumu mie juzi tu nimejitibia kwa kulipia gharama mwenyewe Rial 17 Alhamdulillah
Mimi safairi yangu ya kwanza kuja kwenye nyumba nilikaa km miezi 3 hivi kuna siku boss wangu akaniita kwenda ananiambia nikaoshe gari nikamjibu mkataba wangu akuna sehemu ilipoandikwa nioshe gari toka siku iyo mpk nikamaliza mkataba akuwai kuniambia swala ra kuosha gari ukiambiwa siku moja ukafanya basi ujue utaosha gari mpk unamaliza mkataba wako ilo mliju3 kwa wanaoaza kuingia
MUUKIZENI MSHAHARA KWANINI MAAJENTI WANATUUZA KWA RIAL 80. WAKATI TUKISHAFIKIA RIAL 120 KWA.ANAYEANZA NYUMBA. WAPHILIPINO WAO.WANALIPWA 160 RIAL. TZ.MAISHA YAMEKUWA JUU. KUPITIA KIPINDI HIKI ATOE TAMKO. WTZ TULIPWE SAWA NA SHERIA ZA UBAROZINI.
Tatizo ukisema pia unakata tiketi wana ku block ndoo walivo hao inakuwa huingii ndoo mana mtuu anaomba abadilishe nyumba na hata mfano akasema sawa nenda nyumbani kisha urudi tena oman kunakuwa unatakiwa kama unarudi tena upate barua ya kuruhusu madamu wa mwanzo kukuruhusu uingie tena oman ndoo mana wafanyakazi wanaona tabu kurudi nyumbani
Na nyie pia kina zari Mara ingine muna dharau mambo muhim Km vile mukipata kes km mfano ya agency munaongea nae bila kumpeleka kwa sheria kihatua na mnajua anaweza kukimbia ambapo mnasauti ya kuwashika wapelelez kutumia sim mukiwa mushariport police wakamkamata agency kupitia kutrack number yake bila yeye kujua Kisha ndo mkamkamata
Wanakuwa mikataba wanatupokonyaa maboss wanasema wanakazi nayo kwa nini watunyang'anye mikataba na huwa tuna kuwa tumeisoma na yeye anakuwa ametia saini yake boss
Sanaaa wa Natafuta magroup halafu wanaskiliza wengine hawajiamini wenywe wakifikiwa na matatizo wanalia. Na magroup sio wote wade a kweli wanakuchuza halafu wa akitoka mitini
mzee wa mjengoni nakukubar sana mm ninao mkataba wa mwaka 2017 nabadilisha viza bosi hataki kunipeleka kubadili naongea adi na lia pia awafati mkataba ukimwa kz km kawaida
Fatuma kajenga nyumba ķigambon kwq pesa za kuwapeleka wasichana oman kuwadai rial ya mwez 1 ndio kajenga kiufup ni pesa za dhuluma km atasoma hiz comment zangu ajue kabisa pesa anazodai za wadada mwez 1 ni dhulma ni dhambi pia kwanza ike kaz aliyokuwa anafanya ya kutafuta watu 4 utoe laki 5 kila mtu cjui iliishia wapi 😂😂😂😂😂
Natukiumwa hospital tunajitubu kwa garama unakuta mkataba umeandika kila kitu na ajent anakwambia unapewa kila kitu lkn ukifika hamna lolote kula juu yako mfanyakazi spital yaani nimengi kwa kweli mtuu huwezi kumaliza na unakuta mtuu upo ugenini huna mbele wala nyuma inakuwa unaogopa matatizo unaona bora siku ziende urudi nyumbani
Maneno ya kaka sele ni kweli kabisa ajenti wangu wa znz mwaka wa 4 nimepata matatizo nilimueleza akuzingatia akanipuuza kabisa na uku oman ajenti wangu pia simjui nilipokelewa airport na dreva tax nilikuwa na mwenzangu tukapelekwa ktk majumba ya kazi na yuliposhindwa awakutupa msaada wowote tupo mitaani na maajenti ni feki wanaotutafutia kazi za miezi miezi my
Nakwanini wanapenda kunyima chakula wafanya kazi?warabu roho mbaya harafu wanajifanya wanajua dini yani hata ulaya niwakimbizi ila bado wanaleta ubaguzi roho mbaya ukifanya nao kazi utakoma imagine 😢hao watu hawafai
Tatizo si watu wa embasi tatizo wafanyakazi umekuja na ajeti wako unapata ushawishi unatoloka embasi mnawapa lawama tu utakI kazi ludi kwa ajeti aliyekuleta embasi awausiki nakesi hizo muhimu embas waangalie kaja na ajeti usimpokee muache aende kwa ajeti wake kama kulidishwa tanzania
Ndio hamtakiwi nyia na yeye tofauti yeye anaishi huko kazaliwa nyie mmezawa huko kazi yenu wabongo uchafu tu kuchafua kwa watu hamtakiwi muache kwenda kujiuza mrudi kwenu mlikozowea ushamba na misutano lol
Ridhiki hutoi ww ndugu yangu.kumbuka kheri na shari zinatoka kwa Allah.unasema wasije hebu nenda airport ya Oman au muulize kaka Sele wafanyakazi w Tz wanaingia wangapi kwa mwezi.mimi nimetoka ijaza mwezi wa saba tumekuja zaidi ya 20 na tyliowaacha wapo tayari kwa safari ni 150.sasa wewe ndio serikali ya Oman zuia basi.kwanza inaonesha huwezi kukaa na mfanyakazi ,sbb imani huna,nafs ya chuki imekutawala,Allah akuhiji ww na sie
@@FatmaAlabri-lz2cw mbona wanawasengenya warabu halafu wa arudi kupiga malaya kwanza mimi sina mfanya kazi wa maneno neno wa tz nina muhindi wala maskini na heshima ana miaka 20 oman anaenda kwao na kurudi wala sio kujifanya bos kama wa huko Tz anataka awe bosi kama mwenyenyumba
Wahuni tz hata wa huko kwenu pia wahuni Mimi niliwahi kufanya kazi madame wangu anavaa nguo vimini anaenda clab anaenda mpk Dubai na yeye utamuita nani anarudi saa 9 usiku uhuni hauna sehem Wala kabila ulijue hilo
Alikuwa anakuja na marafiki zake wanavuta mashisha wanakuja na wanaume wa hovyo huo sio uhuni sabrakhamis acha izo usijione wew mkamirifu waombee Dua na wenzio wawe mkamirifu kama wew hii dunia upo
Mimi wanamishangaza hawa watanzania wanaosema warabu wanaroho mbaya sasa nani alie kulazimasha kuja Basi ni nyie tu katika hi nchi mnao teswa Hamuezi kazi wavivu asili yenu wavivu Bora kuchukuwa mfilipini mshahara 160 kuliko mtanzania ukamlipa mia na 120
Tatizo si watu wa embasi tatizo wafanyakazi umekuja na ajeti wako unapata ushawishi unatoloka embasi mnawapa lawama tu utakI kazi ludi kwa ajeti aliyekuleta embasi awausiki nakesi hizo muhimu embas waangalie kaja na ajeti usimpokee muache aende kwa ajeti wake kama kulidishwa tanzania
Husda wivu
Allha Ilinde omn kwa wanafiki
Na dhulma
Kila mbaya Allha amrudishe na ubaya wake
Allhahuma la hasad
Dada zari wengine waongo wanataka kuishi maisha ya tanzania kuzurura
Asante kaka seleman umeereza ukwl naumetufungua akili Allah akulinde
❤wafanyakaz wapya nakuombeni muwe na subra kuhusu mishahara anaelipwa rial80 baadae mutaengezewa mishahara mimi hapa sahivi napokea mia wa 150 nanimeanza kupokea 80 kikubwa tu subra
Hakika nikweli kabsa mie nipo nalipo 130 niko saw
dungu yangu wengi hawana subira dio kwaza wanaharibu tuna teswa maneno kibao na ndio sababu za wafanya kazi ws omani tunazarauliwa mm natamani nikamuona kuna mwanamke moja anautwa mama b turundi atatuajiri sasa mm nimerundi wa kwaza azee kuniajiri alipe km nilivo kuwa nalipwa
Uo ndio ukwer
@@salwamohammed4787 rial 80 mbona ni nyingi kuliko wanakaa Tz bila kazi njaa wao washukulu mungu wanastiliwa pengine huo mshahara kuzidi wa mwalimu wa shule huko Tz na wao ni kufanya kazi za ndani tu hawana shukrani
Hata mim nilikua nalipwa 80 now 160
Yupo sawa huyu dada ❤❤❤
Mimi mwenyewe binafsi nimefanya kazi oman nimevumilia tuu kwa sbb nlikuwa na malengo angalau nipate riski ya nyumba Alhamdulillah nimepata sikuwa mfanyakazi wa ndani nilikuwa saloon lkn sijapewa hata kiinuwa mgongo unashangaa boss anapata pesa kuliko wewe na anashindwa kukuthamini mdaa wakukaribia kuondoka ndoo qnakubembeleza kwa maslahi yake lkn hata asante hupewi mtuu unaona bora basi allah ndoo atakulipia
Ndo tulio wengi ni malengo yanatuweka mpk ss ni mshahara tu hakuna kinachoongezeka na Sasa mpk matibabu ni magumu mie juzi tu nimejitibia kwa kulipia gharama mwenyewe Rial 17 Alhamdulillah
Oman sio.mbaya.ila.maajenty.waoman.natanania.sio.watu.wazuri.wakishalpwa.pesa.zao.basi.magents.hbwana.usaidizi.wowote
Mikataba unaandikwa lugha 3 kiswahili,English,kiarabu
Yes 😊
Kaka selemani asante Kwa kutupa muongozo mzuri sana mikataba yetu
Zamda nashda na ww
Wenzao wanajua kujioendekeza na wanapata tip nyingi sana wengine mpaka nyumba wanajengewa na wanafanyiwa mpaka harusi
Watafuteni ofisi ya Global ya magomeni,waelezee ofisi yao omani wapi na ajent wa huku
Nimefurah sana kuona sophia amerud allah kareem iyo juma nne aje kweli tujue daàh
Mimi safairi yangu ya kwanza kuja kwenye nyumba nilikaa km miezi 3 hivi kuna siku boss wangu akaniita kwenda ananiambia nikaoshe gari nikamjibu mkataba wangu akuna sehemu ilipoandikwa nioshe gari toka siku iyo mpk nikamaliza mkataba akuwai kuniambia swala ra kuosha gari ukiambiwa siku moja ukafanya basi ujue utaosha gari mpk unamaliza mkataba wako ilo mliju3 kwa wanaoaza kuingia
Kwani serikali inafanya nini?
Hao ndio tabia zao unapewa gari kumbwa unakosha unapanda ngazim unakosha mpaka juu
Nyie global mbona hamuwahoji wa dada wanaofanya Nani ya nchi
Wa dada wa kitanzania ni wajuaji sana hakuna jirani anayela gari kuoshewa
Mi nashangaa kwakweli😂 yan wanatunga sana
Mbona hawasemi mazuri mengi wanayofanyiwa
Asalaam alaikum waramatulah wabarakatuh Da zari mitihani IPO sana waliopo vijijini Kwa mjini mabosi wengi ni waelewa.
Habari naombeni mwambieni seleman awe na ofisi dar mikoan ili wadogo zetyu wasafiri kihalali wengi wanashida yakuja kazini
21:35 21:35
Nikweli kabisa tayesa ndiyo zababu watu wanazunguka mpaka wanachoka
Dd zari vp na mwanaisha alipatikana ?
Hakuna faida yoyote hasara tup
Dd yusra nasema ukweli chukuwa mauwa yako dd❤❤❤❤❤
Mm mwarabu akinizinguw natoroka ina naenda ubarozini pas yangu
Hakuna.nyumba ndogo Oman. Acheni hizo wee Suleiman.
Zaria.mm.ntakuja.kutoa.ushuhuda.nikifika.nipo.oman.mwaka.wakumi.nambili.nyumba.moja
@user-zz1sj6sp8z mdogo wangu watu wangumu kuelewa hata utowe ushuhuda hawakuelewi tuu waache na uelewa wao
Dada bora aiweke yy pas anipe bitaka
MUUKIZENI MSHAHARA KWANINI MAAJENTI WANATUUZA KWA RIAL 80. WAKATI TUKISHAFIKIA RIAL 120 KWA.ANAYEANZA NYUMBA. WAPHILIPINO WAO.WANALIPWA 160 RIAL. TZ.MAISHA YAMEKUWA JUU. KUPITIA KIPINDI HIKI ATOE TAMKO. WTZ TULIPWE SAWA NA SHERIA ZA UBAROZINI.
Tatizo ukisema pia unakata tiketi wana ku block ndoo walivo hao inakuwa huingii ndoo mana mtuu anaomba abadilishe nyumba na hata mfano akasema sawa nenda nyumbani kisha urudi tena oman kunakuwa unatakiwa kama unarudi tena upate barua ya kuruhusu madamu wa mwanzo kukuruhusu uingie tena oman ndoo mana wafanyakazi wanaona tabu kurudi nyumbani
kwenye Geto pesa Zaid ya kwa Boss😂😂
Mbona wa Philippines maa ajent wao wapo strong sababu ni maajent ndoo wakorofi wakiwa ktk makubaliano sawa hakuna baya litakalo tokea
Pia mkataba unaandikwa kila mwaka boss anatakiwa akuongeze rial 5 kwa nini hawaongezi? Na mkataba umeandikwa?
Sio.liar.5.niliar.kumi.
Warabu hata hapo kariakoo wanaroho mbaya wafanyazi wanakula makombo imagine kwenye nchi yako tena uteswe duh
Vipi kuhusu changa Moto za wafanyakazi wa kiume mbona hamuwazungumzii au hawana changamoto?
Na nyie pia kina zari
Mara ingine muna dharau mambo muhim
Km vile mukipata kes km mfano ya agency munaongea nae bila kumpeleka kwa sheria kihatua na mnajua anaweza kukimbia ambapo mnasauti ya kuwashika wapelelez kutumia sim mukiwa mushariport police wakamkamata agency kupitia kutrack number yake bila yeye kujua
Kisha ndo mkamkamata
Wanakuwa mikataba wanatupokonyaa maboss wanasema wanakazi nayo kwa nini watunyang'anye mikataba na huwa tuna kuwa tumeisoma na yeye anakuwa ametia saini yake boss
Mie naona bora wa Tanzania wasije kufanya kazi Omani
Wamezidi midomo
Mie nnamfanyakazi anakosha gari yangu
Mikataba hairuhusu mfanyakazi wa ndani kuosha gari kama unaona watanzania wasije omani mwambie kiongozi wako halafu akupe jibu
Mwambie sultan khaisamu 😮😮roho mbaya imekujaa fii nari jahannam😮
@@a2core-wn2wkyy mwenyewe mwarabu mswahili ataaanze kwa mfano?😂😂
Mwarabu,afati,mikataba
Da zari mm nipo Oman nitumie namba zako nikutumie mkataba uone jinsi ulivyo
Wengi wao wanatumia muda mwingi kuchat ndio mana hawamalizi kazi zao on time
DADA ZARI WAPO WANAKAA VIZURI MM NIMERUDI UNGE PATA MDAA UNGE KUJA KUNIONA NA MM SIKWADA NA AJENTI NA MUNGU AKAJALIA NIMEPATA WATU WAZURI SANA TUU
Kwani akuna kwengine ipo omani mbona oman amani kuliko nchi zengine
Waoman wanaogopana.huwa.hawaambiani.ukweli
Tuhuma nyingi wanapewa walaabu hila SS wenyewe nichanzo kusikiliza magroup hayana maana
Sanaaa wa Natafuta magroup halafu wanaskiliza wengine hawajiamini wenywe wakifikiwa na matatizo wanalia. Na magroup sio wote wade a kweli wanakuchuza halafu wa akitoka mitini
Yusra unasema kweli.kubakwa mwenyewe tu ametaka
mzee wa mjengoni nakukubar sana mm ninao mkataba wa mwaka 2017 nabadilisha viza bosi hataki kunipeleka kubadili naongea adi na lia pia awafati mkataba ukimwa kz km kawaida
Fatuma kajenga nyumba ķigambon kwq pesa za kuwapeleka wasichana oman kuwadai rial ya mwez 1 ndio kajenga kiufup ni pesa za dhuluma km atasoma hiz comment zangu ajue kabisa pesa anazodai za wadada mwez 1 ni dhulma ni dhambi pia kwanza ike kaz aliyokuwa anafanya ya kutafuta watu 4 utoe laki 5 kila mtu cjui iliishia wapi 😂😂😂😂😂
حسبي الله ونعم الوكيل منكم
HUO MKATABA WA OMAN MBONA HATUJAWAHI KUUONA ,TUNAUPATAJE?
Dada zari kiufupi huku Iraq Hana ubalozi kwahiyo tunafikia kwenye nyumba wanasema ofisi tunafungiwa mpak asubuhi mabosi wanakuja kuchanguwa wafakazi
Mie vitsmbulisho vyangu vyote ninavyo huku mtihani sana kupumzika i
Hapana.mkataba.watanzania.haurusiwi.kuosha.gari.wala.kulima.shamba
Ka sele nimekumic sana kaka angu
Natukiumwa hospital tunajitubu kwa garama unakuta mkataba umeandika kila kitu na ajent anakwambia unapewa kila kitu lkn ukifika hamna lolote kula juu yako mfanyakazi spital yaani nimengi kwa kweli mtuu huwezi kumaliza na unakuta mtuu upo ugenini huna mbele wala nyuma inakuwa unaogopa matatizo unaona bora siku ziende urudi nyumbani
Huo uongo ukiona hivyo wewe nhufanyi kazi nyumbni
Human Trafficking legalized.
Maneno ya kaka sele ni kweli kabisa ajenti wangu wa znz mwaka wa 4 nimepata matatizo nilimueleza akuzingatia akanipuuza kabisa na uku oman ajenti wangu pia simjui nilipokelewa airport na dreva tax nilikuwa na mwenzangu tukapelekwa ktk majumba ya kazi na yuliposhindwa awakutupa msaada wowote tupo mitaani na maajenti ni feki wanaotutafutia kazi za miezi miezi my
Haya anayo yaongea ni yakweli siyo ya uongo japo mie sijawahi fanyie huyo mzee ndo anatusaidia san embasy japo ni mkali
Sema kweri sele hata ukiwa na pasipoti huwezi kusafiri bila saini ya bosi wako uwanja wa ndege
Mwenye namba ya huyu kaka anitumie
21:09
Jamani kelele zote za nini ambieni sekali yenu isiwaruhusu kuja Oman .
Hata Tanzania mnachangamoto chungu mzima
Rudia kuangalie video zilizopita kataja
Na ww iambie serikali yako isiruhusu watanzania kuingia omani @@halimaalkindi9484
Nakwanini wanapenda kunyima chakula wafanya kazi?warabu roho mbaya harafu wanajifanya wanajua dini yani hata ulaya niwakimbizi ila bado wanaleta ubaguzi roho mbaya ukifanya nao kazi utakoma imagine 😢hao watu hawafai
Lakini.mkataba.waoman.nikiarabu.na.englishi
Kweli wap so wote rakini
Tatizo si watu wa embasi tatizo wafanyakazi umekuja na ajeti wako unapata ushawishi unatoloka embasi mnawapa lawama tu utakI kazi ludi kwa ajeti aliyekuleta embasi awausiki nakesi hizo muhimu embas waangalie kaja na ajeti usimpokee muache aende kwa ajeti wake kama kulidishwa tanzania
Kabla kumtafuta
Hatuwataki na msije kabisa ikiwezekana
Anae kutaka wew nani kwa tunakuja kwa ajili yako waitakiwa kusema ni waomani og warabu sio wew
Chizy ilo mwarabu hajui kiswahili tulia taila wew😂😂😂😂😂yan katika watu siwapend ni hawa wanaojiona waarabu kumbe ngoz ya tako nyeus
Ndio hamtakiwi nyia na yeye tofauti yeye anaishi huko kazaliwa nyie mmezawa huko kazi yenu wabongo uchafu tu kuchafua kwa watu hamtakiwi muache kwenda kujiuza mrudi kwenu mlikozowea ushamba na misutano lol
Ndio aiwezekani et
@@sophsoph4740chukuwa soda nitalipa
Mkataba.watanzania.unalugha.tatu.english.kiswahili.nakiarabu
Global Tv tunawaomba fikisheni sauti yenu kwenye serekali yenu wawafungiye wa Tanzania kuingiya Oman
Mmh aje sasa
Viongozi wa oman wakiregea kama viongozi wa zanzibar oman itaharibiwa kama ilivoharibiwa zanzibar waharibifu wabongo wanavamia miji ya watu kama panya
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ingekuwa pumzi wanagawa warabu wa mchongo sijui ingekuwaje mpigie simu mungu atuzibie riziki sio binadamu
Nna mengi mnoo mnoo yakuongea
Ongea
Kuna .balozi huko aliko
Bora mufungiwe si watu wa kazi nyie
Jamani sasa sisi hatuwatakiii watu ishi wa tz wanamenomaneno mengi lakini tu naishi na wahindi na wafilipin hatujamsika maneno ya kishamba kama haya🤔🤔
Ridhiki hutoi ww ndugu yangu.kumbuka kheri na shari zinatoka kwa Allah.unasema wasije hebu nenda airport ya Oman au muulize kaka Sele wafanyakazi w Tz wanaingia wangapi kwa mwezi.mimi nimetoka ijaza mwezi wa saba tumekuja zaidi ya 20 na tyliowaacha wapo tayari kwa safari ni 150.sasa wewe ndio serikali ya Oman zuia basi.kwanza inaonesha huwezi kukaa na mfanyakazi ,sbb imani huna,nafs ya chuki imekutawala,Allah akuhiji ww na sie
@@FatmaAlabri-lz2cw mbona wanawasengenya warabu halafu wa arudi kupiga malaya kwanza mimi sina mfanya kazi wa maneno neno wa tz nina muhindi wala maskini na heshima ana miaka 20 oman anaenda kwao na kurudi wala sio kujifanya bos kama wa huko Tz anataka awe bosi kama mwenyenyumba
Sijaelewa
Waking kifilipino unaelewa
Laiti ingekuwa riziki munatowa nyie mngetunyima ata kupumuwa kwa bahati mbaya mwarabu wa mchongo
Mie sin mkataba na nipo saw tuy niko na bataka tuy
Wanakaa magetoni umalaya Tu dd wanajiuza.tu
😂 asalimia
Kweli wabongo wanaongoza kwa umaya hata znz wameiharibu wao
Kinanani hao
Akili kichwa mwako
Wee Mzee Mungu Akulaani. Hv rial 80 miaka 10nimep8ta tumerudi Tz hata viatu hatuna. Kwanini weupe wanalipwa 160 jadi 140
Ukimlani mwenzako ujue laana itaanza kwaki kwanza
Wafanya kazi wa Tanzania nitihani sana wahuni tu hawezi kazi
Sio lazima uchukue mtanzania chukua hawa wabangalia ambao mmezoea kuwapelek bila kujali
Wahuni tz hata wa huko kwenu pia wahuni Mimi niliwahi kufanya kazi madame wangu anavaa nguo vimini anaenda clab anaenda mpk Dubai na yeye utamuita nani anarudi saa 9 usiku uhuni hauna sehem Wala kabila ulijue hilo
Alikuwa anakuja na marafiki zake wanavuta mashisha wanakuja na wanaume wa hovyo huo sio uhuni sabrakhamis acha izo usijione wew mkamirifu waombee Dua na wenzio wawe mkamirifu kama wew hii dunia upo
Wabongo wahuni kweli kazi yao uchafu tu kazi hamuwezi na kujiuza
Na mwarabu wamchongo nishida wanamasimango😊😊😊😊
Mimi wanamishangaza hawa watanzania wanaosema warabu wanaroho mbaya sasa nani alie kulazimasha kuja
Basi ni nyie tu katika hi nchi mnao teswa
Hamuezi kazi wavivu asili yenu wavivu
Bora kuchukuwa mfilipini mshahara 160 kuliko mtanzania ukamlipa mia na 120
Chukua mphilipino kwan umekatazwa ? Na wenzio watachukua watz vile vile 😂😂