Huyu Dada hana shida yoyote ya Akili ni mzima na anachoongea ni Machungu juu ya mume wake. Zaid kumuacha na maradhi halafu mwanaume Ana enjoy life lake. Cancelling ya kupewa ni ku move on na huyo mbaba tu. IMENIUMA SANA
Pole sana dd yangu ila nikwambie kuugua huo ugonjwa sio ndio kufa watu wapo wanateseka na kansa lkn hawakat tamaa huyo mwanaume atakuja kukupiga ufe bule ingawa inauma dd jikaze
Huyu dada anaonyesha alikuwa anajieshim sana ndomaana alipenda sna huyo mwanaume nanivigumu kukubali mwanaume mwingine cz tyar anaisi nidhambi ushaur nikumpa pole na ajitaid kusahau japo inauma😭😭
Kwaza nakupo pole dada kwa mtihani ulionao wa kupenda mume Hasie kupenda pili naomba Haza upya kusu maisha yako yani upya jipambani kutafuta riziki hakika mungu Atafungua riziki na kusaau hayo yote ya ba wawili insha Ahall heli Iwe mbele yako dada
Ajitahidi na usafi sasa Juu ya neti akajaze nguo kweli!!! Nyoka akikaa hapo Ni hatar pia Moto ukishika bahati mbaya ni hatari....Atulie aendelee kuomba Mungu pengine lipo jambo baya Mungu amemuepusha nalo japo mapenzi yanauma Aombe MUNGU agange maumivu.... MUNGU wetu hashindwi
Mwanamme kama hakutaki huwezi kumfanya kitu hata kama akirudi mateso yatukuwa yapo pale pale bora mtu aumie mara moja na atasahau kuliko kila siku kuumizwa.
WANAWAKE TUJIPENDEEEEEE!!!!!! MWANAUME ANAPOKUACHA AU KUKUDHARAU!!!!! WACHANA NAE KABISAAAAAA JUU YA MAGONJWAAAAAAA!!!!!!! TUJIPENDE NA WATOTO WETU PIAAAAAAAAA!!!! POLE SANAAAAAA
Dada yanguuuu😢😢😢😢😢😢😢ss watazaniaa tutakusaidiaa kupata kz kupata ela lakini atuwezi kumrudisha mwanaumeee😢😢😢😢mwanaumeakikuacha arudi nyuma bora mwanamke ila sio mwanaumeeee😢😢😢😢daaaaa tunaojuwa mapezi atujazoee kubadili wanaume tunajuwa maumivu yako lakini labla amuee kurudi mwenyewe
Tatizo bado wamenda WA nini huyo tupa kule jamani mimi yashanipata hayo ndo mna nilikuwa huku Saudi nimetuliya Achana nae ashapata mke mwenqine huyo wasaidiwaje sasa
UKIACHWA ACHIKA. Kwani kabla hajaja kwenye maisha yako ulikuwa umepungukiwa nini??? Kuna kuvumilia kuna kupoteza muda unakuwa hujui ni nini unavumilia TABIA AU MAKOSA??? Unatakiwa ukubali matokeo na uanze maisha mapya, wangapi wameachwa au wameacha wamemove on na wanaishi vizuri tu. Jifunze kusimama peke yako wazazi hawapo, wewe ni mtu mzima sasa kila unachoamua kinaweza kuleta matokeo chanya au hasi kwenye maisha yako. PAMBANA jali afya yako, fanya kazi upate mahitaji yako ya msingi. Unalazimisha nini?? Au unatafuta kuwa chizi😏
@@Bintimrembo-y1v Ukiona mtu anawaza positive usidhani kuwa hajawahi kupata hizo changamoto. Changamoto dawa yake ni kutatua ili ubaki sehemu salama. Dawa ya heartbreak ni kulet it go, kujipenda, kujithamini, kujisamehe kwa sababu maamuzi uliyoyafanya yameleta matokeo hasi. Unachotakiwa ni kutoka ulipo na kusonga mbele kulinda AFYA YA AKILI na MWILI. Mabadiliko hayaji kwa kumng'ang'ania mtu asiyekuhitaji, asiyekupenda na asiyekuthamini. Kama mtu anatambua thamani yako hawezi kufanya mambo ya kukuumiza na ikitokea umeumizwa, Jifunze kusamehe na kujisamehe sio kung'ang'ania. AFYA YA AKILI NA MWILI ikiharibika hakuna faida yoyote.
Umepa ushaur mzur sana queen, mapenz yakiisha yameisha tu mana uyo mwanaume ata akilud atalud kiunafiki kwakua uko alipo kavulunda labda na lazima akilud atakuumiza Tena, kuhusu gonjwa we tumia dozi vizur uendeshe maisha yako
Tatizo unaonyesha uzaifu kwake kubali kuumiia ila umsahau uyo mwanaume utanishukulu achana naye kabisa yani mwanaume anakutamkia subili miaka 2 ebu mpotezee kabisa fanya kazi dada iyo itakusaidia
Kwann asikubali lkn anajiliza hapa??? Kwani yeye wakwanza kuachwa jmn??? Watu wanaishi miaka100 na bado wanaachana ??? Apewe counselling ya jinsi ya kumove on Kitu kingine mbna hana ulemavu kwann asifanye kazi aweze kujikimu anakaa kuomba msaada na kusaidiwa na watu???
Unakosea sana kumwambia anakichaa,si vizuri kwakweli,anakompein amemuharibia maisha kwa kumzalisha na hatoi humuma plus maradhi,si jambo dogo kama unavyofikiri
Dada ameamua kupambania jambo kwakua hamjui mtachangia mengi mume hana kwatabia zake za hovyo atapata mumewapi kaka kashamkataa ameoa mke wake wakumtuliza nafsi kichaa kama huyo atampeleka wapi vituo vya police vimemchoka yy apambane na kuosha vyombo aache watu na maisha yao mnapo kuja kumuhoji mtu muanze watu wanae ishi nae kwanza kumchafua kaka wawatu kija kutukana mwanaume barabarani ndio anacho jua mwanamme gani anataka kelele sikuizi
Uyu dada ameongea vyote lkn apo kwenye kuumia na awezi kuambukiza wengine ila nimeumia anamsimamo😢ila pole sn pambana dada maisha ni aya aya mbona ukujikubari unaishi bira ya mwanaume😢
Duh uyu itakua amepata matatizo ya akili sio bure 😢😢😢
Kinacho muuma, hayo maradhi aliyo muachia. Anatakiwa arudi waje wauguzane. Kiukweli siyo vizuri, huyo mwanaume ni mnyama.
Maskini unge onesha na hy picha yake asije akatongoza wengine
Daaaaaaaah inauma jmn, unampa mtu gonjwa afu unamkimbia?? Dhambi yake kubwa aseee
Amenihurumisha maskini imeniuma sana hy anahitaji canceling tuki pata wenza wetu tujaribu kujuwa afya zetu tusi sashawishiwe na upwiru
Kinacho mumiza huyu mama ni hilo gonjwa, aisee tupime jamani, usingie kwa mtu kisa una mpenda, moyo wa mtu ajuae mungu.
Hakika ni huruma 😢😢😢
Yan kwel mm kama mtu ataki kupima napana
Daaah maskini kampa gonjwa halafu kakimbia 😢😢kweli inauma
Huyu Dada hana shida yoyote ya Akili ni mzima na anachoongea ni Machungu juu ya mume wake. Zaid kumuacha na maradhi halafu mwanaume Ana enjoy life lake. Cancelling ya kupewa ni ku move on na huyo mbaba tu. IMENIUMA SANA
Tujifuze kujipenda wanawake!!!! Mapenzi mda mwingine yanatufanya tuwe wapumbavu...
Masikin pole sana 😢mwanamke mwenzangu
Ovyooooo umekulia mjini maisha yanabadilika dear pole
Geah hyu mama ayupo sawa anaitaji cancelling na ajipende yeye kwanza kinachomuumiza ni amemuachia ugonjwa😢😢😢😢
Pole sana dd yangu ila nikwambie kuugua huo ugonjwa sio ndio kufa watu wapo wanateseka na kansa lkn hawakat tamaa huyo mwanaume atakuja kukupiga ufe bule ingawa inauma dd jikaze
Achana nae kama hakutaki, tizama maisha yako
Huyu dada anaonyesha alikuwa anajieshim sana ndomaana alipenda sna huyo mwanaume nanivigumu kukubali mwanaume mwingine cz tyar anaisi nidhambi ushaur nikumpa pole na ajitaid kusahau japo inauma😭😭
Ucumie dada,kaza roho achana na huyo mwanaume atakuuwa kwa presha,mawazo,wanao wadogo naiman Mungu atakujaalia kheri Maradhi aliyokupa fwata masharti tu na jitahid kumpotezea naiman utasahau,inauma kweli
Mpendwa piga goti amshukulu mungu kwa Kila Jambo kma niwako ataludi
Achana na uyo mwanaume wanaume awakumbukagi nyuma ww sali sana mungu atamrudisha ila dada move on dear pole
Siyo rahisi wewe
Kwaza nakupo pole dada kwa mtihani ulionao wa kupenda mume Hasie kupenda pili naomba Haza upya kusu maisha yako yani upya jipambani kutafuta riziki hakika mungu Atafungua riziki na kusaau hayo yote ya ba wawili insha Ahall heli Iwe mbele yako dada
Ajitahidi na usafi sasa Juu ya neti akajaze nguo kweli!!! Nyoka akikaa hapo Ni hatar pia Moto ukishika bahati mbaya ni hatari....Atulie aendelee kuomba Mungu pengine lipo jambo baya Mungu amemuepusha nalo japo mapenzi yanauma Aombe MUNGU agange maumivu.... MUNGU wetu hashindwi
Maisha yakikupiga ndug yangu unaweza kuvaa dera chafu na usione yan namuelewa uyu mama
Çhizi kweli😂😂😂😂
Stress huwa zinabadiri tabia ya mtu dada usiombe
Dada gea jitahidi umtafte huyo mwanaume
Mwanamme kama hakutaki huwezi kumfanya kitu hata kama akirudi mateso yatukuwa yapo pale pale bora mtu aumie mara moja na atasahau kuliko kila siku kuumizwa.
Acana nae uyobwana
Mungu anajuwasababu .
Kweli umpendae siye akupendae mtani wangu rudi ukalime viazi tabola
Naona Kama hayupo sawa huyu da Geah
Wanaume wa mkoa wa Mbeya hawaachikagi hao😂😂😂 muangalie Faiza Ally Mimi.
Teheeee😂😂😂
Yaan umeongea point hapa tuna ndugu yetu hapa yaan wanaume wa mbeya noma
Kwan wanakuwa na nn maana na mimi sijielew😂😂😂
Huyo dada apewe ushauri tu ili aachane kabisa na huyo mwanaume aendelee na maisha yake kumng'ang'ania mtu asiyekupenda mwisho wake aje amuuwe bure
Tunakesha na maombi atarudi🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Sio aje kusugu haman😂
Hii ndio inaitwa ENTITLEMENT aendelee tu na maisha yake
Ulisikia wap. Maneno. Ya mwanaume. Kuyaamin
Kama ambavyo wanawake hawaaminiki kabisa
Jamani hisauti niyadagea kweli
WANAWAKE TUJIPENDEEEEEE!!!!!! MWANAUME ANAPOKUACHA AU KUKUDHARAU!!!!! WACHANA NAE KABISAAAAAA JUU YA MAGONJWAAAAAAA!!!!!!! TUJIPENDE NA WATOTO WETU PIAAAAAAAAA!!!! POLE SANAAAAAA
Watu tunaomuelewa pole Sana wengine comment zao sio nzuri kbs kwasababu hajakukuta ww unae comment ujinga acheni dharau kbs 😢Pole Dada
Mbona wanyakyusya wajanja huyu vp😅😅😅
uyu dd anaakili timamu tu ila kinacho mumiza niuo ugonjwa pili bibiliya imemkaa kichwani mno hanafata dini
Biblia anaisoma kama gazeti la Udaku ndo maana hajielewi kabisa. Analazimisha mambo yanayomuumiza.
😂😂😂huu ujinga wakuvumilia hadi mnapata magojwa haya vuna ulicho panda
Ukumbuke alikuwa hajui usiongee kisa leo upo mzima hujui kesho yako ungemuombea awe tu na moyo wakusamehe amsahau
@@yasmine937-so4mi huku kunafikiana ndo kunafanya watu wazowe magojwa alafu ukumbuke kasema yy alimpenda mwanaume bila kujali hali yake
Dada yanguuuu😢😢😢😢😢😢😢ss watazaniaa tutakusaidiaa kupata kz kupata ela lakini atuwezi kumrudisha mwanaumeee😢😢😢😢mwanaumeakikuacha arudi nyuma bora mwanamke ila sio mwanaumeeee😢😢😢😢daaaaa tunaojuwa mapezi atujazoee kubadili wanaume tunajuwa maumivu yako lakini labla amuee kurudi mwenyewe
😂😂😂 daah
Pole mwaya
Tatizo bado wamenda WA nini huyo tupa kule jamani mimi yashanipata hayo ndo mna nilikuwa huku Saudi nimetuliya Achana nae ashapata mke mwenqine huyo wasaidiwaje sasa
Ata sijui niseme nn!!! Jaman jifunzen kuviacha viendeee !!! Mjiheshimu na mjipende.
Jamani mirembe inamuhusu siyo bure Geah
Inauma sana😢
Kajipende dada... badala ya kuikimbia nyoka unaifuata pangoni!??? Nkt
Yani mpaka hapo Moyo sukuma Damu hayo mambo mengine achana nayo
Nyie mnaosema ana ugonjwa wa akili hiv mshawahi huachwa na mtu unae mpenda😢😢😢 heb achen
Kabisa yan
@@sophsoph4740 eeh mapenzi uchizi jmn
Hawajitambui hao madung'aembe
M kuvumilia nashindwa jamanii haya matatizo mengine hayavumiliki pambanaa mwenyeweee utajipata tu usikate tamaa 😢
Pole dada
Just move on please! I know ni ngumu ila huyo mwanaume hafai
Da G mshauri aende ustawi asaidiwe jmn, adi machozi yamenitoka asee
Mume au hawara? Jamani hakupendi tena. Kakuoa lini
Huyu anahitaji rehema za Mungu maana hajielewi kabisa na hawezi kuelewa arndelee kumsubiri mpk mwisho wa dunia . Mapenzi yameisha usilazimishe
Hongera lkn wenzangu nifunzeni nami kupenda
Huyu Dada mapenzi Yanamfanya awe chizi maskini
Watz tushirikiane kwa maombi Min Man wake arudi
Huyu amechanganyikiwa sisi tutakusaidia kupata kazi na era tu sio kurudisha mwanaume
Dada mloga tu uyo atange tange na maisha tu kila anacho shika kisidumu
Huyu dada kachanganyikiwa na mapenzi asaidiwe kisaikolojia,
UKIACHWA ACHIKA. Kwani kabla hajaja kwenye maisha yako ulikuwa umepungukiwa nini??? Kuna kuvumilia kuna kupoteza muda unakuwa hujui ni nini unavumilia TABIA AU MAKOSA??? Unatakiwa ukubali matokeo na uanze maisha mapya, wangapi wameachwa au wameacha wamemove on na wanaishi vizuri tu. Jifunze kusimama peke yako wazazi hawapo, wewe ni mtu mzima sasa kila unachoamua kinaweza kuleta matokeo chanya au hasi kwenye maisha yako. PAMBANA jali afya yako, fanya kazi upate mahitaji yako ya msingi. Unalazimisha nini?? Au unatafuta kuwa chizi😏
Wewe hujawahi kupenda, inauma balaa ukisalitiwa. Wengine mpaka wana wehuka, omba Mungu sana akuepushe na heartbreak.
@@Bintimrembo-y1v Ukiona mtu anawaza positive usidhani kuwa hajawahi kupata hizo changamoto. Changamoto dawa yake ni kutatua ili ubaki sehemu salama. Dawa ya heartbreak ni kulet it go, kujipenda, kujithamini, kujisamehe kwa sababu maamuzi uliyoyafanya yameleta matokeo hasi. Unachotakiwa ni kutoka ulipo na kusonga mbele kulinda AFYA YA AKILI na MWILI. Mabadiliko hayaji kwa kumng'ang'ania mtu asiyekuhitaji, asiyekupenda na asiyekuthamini. Kama mtu anatambua thamani yako hawezi kufanya mambo ya kukuumiza na ikitokea umeumizwa, Jifunze kusamehe na kujisamehe sio kung'ang'ania. AFYA YA AKILI NA MWILI ikiharibika hakuna faida yoyote.
@@queenandchill91📌
😂😂 chiz kweli sasa ww unangangania nn ww ushakuwa mtu mzima tulia ukatafute maisha yko kha hashuo mtu mzima
Umepa ushaur mzur sana queen, mapenz yakiisha yameisha tu mana uyo mwanaume ata akilud atalud kiunafiki kwakua uko alipo kavulunda labda na lazima akilud atakuumiza Tena, kuhusu gonjwa we tumia dozi vizur uendeshe maisha yako
Huwezi lazimisha kupendwa.
Uyu baipola inamsumbua maskini
Huyu anayeongea mbona sio Geah jamanii.....m nataka kusikia sauti ya Geah jamanii😢
Tatizo unaonyesha uzaifu kwake kubali kuumiia ila umsahau uyo mwanaume utanishukulu achana naye kabisa yani mwanaume anakutamkia subili miaka 2 ebu mpotezee kabisa fanya kazi dada iyo itakusaidia
Nyie mapensi ni ungese sana daah🤣🤣🤣🤣
Likuepukalo una kheri nalo mama. Embu kula vizur umeze dawa
dada achana na huyo akufai endelea kumuomba mungu utampata mume bora zaidi
Komaa dada wanaume wachache
Ushauli Tu mtafute msigwa kwa ushaurizaidi kuusu ugonjwa uyomwanaume achananae
Lkn dada huyo sio mumeo hamjafunga ndoa 😢
Mmh hapa kipa hayupo
huyu dada hajijui kama ana shida kwenye akili,mwanaume akutende yote hayo na bado ,kuna shida mahali asaidiwe watu wasaikolojia
Huyo mwanaume ataipata we subiri hizi nongwa za huu mwanamke hazitaenda bure
Yawezekana kazaliwa July uyu
Natamani kuona muonekano wa mwanaume
ANASHIDA KIDOGOOOO
Sasa atakuja omani wakati amekwambia ameshaumia
Dada Gea mwambie kwanza atoe ngui juu ya neti
Kapagawa hatanguo juu yanet mwachen tu
Kwann asikubali lkn anajiliza hapa??? Kwani yeye wakwanza kuachwa jmn??? Watu wanaishi miaka100 na bado wanaachana ??? Apewe counselling ya jinsi ya kumove on
Kitu kingine mbna hana ulemavu kwann asifanye kazi aweze kujikimu anakaa kuomba msaada na kusaidiwa na watu???
Huyu atuna cha kumshauri zaid ya kumuonea huruma itakuwa anakichaa huyu
Unakosea sana kumwambia anakichaa,si vizuri kwakweli,anakompein amemuharibia maisha kwa kumzalisha na hatoi humuma plus maradhi,si jambo dogo kama unavyofikiri
😢😢😢😢😢😢😢why useme hivyo jaman
Sio vzr kusema hivyo hya mapenz usikie tu kwa mwenzio km hiv 😢😢
Wanaume wa tz Gym tosha
Dada ameamua kupambania jambo kwakua hamjui mtachangia mengi mume hana kwatabia zake za hovyo atapata mumewapi kaka kashamkataa ameoa mke wake wakumtuliza nafsi kichaa kama huyo atampeleka wapi vituo vya police vimemchoka yy apambane na kuosha vyombo aache watu na maisha yao mnapo kuja kumuhoji mtu muanze watu wanae ishi nae kwanza kumchafua kaka wawatu kija kutukana mwanaume barabarani ndio anacho jua mwanamme gani anataka kelele sikuizi
Umeandika kwa kashfa omba Mungu akuepushie na mitihani ya maisha
Mama mlez uliewachukua mapacha wa huyu dada plz njoo umchukue na huyu dada uishi nae atakaa sawa 😢😢
Mh,mizigo ya nini
@@nancyg8664 ww ndio mama uliewachukua wale watoto au shobo tu ?
Pole sana, mlilie Mungu akupe mtu sahihi. Matapeli ni wengi sana
Ana bonge la biblia😢
Rais Samia unaona hiii
Mm nahisi ni mgonjwa wa akili huyu ss anataka ushauri wa nini na mwanamme hakutaki tena
Dish halipo sawa hapo maongezi yk nyuma mbele mbele nyuma
Khaa pole yake 😂😂😂😂😂
Watu na mapenzi yao
Neno mme wangu linanitatiza sana muna ndoa?
Kwani je haumfahamu kiswahili
Hovyo katafute kazi ufanye wee hana haja na ww yaani unafikiri atakurudia mjinga ww umechanganyikiwa ww huna akili wakupeleke sptl ukitibiwe uchizi mjinga wee kwani hakuna wanaume ispokuwa huyo mwanaume kakuona upo majinuni
Sikwaubaya anaonekana huyu mwanamke ana ukosefu wa afyah ya akili mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa kama hivi
depression isikie kwa mtu, huyu mama kinacho muumiza ni huo ugomjwa, kuzalishwa na kuachwa. Sasa ndio mama hataki kukubaliana na hali halisi.
@@sleeprelaxation8431 nikweli kbsa depression isikie kwa mtu, yaan unaeza ongea lolote
Wala sio mgonjwa waakili usiombe maisha yakuchanganye unawez kuona duni chungu...yan hunapoteza mvuto kabs watu wanaweza jua wew chizy kumbe maisha mapenz maradhi yamemchangay
@@sophsoph4740ni kweli kabisa inaumiza sana
Kinachomuumiza ni gonjwa alilopewa😢
Huyu dada kwanza ana tatizo la afya ya akili kwanza asaidiwe Kwa hilo inaumiza aisee pole sana😭
😢😢
Mmmmmmmh
Hii saut ya Geah au zai😅😅
Rais angalia
Rais anamambo mengi yakufanya mtu kama hajielewi kwani ugonjwa ndoukubali kunyanyadikisa apambane to nahali yake
@@FatumaMamlo-st8pj 😂😂😂😂
Achana nae njoo huku Omani ufanye kazi uanqaliye Maisha yako we bado mdoqo kakuzeesha kiboko ya mume asohitaji mkewe ni huku qalfu
Atakuja vp na yuko na maradhi
Sasa Anaumwa vip Aje omani
Mmmmm pole
Mpimbavu. wewe mwanamke tena huna akili wewe jinga kweli wewe
😅wew kupenda kubaya anazo
😅wew kupenda kubaya anazo
Usitukane ndugu Duniani kuna mengi ukijaliwa ufahamu shukuru Mungu
Jamani huyu Dada hamumjui tunamjua hatupatinae shida
@@DoriceMartin-h1ywew unamjua kumbe??anashida au😂
Kama yule mke wa rubani, ulio tuletea, wapi muendelezo?
Yes NAMI nmemkumbuka
Pole dada
Uyu dada ameongea vyote lkn apo kwenye kuumia na awezi kuambukiza wengine ila nimeumia anamsimamo😢ila pole sn pambana dada maisha ni aya aya mbona ukujikubari unaishi bira ya mwanaume😢