kukosa kwa elimu ndio matokeo yake hayo. hapo huwez kuvuka accordingly to bernoulli's principle kutokana na irrotational flow ya fluid and pressure inayo result into great force due to high velocity of water and area and pressure ukiruka pia unavutwa chini sababu above the river kuna low pressure and around the river kuna high pressure due to change in crossection area of the river kutoka mita 8 mpaka mita 3 inamaana speed ya maji imeongezeka mara 2 na nusu zaidi its just a physics i love it.
Wekeni daraja la miti na ruhusuni mbuzi wavuke,,,wakishindwa waiteni wachina watandike fly over.........vusheni mbuzi tena.ikifeli tambueni hilo eneo kama machinjio ya watu,serikari wapafunge na sio kivutio.

Msikatae mm nimewahi ona uliopo Soni huko huko Lushoto na kulikuw na jua kali balaa hamna mvua lkn kuna maji huvuki fanya ufanyavyo hivyo huo mto wa hapo Korogwe nao sijaona ila pia sibishi kabisa ila insha allah nitaporejea nitakuja kuuona nijiridhishe pia
@@ummuhkhalfan5542 siwezi jaribu ila watu kwa imani potofu wanayaweza huko tabora kuna kijimto frani kilivuma kwajiri ya mvuwa walitutisha kwamba ukiingia kuvuka kinajaa gafra ila sijawahi sikia aliekutwa na hilo hatamie niliwahi kupita kiwoga kumbe hakuna chochote rorote ushizi tu🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Mi Nashangaa Sana Vitu Vinaonekana Kwa Macho Kwanini Msiende Kuvuka Kuliko Ubishi Nenda Kaluke Nenda Kapige Mbizi Nenda Kaogelee Jipige Picha Au Video Ili Kama Wewe Mkweli Tujue Kuliko Kubisha Kitu Usichokifanya Nikosa Kwako
Maajabu yako mengi sana jamn huku kwetu kuna maji yana chemka kutoka chini ukiyagusa ata kama umeshiba kias gan lazma njaa ianze moja na inaaminika maji hayo yanatoa mkos asilimia mia
Hawaja pafence wanaongelea nini ...na anaawa mikono hapa mbona hio maji haijamvuta ... Kwanza waafrika na mambo ya uwanga waweke Kando .... Mnavuta watalii aje na mambo ya kichawi ... Andika mambo ya sayansi hapo ondoa uchawi
Mimi nimemsikia huyo mzee anasema hapo juu kuna upana wa mita3 tu lakini hajatuambia upana wa chini upoje, kwa upana wa mita3 mtu akijivuta kwa umbali na akakimbia anaweza kuruka ila ukiteleza ukatumbukia kwnye maji kutokana na kina kasi ya maji huwezi kutoka hapo
Ukisoma bila ya elimu ya kuzaliwa nisaw mtoto mdogo Baba anaita papa yan no saw kama huna akili japo umesoma lands nikupe pakuanzia huenda ukawa naakili ukitupa kitu kinavuka haina shida Ila mtu ndio havuki serekal yenyewe imeweka alama au huioni na Wana wasomi wakutosha sio ww chizi .ndo nyie mkiingiaga 4m one mnaongea broken halafu mnawaina wenzenu hawajui kumbe mnaonekana hamjielew
mm nimuislam na nachukia ushirikina ila kwahapo wallah navuka bila kudhuriwa na chchote kwa uwezo wa allah labda iwe maji yake yanakasi au pana shimo hapo itakua najidhuru ila kwasababu ilotajwa hapo eti pamezindikwa wallah napita kwa idhni ya allah hapana chchte kile
Maji yana nguvu na Kasi hiyo yanapita hapo hakuna jambo zaidi ni akili tu ya kawaida huwezi vuka hapo. Mazindiko na mengine yanaweza yamefanyika Ila sio sababu kubwa ni maji tu yanakasi na nguvu hilo eneo isingekuwa hivyo maji yametulia tu na mtu huwezi vuka hiyo ingekuwa stori nyengine kabisa
Haya ni kweli kiwe kivutio sawa kabisa lkn kwenda kuangalia nini? Ikiwa msumulizi anasema Kuna vitu wazee waliweka je Hivi tunaweza hakikisha au andika mahali na kuelezea mauza uza au uchawi na nguvu za Giza. Kweli hapo hapana hata level ya kua kivutio au eneo la utalii wa Kijiji. Tunaona promotion ya nguvu za Giza . Maana baada ya kujifunza hapo unatoka na nini kichwani..
hivi jamani tumeshindwa kuweka vizuri vyanzo vya mapato mpaka tunataka watalii wakaangalie mifereji na mawe watupe hela? sasa hiyo nini mbona ulaya ni vitu vipo hata miji mikubwa na pia mikoani tunaona tuu.
@@elizabethmwafongo9867 hapo nimevuka sana nikiwa nimebeba majani ya mbuzi. hata nikiwa likizo mwezi wa 3 nimepita hapo na kuni. ninashangaa leo eti hapavukwi na jiwe lipo
ina maana hapo ukiweka kitu mfano machuma au mbao huvuki yote yanasombwa na maji ya kichawi? kisha wazungu wakituita nyani tunachukia sasa kwa mawazo haya wataacha kutuita nyani wazungu?
kukosa kwa elimu ndio matokeo yake hayo. hapo huwez kuvuka accordingly to bernoulli's principle kutokana na irrotational flow ya fluid and pressure inayo result into great force due to high velocity of water and area and pressure ukiruka pia unavutwa chini sababu above the river kuna low pressure and around the river kuna high pressure due to change in crossection area of the river kutoka mita 8 mpaka mita 3 inamaana speed ya maji imeongezeka mara 2 na nusu zaidi its just a physics i love it.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisa
👍👍👍
@@davidkabuka3792 usiseme pressure inayo result tunataka uende kujaribu kuvuka sawa kijana
Ina maana Mkuu wa Wikaya naye haelewi hapo???
Mi siañgalii mto macho yangu namuangalia MKUU WA WILAYA...naona Samia kaamua kutuadhibu wanaume tukome 😎😎
Jamani😁😁😁😁😁😁
Ni maajabu kweliii maana una maziwaaa makubwa sana utaliii wa ndani huo pia🤝🤝🤣🙄🙄
Namalizia kula, nikimaliza nakuja kuvuka, boya sana we Mzee💪💪
Kajaribu uwone kama utavuka
Ukivuka na kupa million. Mimi nipo maeneo hayo. Hapavukikii
@@superbillionairea5987😁😁😁😁😁 tuma namba yako nikija nikupigie
Wekeni daraja la miti na ruhusuni mbuzi wavuke,,,wakishindwa waiteni wachina watandike fly over.........vusheni mbuzi tena.ikifeli tambueni hilo eneo kama machinjio ya watu,serikari wapafunge na sio kivutio.
kukosa kwa elimu ndio matokeo yake hayo. hapo huwez kuvuka accordingly to bernoulli's principle kutokana na irrotational flow ya fluid and pressure inayo result into great force due to high velocity of water and area and pressure ukiruka pia unavutwa chini sababu above the river kuna low pressure and around the river kuna high pressure due to change in crossection area of the river kutoka mita 8 mpaka mita 3 inamaana speed ya maji imeongezeka mara 2 na nusu zaidi its just a physics i love it.
Khaa
😂😂😂😂
🤣🤣🤣 very true
@@yasinkihupi9583 elimu hatuna halafu wewe unakuja kueka comment za English,sasa tutajifunza vipi?
Milard mpo juuu 🔥🔥🔥
Msikatae mm nimewahi ona uliopo Soni huko huko Lushoto na kulikuw na jua kali balaa hamna mvua lkn kuna maji huvuki fanya ufanyavyo hivyo huo mto wa hapo Korogwe nao sijaona ila pia sibishi kabisa ila insha allah nitaporejea nitakuja kuuona nijiridhishe pia
THE BIGGEST BOSS NASRI
Hongeai waume
Mito iko hivo, kwingine inapanuka, na sehemu nyingine inakuwa Midogo. Hata ukienda Dar Mto Msimbazi uko hivo.
Mm Naruka Nifate Nikawe DEMO😂😂😂😂
Kwanini maji tunayo mengi alafu nchi ina shida ya maji
Jibu ni rahisi tu, Hatuna hela za kujenga miundombinu kutoka kwenye vyanzo vya maji hadi kwa watumiaji, ila vyanzo tunavyo vyakutosha shida ni mtonyo
@@kingcopper_tz akili hatuna sie waswahili tunawaza kupiga ela tuu
Ya kwa kweli sisi ni watu wa ajabu sana
Yaan mnatamaaa.eti Serikali ijipatie kipato kupitia hapo😂😂😂😂😂🤣
Kwaiyo kirikuu kinavuta scania watu wanene bana🤣🤣
Umetisha mkuu
Nakuja kuvunja hiyo rekodi ili mnitangaze, sio mkae kimya nikivuka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nenda ukunyooshe
Mambo mengine sy izo traditional believes zenu vingine vipo zaidi kisayans
Mnitafte mm nije chap kuvuka fasta naruka chap msije mkasema natumia mazindiko maana wabongo kuamn ujinga 😂😂😂😂🤣🤣🤣
Hapa mimi navuka kwa urahisi sana aisee. Ntawaita mchukue video nikivuka.
Mapato unawazimu kweli,mapato ayo kwio
Hapo navuka vizur kabisa ....izo imani za kihuni
Kavuke 😂😂😂
Labda PAWE palefu ila kama chini nakanyaga Insha'Allah navuka kbsa
@@ummuhkhalfan5542 siwezi jaribu ila watu kwa imani potofu wanayaweza huko tabora kuna kijimto frani kilivuma kwajiri ya mvuwa walitutisha kwamba ukiingia kuvuka kinajaa gafra ila sijawahi sikia aliekutwa na hilo hatamie niliwahi kupita kiwoga kumbe hakuna chochote rorote ushizi tu🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Likijengwa daraja panavukika yaani maji yanateremka na spidi hiyo unatengemea utavukaje
Sijui watanzania tumerogwa na Nan?
Huhijaji akili nyingi kuona speed ya maji
Jana nilikua hapo nafua nguo nikaogaa sana, nimefulia upande wa pili nikawa navuka nakuja upande wa pili..maji yake bariidii..
kwa hiyo unataka kusema anatudanganya?
Inasemekana... tuliambiwa.. habari za kusadikika!
Uongo uongo ..tuliambiwa madaraja yanajengwa usiku nk..wafanye madaraja yote vivutio pia...mbona ubungo flyover na mengine yalijengwa usiku na mchana hatukushangaa ..maarifa
Mnatafuta kuuwa watu sasa, paboreshen ndio mtangaze huo utalii wenu
Mmaasai na kuogelea wapi na wapi...
Mmaasae mpe simba amuue sio kuvuka mto.
Ila waafrika kwa habari za imani potofu hatujambo!
🤣🤣
Mbona watu wanavuka kila siku. Hakuna cha ajabu hapo.
Bhana we hapo unavuka ukimtegemea mungu co kumezeshana habar za sungura
Hapo unavuka vizuri sana
nenda kavuke
Twende wote utajuaje kama nmeenda kweli
waaaah😨😨😨😨😨😨😨
Mi Nashangaa Sana Vitu Vinaonekana Kwa Macho Kwanini Msiende Kuvuka Kuliko Ubishi Nenda Kaluke Nenda Kapige Mbizi Nenda Kaogelee Jipige Picha Au Video Ili Kama Wewe Mkweli Tujue Kuliko Kubisha Kitu Usichokifanya Nikosa Kwako
Noma
njooni kwetu kunae mto unavuka ila maji hayalowanishi ata ufanyeje
Kaka wapi huko
Maajabu yako mengi sana jamn huku kwetu kuna maji yana chemka kutoka chini ukiyagusa ata kama umeshiba kias gan lazma njaa ianze moja na inaaminika maji hayo yanatoa mkos asilimia mia
Ni wap huko
Wapi huko
It's so disgusting to see how people believe in wickedness rather than God.
I thought you were in Shakahola on way to see Jesus!?
the god of shakahola.
Good
SO WATALII WAJE KUFANYA NINI HAPO WAVUKE AU
Kwani nn maana ya utalii?? Acheni tabia za kupenda kupinga kila mnachikiskia bila sababu za msingi
watu mabonge bana😃😃😃😃
Sasa kwanini wamasai si mjaribishe ili tuhakikishe🤣🤣
Hawaja pafence wanaongelea nini ...na anaawa mikono hapa mbona hio maji haijamvuta ... Kwanza waafrika na mambo ya uwanga waweke Kando .... Mnavuta watalii aje na mambo ya kichawi ... Andika mambo ya sayansi hapo ondoa uchawi
Mmmh navuka vzr uku tena uku nikiwa naimba
Mimi nimemsikia huyo mzee anasema hapo juu kuna upana wa mita3 tu lakini hajatuambia upana wa chini upoje, kwa upana wa mita3 mtu akijivuta kwa umbali na akakimbia anaweza kuruka ila ukiteleza ukatumbukia kwnye maji kutokana na kina kasi ya maji huwezi kutoka hapo
Ukisoma bila ya elimu ya kuzaliwa nisaw mtoto mdogo Baba anaita papa yan no saw kama huna akili japo umesoma lands nikupe pakuanzia huenda ukawa naakili ukitupa kitu kinavuka haina shida Ila mtu ndio havuki serekal yenyewe imeweka alama au huioni na Wana wasomi wakutosha sio ww chizi .ndo nyie mkiingiaga 4m one mnaongea broken halafu mnawaina wenzenu hawajui kumbe mnaonekana hamjielew
Mzee hajatwahi kutoka zaidi ya maeneo mengine kazaliwa hapo naanazeekea hapohapo utalii gani hapo sasa
Hamna historia hapo hapo Maji yamejikusanya ,,maeneo mengine Maji yametawanyika
Nenda karuke pale kama ni uongo
@@a.s.afishfarming6225 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nenda ukapite uwone sisi watu wa tanga ndio tunajua hap
hapo unapita vizuri sana
physics hiyooo
Tuachen utan kamto tu ako mwanaume najinyosha naruka tu , vip muraa tuwe serious bana
Sisi tunavuka mto wa mita 35 Leo hapo watu wanafeli
Hii sio historia ya kuhifadhi
Hiyo naweza vuka nikiwa nimeketi
Huwez vuka coz kuna pull force inayotengenezwa na hayo maji
Pia mwamba unaozunguka hilo eneo Una iron au chuma, hivyo force ya maji inazalisha magnet na umeme
Napajua hapo uyojamaa alikuaga muwindaji sasakatika halakati zake akatokea katika kijiji kimoja wanachoishi wamasai basijamaa akawa akinda kuwinda anakuja na nyamawanakula wote na wenyeji wake ilaikatokea sikumoja wakatiyuko kwenyemawindo alirusha mshalebahati mbaya ukamkosa mnyama ukampata mtu wamasai hawajata kuelewa wakaaza kumfukuza iliwamuue ndipoalipofika kwenye eneohili akafanyavyakufanya ilikunusuru nafsi yake#
Ooh kumbe!? Na wewe ulikuwepo kipindi hicho? Au umesimuliwa kama tunavyosimuliwa sisi tu boss?
Kwahiyo unamaana mto huo hakuna penye daraja?
Alafu we kibonge mafuta kuturusha sisi😀😀😀😀, nyang'au
sio nyege nenda kavuke sio uwongo unacho ambiwa
Yaani watu wamebezi kwenye mapato basi du,
Watz bwana kwahiyo tuko busy kutangaza ushirikina ndio kivutio? Daaaaaa twendeni shule jamani
mm nimuislam na nachukia ushirikina
ila kwahapo
wallah navuka bila kudhuriwa na chchote kwa uwezo wa allah
labda iwe maji yake yanakasi au pana shimo hapo itakua najidhuru ila kwasababu ilotajwa hapo eti pamezindikwa wallah napita kwa idhni ya allah hapana chchte kile
upungufu wa elimu pole
Maji yana nguvu na Kasi hiyo yanapita hapo hakuna jambo zaidi ni akili tu ya kawaida huwezi vuka hapo. Mazindiko na mengine yanaweza yamefanyika Ila sio sababu kubwa ni maji tu yanakasi na nguvu hilo eneo isingekuwa hivyo maji yametulia tu na mtu huwezi vuka hiyo ingekuwa stori nyengine kabisa
Ndio yale yale ya chunusi. Eti jini anayevuta watu kwenye maji. Kukosa elimu ni janga kubwa.
I AGREE 1000%
Imani potofu hiyo,Amin Allah tu
maajabu kila kitu jaman
Ni mlango wa kuzimu sio maajabu
Haya ni kweli kiwe kivutio sawa kabisa lkn kwenda kuangalia nini? Ikiwa msumulizi anasema Kuna vitu wazee waliweka je Hivi tunaweza hakikisha au andika mahali na kuelezea mauza uza au uchawi na nguvu za Giza.
Kweli hapo hapana hata level ya kua kivutio au eneo la utalii wa Kijiji.
Tunaona promotion ya nguvu za Giza .
Maana baada ya kujifunza hapo unatoka na nini kichwani..
Hahahha eti havuki mtu kisa wamasai hawakuweza. Sasa wamasai ndo manguli wa kuogelea au?
😂😂😂🤣
😅😅😅
#milad ayo karibu na kwetu sikumoja uone maajabu ya majan ukiyagusa yanajikunja
Yanaitwa kifa uongo hayo😅😅
😂😂😂hayo mbona yapo mengi tu
UPUZI MTUPU MTANZANIA AKO NYUMA AKILI DUNI
Ningekuepo nngevuka mbele yao 😀
Alafu huyo msimulizi si muandishi wa staa TV
acheni uongooo kunakivutiyo gani hapo mjee kwetu mtwara mujionee mito na milima na mashimo yanayotoka moshiii
Mimi natamani Kuja kuona tafadhari.
Nawewe chukua waandishi uvutie kwenu apo tumeonyeshwa ww hayo mashimo yako yanayo to a moshi uako wapi mnapenda kupondaponda vitu msivyo vijua
Toka lini wamasai wakajuwa kuogelea ?😁😁
sio uongo ni kweli napajua hapo nilipita nikiwa natoka kijijin mgobe wenyeji wa korogwe wanapafahamu sana
Mbona we ulipita lkn wengine walishindwa
@@KANTANA97 😅😅😅
Ama kweli tunaachia maji yotekwendabaharini badala ya kuyatumia kwa kilimo.na kunywa. Whandisi na wachumi hii fursa nzuro kichapusha kilimo kwanza
Wewe huoendi hiyo Fursa au ndio ulishakufa?
Tuna maliziana mb tuwe siliasi Sasa apo nakuja kutalii nini nawakat hii nchi inamaeneo yenye vivutio kibao alaf munapost ujinga
Mnacheza nyinyi wazungu hapa wanaselelela mpaka
Ayo nenda na ziwa ngosi mbeya ujionee maajabu
Kabisaa ndugu Mbeyaa ndo kunavivutio hataree aisee
Ukiangalia tu maji yanazunguka inamaanisha maji marefu
Na hapo kuna vijiji utaambiwa vina shida kubwa ya maji
Tatizo ni kwamba asilimia 95% ya watanzania hawajui kuogelea
Huwez kuogolea hapo
Dawa yake ni mzungu 2 mumuone km atapita au hapiti mzungu 2.
good 👍👍
Historia ya ushirikina korogwe
Hahaha
Sio ushirkina ila ni tamaduni za waafrika hicho ndicho mlichoaminishwa na waarabu na wazungu ili kutukana na kukejeri tamaduni zenu
Sasa c wamasai ila kabila liningine ndugu zake wanavuka fresh tu
Navuka vzr sema sjaamuwa tu
navuka vizuri tena huku nimefumba macho
😂😂😂😂nenda kavuke utuletee habari
@@ramadhankakai7303 😂😂😂😂
Yasemekana hakuna ushahidi wajanja mwataka hela tu acheni urongo
nenda karuke ndio utajua kama niuongo
uongo kila kitu utalii mnataka pesa tu njaaaa
Kutoka barabaran pana mita ngapi🤔 tatu au nne!!???
😄😄😄Imwenibid nicheke tuu kwa kweeliii
hivi jamani tumeshindwa kuweka vizuri vyanzo vya mapato mpaka tunataka watalii wakaangalie mifereji na mawe watupe hela? sasa hiyo nini mbona ulaya ni vitu vipo hata miji mikubwa na pia mikoani tunaona tuu.
Kama nimfereji kapite
@@elizabethmwafongo9867 hapo nimevuka sana nikiwa nimebeba majani ya mbuzi. hata nikiwa likizo mwezi wa 3 nimepita hapo na kuni. ninashangaa leo eti hapavukwi na jiwe lipo
mzee hapo ni somo la kitalii hasa kwa wanaopenda physics kuna vingi vya kujifunza hapo mzee pole sana hahahah
Heeeeeee
HATANYELITE BHUKOMU😀😀😀😀😁😁😁😂😂😂😂
Ninyi mnaompinga ni malofa simwende mkavuke korogwe so mnaijua
Hamna kitu hapo hata hapaendan
Navuka hapo mda huu
Wamasai hawawezi kuogelea
ina maana hapo ukiweka kitu mfano machuma au mbao huvuki yote yanasombwa na maji ya kichawi? kisha wazungu wakituita nyani tunachukia sasa kwa mawazo haya wataacha kutuita nyani wazungu?
Kirakitu pesa wekeni bure
Si ajaribu mtu kuvuka tuone?
Mh hiyo sio imani tu jamani
Nenda Jaribu kuvuka utajua ni imani au LA!
Napajuwa hapa uruki mamae 😂😂😂😂😂😂pana historia pana sana wahenga tunaelewa walikuwa wakina osale otango hapo na wajeruman
nawe ni walewale wajinga waamini uchawi?
Unavuka tu acheni mbwembwe
Kama ni mnguu ama mkilindi unapita" ila kabila zingine hazivuki
Adisi yako inatufundisha nn?
Huo ni ukichaa sio kwl
Kuna maagano hpo ya kimiungu
Sasa nije kuangalia nn apo