Daaah hii filamu kwa kweli sichoki kuitazama mana CHAUPELE na uyu dada anaitwa Lee aisee wamecheza kwa hisia sana kama hapa walivokutana wakakumbatiana aisee unaweza ukalia
Halafu hivi vinanda vinasikitisha aisee na uyu chaupele na uyu dada Lee nae kapita utamu yani hii filamu inahuzunisha sana,hongereni Turuki Media hakika mpo vizuri. Mbarikiwe na MUNGU wasanii wote muloigiza jicho la mnyonge mmeitendea haki kwa kweli
Imenoga sana filamu hii na kwa kazi nzuri
Hii movie noma sana nimeikubali ilivyo kama love story ya kihindi vile❤❤🎉
Kazi Nzuri sana
Daaah hii filamu kwa kweli sichoki kuitazama mana CHAUPELE na uyu dada anaitwa Lee aisee wamecheza kwa hisia sana kama hapa walivokutana wakakumbatiana aisee unaweza ukalia
Oyaaa Chaupele kaua sanaaaa nampa maua yake hayo🎉🎉🎉
Hii filamu nzuri sana mimi natokea Kenya 🎉🎉🎉
Daaah sijawahi kutazama movie hadi mwisho ya kibongo ila hii inasikitisha sana nimeipenda, muendelezo sijui lini
Namkubali sana chaupele kutoka snake boy ya Clam vevo jamaniii❤❤❤
Hakika hii series nzuri sana inafundisha jamn next please 🙏
Kaz nzuriiii❤❤❤❤❤❤
Hongereni Turuki Media kuanzia leo nitaanza kuwafatilia movie zenu Yani mashaAllah 🎉🎉🎉❤
Turuki media 🔥🔥🔥 Mko vizur sana ndg zangu story Kali mno 🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nzuri xan❤❤❤❤
🎉
🙏🙏
Hii jamani chaupele anatia huruma 😭😭😭
Duuuu❤😂
❤
kuna lijamaa linaitwa 4te Alie cheza video chafu mzee wa nataka unyama yani nyama kwa nyama😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥
Namuona mr Gumbo wa big boss na mistake 🎉🎉
Mzee madonzi" Yani aende akafaidi wakati sisi hatujapata chochote😂😂
Hii noma ❤❤❤🎉
Halafu hivi vinanda vinasikitisha aisee na uyu chaupele na uyu dada Lee nae kapita utamu yani hii filamu inahuzunisha sana,hongereni Turuki Media hakika mpo vizuri. Mbarikiwe na MUNGU wasanii wote muloigiza jicho la mnyonge mmeitendea haki kwa kweli
🙏🙏
Amiin🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤❤