MAMA DANGOTE AMVAA SHILOLE/DIAMOND HAKUPENDA AMEMKOSEA/YULE DADA TUNAMJUA ALITAKA KUTOA MILIONI 20

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 434

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 3 ปีที่แล้ว +27

    Kakurupuka shishi Kwa Sisi Wazanzibar shabiki zake dai tunasema sio heshma. ,, Alafu dunia imechenji anco kaongea point na sio kila shabiki mkamuona ndie kwapengine wengine wanatumwa Kwa namna moja au nyengine . Mungu amlinde Mondi pamoja na familia yake 😘😘😘

    • @maryamhadid7753
      @maryamhadid7753 3 ปีที่แล้ว

      Mmh

    • @mahramarswad6041
      @mahramarswad6041 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa ulichoongea hata huyo dai mwenyewe hakufurahikia anaonesha wazi maskin

  • @aminosfadul4813
    @aminosfadul4813 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani mama uyu mm nampendagasana ju anajielewa Sana l loveyou mamadangote 😘😘😘😘😘

  • @jeannetteingabire1460
    @jeannetteingabire1460 3 ปีที่แล้ว +23

    Maman Mond asanti sana kuwa hangi na mutoto wako sana.mimi niko maman.mashabiki ya hivi inaogopesha.asante sana Oncle chamute

    • @allanothuman2941
      @allanothuman2941 3 ปีที่แล้ว

      Huyo mm unae mshabikia anakata kiuno jukwaani na amemkna mme wake daaaah hii ni hatariii 😓😓😓

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 ปีที่แล้ว +9

    Mrs Shamte mko vizuri kwa biashara ❤️♥️♥️

  • @fathiyasaid3687
    @fathiyasaid3687 3 ปีที่แล้ว +31

    Kwakweli nimependa Mama kama Mama amefanya anatakiwa awe makini kwa mtoto wake hongera mzazi mwenzangu

    • @mohammadoman8963
      @mohammadoman8963 2 ปีที่แล้ว

      Sana maana wanawake wengine si wazuri hasa huyu wa kusukumiwa bila tarifa

  • @teenstalkwithclassicventur2545
    @teenstalkwithclassicventur2545 3 ปีที่แล้ว +23

    I like the creativity in Refresh now

  • @asiasalim4634
    @asiasalim4634 3 ปีที่แล้ว +21

    Kazid sana yy na baba level hawana mipaka

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 3 ปีที่แล้ว +29

    Ni kweli kabisa kitu kibaya alicho fanya shilole usirudie dada fikiria kwanza kabla hujafanya au uliza ushauri kwa familia maana unaijuwa vizuri unaongea nao

    • @zulfaissa7814
      @zulfaissa7814 3 ปีที่แล้ว

      Huyomm mbona anasauti nzuri utafikili dume jike utashangaa kupiga picha hushangai weye kumtambulisha bb mwengine au nitabia alizozoe zakinafiki

    • @zamdakimaro2973
      @zamdakimaro2973 3 ปีที่แล้ว

      Alikurupuka sana

  • @khalidbalala7753
    @khalidbalala7753 3 ปีที่แล้ว +47

    Kweli hata ukitazama macho ya babu tale na nasib wametazamana macho kuwa hawakufurahiya

    • @raymondmtecko9197
      @raymondmtecko9197 3 ปีที่แล้ว +1

      Apo umezungumza ukwel big

    • @annamakomele339
      @annamakomele339 3 ปีที่แล้ว +1

      Umeonaaa eeeh🙏🙏

    • @tamemahmad9902
      @tamemahmad9902 3 ปีที่แล้ว +2

      Alikuwa amtaarifu mapema na sio kumshtukiza mana amewasimamisha khafla

    • @rosesolomon826
      @rosesolomon826 3 ปีที่แล้ว

      Tale mnafkimimi ningekua shsh ningestuka

  • @jaliaotien.o6995
    @jaliaotien.o6995 3 ปีที่แล้ว

    Wahandishi wa wasafi media ni wambea sana kuliko kazi zenu

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 3 ปีที่แล้ว +48

    Kwahiyo uncle shamte ameongea kama Mzee Nyange... Hajapenda.. 😂😂

  • @fakihassan5569
    @fakihassan5569 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama dangote leoo umenifuraisha sana waooo

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 3 ปีที่แล้ว +6

    Mama anamajibu huyu 😝😝staring 🔥🔥

  • @faridaabdallah2213
    @faridaabdallah2213 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana mama Dangote, SHILOLE Umezidi Shobo Kiukweli Kha!🙌🙌🙌

  • @haithamrubea1726
    @haithamrubea1726 3 ปีที่แล้ว +38

    Ila mama leo nimekuelewa kumbe mtaratibu ivo na unavoonesha huna tabu nimekupenda bure

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว +11

    Mama yuko sahihi 100%, Shilole hajui protocol

    • @aishaomar1845
      @aishaomar1845 3 ปีที่แล้ว +1

      Diamond you need to get away from these so called females bringing you down or to Allah forbidden a killer to you please we value you too much my son these women are disperate IN SHAA ALLAH KHER

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 3 ปีที่แล้ว +1

      @@aishaomar1845, he must be very careful or else women will bring him down like the biblical Samson

    • @aishaomar1845
      @aishaomar1845 3 ปีที่แล้ว +1

      @@nahyialetomia9284 l know just coz he is nice but now he is bigger and bigger he has to we don't want him to end up like MJ 🤣😅🤣🤣😅

  • @jumaalhamid5242
    @jumaalhamid5242 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama nasibu mjinga Sana Wala hafkirii kwnza adabu yenyewe Hana uzee uwo bado kutembea na watoto mambo mengne yakupite kizee wewe utafute msala uswali waachie watoto mambo yao shilole kweli anakosea lakin na wewe mama ni mtu mzm uwache uhayawni na uzeek vbay

  • @imathomas6531
    @imathomas6531 3 ปีที่แล้ว +11

    Huyu mtangazaji anaakili sana ya kuhoji yaan mama dangote kiulaini 😅

  • @fredric540
    @fredric540 3 ปีที่แล้ว +5

    Zawandi kwa wasafi 🔥🔥🔥🔥

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 ปีที่แล้ว +6

    Shilole alikosea Sana hakuonyesha heshima kwa diamond platnamz

  • @rajah9328
    @rajah9328 3 ปีที่แล้ว +17

    Kweli alikosea sas mbele za watu ivyo mbon asipige simu

  • @judithgeorge1756
    @judithgeorge1756 3 ปีที่แล้ว

    Ni kweli shilole alivyofanya sio vizuri

  • @milamila5594
    @milamila5594 3 ปีที่แล้ว

    Good job 👍👌👍 mammy Dangote

  • @estermwanilwa5469
    @estermwanilwa5469 3 ปีที่แล้ว +1

    Shishi nakpenda sana lkn umekosea d mwenyewe hakupenda iyo kitu mama yuko sahihi bhana wengne wanatumwa dunia ya sasa imebadilika wanadamu wanaroho chafu roho za kikatili ucludie tena muombe msamaha mama.

  • @bahatimbezi4533
    @bahatimbezi4533 3 ปีที่แล้ว +11

    Shilole amekosea kwa kwel haikuwa sehem sahih ya kumpeleka uyo shabik pale..

    • @daphrozakikoti2939
      @daphrozakikoti2939 3 ปีที่แล้ว

      Kabisa kaharibu biashara Sasa mboso baada atrend anatrend diamond

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 ปีที่แล้ว +24

    Shishi umekosea sana kwa kweli Sasa weye njo unamletea wanawake ama

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 3 ปีที่แล้ว +9

    Eti shilole kashakula dola zakeeee....dola hizo xitakutokea puani 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sosoalsos9912
    @sosoalsos9912 2 ปีที่แล้ว

    Mama dangote rudi kwa mungu wko utubu sai umekuwa Mtu mzima

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante uncle umeeleweka

  • @barakanestory7366
    @barakanestory7366 3 ปีที่แล้ว +4

    Mama upo sawaa na unafanya kile mama ambacho anatakiwa kufanya kwa mwanae

  • @semkudfamily9222
    @semkudfamily9222 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah sema me nakupenda bi sandra

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 3 ปีที่แล้ว +17

    🤣 Huyu jamaa napendaga anavyohoji, kama vile hayuko serious lakn kumbe yuko serious

    • @safiaimran7339
      @safiaimran7339 3 ปีที่แล้ว

      Eti shilole anapenda rangi gani 🤣🤣🤣🤣

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 ปีที่แล้ว

      Kasomea hii kaz😂😂👊

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 3 ปีที่แล้ว

      @@safiaimran7339 😂😂😂😂

    • @mustaphagairo1936
      @mustaphagairo1936 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa akili nyingi kam mimi

  • @dairyhairy6269
    @dairyhairy6269 3 ปีที่แล้ว +51

    Wakwanza mnipe likes zangu

  • @elizabethsakina2306
    @elizabethsakina2306 3 ปีที่แล้ว +29

    Wa tanzania mnapenda umbea khaa 1k in 58 minutes 🤣😂😂🤣🤣😂😂mmenishinda tabiya

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 ปีที่แล้ว +17

    Shilole anajitoa fahamu sana

  • @halimahassan3225
    @halimahassan3225 3 ปีที่แล้ว +12

    nimepongeza mama umejua kutunyoshea mtu😀😀

  • @jerushanyawera4964
    @jerushanyawera4964 3 ปีที่แล้ว +2

    Mama D ako sawa kumwangalia mwanae,coz vijana sometime wakipakuliwa hao hula tu bila kujali then at the end of it duh...... 🇰🇪

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว +10

    Ooooookkkkkkkk apoo nimeelewa yani roho inawauma shishi atakuwa ame kula elaaaa

    • @mathewdyzymaleyafrica9128
      @mathewdyzymaleyafrica9128 3 ปีที่แล้ว +1

      wewe huelewi na hutaelewa

    • @junuferjinu1444
      @junuferjinu1444 3 ปีที่แล้ว

      @@mathewdyzymaleyafrica9128 ukielewa ww inatoshs maana aituusu nahuyo nimama shishi nimwanae alishindwa kumpigia sm adi aje kwenye mitandao

  • @vlogvlog8522
    @vlogvlog8522 3 ปีที่แล้ว +16

    We aliyah ume kaaje

    • @salmadhiab2693
      @salmadhiab2693 3 ปีที่แล้ว +4

      Unajua mie pia nimetaka kuuliza mkao gani huo huomkao ni wakimalaya malaya yoyote mtazame ukaaji atakuna nywele atatafuna kucha hizo nidalili mbovu

    • @albs1448
      @albs1448 3 ปีที่แล้ว

      @@salmadhiab2693 🤣🤣🤣

    • @alimairakoze3784
      @alimairakoze3784 3 ปีที่แล้ว

      @@salmadhiab2693 😂😂😂

    • @desiremigezo1816
      @desiremigezo1816 3 ปีที่แล้ว +1

      Malaya huwo

    • @desiremigezo1816
      @desiremigezo1816 3 ปีที่แล้ว

      @@salmadhiab2693 malaya

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 3 ปีที่แล้ว

    Love you mama Dangote uko sawa

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว

    Mama ka mama yuko 👌sahihi.shishi nampenda lkn nae kazidi kujichetua khaa.uko really sawa lkn kuwa mtulivu.unapayuka sana.unajishushia hadh yko.uswahil umekuzid.punguza

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 3 ปีที่แล้ว +5

    Apo nimeelewa mama dangote anamlinda mwanae diamond Mana diamond anamaadui wengi huwez kumuamin mtu kirahisi hujui anania gani kwer wapo makin na wanajitambua saana hii familia sio yamchezomchezo ndomana Babu tale alimshusha na kumpandisha huyu dada,,inaonekana hata chakula mond hali ovyoovyo Safi hakurupuki

  • @ravareyzpromesse2633
    @ravareyzpromesse2633 3 ปีที่แล้ว +19

    Shilole muongo mno🤣🤣

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 ปีที่แล้ว +7

    Hatari Sana jamani

  • @adijaadija9923
    @adijaadija9923 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji mbeya😀😀😀

    • @jafaryzmalick3110
      @jafaryzmalick3110 3 ปีที่แล้ว

      Umeona ehh adi bi.mkubwa anacheka kaingia milango sio

  • @ماجكموزجوني
    @ماجكموزجوني 3 ปีที่แล้ว +2

    I'm NOT a big fan of Harmonize but he's humble he showed to the Congolese boy who came to visit him. Problem here this family they think Diamond is tiny brand. He's HUUUUGE and he has fansbase all over the world. What this family showed here to the girl, scares me. If she came from France, UK, US or Tandale, treat them with respect. I believe cos she's a girl. If he could be a boy, all this shit wouldn't happened. Poor girl but very poor family with lots of disrespectful parents

  • @latb2747
    @latb2747 3 ปีที่แล้ว +1

    hili mama dangote roho mby mno

  • @willyjulius3304
    @willyjulius3304 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwahiyo Shishi amepewa dolla😂😂😂

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 ปีที่แล้ว +7

    Shilole amekosea. Kakurupuka. Mungu mlinde Daimond Plantum 🙏

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 ปีที่แล้ว

    Mimi mwenyewe sijapenda shilole ameudhi Sana mjinga Sana

  • @deelissa2746
    @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +25

    Uyo mtangazaji wa kike ndio roho kwatuuuuuu maana kaona angeibiwa bwana 😂

    • @energeticmbn4596
      @energeticmbn4596 3 ปีที่แล้ว +4

      Tabia mbaya 😃😃😃

    • @queenfizi5654
      @queenfizi5654 3 ปีที่แล้ว +3

      🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🙆‍♂️

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 3 ปีที่แล้ว +4

      🤣🤣🤣🤣

    • @hanifaally4694
      @hanifaally4694 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @ماجكموزجوني
      @ماجكموزجوني 3 ปีที่แล้ว +3

      I believe she's milking Mr behind the scene. She looks happier and angry

  • @jestinabenedict4620
    @jestinabenedict4620 3 ปีที่แล้ว +2

    BABA WAKAMBO NAE MKALI ULIKO BABA MZAZI

  • @fatmasalima3847
    @fatmasalima3847 3 ปีที่แล้ว +1

    So ame coseya plz for give her

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 3 ปีที่แล้ว +4

    Kama walimjua wangegoma kusimama hii familia niyakinafk nakupenda kuongelea vitu vyakipuuz

  • @owlbig
    @owlbig 3 ปีที่แล้ว +4

    Uyo mdada nimuongo eti hajui Kiswahili alafu amejibi nini apo eti no kiswahili nikusema ameskia yenye Babu tale ameuliza

  • @زهرغنيه
    @زهرغنيه 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyo mama dangot nayeye nishida jekweri nanywere zake

  • @aysherkitoi6547
    @aysherkitoi6547 3 ปีที่แล้ว +1

    Watangazaji wa Tanzania bure kbs

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 3 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unajua sanaa

  • @ramillywood909
    @ramillywood909 3 ปีที่แล้ว +3

    Uncle kaa mbali na mambo haya

    • @ednaedna1753
      @ednaedna1753 3 ปีที่แล้ว

      mwache time yake yaja tena atatamani hangeingia kwa hii Familia..

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 3 ปีที่แล้ว

    Shilole tatizo anaongea sana.labda hata hakuna nia mbaya na hakujua kama walishaenda dukan.sasa the way alivoenda.mazingira sio sahihi..lakin mama nae angempigia sim...wasameheane tu.

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +2

    Due itakuwa unajuana sana na mama dangote... 😁😁

  • @lucyalto8751
    @lucyalto8751 3 ปีที่แล้ว +1

    Jaman uyu kaka anaehoji mbona kama kimbembe wa kwenye saloon ya mama kimbo

  • @lizzienabiswa
    @lizzienabiswa 3 ปีที่แล้ว

    Baby tale's facial expression tells it's all.they were abit embarrassed..

  • @husnamfuko6136
    @husnamfuko6136 3 ปีที่แล้ว +5

    Shilole ngwaaaaa

  • @singasinga2663
    @singasinga2663 3 ปีที่แล้ว +1

    Sema huyu jamaa anajua sana kuhoji daaaaah

  • @jacklinndosi268
    @jacklinndosi268 3 ปีที่แล้ว +5

    Shabiki popote as long hajafanya fujo na pia ni jambo zuri tu kwan diamond ni mungu ,mnyamaze mda mwingine

    • @linarchristian4960
      @linarchristian4960 3 ปีที่แล้ว +2

      Dada wa watu hata kumsogelea haja msogelea.

  • @paulmawirakinyu2688
    @paulmawirakinyu2688 3 ปีที่แล้ว +7

    Shilole ni mshamba tu...hana jipya...

  • @nadinekibibi8828
    @nadinekibibi8828 3 ปีที่แล้ว

    Namu mpenda maman diamond

  • @zenakihondo5195
    @zenakihondo5195 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa unamuwinda kama ndege

  • @rayzmaisha
    @rayzmaisha 3 ปีที่แล้ว +8

    🔥🔥🔥🔥

  • @hamidumuhammad5607
    @hamidumuhammad5607 3 ปีที่แล้ว +3

    Shilole mshamba tuu

  • @zenjizanzi5582
    @zenjizanzi5582 3 ปีที่แล้ว +1

    I'm supporting mama i can read the girl is bad you can tell mtizame alivyoshutuka at one point when she was getting her phone ready

  • @marywamaitha
    @marywamaitha 3 ปีที่แล้ว +1

    Uncle ety press ya usingle😅😅😅

  • @river7419
    @river7419 3 ปีที่แล้ว

    One day is one day, we understand shilole what she done,but where is Kanumba today!!!!!

  • @bagangakheleif3101
    @bagangakheleif3101 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa Mara ya kwanza nimekuelewa mama kumbe mtaratibu jamaniii

  • @adijaadija9923
    @adijaadija9923 3 ปีที่แล้ว +4

    ila shishi ni mjuwaji sana ana penda sifa

  • @amanichisso945
    @amanichisso945 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah...nimecheka...sn

  • @beshuuambarali4960
    @beshuuambarali4960 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimechekaa Sana macho kuvimba wana furahisha snaaa..hawaa udaku

  • @angazh5631
    @angazh5631 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwani hakua na number ya shishi

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 3 ปีที่แล้ว

      Kwan shishi hakuwa na namba ya mondi kabla ya kwenda mpk kweny press ili ajue kama Nassibu yuko tayari au laa!

  • @emmanuelmashauri1430
    @emmanuelmashauri1430 3 ปีที่แล้ว

    #Shilole kawa chawa sema ndo mambo ya kuzoeana zoean wkt mwngne MTU anawez kukuletea watu ambao ww hauna mahusiano nao vzr

  • @mohammadhemedally584
    @mohammadhemedally584 3 ปีที่แล้ว

    Huyu mama kweli mjinga wa miaka na karne sasa mbona huyo diamond anatafuta ukubwa wa kazi gani

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 3 ปีที่แล้ว

    Urafiki wake na Diamond anautumia vibaya achunge mdomo wake Diamond msanii mkubwa

  • @winniegeorge4587
    @winniegeorge4587 3 ปีที่แล้ว

    Hello

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 3 ปีที่แล้ว

    Uncle Ana busara sn

  • @happinesswilliam2948
    @happinesswilliam2948 3 ปีที่แล้ว

    Shishi anatabia chafu na zimalaya ukiwa na adabu uwezi fanya hivyo kabisa kama mzazi sikupenda kabisa tena livyokuwa na adabu mbele za watu, shishi anawaficha watoto wake ndani ila yeye anampelekea diamond malaya umekosea sana weka heshima ujinga wako fanya kwa wanao umekosea sana sana mama dongete upo sahihi kama mzazi uliongea sawa

  • @yama_virginhairthequeen1065
    @yama_virginhairthequeen1065 3 ปีที่แล้ว

    Shilole amekosea Sana kweli hatakama si umaarufu wa mtu but heshimu privacy ya mtu alafu live vile alafu kuwa na mazoea na mtu yasivuke mpaka

  • @zafarmohamedy3013
    @zafarmohamedy3013 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mama hovyoo tuh

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 3 ปีที่แล้ว

    Izo sikafu mama hata kukunja vizuri daaaa

  • @muanashaswaleh5110
    @muanashaswaleh5110 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mama jamani mbona afiniki kichwa kama sie muislamu vile

  • @khadijamohammed2855
    @khadijamohammed2855 3 ปีที่แล้ว

    Watu waajabu sana yani Monday naumalaya wake wote huo wakulala na wanawake tofaut tofaut mpaka kuzaa nao lakini mama yake anatoa meno 2 ila kwenye inshu hiyo ya shingle anajifanya kunyoosha demo kama hutaki mambo ya kipuuzi kwa mwanao siumsimamie ili are uliko kujiongezea mizambi kila kukisha, wote nyie ni wapuuzi wewe na huyo mwanao ni wapumbavu maa gani anaeshadadia mwaae kuzini zini tuu na kuzaa ovyo kama mbuzi, hebu kua na akili wewe mama usiejielewa achana na huo upumbavu iga Mifano ya wamama wa mastaa wenzio wasioshboka mitandaoni kwa mambo ya kipumbavu uliyonayo wewe usiejitambua kila kukicha mitandaoni kugombana na watt wadogo😏kasujudu huko utubu kufa kwaja😏😏😏

  • @anetmush1449
    @anetmush1449 3 ปีที่แล้ว +17

    Nan kaona jicho la babu tale

  • @BeingHuman485
    @BeingHuman485 3 ปีที่แล้ว +2

    That was so primitive, i didnt like it either. Thats bad manners. Shilole hapo alikosa adabu. Watching from Texas.

  • @khalossalim213
    @khalossalim213 3 ปีที่แล้ว +6

    Nimecheka leo 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 ปีที่แล้ว +5

    Shishi nae alipuyanga

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 3 ปีที่แล้ว

    Yaaan huyu mm simuelw kummak zakeee ....Laana tuuu hawaaaa

  • @gogoboy3300
    @gogoboy3300 3 ปีที่แล้ว +2

    Msitete bimkubwa anafel mashabik wangap wanakumbatia kama wangekuwa wanamzuru wange mzr mama analala na mtoto wake wivu tu

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli kabisa kakosea Shilole

  • @esthershaban6103
    @esthershaban6103 3 ปีที่แล้ว +1

    Na huyo uncle shamte hapo ndo anauza vitambaa vya esma mke wa msizwa😅😅😅😅🏋️🏋️🤐

  • @janettarimo4334
    @janettarimo4334 3 ปีที่แล้ว +8

    Vimeumana 😂😂😂😂😂