WAZIRI SILAA ASIKILIZA KERO za ARDHI HADI USIKU wa MANANE MWANZA -WANAOKWAMISHA WATAJWA HADHARANI...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • WAZIRI SILAA ASIKILIZA KERO za ARDHI HADI USIKU wa MANANE MWANZA -WANAOKWAMISHA WATAJWA HADHARANI...
    Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameendelea na utaratibu wake wa kuwasikiliza wananchi katika viwanja vya Nyamagana Mwanza waliokuwa na migogoro ya Ardhi amabapo amewasikiliza mpaka kufikia saa tisa za usiku kutokana na wananchi hao kuwa wengi na baadhi yao wametoka umbali mrefu ili kutatuliwa shida zao na serikali mbali kama alivyoelekeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasikiliza wananchi...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 26

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 หลายเดือนก่อน

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @omaredhasaidal.obthani4775
    @omaredhasaidal.obthani4775 5 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu waziri anapiga kazi mungu amuongoze

  • @MohamedAhmada-ie7ke
    @MohamedAhmada-ie7ke 5 หลายเดือนก่อน +5

    Ulinzi unahitajika zaidi kwa huyu mwamba

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 5 หลายเดือนก่อน

    I just love him 😍

  • @maternmkomange5389
    @maternmkomange5389 5 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo mbunge wangu mm nilikuwanga namwelewa toka alivyo kuwa diwani wa kata ya Ukongo Dar es salaam

  • @bongo39
    @bongo39 5 หลายเดือนก่อน

    Waziri allah akupe ulinzi wa kutosha akupe afya na nguvu busara

  • @petrobathorimeo639
    @petrobathorimeo639 5 หลายเดือนก่อน +2

    😢😢 nasikia kusisimka Hadi maini huyu ni kiongozi sasa

  • @ludovickbenjamin6104
    @ludovickbenjamin6104 5 หลายเดือนก่อน

    Yani nikisikiliza hotuba ya Raisi juzi, ni kweli kabisa watumishi wa serikali ndio wanasababisha migogoro ya ardhi kwa kiasi kikubwa

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Jamaa Msomi 😢❤❤❤❤

  • @sumayasumaya6455
    @sumayasumaya6455 5 หลายเดือนก่อน

    yani ahsante. sana mh. jerry kwa.yote. haya

  • @paulmkai2043
    @paulmkai2043 5 หลายเดือนก่อน

    Nakubali anavyotoa maamuzi pamoja na kutoka elimu Kwa wananchii, Bora watu wenye taaluma zao na ni wabunge wapewe hizi nafas kubwa

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 5 หลายเดือนก่อน

    NAKUOMBA WAKAT WA KUPIGA KAMPEN USIJISUMBUE KUPIGAKAMPEN KOZ UMESHA PITA BILA KUPINGWA GOD BLESS

  • @Evangelism2023
    @Evangelism2023 5 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Baba ni wa kuombea

  • @barakamfilinge6943
    @barakamfilinge6943 5 หลายเดือนก่อน

    Sema anatatua migogoro Kwa hekima sana lakini Sasa hatawezi kufanya hivi nchi nzima wasaidizi wake ndiyo tatizo

  • @husseinyahya5082
    @husseinyahya5082 5 หลายเดือนก่อน

    Ilemela kuna shida ya ardhi

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 5 หลายเดือนก่อน

    Unavotaka kumsifia jerry staha msifie raisi samia kwanza ndio alietoa kibali wananchi watendewe haki ila huku kwetu Zanzibar kila kiongoz ni kukaa ofisini tu hatuoni ata kutembelea wananchi zaid ya raisi mwenyewe

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 5 หลายเดือนก่อน

    Mtaa wa amana dsm Kuna malori makubwa ,na wengine wamejenga penye maeneo ya wazi

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 5 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni mchapa kazi haswa

  • @frankpeter-of8xp
    @frankpeter-of8xp 5 หลายเดือนก่อน

    Ukipita uchaguzi hamta waona hao

    • @AllyMaya-yj3xd
      @AllyMaya-yj3xd 5 หลายเดือนก่อน +2

      Kila mtu ana wito wake jerry yupo hivyo toka akiwa meya wa ilala

  • @yokoi3970
    @yokoi3970 5 หลายเดือนก่อน

    Ni jambo la muda tu. It's to late for drama. Eti usiku wa manane na bdo.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 5 หลายเดือนก่อน

      Roho mbaya tu. Kwani huoni anachofanya au unajizima data??❤❤

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 5 หลายเดือนก่อน

      @@dorothmsuya1686 sioni anacho fanya sbbu chanzo cha tatizo ni wao. Si mtu kutoka sehemu nyingine hapana. Kuna kesi za toka 2017 huko why now ufanye kazi mpka usiku kaka wawatu anapiga miyayo mikubwa kwann. Uwezi kuwa na uwongozi ambao kila moja anafanya lake. Shida kma hizi ni kila moja kula urefu wa kamba yake... hakuna Morales so si ninazima data bali ninapoteza data kucheki jambo la aibu...

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 5 หลายเดือนก่อน

      @@yokoi3970 zungumzia wakati uliopo sio uliopita! Anafanya kwa kiasi chake na hawezi kuyamaliza vile vile!

    • @yokoi3970
      @yokoi3970 5 หลายเดือนก่อน

      @@dorothmsuya1686 do u know the mean of sustainability au u want people to talk tuonekane wabaya. Uwezi ongelea leo bila jana na leo bila kesho kwaiyo acha janja Weed mzee unaongea na mtu wa maendeleo from daystar university so I know what am talk about when it comes to leadership. Serekali ni moja ever since na madudu ni yao. Serekali si mtu ni watu na kwenye kosa we do need to know ulikuwepo muda gani. Ni muda as I said b4 na sina wivu sbbu unijui nina nn. Mm nko sawa kbsa where I am.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 5 หลายเดือนก่อน

      @@yokoi3970 hongera kwa hilo. Mawazo yako ni yako na yangu ni yangu. Kila mmoja aheshimu mawazo ya mwingine! Haijalishi wewe ni nani!