Unabii wa Gwajima kwa Tanzania ni baada ya kimya cha mda mrefu...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @BahatiMwampamba
    @BahatiMwampamba หลายเดือนก่อน

    Ameni

  • @tinatztz
    @tinatztz ปีที่แล้ว

    😢😢😢 Magufuli daim tutakukumbuka kwa tanzania yetu jamn❤❤❤❤ ulikua unasikiliza watu 😢😢😢

  • @AzizaMohhamed
    @AzizaMohhamed 5 หลายเดือนก่อน

    Kiukwelii gwajimaaa mudaa mwinginee. Namkubarigii. 2 japo. Mpakaa kumuelewaa kwakee uwee unaa hekimaa zaa munguu,,

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 6 หลายเดือนก่อน +1

    Raisi wa Tanzania ajaye "Josephat Gwajima" na hapa MUNGU Amemuongoza ajitolee unabii

  • @misheckmrk8848
    @misheckmrk8848 11 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢 inasikitisha sana pia DA SIFA NAKUPENDA

  • @johnsimba
    @johnsimba ปีที่แล้ว +1

    Eeee Gwajima Kiboko ukiwa wa rohoni na wimbo huu utaelewa hahaha 😅🎉

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂 Gwajima we ni noma

  • @StevenTambi
    @StevenTambi ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaa kumbe unamzungumzia Delilah Mkizimkazi😂😂😂😂😂.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli utuhurumie na huyu mama na watu wake wanataka kutumaliza Mungu mwema hata kutuuza watumwa. Hatujawahi kuwa watumwa, kwa mwalimu Nyerere. Leo kuanzia tunaanza kuona utumwa unanyemelea

  • @leticiageorge
    @leticiageorge ปีที่แล้ว

    Kwa kweli

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mufupi ila umeeleweka na unafikirisha, from Cedar Rapids Iowa state USA 🇺🇸.

  • @lukapastory
    @lukapastory ปีที่แล้ว

    Dada sifa, mbona kimya Sana sku iz?? Au unajiandaa na harusi????

    • @sifawayesu7079
      @sifawayesu7079  ปีที่แล้ว +1

      Hahahaaaaaaa!!!
      Hapana harusi yangu bado nadhani mpaka kiongozi wangu akijiridhisha na kujua kuwa sikuiga na kufuata mkumbo ndipo itafanyika.
      Zaidi nimejikita tiktok mpaka mda mwingi naisahau you tube ila nitapambana sana
      Ahsante

  • @omaar5693
    @omaar5693 ปีที่แล้ว

    kuna siku mungu anowapa unabii kiholela atawafitinisha hao manabii zake

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 ปีที่แล้ว

    Tanzania ime anguka mungu wangu heshima ya Tanzania imeanguka chini kabisa muzazi muzuri ana wa sikiliza kilio cha watoto n'a kuleta majibu ya faida kwa familia ila ikiwa kimefikia mutoweni huyo nje asikiliwe nje 😭😭😭😭 hapa mambo amebadilika ninapo kwenda ni mbaya mno😭😭

  • @mjumbewaaganoduniani
    @mjumbewaaganoduniani ปีที่แล้ว

    Mwamuzi wa sasa ni MJUMBE WA AGANO, hakuna mtu yeyote duniani,

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 ปีที่แล้ว

    Samia hawezi kukutoa ubunge kama ambavyo anamvua ubLozi kwa chuki aliyo nayo kwa Dr. Slaa asiendele kuongea bandari kuuzwa! Nilikuwa na huo Mkataba. Article 10.Confidentiality. hii ni biashara itakuwaje siri kubwa inasema!
    Article 11 unaingelea kusiwe na ubaguzi
    Lakini zaidi inaonges kuhusu malipo ya kodi hapa zaidi wajihami ili wasipewe kulipa kodi. Kwanza wstalipaje kodi wakati wametaka usiri mkubwa katika huu Mkataba? Hii ni hatari kubwa sana yote yameegemea Tanzania na watu wake tu Kila kitu kwenye kupokea fauda zote ni Dubei

  • @luciasteven3314
    @luciasteven3314 ปีที่แล้ว

    Hii crep yamiaka iliyopita yule gwajima wazaman sio wasasa achen kupotosha watu

    • @edwardkitali-dd6fm
      @edwardkitali-dd6fm ปีที่แล้ว

      Crep ni ya juz tyu,mwez wa 8 acha uwongo ciyo ya zamani ww,

  • @scholasticaisack8500
    @scholasticaisack8500 ปีที่แล้ว

    Huyu Samia katili kabisa . MAGUFURI TUNAKUKUMBUKA mnooooo

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 ปีที่แล้ว

    Magufuli mleteni Huyo nimsikilize shida yake halafu Samia mtoeni nje huyo anatupigia kelele

    • @KihomaZuhura
      @KihomaZuhura ปีที่แล้ว

      Hahahahaha kizimkaz ni balaà Bora mjomba kuliko shangaz daaah,m/mungu tusaidie

    • @augustabisetsa5007
      @augustabisetsa5007 ปีที่แล้ว

      Mm hujuwi usemalo

    • @KihomaZuhura
      @KihomaZuhura ปีที่แล้ว

      @@augustabisetsa5007 aaaaaah kweli?au maono yanatofautiana?