MAOMBI YA UREJESHO-DAY 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2021
  • Shalom
    Nani kama Mungu atupae nafasi nyingine ya kutufungua na kurejesha kila kilichopotea....🙌🏼🙌🏼🙌🏼
    Neno lake linasema;
    “Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu. Nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la BWANA, Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu; na watu wangu hawatatahayari kamwe.”
    ‭‭Yoe‬ ‭2:25-26‬ ‭SUV‬‬
    Siku hizi mbili ni za maombi juu ya kila kilichowahi kupotea kwenye maisha yako na shetani akakila,
    MUNGU ANATAKA KURUDISHA KILA KILICHOIBIWA KWENYE MAISHA YAKO NA KISHA AKUPE SHIBE NA UTELE...
    Mwaka huu utaumaliza kwa ushindi
    Wajulishe wanawake wote na tuwe tayari kuhudumiwa na Mungu..
    Min Mocky

ความคิดเห็น • 49

  • @graceemmanuel-gospelartist9323
    @graceemmanuel-gospelartist9323 ปีที่แล้ว +1

    AMEEN! ASANTE YESU WANGU 🙌🙌🙌

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 4 หลายเดือนก่อน

    Narejeshewa kwenye kila kitu nilichoibiwa kwenye maisha yangu kwa jina la Yesu 🙌🏻

  • @leonardmadelemo3043
    @leonardmadelemo3043 8 หลายเดือนก่อน

    Amen narejesha Afya yangu Katika Jina La Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai.Amen

  • @catherinemsangi4571
    @catherinemsangi4571 21 วันที่ผ่านมา

    nareheshewa kila kitu kilichoibiwa kwenye maisha yangu, narejeshewa haki zangu zote kwa jila la yesu kristo Ameen 😩🙏

  • @oliviaambrose2907
    @oliviaambrose2907 2 ปีที่แล้ว

    AMEN nami nikapokee

  • @sweetmunishi1494
    @sweetmunishi1494 3 หลายเดือนก่อน

    Napokea Urejesho kwenye Eneo langu la Biashara,wateja wangu wakarudi,Urejesho wa Kibali changu,Afya yangu,Watu wangu muhimu,Urejesho wa my Partner urudi tena katika Jina La YESU🙏🏻

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 4 หลายเดือนก่อน

    Napokea speed kwenye kila ninachokifanya kwa jina la Yesu

  • @ireenbrave5373
    @ireenbrave5373 2 ปีที่แล้ว

    Asante Yesu

  • @zenamseli7639
    @zenamseli7639 2 ปีที่แล้ว

    Narejeshewa kila kitu kilichoibwa kwa jina la yesu kristo

  • @SafinaRoma-ys6kx
    @SafinaRoma-ys6kx 6 หลายเดือนก่อน

    Namuunganisha mume wang akapokee urejesho

  • @editaantoni4050
    @editaantoni4050 2 ปีที่แล้ว

    Napokea kwa jina la Yesu kila kilichoibiwa kwenye miaka Yangu

  • @beatricejohn3668
    @beatricejohn3668 4 หลายเดือนก่อน

    Napokea urejesho kwenye miaka yangu iliyoriwa na nzige na madumadu na tunutu kwa mamlaka ya damu ya Mwanakondoo kwa jina la Yesu Kristo

  • @itikabukuku104
    @itikabukuku104 2 ปีที่แล้ว +1

    Namuunganisha mama yangu kwenye maombi hayo apokee uponyaji katika jina la Yesu Amen

  • @editaantoni4050
    @editaantoni4050 2 ปีที่แล้ว

    Napokea speed kwa kila ninachofanya

  • @asmakwembe4829
    @asmakwembe4829 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen and amen mtumishi

  • @asimweishengoma5484
    @asimweishengoma5484 2 ปีที่แล้ว +1

    Amina... Napokea urejesho wangu🙏🙏

  • @ensijaphet2647
    @ensijaphet2647 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu kwa kunirejeshea miaka iliyoliwa na nzige tunutu na parare. Nami napokea kwa jina la Yesu 🙏

  • @upendomalle6323
    @upendomalle6323 2 ปีที่แล้ว +1

    ameen

  • @marykatema1250
    @marykatema1250 2 ปีที่แล้ว +1

    Napokea urejesho wangu kwa jina la Yesu

  • @ruthgeofrey5744
    @ruthgeofrey5744 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen...Asante mama

  • @neemanzali1265
    @neemanzali1265 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @asifiwemjujulu8884
    @asifiwemjujulu8884 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @miriammsangi7880
    @miriammsangi7880 2 ปีที่แล้ว

    Amina Barikiwa Mtumishi wa MUNGU

  • @ministerrobertmorgan8579
    @ministerrobertmorgan8579 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen MAMA

  • @editaantoni4050
    @editaantoni4050 2 ปีที่แล้ว

    Ameeeen kwa jina la yesu napokea

  • @jacklinejulius5207
    @jacklinejulius5207 2 ปีที่แล้ว

    Napokea urejesho wangu kwa jina la Yesu kristo

  • @salomembiku4256
    @salomembiku4256 2 ปีที่แล้ว +1

    AMEN....

  • @dorothymmbaga4798
    @dorothymmbaga4798 2 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeen Ameeeen
    Thank you JESUS

  • @editaantoni4050
    @editaantoni4050 2 ปีที่แล้ว

    Napokea urejesho kamili kwa jina la Yesu wa Nazareth

  • @aminakijasa996
    @aminakijasa996 2 ปีที่แล้ว

    Napokea uponyaji ktk afya yng kwa jina LA yesu

  • @flaviamayo210
    @flaviamayo210 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen🙏🏽

  • @Besmile27
    @Besmile27 2 ปีที่แล้ว

    Bado nakutegemea Yesu kristo amen 🙏🏻

  • @editaantoni4050
    @editaantoni4050 2 ปีที่แล้ว

    Narejesha pesa nilizoibiwa kwenye nyumba ya maombi na nilioibiwa kwenye ndoto

  • @neemanzali1265
    @neemanzali1265 2 ปีที่แล้ว

    Thank you Lord Jesus

  • @homeremedies4health100
    @homeremedies4health100 2 ปีที่แล้ว

    Thank you Lord 🙏🙏🙏

  • @corryemma8995
    @corryemma8995 2 ปีที่แล้ว

    AMEN

  • @hubashemndolwa8206
    @hubashemndolwa8206 2 ปีที่แล้ว

    amen mocky

  • @ireneleonard9225
    @ireneleonard9225 2 ปีที่แล้ว

    Amen🙏🏿

  • @happyissa4526
    @happyissa4526 2 ปีที่แล้ว

    Thank you Mama ,Amen Amen!

  • @SwordoftheSpirit-Tz
    @SwordoftheSpirit-Tz 2 ปีที่แล้ว

    Tufungulie kitufe cha download tuweze kudownload

  • @domitilanziku4256
    @domitilanziku4256 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen mama

  • @esterlema1749
    @esterlema1749 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @lympa19
    @lympa19 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @lightnessseverin1534
    @lightnessseverin1534 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @deboraurio1861
    @deboraurio1861 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @angelherman4111
    @angelherman4111 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @happieandrew3209
    @happieandrew3209 2 ปีที่แล้ว

    Amen