MKE WANGU ANAJIKOJOLEA KITANDANI NA SEHEM ZA SIRI ZINATOA HARUFU MBAYA MAJILANI WANATUCHEKA..MMH

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #foxetv #hardmovement Bonyeza alama ya Subscribe kisha weka notification on ili kupata matukio yote kwa wepesi zaidi Asante.#FoxeTv Ni Bora Zaidi
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    ©Instagram @FoxeTvTanzania tufollow sasa kwenye mtandao wetu wa kijamii
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    Tag;
    #video #bongomovie #truestory #majanga #mikasa #msaada #update #trendingvideo #trending #trendingnews #oman #omannews #omanchannel #omannewstoday #kenya #kenyanews #kenyadigitalnews #kenyanewsmedia #usa #usanews #america #american #amerika #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniayetu #uganda #ugandanewsupdates #rwanda #rwandanmovies #burundi #burundinews #uchawi #mikasa #udakutz #udaku254 #ngono #VideoChafu #VideoXxx #Xxx #xxl #uchib #tikitv #tikitvkiakilizaidi #zanzibarbeach #maximumtvonline #maximumtv #DavistarMatal #mtoto #watoto #Ubakaji #diamondplatnumz #harmonize #comedy #comedyvideo #film #movie #movie #ayo #millardayo #millardayoupdates #GroblaUpdates #global #AingiliwaKinyume

ความคิดเห็น • 62

  • @mrrockboy9508
    @mrrockboy9508 6 วันที่ผ่านมา +7

    Angekua nimke wangu nisinge mtangaza kwenye vyombo vya habari ningepambana mpaka kieleweke apone

  • @narutonaruto4303
    @narutonaruto4303 6 วันที่ผ่านมา +6

    Njo nikupe kazi ufanye badala ya kumtafutia tiba ana toa siri loh

  • @saudakoho1584
    @saudakoho1584 6 วันที่ผ่านมา +6

    Mutu anafichaka aibu ya muke wake

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 5 วันที่ผ่านมา

    Msitir tu broo

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 6 วันที่ผ่านมา +2

    Hizi hadithi zinawatia aibu. Tafuteni njia nyingine ya kuwa maarufu mjini 😢

  • @kennedyjohn8900
    @kennedyjohn8900 6 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo lipo kwa wengi sio kwako tu hasa kwahawa madada wazuriwazuri hawa nihatari sana

  • @madinasilima6925
    @madinasilima6925 6 วันที่ผ่านมา +2

    Mpeleke hospitali nna imani linatibika

  • @saudakoho1584
    @saudakoho1584 6 วันที่ผ่านมา +3

    Unajifezeresha mwenyewe

  • @madinasilima6925
    @madinasilima6925 6 วันที่ผ่านมา +3

    Mbona hilo tatizo linatibika

  • @IgiranezaSosoQueen
    @IgiranezaSosoQueen 3 วันที่ผ่านมา

    Nimejikuta nacheka ety kwakukutana nahio halifu😂😂😂😂😅😅

  • @emilyondari4796
    @emilyondari4796 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Fistula hiyo pls mpeleke hospitali. Inawexa kuwa imesababishwa na kuzaa

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 5 วันที่ผ่านมา

    Mpeleke hospitali jamani,watajotokeza madaktari wengi mpaka waganga wa kienyeji.

  • @EvePatrick-u7m
    @EvePatrick-u7m 5 วันที่ผ่านมา

    Mjiiinga sana ww hujajua nn mana ya ndoa n kubeba madhaifu yooote ya mwenza wako

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 6 วันที่ผ่านมา +1

    Wekijana unaonekana unaupwilu wakichwani tena weeee😢

  • @SarahMpwehuka
    @SarahMpwehuka 6 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂Kama jinga vile

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 6 วันที่ผ่านมา +1

    Msitiri mkeo mwana ngu kwa njia nyingi ne sio kwenye mita ndao

  • @SophyClement-fu4ec
    @SophyClement-fu4ec 5 วันที่ผ่านมา

    Atakua natatizo siyoyeye hajapenda kua hivo

  • @WillySonny-u1k
    @WillySonny-u1k 5 วันที่ผ่านมา

    Haujafundishwa kwenu..ww siri za ndani usitoe hadhharan. Nyambaf

  • @aminageid6297
    @aminageid6297 6 วันที่ผ่านมา +1

    Huna aibu mwanamme wewe hio SI ni fistula mtibuu

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hiyo unaweka kwenye mtandao kusaidiwa nini mkosa kabila weye😮!? Ili usaidiwe tiba au wakuone usivyojielewa!? Kwani maana ya nitakupenda kwa shida na raha nini? Ndiyo matatizo kama hayo!!

  • @DeboraIlomo
    @DeboraIlomo 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanaume jinga sana.umekosa maadili toka kwenu.pumbavu wewe

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 6 วันที่ผ่านมา +1

    Mficha ficha uchi hazai. Kwani kusema tatizo aibu? Hilo ni tatizo kila mtu linaweza kumpata maana huo ni ugonjwa. Hao wanaokulaumu wapumbavu huo ni ugonjwa kama ugonjwa mwengine mnampenda mpeni njia ya kuacha kukojoa sio kumlaumu huyu kaka. Kaka upo sawa hata yeye mwenyewe anaweza kusema kweli nakojoa nisaidieni ushauri wa kitaalamu na tiba ya jisaikolojia. Mficha ficha maradhi kifo kitamuumbua. Sasa huo ni msiba anaumbuka lau angesema mapema angeshapona maana dawa ingepatikana Mwanangu umefanya sahihi kufichua maradhi na sio aibu hao wanaokulaumu wapumbavu wa aakili na wao wabaki na maradhi wasijitangaze ili wapate njia ya kupata tiba. Hongera sana na mkeo sasa atapona ishi naye na mleee mtoto wenu.

    • @FoxeTv
      @FoxeTv  6 วันที่ผ่านมา

      ujumbe mzuri

    • @user-sj6qh3yr5t
      @user-sj6qh3yr5t 5 วันที่ผ่านมา

      Ila we Dada ni mzuri sana ila usingeficha na ungekuwa unafua hiyo mikojo usingerundika nguo

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 6 วันที่ผ่านมา +1

    Badala yakutafuta suluhu hospital umemuanika mwezako mtandaoni aibu vijna wanahitaji elim ya ndoa kabla ya ndoa

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma 2 วันที่ผ่านมา

    Mtafute King po TV awapeleke kwa Jafari atamtibu kunadada alikuwa natatizo kama hilo alitibiwa na Jafari nakwasasa ule dada hakojowi tena.

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwanini umemtangazia mkeo uyo ugonjwa unatinika

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 6 วันที่ผ่านมา +1

    Akili zako fupi au bangi?

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald 6 วันที่ผ่านมา +1

    Media zisingekuwepo ungemtangaza wapi? Kichwa chako kina funza! Unahitaji afya ya akili!

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 6 วันที่ผ่านมา

    Mbona huo ni ungonjwa unaitwa fistula na mara nyingi huwa pata wanawake wanao zaa hua mikojo haina break inatoka tu tuwasaidieni wanawake na tufiche siri zao ujue kuna watu wanakujua bas wakona hivyo washajua mkeo.

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald 6 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa aibu yake aibu yenu!? Eti ndugu mtangazaji naumia! Yaani naumia! Ungekuwa unaumia ungemtoa kwenye adhara? Wala huumii chochote! Na wala hupendi! Ungekuwa unapenda usingemuanika adharani!! Hujui hata cha kupeleka mtandaoni mtoka pabaya weye! Mwanamme suruali usiye kuwa na koromeo la siri mwangalie!! Afadhali ungemrudisha kwao kuliko hiki ulichofanya mpuuzi weee!

  • @saudakoho1584
    @saudakoho1584 6 วันที่ผ่านมา +1

    Weye ni muvuta bangi

  • @ZaitunZaitunsaid
    @ZaitunZaitunsaid 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu nae Kumbe pokoyoyo usoficha aibu ya mkeo una muanika ili iweje

  • @HasinaOmar-l2n
    @HasinaOmar-l2n 6 วันที่ผ่านมา +1

    haikuumi km ingalikuwa inakuuma ungalimtafutia dawa nasio kumtangaza asa faid yk nn zaid yakujizalilisha

  • @ruwaidachapman9109
    @ruwaidachapman9109 5 วันที่ผ่านมา

    Haipendezi kitoa aibu ya mkeo

  • @kennedyKaswa
    @kennedyKaswa วันที่ผ่านมา

    Kweli huna akili timam kama ulitaka kuonekana kwenye vyombo vya habar sini ungepiga ata punyeto ukapost

  • @user-sg6xy4qs6o
    @user-sg6xy4qs6o 2 วันที่ผ่านมา

    Shida ni izo nguo zenu nyekundu ni za kiganga ganga mwambie asivae izo nguo

  • @Zainab-f9w5x
    @Zainab-f9w5x 5 วันที่ผ่านมา

    Ss mutangazaji ndie daktar vijana waleo hamna adabu

  • @mwantumswalehe2300
    @mwantumswalehe2300 5 วันที่ผ่านมา

    Kama unampenda usingemtangaza mitandion

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 5 วันที่ผ่านมา

    Mpeleke Hospitali acha kumuanika

  • @EvelynePaul-x9y
    @EvelynePaul-x9y 6 วันที่ผ่านมา

    Kwanini unamzalilisha mkeo haipendezi hats kidogo msaidie atapona

  • @MantamooMohammed
    @MantamooMohammed 6 วันที่ผ่านมา +1

    Jilevi hili

  • @kennedyKaswa
    @kennedyKaswa วันที่ผ่านมา

    Mshenzi sana wewe jamaa unashindwa kumtaftia dawa unamtangaza kwenye vyombo vya habari huna akili timamu

  • @elizabethdamas-zp9xl
    @elizabethdamas-zp9xl 6 วันที่ผ่านมา +1

    ww dishi lako halipo sawa limeyumba yan unamdhalilisha mkeo kias icho si ungemalizana nae uko uko huo ni udhalilishaji wa kijinsia

    • @eshyndibalema1529
      @eshyndibalema1529 2 วันที่ผ่านมา

      Si mzaramo ?'maneno mengi, mbona dawa zipo hata wewe mwamshe mara kwa mara na asinywe,maji jioni

  • @MakameMufadhil
    @MakameMufadhil 5 วันที่ผ่านมา

    Uzalilishaji huo

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu kijana ni wakutia makofi tu

  • @AstalikoMulishi-gu3sp
    @AstalikoMulishi-gu3sp 4 วันที่ผ่านมา

    huyo jamaa kichaa tena mpumbavu sana

  • @AminaMsimbe
    @AminaMsimbe 5 วันที่ผ่านมา

    Aibu yenu wote

  • @WillySonny-u1k
    @WillySonny-u1k 5 วันที่ผ่านมา

    Hauna akili mjinga ww kichwa box unatangaza ili iweje? Wanaume hatupo ivo ,,,,utakuwa shoga sio bure!!

  • @saudakoho1584
    @saudakoho1584 6 วันที่ผ่านมา +1

    Auna aibu ata

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 5 วันที่ผ่านมา

    Mvumilie

  • @RestitutaNjau-k8x
    @RestitutaNjau-k8x 5 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 6 วันที่ผ่านมา +1

    .

  • @MantamooMohammed
    @MantamooMohammed 6 วันที่ผ่านมา +1

    I'll jamaa jinga sijui mirungi au huyu punguani loh ingelikua mm simtaki tena

  • @AdelinajescaOswald
    @AdelinajescaOswald 6 วันที่ผ่านมา +1

    Kama umeshindwa kutunza tatizo la mkeo kama hili, hata vingine hutaweza! Maana huo ndiyo ubavu wako! Harafu unajiita kichwa cha nyumba kweli!!?? Hapana wewe ni miguu ya nyumba huna lolote!

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 6 วันที่ผ่านมา

      Wacheni ujinga huo. Hilo tatizo sio lakuficha. Yapo ya kuficha lakini sio maradhi. Uko sawa baba sema ili upate msaada wa tiba na njia ya kumsaidia mkeo.

    • @MwanaishaShattry
      @MwanaishaShattry 6 วันที่ผ่านมา

      Wa he is hizo ujinga huo lificha maradhi. Sema ili upate njia ya msaada kwa wanaojua.

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kwanini umemtangazia mkeo uyo ugonjwa unatinika