Mbowe na Lissu Wakiyarudi Kwenye Mkutano wa Wanawake CHADEMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ม.ค. 2025
- Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA, Mbowe na Tundu Lissu wakicheza pamoja kwa furaha kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) unaofanyika Ubungo Plaza leo Januari 16, 2024
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Mboe tunakupenda tunashukuru kwa ulpo tufikisha mungu akubarik ila sahiz tupo na lisu
Msichoelewa mbowe karidhia lisu awe mwenyekiti mnachokiona ni nikuweka attention tu hawana bifu hao
Lisu ana nesa nesa 😂😂😂hawa ni wa mfano kwa ccm. No hate no fear
maisha Yana unafiki mnoooo
😂😂😂😂
Sasa wangefanyanje mzee
Alitaka wapigane ngumi @@sindabahabwoyaanacret660
Hamna Cha kufanya zaidi ya unafiki mzee😂😂😂😂😂😂@@sindabahabwoyaanacret660
Safi sana mungu awaunganishe.
Lisu oyeee
Nimejikuta nacheka tu. Ila lisu😂
😂😂😂
Mbona Lissu anademka vizur sana
Ila siasa!!?😂😂😂
Ni siasa sio bifu
Lisu ni binadamu wa namna gani anacheza kwa furaha na lisasi mgongoni , na makovu mwilini!
Ni lisu na heche tu wajumbe 🙏
Siwezi kuwa$mwana siasa maana nimegunduwa wana siasa ni wanafiki. Nimeona Obama na Trump na sada Lisu na Mbowe. Lol 😆 .
Ila lisu😂😂😂😂
Kwakweli kubembelezea kura kazi ....Lissu na ulemavu anaupiga mwingi sanaaa
ila hawa😂😂
Tupo pamoja ila lssu naomba tuvushee
Mkipita salama itakuwa shule kubwa africa nzima
Ila hawa watu mbona siwaelewi😂😂😂😂😂😂
Ndio siasa zilivo
Et Bana wanacheka wao Kwa wao
LISSU NINACHO MPENDA YUKO VIZURI KWA KWELI.
Lisu anacheza kwa FURAHA Mbowe anacheza huku kanuna
Hahaahah😂😂😂 lissu anayaruka
Lissu ana biti unaweza kukimbia uwanja wa mashindano kabla ya filimbi😂😂
😂😂😂
Pwaapwaa!!
Lisuu 😂😂😂
Love
Lissu tuvuuuuhse mwamba amefanya makubwa tutamjumbuka mpe tano hapo stagini
Hawa walishazungumza huu mvurugo ili watengeneze hela wanachama tunachezewa akili tu
Wakomavu wa siasa
Sasa lisu ndo kawa mwenyekiti hapo patakua patamu sanaaaaa
😂😂😂😂😂 yaaan nataman kipind hik kisishe mapema make tunaburudika
Siasa sio ugomvi ni kushindana kwa hoja.
siasa hapana ni mchezo mchafu kbs mkikutana mpo pamoja mkiwa mbali mnatowa maneno yasiyoeleweka
Ila odero anaongea na lisu usikute ni team lisu huyu
mbowe huna chako
sitafu mzee acha lissu akunyoshee chama
Mbowe tuvushee
HAPA NDIPO ILIPO SHULE YA UNAFKI 😂SIASA
😅😅😅😅
Lisu Iyobo 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Tuvushelisu
chadema kwanini hawapigi nyimbo za wasanii wetu
Wasanii wetu..wote wanajiona CCM na machawa wa Serikari!!😮😮
Wanii gani akina dimond ? Huku hawatakiwi kwa sasa labda watubu