Ni jumla ya wajumbe 1,200 (wanaitwa wajumbe wa mkutano/Baraza kuu wa Taifa - CHADEMA). Hawa wanatoka kila jimbo la uchaguzi (wajumbe 3), katibu na mwenyekiti toka kila wilaya nchini kwetu (wajumbe wa2); Wenyeviti na makatibu toka kila kanda.
Katika vitu vya ajabu na kukosa adabu NI hivi chadema wanayo fanya ... Kutumia media ... Kama mnaona mpo sawa endelerni ila mnajiua wenyewe kwa mikono yenu
Asanteee ukonga niliwiwa kufika hapa leo nikapatadhalula Asante katibu Asante mwenyekiti na ukonga kwa ujumla
Mimi lisu ndo kila kitu walahi akitangazwa mwingine naacha kufuatilia siasa za upinzani
nitashangaa nikiona katangazwa mtumengine wakati nyota njema imeonekana mapema😂😂
Mwenyekiti Tundu lisu makam Joni heche katibu mkuu lema✌️✌️✌️
Kibao kimemgeuka alisema samia must go now mbowe must go ama kweli malipo hapa hapa duniani
Mboe tunampenda ila apumzike waje wapya lisu heche✌🏻✌🏻
Isee Katibu wa Jimbo Ni Chuma cha Madini🔥🔥🔥
Hongereni sana wanaukonga mna kitu mtafika mbali, huyo katibu bwana madevu yuko vyedi mno
Mimi nimefurahishwa sana na mzee mwenye uaraza aliyevaa nguo ya CHADEMA..mzee ana Energy sana daah..😂😂😂😂
Mbowe ni bizness man chama ni mlango wa madili kwake hawez kuachia kirahisi😂😂😂
I love This Spirit of Fighting let's Goo Chadema We Can Do This
Hapo nimewaelewa nilikuwabnashangaa Jimbo langu kutoa misimamo.Nashukur mnyalukolo mwenzangu Makweta safi .
Uko sawa mbowe hafai nimepotza pesa zanguu waniludshie mbowe na lowasa
nko pale lissu 🔥 asilimia 85 nko paleeeee
Big up sana tuko pamoja wote tunamhitaji TAL
Haina shida kabisa nibhaku yenu, wengine tunaenda na mbowe
Sogeeni Kwa Mangi hapa mnywe soda mko vibe sana.
Mzee Mbowe mambo magumu upande wake .😊
Kanda zote zinamuunga mkono Lisu sasa Mbowe siajitoe tu
Dar es salaam kataeni uhuni wa mbowe, Mpeni kura lissuuuu
Mimi ni mmojawapo wa waliolipia kadi tangu mwaka jana , miezi 7 mpaka sasa sijapata kadi, tunaenda na LISU
Kafanyeni kweli sasa,msiishie kusema mineno tu,vitendo vikaongee,mkumbuke mitaa yote nchini,inamngojea tundu antipas lissu ,heche,lema,na wazalendo wengine,hebu katuondoleeni takataka zote kwenye chama
Mbowe must go
Wanachadema walishachukia sana
Jamani naombeni kujuwa wanaopiga kura kumchagua mwenyekiti chadema taifa ni watu gani na wanasifa gani
Ni jumla ya wajumbe 1,200 (wanaitwa wajumbe wa mkutano/Baraza kuu wa Taifa - CHADEMA). Hawa wanatoka kila jimbo la uchaguzi (wajumbe 3), katibu na mwenyekiti toka kila wilaya nchini kwetu (wajumbe wa2); Wenyeviti na makatibu toka kila kanda.
Kwamba watu wakipotea chama kitafanyaje zaidi ya kupiga kelele ili serikali ifanyie kali hilo tatizo
UMMMA UNAMTAKA LISU,ILA UTASHANGAAA MBOWE ATASHINDA KWA KISHINDO,HIZO KURA HATUZIONI MAPEMA HATUONI WANAOMUUNGA MKONO......WAKICHEZEA UCHAGUZI CHADEMA KWISNEY.UMMA USHASEMA
Mbowe must go
LISU RAIS WA NYOYO ZA WATANGANYIKA
Shida ya kadi iwe Dar es salaam na kule kwetu Tukuyu na lleje je???
Mbowe has become more than hopeless!!
Tunaungana na wewe Mhe Lissu atuvushe!!!!
Ukonga Tupo Salama Nakula Zetu Kwa Lisu
Hatari
Tuendeleeen kuwapa maoni yetu
Mabadiliko ndani ya chama chochote kile no chachu ya maendeleo ndani ya chama na taasisi kiujumla twendeni tukamchague TAL
Akitangazwa mwingine tofauti na Lisu CHADEMA TUNAANDAMANA
Ni haki yenu
Tuendeleeni
Mbowe atakuja kuwa kama gachsgua wa Kenya
Halafu unasikia mbowe anachekacheka rais ambae ndiye serikali yake inalaumiwa kila siku kuhusu utekaji
Mbowe acha ulafi. Pisha
bila lisu upinzan byebye
❤😅😊
Makubwa !! Eti mboe alikuwa mtu wa ccm
mpk dar tena wanamtaka lissu!!!!
Kura ni Siri
lisu ndy anafaa mbowe chawa wa serekali
Ni lisu na heche Sasa mbowe apumzike kwanza
😂😂😂
Lisu
Acha mbwembwe ,kura ni siri ya MTU
Sio kwel,
Atali tupu
Katika vitu vya ajabu na kukosa adabu NI hivi chadema wanayo fanya ... Kutumia media ...
Kama mnaona mpo sawa endelerni ila mnajiua wenyewe kwa mikono yenu
Mbowe must go
Mbowe must go
Mbowe must go
Mbowe must go
Mbowe must go