JAMAA ALIYETUMIA DAWA ZA KULEVYA MIAKA 20, AACHA NA KUFUNGUA KITUO CHAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Beda Shirima ni mkazi wa Arusha ambaye ametumia madawa ya kulevya miaka 20 iliyopita lakini baadaye aliacha baada yakupelekwa soba nakupata tiba nakumwezesha kuacha kutumia madawa hayo miaka saba hadi sasa nakuamua kufungua kituo chakuwasasaidia watu amabo tayari wameshaathirika.
    Beda amesema baada yakusaidiwa na watu wengine ilimuwezesha na yeye Kkukodisha nyumba nakufungua kituo ambacho kwa sasa ameshawasaidia vijana zaidi ya 30 kuachana na madawa hayo nakuiomba serikali kumsaidia

ความคิดเห็น • 22

  • @erastoduwe5597
    @erastoduwe5597 3 ปีที่แล้ว +6

    Hii foundation inatakiwa ipewe support

  • @wilsonernest6046
    @wilsonernest6046 3 ปีที่แล้ว +8

    Jamani kama kunamtu anaamini taalifa za mollard ayo kuliko kwengine anambie bc

  • @dicksoncliff9322
    @dicksoncliff9322 3 ปีที่แล้ว +3

    Bedda ni classmate wangu ....tulisoma wote Meru Primary ..... nmefurahishwa sana na hii clip kwabb mara ya mwisho nimemuona ilikuwa nyuma kidogo ya Stand kubwa alikuwa naumwa sanaaa tena ugonjwa ambao siwez utaja hapa ila nilijisikia vibayaa mno na nlimsaidia kias flan ili anunue Dawa ....Nmefurah mno kuona leo ameacha kabisa na amekuwa kijana mzuri sanaaa...... Mungu azadi kukusaidia ili usaidie na wengine ...

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akusimamie zaidi kijana ,usikubali kurudi Tena nyuma ,songa mbele na MUNGU

  • @leskarmeikok8956
    @leskarmeikok8956 3 ปีที่แล้ว +4

    Hongera bro

  • @imdativa
    @imdativa 3 ปีที่แล้ว +2

    Tv yangu ya taifa🇹🇿🙏🏽

  • @justinamunuo8006
    @justinamunuo8006 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Beda na Mungu akusaidie

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu Mkubwa

  • @athmaniidd437
    @athmaniidd437 3 ปีที่แล้ว +3

    🙏

  • @hassanally7387
    @hassanally7387 3 ปีที่แล้ว

    Big up Sana master👏👏👏💯💯

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว +1

    kuacha madawa ni lazima unenepe ile mbaya
    muongo hajaacha anatumika tu na hao wauzaji iyo pesa ya mjengo huu kaipataje?❌

    • @kwzjkwz3532
      @kwzjkwz3532 3 ปีที่แล้ว

      Sio lazima unenepe je kama.nyama na mfupa

  • @hilalmagege6341
    @hilalmagege6341 3 ปีที่แล้ว

    Tunaomba mmalizie hizo namba hazijakamilika kwa ajili ya kuwasiliana na wenye kituo

    • @freddyfredrick3487
      @freddyfredrick3487 3 ปีที่แล้ว

      0785633696 0788664365 muda wowote zinapatikana

  • @hadija846
    @hadija846 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaahaaaaa pete kibao za nini sikuelewi

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU MUWEZA AKUINUE ZAIDI NA ZAIDI KULIKO KUMHUSUDU SHETANI NA ANASHAMBULIA VIPAJI VIKUBWA KUBWA NDO KUTOKAMO NI NGUMU ILA YESU ANAWEZA, BORA PIA HUKUPATA MAJERA MWILINI. HONGERENI SAAANA KITUO. NA KITUO KIKO WAPI ARUSHA HII.