- 51
- 324 427
Rashid Dilunga
เข้าร่วมเมื่อ 6 ธ.ค. 2012
วีดีโอ
SHEIKH KILEMILE - MUONGOZO WA MTUME S.A.W KATIKA SIKU 10 ZA MWISHO WA RAMADHAN
มุมมอง 4.2K9 ปีที่แล้ว
SHEIKH KILEMILE - MUONGOZO WA MTUME S.A.W KATIKA SIKU 10 ZA MWISHO WA RAMADHAN
SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA
มุมมอง 4.4K9 ปีที่แล้ว
Amani ni jambo muhimu katika mustakabali wa jamii yoyote. Ndio (uoni) wa uislam na ndio unaotakiwa kuwa uoni (vision) wa falsafa yoyote ile. Kwa kuwa sehemu nyingi duaniani hazina amani sasa hivi, ndilo jambo ambalo limemsukuma Sheikh kuongelea juu ya umuhimu wa kuilinda Amani iliyopo Tanzania, hasa katika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015. Hebu fuatana na Sheikh Suleiman Kilemile katika Mada upa...
SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE
มุมมอง 88K9 ปีที่แล้ว
Kitu chochote kilichoumbwa (kiumbe), bila shaka kina mwanzo na mwisho wake. Huo ni ukweli ambao kila mtu anaufahamu. Pia katika maandiko ya dini zote mwisho wa uhai huu tulionao kumeelezwa pia dalili na matukio yatakayosababisha uhai huu wa kila kitu kutoweka. Katika zama hizi za maendeleo ya sayansi na teknolojia, mwanadamu pia amejishughulisha na utafiti wa jinsi mwisho huu utakavyoweza kutok...
Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu vyake - Sheikh Suleiman Kilemile -Part 3
มุมมอง 3.1K9 ปีที่แล้ว
Description
Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu - Sheikh Suleiman Kilemile - Part 4
มุมมอง 1.8K9 ปีที่แล้ว
Description
Heshima ya Waislam imo katika Kuifuata Qur’an by- Sheikh Suleiman Kilemile, Tanzania
มุมมอง 2579 ปีที่แล้ว
Ingawa ni kweli kwamba waislam wanacho Kitabu kitukufu ambacho ndicho mwongozo wao wa maisha, na ambacho hakijahujumiwa na mtu yoyote, na kwamba kiko vilevile tangu kilipoletwa na kuachwa na Mtume Muhammad (S.A.W), tatizo limekuwa ni katika utekelezaji wake. Hili kwa kiasi kikubwa limetokana na mifumo ya kisekula ambayo inatawala duniani ambayo haikubali kuishirikisha dini katika maisha ya watu...
Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1
มุมมอง 2.7K9 ปีที่แล้ว
Description
Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 2
มุมมอง 2.9K9 ปีที่แล้ว
Kwa karne nyingi, Uislam hasa kwa nchi za Magharibi, umeendelea kuwa ni kikwazo kwa maslahi yao. Uliendelea kupigwa vita kwa muda mrefu mpaka walipofanikiwa kuivunja Dola ya Kiislam iliyokuwa na makao makuu yake hapo mjini Islambul uliobadilishwa jina na sasa kuwa Istanbul nchini Uturuki. Lengo kuu lilikuwa ni kuzinyakua rasilimali zilizoko katika nchi mbalimbali zikiwemo za kiislam. Waliamua k...
Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 1
มุมมอง 3K9 ปีที่แล้ว
Kwa karne nyingi, Uislam hasa kwa nchi za Magharibi, umeendelea kuwa ni kikwazo kwa maslahi yao. Uliendelea kupigwa vita kwa muda mrefu mpaka walipofanikiwa kuivunja Dola ya Kiislam iliyokuwa na makao makuu yake hapo mjini Islambul uliobadilishwa jina na sasa kuwa Istanbul nchini Uturuki. Lengo kuu lilikuwa ni kuzinyakua rasilimali zilizoko katika nchi mbalimbali zikiwemo za kiislam. Waliamua k...
Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile- Part 3
มุมมอง 2.8K9 ปีที่แล้ว
Kwa karne nyingi, Uislam hasa kwa nchi za Magharibi, umeendelea kuwa ni kikwazo kwa maslahi yao. Uliendelea kupigwa vita kwa muda mrefu mpaka walipofanikiwa kuivunja Dola ya Kiislam iliyokuwa na makao makuu yake hapo mjini Islambul uliobadilishwa jina na sasa kuwa Istanbul nchini Uturuki. Lengo kuu lilikuwa ni kuzinyakua rasilimali zilizoko katika nchi mbalimbali zikiwemo za kiislam. Waliamua k...
Heshima ya Waislam imo katika Kuifuata Qur’an by- Sheikh Suleiman Kilemile, Tanzania
มุมมอง 8K9 ปีที่แล้ว
Heshima ya Waislam imo katika Kuifuata Qur’an by- Sheikh Suleiman Kilemile, Tanzania
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 3
มุมมอง 3.4K9 ปีที่แล้ว
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 3
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2
มุมมอง 8K9 ปีที่แล้ว
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 2
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1
มุมมอง 13K9 ปีที่แล้ว
MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1
Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3
มุมมอง 2.8K10 ปีที่แล้ว
Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3
Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile- Part 2
มุมมอง 3K10 ปีที่แล้ว
Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile- Part 2
Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile- Part 1
มุมมอง 2.2K10 ปีที่แล้ว
Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile- Part 1
Mwongozo wa kukabiliana na changamoto- Sheikh Kilemile-Part 3
มุมมอง 1.2K10 ปีที่แล้ว
Mwongozo wa kukabiliana na changamoto- Sheikh Kilemile-Part 3
Mwongozo wa kukabiliana na changamoto- Sheikh Kilemile-Part 2
มุมมอง 2.5K10 ปีที่แล้ว
Mwongozo wa kukabiliana na changamoto- Sheikh Kilemile-Part 2
Mwongozo wa kukabiliana na changamoto -Sheikh Kilemile -Part 1
มุมมอง 3.8K10 ปีที่แล้ว
Mwongozo wa kukabiliana na changamoto -Sheikh Kilemile -Part 1
Andao Lililo Bora - Sheikh Kilemile -Part 2
มุมมอง 2.4K10 ปีที่แล้ว
Andao Lililo Bora - Sheikh Kilemile -Part 2
Miujiza ya Mtume SAW - Sheikh Suleiman Kilemile
มุมมอง 18K10 ปีที่แล้ว
Miujiza ya Mtume SAW - Sheikh Suleiman Kilemile
Umuhimu wa Subra katika Maisha ya Mwanadamu - Sheikh Kilemile
มุมมอง 71K10 ปีที่แล้ว
Umuhimu wa Subra katika Maisha ya Mwanadamu - Sheikh Kilemile
Allah yarahm sheikh kilemile.
Mashaallaah sheikh kilemile ALLAAH akulie kheri
Allah amrehemu sheikh wetu maneno mazito kwa mwenye akili
ALLAH ampumzishe pamoja na waja wema waliotangulia. Sheikh marhum Kilemile ameongea kweli tu.
Allwa amueke pema nshallwa
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI
Allah amrehem sheikh wetu
MUNGU akuhesabu ktk waja wema harmonize jibu sheikh suleiman alilitoa miaka hiyo zamani tu
اللهم ارحمه وجعل كبره دارمن ديار الآخر
Allah Yaarhamu
Kwel we ulikuw mwanachuoni....
Allah yaa rham
SubhanaAllah Alhamdulilla,tunakushukuru Allah kwa kutupa neema ya uislam..shari kwa muislam ni kheri na shari ikimsibu muislam pia ni kheri
Allah mlipe Pepo ya jannatu firldaus sheikh amran suleyman kilemile
Allah ampe kaul thabit
رحمه الله برحمته الخاصاصة
Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdausi bahari ya elimu, kipenz chetu Sheikh Kilemile.
Scholar
Masha Allah sheikh wetu. Allah amlaze pema peponi.
Allah amrahamu
Asalaam Alaikum💚💚💚MashaaAllah💚💚💚Allahumma Amin ya Rabb💚💚Ramadhan Mubarak💚💚
مات أهل الفضل لم يبق سوى مقرف أو من علي الأصل اتكل Daaah😥nachohuzunika ni kwamba nimemdiriki,lkn nliazimiaga sku moja nisome mbele yake,na kuchukua fawaaid za kielimu mbee yake. Allahumma ghfir lahuu war hamhuu.
شيخ
MBona haina sauti
Alikua na elimu kubwa sana huyu shehk
Hili ni gogo upande wa elimu yako huu sana shehk kilemile mwanachuoni mkubwa sana mungu amrehemu na mpe pepo ya juu
Tuchukuweni elimu kwa Masheikh zetu. Mlango wake Skh bado uwazi sababu ya Elimu unayotufaidisha bado. Sadaqatin Jaariya. Mmungu amrehemu Skh
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na akulipe thawabu zako
Sheikh ALLAH akupe kitabu chake kwa mkono wa kulia. Wewe umetutangulia Bali bado uko na sisi.
اللهم بارك له
Mwenyezi Mungu Amrehemu Shekh Kiremile
عالم العلمة اللهم اغفر له و ارحمه وأسكنه في فسيح جناتك يارب 🤲🤲🤲🤲🤲
Maashalaah alhamdulilaaah
Namuomba Mwenyezi Mungu atusamehe dhambi zetu na dhambi za marehemu sheikh kilemile atujaalie sote pepo ya Firdaus
Allah akurehemu sheikh wetu, akupe Pepo kwa huruma yake na Mahururain.
Allah amrehemu sheikh wetu na ajaalie mawaidha yake yawe sadaqatuljariyah kwake. Waislamu turejee katika dini yetu, hapo ndipo Allah atatunusuru na kutupa ushindi. Pasina hilo tutabakia dhalili mpaka yaumulqiyamah. Allah atuongoze.
Allah akuweke mahala pema kwenye pepo ya juu kabisa
Alllah amjaalie pepo ya juu mja wakeAmeen
اللهم اغفر له و رحمه يا ربي
Mungu akujalie kher inshaallah akurehemu sheikh Wang
Mola amrehemu amlaze pema pamoja na waja wema
اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه في فسيح جناتك يارب 🤲🤲🤲
اللهم اغفر له وارحمه وأسكنه في فسيح جناتك يارب 🤲🤲🤲 ونفعنا بعلومك
Innalilah Wainailah rajjiun
Allahuma Ghafir lahu warhamhu wa askanahu makama fil janat
AllanAkurehemu Akujaalie Jannatul Firdaws,,
Allahumma rhàmhu wa fiyh wa afu anhu Allahumma j alhu kabruhu riyaadh min riyaadhil jannah
Allah Akuzidishie Ukubwa ya Qabr na Nuru inaon'gaa hadi yaumul Qiyamaa🤲
Hakika huu ndo urithi ulotuachia Allah akupe kila la khery Mahala ulipo
Huyu ni sheikh