Balaa:Kijana Anayelala Kwenye Jeneza Afunguka A-Z Kuhusu Maisha Yake|KAMA NI MUOGA USITAZAME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @franceyaraby4342
    @franceyaraby4342 6 หลายเดือนก่อน +7

    Pole kaka mungu akuponye

  • @farjallahubeydabdulrahman4845
    @farjallahubeydabdulrahman4845 6 หลายเดือนก่อน +31

    hii kwa mtazamo wangu ni maisha ya ushirikina ya kutafuta hadhi maishani mali na ni vibaya sana kujihusisha na maisha hayo mabovu yasiyostahili kuigwa kabisa

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 หลายเดือนก่อน +4

    Inna lillah wainna illaihi rajiun 😭😭 huu ni msiba..tunamsahau Allah Tabbarak Rahman..alietuumba .. subhana Allah 😭 huu ni msiba kwel..jee hii ni tamaa au vip au kutokuwa na imani sahihi ya Dini...Ewe Mola tuzinduwe kabla ya muati tuoneshe njia ya khaki Yarrab 🤲

  • @mercylinmoraa6229
    @mercylinmoraa6229 5 หลายเดือนก่อน +40

    I thought i have seen it all until i came across this😢😢..maajabu haya..wakenya hope mmeona hii

    • @Mutheu-k7l
      @Mutheu-k7l 4 หลายเดือนก่อน +4

      Dadangu tumeona lkn ,ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,,tazama fimbo ni😮

    • @sharonochieng-gy1kt
      @sharonochieng-gy1kt 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yeah nadhani huyu ako freemason ju amesema anatafuta pesa na kuna wenye wanamcontrol

    • @tysonogoti2074
      @tysonogoti2074 14 วันที่ผ่านมา

      Wah tunajionea mambo ya ulimwengu

  • @HalimaKapingo
    @HalimaKapingo 6 หลายเดือนก่อน +33

    Mwenyez mungu akuongoze katika njia sahihi iliyonyooka amin

    • @WemaJaphet
      @WemaJaphet หลายเดือนก่อน

      duuuh polle

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 5 หลายเดือนก่อน +8

    Alhamdulillah🤲 namshkuru ALLAH Kwa anachonipatia

  • @rozijackson4467
    @rozijackson4467 6 หลายเดือนก่อน +32

    Asante Yesu kwa kuniokoa

    • @liliankemuma9475
      @liliankemuma9475 6 หลายเดือนก่อน +3

      Amen

    • @sebonikegobi6244
      @sebonikegobi6244 6 หลายเดือนก่อน +4

      Kweli kabisa Yesu mzuri

    • @DeNandimbaAlex
      @DeNandimbaAlex 6 หลายเดือนก่อน

      ​ 39:51

    • @DeNandimbaAlex
      @DeNandimbaAlex 6 หลายเดือนก่อน

    • @nizzarzaver1046
      @nizzarzaver1046 6 หลายเดือนก่อน

      We fala waamini yesu ingia dini ya kweli uislam ni dini ya kweli inshaAllah m.mungu atakuongoza

  • @AsifiwewiliamMyunga
    @AsifiwewiliamMyunga 15 วันที่ผ่านมา

    Pole sana kaka niheli kumgeukia Mungu alie kuumba ili upate balaka zake

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 6 หลายเดือนก่อน +12

    Kwahy humuamin Mungu unaamn Fimbo daaah Mwenyezi Mungu akuongoze njia sahihi

    • @DerrickOdour
      @DerrickOdour 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ana pata pesa wapi kazi anafanya

  • @PriscaJonnykomba
    @PriscaJonnykomba 6 หลายเดือนก่อน +16

    Achana na ayo maisha unayo yataka kumbuka Kuna mungu 19:44

  • @سيتيالسالم
    @سيتيالسالم 5 หลายเดือนก่อน +4

    Wewe dada wa kazi utaishi maisha
    Kama yake please take step from that man😊😊😊😊

  • @JumaJay-cx4fz
    @JumaJay-cx4fz 6 หลายเดือนก่อน +11

    Masharti lazima muyafate c munapenda bure nyny na huto dada wa kazi muacheni afanye kazi akiondoka tu ndio mwisho wa maisha yake😢

  • @TwalibuMussa-i3m
    @TwalibuMussa-i3m 6 หลายเดือนก่อน +9

    umesikini mbaya sana unaweza ukakunyima sauti seheemu yoyote unaweza ukakufanya uwe mateka kwa mtu mungu atunusuru na mitihani ya dunia akuna pesa nzur kama ya halali

  • @EstellaNiyonzima
    @EstellaNiyonzima 6 หลายเดือนก่อน +9

    Umepotea saanaa kka yate tunakuombea kwa mungu akuokowe

  • @ramlaleila374
    @ramlaleila374 6 หลายเดือนก่อน +34

    Si umuowe dada wa kazi ashakua jasiri na anajua yako mengi

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 6 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa 😂

    • @marymwasiga
      @marymwasiga 6 หลายเดือนก่อน +3

      Na hilo' jeneza, Lina, AC"?

    • @PatrickMwaniki-o5y
      @PatrickMwaniki-o5y 6 หลายเดือนก่อน +3

      Huyu atapeana dada kwa hao mababu

  • @wanjikucecilia9656
    @wanjikucecilia9656 5 หลายเดือนก่อน +4

    Maajabu haya...baraka za Mungu hazina masharti...hiyo fimbo inatisha...rudia Mungu akukomboe uishi maisha ya amani na furaha aliyokusudia uishi duniani....hata marafiki huna

  • @KundaeliJacobo
    @KundaeliJacobo 5 หลายเดือนก่อน +7

    Babuu,,labangamoyo,,,kazi iendeleee

  • @jacobmakokha5444
    @jacobmakokha5444 4 หลายเดือนก่อน +9

    Holy Ghost Fireeeeeee.

  • @staraamr2770
    @staraamr2770 6 หลายเดือนก่อน +20

    Astaghfirullahil Adhweem...protect n Guide us Yaa Allah yaa Rabby

    • @kyalomutinda4238
      @kyalomutinda4238 6 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @BensonfrankHerman
      @BensonfrankHerman 5 หลายเดือนก่อน

      Hayo sio maisha kaka yang mung anatosha uctegemee fimbo

  • @AbeseDjumablessing
    @AbeseDjumablessing 6 หลายเดือนก่อน +12

    Poleni sana mungu akukumbuke utoke mwaiyo ari

  • @dinahdinahmusungu4970
    @dinahdinahmusungu4970 6 หลายเดือนก่อน +19

    Tumrudie mungu jameni,SI rahisi, street chafu, shetani ashindwe..eeeeish bro,

    • @florencezwicker
      @florencezwicker 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mali ya setani nenda kufa Mungu is there

  • @Salome-s9h
    @Salome-s9h 22 วันที่ผ่านมา

    Waaaaaa jamani pesa zatoka mbali pole sana my dear, utajiri huo kwioo😊

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 4 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo dada wa kazi nae shida na hawezi kuwa n mke kwa mambo hyo rabda huyo dada anamtimizia

  • @SaidAssaa
    @SaidAssaa 4 หลายเดือนก่อน +6

    Hiyo sio kazi Bora ufe masikini

  • @dicrantv8478
    @dicrantv8478 5 หลายเดือนก่อน +6

    Dada wa kazi namshauri awe anaangalia arise and shine anaongeza na sauti ya mwamposa

    • @FrenkMussa
      @FrenkMussa 2 หลายเดือนก่อน

      Hahahaaa atapigwaaa

  • @StellaMamayi
    @StellaMamayi 5 หลายเดือนก่อน +2

    I'm speechless 😲 but ningependa huyu kaka Aishi maisha yakila binadamu

  • @InnocentRenardndamugoba
    @InnocentRenardndamugoba 5 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu anasema njoo kwangu nyote msumbukao n'a kuelemewa n'a mizigo yéyé atawapumzisha# karibu kwa Yesu sa Nazareth akuponye

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah 😭😭...unaingia ktk jeneza mwenyewe kabla ya kifo chako subhana Allah 😭...ukistaajab ya mussa utayaona ya firaun.... mmmh mtihan kwel

  • @GloriaOmari-r9y
    @GloriaOmari-r9y 5 หลายเดือนก่อน +3

    Lakini yana mwisho,mwenyezi mungu akurehemu

  • @MakasiLazaro-i2j
    @MakasiLazaro-i2j วันที่ผ่านมา

    Kwa Yesu kuna raha

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 6 หลายเดือนก่อน +8

    Ongera Sana kwa kuchagua maisha yako ambayo umeyapenda❤❤❤ lovely

  • @PeterMbolile-fw2ry
    @PeterMbolile-fw2ry 3 หลายเดือนก่อน +2

    Huwez kunambia eti kulala kweny jeneza ni raha bali hayo ni masharti ya kumiliki pesa vijana tufanye kazi tukumbuke maisha ya duniani ni mafupi sana

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 6 หลายเดือนก่อน +58

    na huyo dada wa kazi hiyo sio kazi ya kufanya toka hapo katafute kazi mahali pengine Mungu atakufungulia njia

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 6 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kazi kwa kweli

    • @justinbara6783
      @justinbara6783 6 หลายเดือนก่อน +3

      Mshahara ni million Moja na nusu lakini hahahaha

    • @JacobSimfukwe-gy7fb
      @JacobSimfukwe-gy7fb 6 หลายเดือนก่อน +3

      Mpe ww kazi

    • @MulishidIsmail
      @MulishidIsmail 6 หลายเดือนก่อน +1

      0:20

    • @Sharifa_Fashion_21
      @Sharifa_Fashion_21 6 หลายเดือนก่อน +4

      Mimi nafanya vizur haya mabalaa yake atajua mwenyewe kila mtu ataenda kulizwa mwenyewe muhimu tunaheshimia na kupewa pesa

  • @AsiaJuma-rs9cy
    @AsiaJuma-rs9cy 2 หลายเดือนก่อน +2

    Allah akbar Allah akuongoze katika njian sahihi

  • @FroraMichaer
    @FroraMichaer 6 หลายเดือนก่อน +8

    Uyo Dada wakaz nae anamoyo kwa kweli kuishi hapo au na yeye anatamaa

  • @AwzaMstafa
    @AwzaMstafa 5 หลายเดือนก่อน +7

    Pole sana dada toka hapo hiyo siyo kazi

    • @Joshua-j9m
      @Joshua-j9m 2 หลายเดือนก่อน

      Ak wew ni shaitan ak ongea ukweli

    • @Joshua-j9m
      @Joshua-j9m 2 หลายเดือนก่อน

      Ata mimi kataka ii Maisha ak

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 6 หลายเดือนก่อน +11

    Mandazi sana huyu,eti ukilala kwenye jeneza una enjoy "unaenjoy ya nyoko

  • @RamadhanBabigamba
    @RamadhanBabigamba 6 หลายเดือนก่อน

    Vp mwangu naomba namba Yako inapatikanaje Ili tuongee vizur

  • @HusseinKagesho
    @HusseinKagesho 6 หลายเดือนก่อน +6

    sawa kabisa huyu hali chamtu wabaya binadamu kufuatilia maisha yamtu...Mungu hakupatia mwana damu Jeneza haya yamekuja na Mwanadamu halafu anaanza kushangaa mitjme wote wamwenyezi Mungu Ni yupi aliyezikwa kwa jeneza? Huyu anayetengeneza jeza mbona munaona hiyo ni kazi?... wako watu wanafanya makubwa ....Huyu bwana yuko sawa wewe wacha hofu...je wako wanao lala haswa juu ya kaburi tena wengi,,,sasa na mimi ni talala jokofu ni weke historia

    • @MARYNAGUJustin
      @MARYNAGUJustin 6 หลายเดือนก่อน

      To murch kwl c tuliompokea yesu tuna Raha hatuna masharit yoyote

  • @fridaMarcus-i7u
    @fridaMarcus-i7u หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie kwa kweli

  • @mussamalogo5640
    @mussamalogo5640 6 หลายเดือนก่อน +43

    Afu bado kuna vijana wanaotamani kujiunga na jamii hiyo ya siri licha ya watu waliokuwepo freemason kusema hadharani magumu wanayopitia ila bado vijana wanatamani kujiunga tufanyeni kazi vijana wezangu

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 6 หลายเดือนก่อน +3

      Sio kila utajiri ni u freemason, ebu wabongo kuweni na akili, mali za kushirikina mbona zipo tangu kitambo uko bongo newala sehemu inaitwa ngende wanatoa huo utajiri wakishirikina

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@MpakausemeSafi Kk Ngende Ndio Kiboko Ya Wachawi

    • @JAMESGASPER-kj5bk
      @JAMESGASPER-kj5bk 6 หลายเดือนก่อน

      Ngende Amna kitu sasaiv

    • @JamesMakuri-ik6gj
      @JamesMakuri-ik6gj 6 หลายเดือนก่อน

      Hakika,tufanyen kazi

    • @StephanieHenry-kr9vz
      @StephanieHenry-kr9vz 5 หลายเดือนก่อน +1

      hata ningekua mim we😢 hapan kwa kweli

  • @fatmandege9768
    @fatmandege9768 5 หลายเดือนก่อน +5

    Huyo binti wa kazi nae anaroho ngumu

  • @bennettbennett2915
    @bennettbennett2915 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ninachojiuliza mtangazaji izo flashback zauyo Jamaa zimeshutiwa MDA gani wakati mahojiano niya chapu ase,,,tena flash back zaaina tofauti tofauti,,,,Ufafanuzi kidogo

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 5 หลายเดือนก่อน

      niaongo hawa

    • @newtonjames1295
      @newtonjames1295 5 หลายเดือนก่อน

      Wanatafuta wakuwapiga ni wazee wa vipindi hawa

    • @pascalmgina
      @pascalmgina 3 หลายเดือนก่อน

      Unatangaza biashara. Hatuji sasa

  • @PaulDeus-do1fb
    @PaulDeus-do1fb 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana njia uliyo chagua ni jehanam .Yesu ndiye njia kweli na uzima.

  • @FestoMunishi
    @FestoMunishi 6 หลายเดือนก่อน +18

    Umo kwenye Geneza anapumuaje sasaaa dah maisha mengine ni matesoo tuu bhan hakun jpy

    • @michaelsamson9663
      @michaelsamson9663 5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @MissanaPetero
      @MissanaPetero 4 หลายเดือนก่อน +1

      Atakuwa namanayakew au anaþkiwa kuchungunzwa

  • @ruthnabash5553
    @ruthnabash5553 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ongera sana my dear ♥️♥️♥️

  • @nzanzex7831
    @nzanzex7831 6 หลายเดือนก่อน +9

    Wakupewa maisha ni Bwana Yesu kristo alie Maliza yote msalabani kwa kuangikwa msalabani.

  • @BushiriMtamana
    @BushiriMtamana 28 วันที่ผ่านมา

    Haya ndio maisha jaman mmmh!kaka na mm nahitsji hiyo kitu ❤

  • @MaryAwour-lv4ro
    @MaryAwour-lv4ro 6 หลายเดือนก่อน +5

    Unakaa wapi ndungu ❤❤

  • @AsteriaJuma-n6q
    @AsteriaJuma-n6q หลายเดือนก่อน

    Mungu akusaidie

  • @damarisnduta5565
    @damarisnduta5565 6 หลายเดือนก่อน +68

    Za mungu ni za bure na hazina mashariti ndugu yangu

    • @SethMalova
      @SethMalova 6 หลายเดือนก่อน +2

      Wambie waskie

    • @football.431
      @football.431 5 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika Na ni baba mwema

    • @AminaOnyango
      @AminaOnyango 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kaka hiyo ni tamaa mbaya kwani ulikata tamaa mapema sanaa

  • @nkwazigatsha
    @nkwazigatsha 5 หลายเดือนก่อน

    Aina mpya ya sanaa. Usishangae soon kuona wakazuka wengine watakaoingiza hii kitu ili nao wawe na mahekalu

  • @marytitus3922
    @marytitus3922 6 หลายเดือนก่อน +10

    God have mercy

  • @AithamDoto
    @AithamDoto 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka

  • @monicahowendi9357
    @monicahowendi9357 3 หลายเดือนก่อน +4

    Waaa MUNGU ni mmoja tuu

  • @josephmurungi348
    @josephmurungi348 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wacha mungu aitwe mungu.mtukuze mungu kwa kidogo ulicho nacho

  • @ShahazaMarsha-jo9ct
    @ShahazaMarsha-jo9ct 6 หลายเดือนก่อน +3

    Next time mpini location mkuu 😋 namtaka jaman nipo single

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 6 หลายเดือนก่อน

      Mimi Nomber Yake ninayo Nikupe

    • @elijahchegere4974
      @elijahchegere4974 5 หลายเดือนก่อน

      Nitumie namba zako nitakucheki ili nikupeleke mjengoni kwangu

  • @SaleheSalehesalumu
    @SaleheSalehesalumu 8 วันที่ผ่านมา

    Vijana wakigogo bhana 😂😂😂 namjua vizur huyu jamaa sema okay acha wakuamini😂😂🙌

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 6 หลายเดือนก่อน +16

    This man is crazy 🤪 😜

  • @SaimonEgidius
    @SaimonEgidius 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu ni mwema nakupenda mungu wangu

  • @Mylife-g4u
    @Mylife-g4u 6 หลายเดือนก่อน +3

    PLEASE PART 2

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 24 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mashaallah

  • @Bridgeboytz
    @Bridgeboytz 5 หลายเดือนก่อน +6

    Bora nife masikini kuliko ayo maisha. Dah hatari hii jamani

  • @KhadijaAbdullah-w3i
    @KhadijaAbdullah-w3i หลายเดือนก่อน

    Mwenye mungu aninusulu jaman Dunia ipo ukingoni tulud kwa allha

  • @AgrippinaIngara
    @AgrippinaIngara 6 หลายเดือนก่อน +6

    Ushindwe kwa jina la yesu na majeneza yako

  • @IbrahimRashidi-w7v
    @IbrahimRashidi-w7v 5 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana ndugu maisha yako yanaenda

  • @AshaSaid-gy2tg
    @AshaSaid-gy2tg 6 หลายเดือนก่อน +18

    Bora umasikini wangu nalala kitandani kuliko utajili wa majin

    • @NawabuDzungwa
      @NawabuDzungwa 3 หลายเดือนก่อน

      Ha😂😂😂

  • @EsterMbise-pj4vd
    @EsterMbise-pj4vd 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tusamehe hee mwenyenz mungu tuko chin ya miguu yako

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 6 หลายเดือนก่อน +10

    But this man his few last episodes he had a wife he sacrificed and he confessed to it for money as he said his master requested and he was left with his twins aboy and agirl they were 2yeras old and that was early last year.oooh my he sacrificed them too .what's all this money for if you hv no one to spent with ad family ?truly the devil is aliar

    • @LinahCasmir-c4b
      @LinahCasmir-c4b 6 หลายเดือนก่อน

      Exactly 💯

    • @LinahCasmir-c4b
      @LinahCasmir-c4b 6 หลายเดือนก่อน +1

      Those baby twin also dead?? Ohh can't belive

    • @BintHassan-o1y
      @BintHassan-o1y 6 หลายเดือนก่อน

      As u explained means u know him...u decided to likk all family becoz of money 😢😢

    • @PetronilaWekesa
      @PetronilaWekesa 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu alitoa bibi na watoto mapacha mlishamhoji bibi alipokufa ni pepo chafu mrudiye yesu umefikakupaya

    • @BintHassan-o1y
      @BintHassan-o1y 6 หลายเดือนก่อน

      @@PetronilaWekesa na mbona wengine wasema niurongo..?

  • @MejasoniNibitanga
    @MejasoniNibitanga 5 หลายเดือนก่อน

    ❤😂🎉jeneza ninzuli kabis ime ememwerewa san lil aje apende jeneza

  • @marystellambogo2820
    @marystellambogo2820 6 หลายเดือนก่อน +17

    Yesu anatosha

    • @MigomgoMigali-ky1jl
      @MigomgoMigali-ky1jl 6 หลายเดือนก่อน +1

      Daaha acha nife umasikini aisee lkn sio kwa utumwa huo

    • @sweetylove9918
      @sweetylove9918 6 หลายเดือนก่อน +1

      Anatumika vo maskini hanaraha tena yamaisha apoalipo anajiongelesha tu ila hanaamani unafkiria shetani mwenzio? Shetani niadui mkubwa

    • @CalebMwore
      @CalebMwore 6 หลายเดือนก่อน +1

      🔔

  • @sweetylove9918
    @sweetylove9918 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii yote tamaa ya pesa na shetani hakupi pesayake bure akukufurishe akutese ndoutaipata iyo mali mwishowasiku huinjoy maishayako naukifa kwa Mungu utakiona kwakumkufuru. Nashetani alimuahidi Mungu atawapotosha wanaadamu naww tayari kashakuweza Allah akuongoe akutoe hukouliko kwarehmazake

  • @KundaeliJacobo
    @KundaeliJacobo 5 หลายเดือนก่อน +5

    Upo,,saiii kamada,,so nimekwelewa,,,kwani,,serekali yako ni wew mwenyewe,,,,nivizuri sana ulivyo fanya so ni changuo la moyo wako

  • @roseshayo3738
    @roseshayo3738 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ushwetwaniiiii! Okoka Yesu akuweke huru! Uko utumwani!

  • @ImanuelMwaipaja-wf7xq
    @ImanuelMwaipaja-wf7xq 6 หลายเดือนก่อน +5

    Bola ufe umaskini. Life Gani see. Amani ninzuli

  • @MaryamaJumale
    @MaryamaJumale 6 หลายเดือนก่อน +2

    Yupo wapi mm nipo tiari kuishi na yeye hatakama ni kwajeneza bora yeye tu mm nampenda naomba nambaake jamani❤❤❤❤

  • @LoiseRogat12
    @LoiseRogat12 6 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akusamehe

  • @Josephjohn-x4p
    @Josephjohn-x4p หลายเดือนก่อน

    Dada wa kazi ndo anaweza kua mke make anaujasili Sana kwa mwingne hawez

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 6 หลายเดือนก่อน +15

    Hii Dunia si ni ngumu jamani 😂

  • @JoyceMgallah
    @JoyceMgallah 8 วันที่ผ่านมา

    Waislam ni washirikina dini ya kweli ni ile inayo mwamini YES U kristo

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 6 หลายเดือนก่อน +15

    Atakama ninashida. Kwenda siwez lkn kulala kwenye jeneza sisubutu

  • @EstherMabuku-d4d
    @EstherMabuku-d4d 17 วันที่ผ่านมา

    Waaa?

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 6 หลายเดือนก่อน +19

    Frimanson shikamoo

  • @SaadiyaMohammad-og5bg
    @SaadiyaMohammad-og5bg 4 หลายเดือนก่อน

    Kila mtu anajuwa afanyalo sio tumuhukumu mtu mungu anajuwa Nia yake alivo jiamulia madamu anamuamini mungu nimoja basi sawa namungu atampa mke mjasire ayeshia nayea apate nawatoto Kila lakhire bro

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 6 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa angekuwa ana imani ya kikristo Waislamu Wange mbeza sana na kumkashifu yeye dini yake na kutukanwa Wakristo wote, ila kwavile ana imani ya kiislamu Waislamu wamenyamaza kimya kama Vile hawapo ...

    • @davicekombe4932
      @davicekombe4932 6 หลายเดือนก่อน

      Umeongea point kabisa hawa jamaa hua wanachukulia wakristo sijui vipi

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 5 หลายเดือนก่อน +1

      usilolijua hatunataka ubole wake kwan wee kwa akili yako unaona nikwel anavyofanya uyo ashutiwe vidio saangap ahojiwe saangap halafu waislam hawatumii jeneza kama hilo rafkiang

    • @habibahassan8596
      @habibahassan8596 5 หลายเดือนก่อน

      Mwambie ajue💪

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 2 หลายเดือนก่อน

      Waaislam hatutumii sanduku la kuzikia hilo, tunatumia janeza la kubebea maiti tu na sio muundo huo na tunazikwa bila ya sanduku.

  • @GADAUNEWS
    @GADAUNEWS 5 หลายเดือนก่อน

    Story nzuri pia inafundisha mambo haya yapo

  • @djpdaprince2233
    @djpdaprince2233 6 หลายเดือนก่อน +10

    Angalia macho zake

    • @mercymurithii8046
      @mercymurithii8046 6 หลายเดือนก่อน +1

      Yana nini?😅😅

    • @djpdaprince2233
      @djpdaprince2233 6 หลายเดือนก่อน

      @@mercymurithii8046 inaka tuu ashakufa tayari

  • @laidamagesa-bx3do
    @laidamagesa-bx3do หลายเดือนก่อน

    Good your able

  • @EmilyMsacky-hq9qy
    @EmilyMsacky-hq9qy 6 หลายเดือนก่อน +23

    Karibu kwa yesu akuweke huru

  • @MwahijaAthuman
    @MwahijaAthuman 4 หลายเดือนก่อน

    Ilaa inaogopesha sana hata kam nd one million hapan jumba kubwa na hatok nje hiyo hatar

  • @truth7796
    @truth7796 6 หลายเดือนก่อน +4

    Majini ya Urabuni haya.. Ndio maana unapitaja Jina la Yesu hawapendi kabisaaaa

    • @neemakanani4346
      @neemakanani4346 6 หลายเดือนก่อน

      Umeonaeeee

    • @saeedmagoda9651
      @saeedmagoda9651 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @abdulmajidsina7838
      @abdulmajidsina7838 6 หลายเดือนก่อน

      Usikose adabu ukanasibisha majini na warabu

    • @leonardekeya3303
      @leonardekeya3303 6 หลายเดือนก่อน

      Kwali too mimi nakutafa

  • @RahibuShaban-x9n
    @RahibuShaban-x9n 10 วันที่ผ่านมา

    Astaghafirullah hayo sio maisha kaka Angu muombe Allah akuweke kwenye njian ya kheri za Shari akuepushie amen🤲

  • @AlexGermany-s7x
    @AlexGermany-s7x 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hizo comedy zenu mnaharibu hii chanel

    • @MariamLuvanda
      @MariamLuvanda 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe comed huzijui kwani hiyo so komed ni live

    • @AhmedHussein-j6c
      @AhmedHussein-j6c 5 หลายเดือนก่อน

      umeona kaka?halafu wabongo wengi akili zero wanaamini wanacoment ujinga ujinga ,IQ za wabongo zimejaa uoga wa kuamini ushirikina ,

  • @eddyderrickmail66
    @eddyderrickmail66 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atasimamixha haki kahid kiama hakitokuja bla ya kuwa macho kiama tunatmbea nacho dalili za mwisho hizi tuombeni mwisho mwema tusemeni amen

  • @nuriagodana1568
    @nuriagodana1568 6 หลายเดือนก่อน +6

    Innalilahi wainnaillah Rajiuun

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watu wamepagawa n maisha.
    Subhanallah
    Ni ushirikina huo

  • @EstherMwikali-nn4ip
    @EstherMwikali-nn4ip 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hongera natafuta jamaa jasiri kama wewe❤

  • @Piz12-sm6qs
    @Piz12-sm6qs 6 หลายเดือนก่อน

    Atar xana munguu alixema mtakulaa kwa jasho xaxa xjajuaa ilo n jasho ah mashart achaa ujingaa mludiee mungu

  • @Nora-v1m3p
    @Nora-v1m3p 6 หลายเดือนก่อน +4

    Allah amuogoze aki anayofanya kama n kweli hafanyi haki

    • @awadhkannah6587
      @awadhkannah6587 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo haki anaijua kuliko wewe, ila ndio maisha yake

  • @GfGf-y4f
    @GfGf-y4f 21 วันที่ผ่านมา

    😭😭😭😭 pole kaka😭😭😭😭