What a lovely soul, welcome to Tanzania, feel at home!!! By the way International law provides protections for individuals who may be unable to safely return to their home country due to armed conflict. You may be eligible to apply for international protection until the situation stabilizes. It might be helpful to consult with local immigration authorities or the UNHCR office for guidance on the best course of action. Wishing you safety and peace.
Mm mtanzania nimeolea congo Lubumbashi,weng hum mnamjadili eti sio mcongo kwavile anaongea ENglish mm nawajuwa vizul nnao malafik zangu wacongo wanaongea English,weng wanajifunza kwajili yakwenda nchi zingne na biashala
Uyu mcongomani ana hakiri siyo kama wenzak!! Walahi Congo inaniumiza sana! Makundi yawana jeshi ama yawizi! yote yanakimbia Congo Ivi kueli hawafikiri wanaitaji kua naama kama inchi Zao!
Mtagimaliza nyiye wenyewe, Kwa sababu Wanyamulenge (M23) ni wacongo siyo wa Nyarwanda. Sematu uyu ni uginga wa sisi wa 🌍 Africa. United of Africa inatakiwa kuwa silias.
Inamana Raisi wenu sio political sana, nyie mukikubali kwamba wanyamulenge ni wacongo kama nyiye, shida itayisha tu, ila sione kwanini hamuwakubali, kama amutake ku wakubali waacheni na alidhi yawo.😅
Hakunab asili ya watutsi ndani ya history ya congo hao ni wakimbizi walio kimbia kipigo taka kwa wahutu. Kongo waliwapokea kama wakimbizi lakini kumbe wanapokea nyoka,
Kiswahili hicho ni chatanzania au Congo east Congo tunahogea lugha 5 au6 na English ipo dani lingala, kikongo, franch,English,swahili,na yamwisho lugha ya kabila laKo yani niseme Congo mzima.
Hao ni majambazi kazi yao kupora mali ya kongo hivi yameisha pora na kongo vijana hawajitumi kijeshi niwaoga wanaogopa kufa na wako wengi ruandwa watu wachache inaonekana wana siraha kazi zinazoenda na wakati ifike sasa nchi jirani tujipange kuwa na siraha za kisasa inaonekana hawa jamaa hatari tukubali kuingia hasara tununue siraha kali tujipange mapema duh
Hhhhh Askari hachoki Dadae akichoka Taifa rinaingi gizani sasa unasema Congratulations kwa Askari wenu Wameshinda? ila pore sana bado mtoto Fanya muziki wako acha Siasa ya ovyo ovyo tu eti Hujui wanaotoka hhhhh Uginga mtupu
Kuna watu wajinga wa asili unamwambia huyu mdada goma ipo salama kumbuka wameshakufa watu 700 na zaidi unajuaje angekuwepo goma angekuwa salama (fikiri kabla ya kumlaumu mwenzio wafrika wengine mmmm
NDUGU ZETU WA TANZANIA NAJUA HAMUNA HABARI KUHUSU VITA YA CONGO , KWA SASA GOMA IKO SAFE , M23 WAMEKOMBOA MUJI WA GOMA, M23 IMEKOMBOWA ATA WA DRIVER WA TANZANIA 43
@@katembomuhiwa9956 M23 HAIWEZI KUTESA WA RAIA, UNAWEZA KUUKIZA WENGINE WAKAAJI WA MIJI AMBAO M23 ILIGOMBOLA MBELE , BUNAGANA, MASISI, RUBAYA , WOTE WANA AMANI SHIDA NI IDEOLOGY YA GOVERNMENT, WAME WADANGANYA KAMA M23 NI WA TERRORIST, NI WANYARWANDA, ..... BUT TIME WILL TELL YOU What i can tell , watu wa GOMA now they are safe. Week Moja au 2 mutakuwa munatembea 24h/24h
Nimempenda sana huyu dada na ivi kweli Congo wanaongea kiswahili kuliko wa kenyaaa daahhh
Nimefurahi kumuona huyu dada tunatoka mji mmoja na yeye anafanya vichekesho kama mlevi
@@Desireyakubuasante ndugu yangu😍
Asante sana ndugu yangu😍
Mombasa Kenya mbona kiswahili kipo tu ama Mombasa ipo wapi
🙏
Yaani alivyo mcheshi usoni na ukafikilia vita ilioko kwao congo adi huruma . Mungu haingilie kati kwa walio wakweli waiokoe congo iwe na amani 🙏🙏
Nakupenda sana Dada yangu,unaujasiri
What a lovely soul, welcome to Tanzania, feel at home!!! By the way International law provides protections for individuals who may be unable to safely return to their home country due to armed conflict. You may be eligible to apply for international protection until the situation stabilizes. It might be helpful to consult with local immigration authorities or the UNHCR office for guidance on the best course of action.
Wishing you safety and peace.
Vijana changamukia huyo 21:43 21:48 21:50 mtoto yupo vizuri unaweza kujenga naye family Alafu ni kalembo kana rangi yetu ya kiafrica
Heee weeee 😂😂😂
Vizuri kabisa Dada anajieleza 👍 safi
Dada anaongea vizuri , kweli vita nikitu Kibaya saana ,
Umeona ee anaongea safi sana
Karibu sana Tanzania dada inchi ya AMAN
Asante sana
karibu nyumbani dada❤❤
Dada mlevi kwenye comédie ya kwetu Nord Kivu ❤❤❤ sisi tupo kongo 🇨🇩 hata machafuko yawe vipi hatu hogopi
Sijakuelewa dada mlevi umekusudia nini ?
Hajakosea,ndio kipengele anachoigiza kama mlevi@@masoudmasoud8138
Ana cheza comédie ambayo yéyé ni mlevi
Mungu atafanya kila kila kitu zindisha maombi
Pole sana dada aisee
Jamani❤suongeye lungha ambayo ujua hahh😂😂😮😮
Mbona unasobo ambacho huelewi nikipi
Kiswahili safi anaongeya
Duuuh poleni sana
Poleni sana mungu awafanyie wepesi na wengine walioko huko goma wapatwe kuponywa
But is she safe ?
Nimelipenda jina lake
Asante sana
Prisca the drunker, fanya kazi huko, ili u trand mutandaoni. But sisi tunabaki huku kwetu Congo
Où es là richesse de notre pays 😢
Wacongo ni watu wapole sana nimeishi nao sana pale kambi ya Wakimbizi MARRATANI MOZAMBIQUE...
Huko mulikutana kwenye matatizo lakini kiuhalisia karoho MBAYA kapo
Acha utusi wa kinyarwandwa
Uyu dada namkubali ana uzalendo wa inchi yake
Kweli kabisa
Mungu atasaidia inchi yetu congo
Ameen
Mm mtanzania nimeolea congo Lubumbashi,weng hum mnamjadili eti sio mcongo kwavile anaongea ENglish mm nawajuwa vizul nnao malafik zangu wacongo wanaongea English,weng wanajifunza kwajili yakwenda nchi zingne na biashala
We Congo hatujuii pesa tunajuwa makuta
Prisca unashi sasa kwa nani ama tukuchangie uishi tu Tanzania
Muni changie jamani 😂😂😂
Hii Africa haina umoja kabisa sijui sadeki inafanya nini
Wakula ulabu tuu
Naomba mawasiliano yako sister
Huyo siyo m Congomani
Uyu mcongomani ana hakiri siyo kama wenzak!! Walahi Congo inaniumiza sana! Makundi yawana jeshi ama yawizi! yote yanakimbia Congo
Ivi kueli hawafikiri wanaitaji kua naama kama inchi Zao!
Asante dada kweli unaonge vizuri tena nikweli aongee ongo
Wewe ni dada yetu hapo ni nyumbani kaa tuu utulie
Mimi wa kwanza wanyakwanda tuta wamaniliza
Mtagimaliza nyiye wenyewe, Kwa sababu Wanyamulenge (M23) ni wacongo siyo wa Nyarwanda. Sematu uyu ni uginga wa sisi wa 🌍 Africa. United of Africa inatakiwa kuwa silias.
DADA YANGU SI WAASI NDOWANAOFANYA HIVYOO UNA PAZIA HAPOO HAMUJUI HAO WAZUNGU WANAO FANYA HIVYOO
MTANGAZAJI UMENIFURAHISHA KTK MAHOJIA O NA HUYO DADA WA KONGO MAN,DRANKA. NAOMBA ATOE SM YAKE TUMSALIMIE MAANA UMRI SI AMEKATAA.
😂😂😂
Kweli dada
Pole dada ila wanafiki hawakosi majungu
polen sana
Tanzanite mnayo au unasema tu
Mm nmempenda anipe namba
acha nyege sio kichaka unye vingine vina upupu
Welecome
Safi
Huyo sio mkongo
Anatagaya mushaka mugogo
Inamana Raisi wenu sio political sana, nyie mukikubali kwamba wanyamulenge ni wacongo kama nyiye, shida itayisha tu, ila sione kwanini hamuwakubali, kama amutake ku wakubali waacheni na alidhi yawo.😅
Hakunab asili ya watutsi ndani ya history ya congo hao ni wakimbizi walio kimbia kipigo taka kwa wahutu. Kongo waliwapokea kama wakimbizi lakini kumbe wanapokea nyoka,
Hapa kuna mkongo kwelii au anatangaza kazi yake
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 nchi ngumu hii dada angu hakuna mkongo hapa
Ni mcongo kweli si uwongo
Kiswahili hicho ni chatanzania au Congo east Congo tunahogea lugha 5 au6 na English ipo dani lingala, kikongo, franch,English,swahili,na yamwisho lugha ya kabila laKo yani niseme Congo mzima.
Mimi ni mcongomani jamani na try tuh kuongea kiswahili😂😂
Muulize mahali gani anataka nimwoe soon
Hao ni majambazi kazi yao kupora mali ya kongo hivi yameisha pora na kongo vijana hawajitumi kijeshi niwaoga wanaogopa kufa na wako wengi ruandwa watu wachache inaonekana wana siraha kazi zinazoenda na wakati ifike sasa nchi jirani tujipange kuwa na siraha za kisasa inaonekana hawa jamaa hatari tukubali kuingia hasara tununue siraha kali tujipange mapema duh
Mbn unaongeaa kama umesinzia umechoka sana au
Kwanini unahongeye mengi nawengine wapo kwenyemanunguniko afu unachambuwa mali yacongo kwanini acha shobo
Hatuna mahali pengine kama siyo kivu hatuna ingine arzi kwahiyo mateso yote ambayo tuna pewa na Rwanda ipo siku ita komeshwa
Lindeni uhai wenu kwanza, everything will be alright!
Nakushauli urudi kwenye makao
😅😅 mucawi
Huyudada nikiwerewere hajuwi ninianakyosema iratuanajuwa kujitapa
Nawee hujui unachokiandika
Hhhhh Askari hachoki Dadae akichoka Taifa rinaingi gizani sasa unasema Congratulations kwa Askari wenu Wameshinda? ila pore sana bado mtoto Fanya muziki wako acha Siasa ya ovyo ovyo tu eti Hujui wanaotoka hhhhh Uginga mtupu
Mbona una hasira😂duuh
Mbona anaongea English siyo french ? Kongo wanafundisha English?
Wasanii wa Congo DR hujitahidi kuwa international kwa kujifunza lugha nyingi muhimu.
Sister return to your home
M23 has liberated Goma
Now Goma is safe
hiyo Kiki ya kutafuta viewer's
nimependa bure uyu dada ana sauti nzuri
Huu uwongo wa kutunga tu
Anafanya kazi nzuri sana ❤
Wewe ni mtanzani sio mcongomani.
Wengine walevi wenzenu wafa nyie mnashabikia sauti vipi aannla
Kuna watu wajinga wa asili unamwambia huyu mdada goma ipo salama kumbuka wameshakufa watu 700 na zaidi unajuaje angekuwepo goma angekuwa salama (fikiri kabla ya kumlaumu mwenzio wafrika wengine mmmm
You let me inform you M23 are Congolese
Sio mcongo huyu
Huku atutaki fujo
huyo sio congo wewe
NDUGU ZETU WA TANZANIA NAJUA HAMUNA HABARI KUHUSU VITA YA CONGO ,
KWA SASA GOMA IKO SAFE , M23 WAMEKOMBOA MUJI WA GOMA,
M23 IMEKOMBOWA ATA WA DRIVER WA TANZANIA 43
Tunawaombea mungu atawasaidia pia tunawaoenda❤❤
Kwahiyo wewe ume iona furaha kwaku tutesa sisi wa kongomabi
@@katembomuhiwa9956 M23 HAIWEZI KUTESA WA RAIA, UNAWEZA KUUKIZA WENGINE WAKAAJI WA MIJI AMBAO M23 ILIGOMBOLA MBELE , BUNAGANA, MASISI, RUBAYA , WOTE WANA AMANI
SHIDA NI IDEOLOGY YA GOVERNMENT, WAME WADANGANYA KAMA M23 NI WA TERRORIST, NI WANYARWANDA, .....
BUT TIME WILL TELL YOU
What i can tell , watu wa GOMA now they are safe.
Week Moja au 2 mutakuwa munatembea 24h/24h
M 23 Belongs to Rwandese but there are using fake congolese as puppet.
All congolese in M 23 including Rwandese are going to nowhere.
Mjinga wewe kbs dada wewe unasema ujui M23??? Unajifanya hujui kweli mimi nakukumbuka ukusema unachukia kabila watusi tukiwa shule mpaka lini dada ??chukiiiiiii ya nini
Sasa awapende watutsi kwa lipi we mkundu,
ipo siku tutakula chama zenu kama supu na chapati
Una shida
Nchi yenu ni kubwa acha. Kuwaachia watu wa nje😮
Goma gisenyi masaa matatu mpka manne
Nami ndo nimeshangaa kusema dkk tano. Au anaamini hatupajui huko wakati tunapajua very well
Rudi nyumbani kwenu
Où es là richesse de notre pays 😢