Vocal Kali Just Be You.. Izo za Most Fantastic na So So nyingi vp.. Pia kuwa na info nying na swaggs za kijanja sio izo za Ebwana Ehhh, Vitu ka izo Ndo nini sasa. na Jina lako kila sentenc Nakuletea wakat ushamaliza
Chaneli mpya th-cam.com/channels/8jsJwAVEa-MJ5P0jW4unJQ.html ya video bomba za bongofleva. Subscribe na ubofye kengele usipitwe na video mpya kila wiki.
Aiseee TCRA wafanye haraka ili iyo charge ianze Fanya Nazi haraka mana naona waandishi wahabari feki wanavamia online media kwa kasi , sasa huu si utapeli huu wa kutafuta views kwa nguvu, acheni hizi mambo bwana badilikeni
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇 BIASHARA NZURI IMEANZA KWA KING OF GING ALI KIBA NIYALE YALE DAIMOND BWANA ANAMJIBU ALIKIBA UCHOKOZIWAKE CHEKA WEEEEEEEEEEEE PATAMU APO SASA KWANI KING ALI HUTAKI SOKO NA MAPESA WEWE NYOTE MNAKULA CHAKULA CHASHETANI TAFAUTI MOJA TU WEWE NI MZIKI WA KIKWELI KWELI NA MWENZAKO MASHAIRI YAKE YANA WEKWA KIMIZIKI KIKWELI MPAKA WASOJUWA WANAONA NI MZIKI HASWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😇 SASA KING OF KING UNALIA NINI WEWE NDIO UFURAHI ZAKE UNAZIIMBA NA ZAKO JINSI ANAKUONESHA ANAVYOZIPENDA KAKUWEKA KWENYE KIOO SASA NINI TENA MMMMMMMMMMMMMMMM UNALETA KING BWANA MAMBO YA SIZITAKI MBICHI HIZI UMEWEKWA KWENYE BIG SCREEN UNAMBIWA MMMMMMMMMM😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👹👹👹👹👹👹👹👹SHETANI MBAYA BWANA KULA UBUYU TU TENA KING KIBA MMMMMMM👹👹👹👹👹👹👹👹
Sofia Yusufu acheni chuki ziszo kua na msing ,cha msing wafanye kazi waipeleke sanaaa mbele aliefankiwa zaid acha awe mfano kwa wengne ili iwe ni chachu ya kukuza mziki ,roho mbaya hazjeng mashabiki badilken sanaa imeshazaliwa upya
Nyimbo kali syo kama nyimbo zao kiba noma
mtangazaji unasauti nzuri mapka nasikiliza sauti sisiskiii maneno wasema
Kweli
Zaudat Makula 😃😃😃
Zaudat Makula 😂😂😂😂😂
Zaudat Makula
Sanaa Ya Tz Inatakiwa kufika mbali kama hivii Safi sana Diamond na Team Yako Mmenifurahisha..
Mondi waleteeeee
Mambo safi kwel
jamaa upo vizur sana ongeza bidii
Mzuka Sana
Hemedy Jr junior
Kwa kwangu safi sana kupigisha music za kibongo ivyo inafanya kukua tz asante
mashabiki ndio wana mabifu lakini ,wao wenyewe amani tele wanapiga pesa tu
Wewe ndoo mwana habari mzuri big up bro
Vocal Kali
Just Be You..
Izo za Most Fantastic na So So nyingi vp..
Pia kuwa na info nying na swaggs za kijanja sio izo za Ebwana Ehhh, Vitu ka izo
Ndo nini sasa. na Jina lako kila sentenc
Nakuletea wakat ushamaliza
Oyoooooo love Diamond, mambo c ndio hayo sasa
WCB bigup huo ndio ungwana twastahili tuige bifu hazifai ......kiba visit WCB na UPINZANI uishe 💪Chibu
SAfi sana michuzi tv 📺
Sauti kama millad ayo iv, ila sio mbaya sana
Mimi kwa maoni yangu naona ngoma ya king kiba kupigwa wasafi tv inaenda kuimalisha undugu kimziki Tanzania na kukuza tasinia kiujumla so haiana kweli
Nice wcb 😍😍😍😍😍
Safi sana chimbu
Mambo si hayooooo woyoooo
Xanaaa mtangazajiii upooo vizuriii
Nimekupenda bure mtangazaji
Xana mzee kwa habari nzur unazotudondoshea
sauti mbaya sana kunywa mayai
Ata akipiga mm sishangai kwasababu io nibiashala 2
tunasubi riakorambu bainaya alikiba ft diamodi
Chaneli mpya th-cam.com/channels/8jsJwAVEa-MJ5P0jW4unJQ.html ya video bomba za bongofleva. Subscribe na ubofye kengele usipitwe na video mpya kila wiki.
WASAFI TV AINA UMBINAFUSI
Asante
nimependa sautiyako
JAMANI HUYU DIMOND ANA UPENDO WA DHATI
Huyu jamaa sialkua akiuza bamba water apa buxton
Ayoo amewaharibu...
Wasanii awana bifu ilamashabiki ndo wachokozi pili wema nikuma tu uyobasata ivi ajaliona ilotakola wema kwann wasimfugiye !!
Nipo USA nitaipataje hiyo channel ya wasafi TV.... nisaidieni jamani
Selemani Hussein nenda dar
Selemani Hussein kama una tumia king'amuz cha azam unaipata 122ndo wasafi tv
Selemani Hussein ni chanel namba 122 inapatikana kwenye dstv na azam tv
Wema ile tuzo hakustaili kupewa. Amependelewa
Mje uku tunazipataje
Aiseee TCRA wafanye haraka ili iyo charge ianze Fanya Nazi haraka mana naona waandishi wahabari feki wanavamia online media kwa kasi , sasa huu si utapeli huu wa kutafuta views kwa nguvu, acheni hizi mambo bwana badilikeni
nyie izo watu hazina bif sema mi kama shabiki naenjoe sana kua team mond.....afu wema kabebwaaa hakuna kitu anafanyaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇😇 BIASHARA NZURI IMEANZA KWA KING OF GING ALI KIBA NIYALE YALE DAIMOND BWANA ANAMJIBU ALIKIBA UCHOKOZIWAKE CHEKA WEEEEEEEEEEEE PATAMU APO SASA KWANI KING ALI HUTAKI SOKO NA MAPESA WEWE NYOTE MNAKULA CHAKULA CHASHETANI TAFAUTI MOJA TU WEWE NI MZIKI WA KIKWELI KWELI NA MWENZAKO MASHAIRI YAKE YANA WEKWA KIMIZIKI KIKWELI MPAKA WASOJUWA WANAONA NI MZIKI HASWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😇 SASA KING OF KING UNALIA NINI WEWE NDIO UFURAHI ZAKE UNAZIIMBA NA ZAKO JINSI ANAKUONESHA ANAVYOZIPENDA KAKUWEKA KWENYE KIOO SASA NINI TENA MMMMMMMMMMMMMMMM UNALETA KING BWANA MAMBO YA SIZITAKI MBICHI HIZI UMEWEKWA KWENYE BIG SCREEN UNAMBIWA MMMMMMMMMM😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👺👹👹👹👹👹👹👹👹SHETANI MBAYA BWANA KULA UBUYU TU TENA KING KIBA MMMMMMM👹👹👹👹👹👹👹👹
Mondi anamuogopa kibaa 😁😁
chizi wewe sasa mond amuogope kiba kwa mafanikio yapi... au kile kinywaji kilichokosa brand.. 😏😏
Sofia Yusufu acheni chuki ziszo kua na msing ,cha msing wafanye kazi waipeleke sanaaa mbele aliefankiwa zaid acha awe mfano kwa wengne ili iwe ni chachu ya kukuza mziki ,roho mbaya hazjeng mashabiki badilken sanaa imeshazaliwa upya
Fetry John ata wewe chizi au mondi anakuvua chupi
HI I NO WCB HATUJUI KUHUSU KIBA WE SOPHIA KAA MBALI
Xx ucpopga nymbo ya kba utacheza wmbo gan best
Mtangazaji mbona unamuiga millardiayo sauti,tafuta yako
kasoma iddy Sauti yake hiyo