Yaani katika masheik eanaoongea ukweli ulivyo wewe ni namba moja. Yaani unakwenda ma wakati kabisa na unautambua ulimwengu ulivyo sasa laiti masheikh wengine wanayaongelea haya basi watu wengi wangejitambua haswaaa!!! Wengi wetu hawajijui dunya ilipo hivi sasa wamebaki na majina tu na kujiita waislam.
Bado upo nasi kwa the best mawaidha. Allah akujalie firidausi inshaAllah
Allah yarahm sheikh kilemile.
Sheikh ALLAH akupe kitabu chake kwa mkono wa kulia. Wewe umetutangulia Bali bado uko na sisi.
Allah akurehemu akujaalie pepo daraja ya juu Sheikh wetu ameen😭😭😭
Hakika ya sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Ewe Mwenyezi Mungu ilaze roho ya Shekhe wetu mahali pema peponi. Amiin!
Ameen yarab
ALLAH AMREHEM SHEKHE KILEMILE
In-nalillah wainalah rajiun mungu ukujalie pepo daraja la juu
kwel shekh tunakukubali
Kama hujamuelewa sheikh Kilemile sijuwi utamwelewa nani.mungu akulinde ulamaa.
Wallah unasema ukweli mtupu! Jazakallah kheir
Allah akbar
Hahahahahaa
Dah shekh amenichekesha sana hapo ktk rizki jamaa ameenda kuziba kabisa
kweli sheikh
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh
Hii video mbona haina sauti.....??