Nimependa kujiamini kwako, tunamshukuru marehemu Tyson Kwa kuiachia dunia image yake. Isipokuwa mwanangu Sonia nikushauri kitu, Katika ulimwengu huu watu hawata kusifia, wala kukukumbuka Kwa elimu kubwa uliyo nayo, Bali Kwa kile ulichoifanyia dunia. Kwa hiyo unapokwenda masomo yako ya juu kuwa muangalifu Sana kwenye kuchagua cha kusoma, ili uje ukitumie kuifanya dunia itoke Hapa ilipofikishwa isonge mbele. Asante
Mungu azidi kukubariki sonia Huna baya ulilo ongea Sema binadamu kila mtu na upeo wake wa kutafsiri jambo au neno na huwezi kuelewesha watu wote wakuelewe ndiomaana Kuna kufell na kufahuru so we forcuse na kile unacho amini upo nacho collect ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
She is right about her mom , amazing description about her mom. I love all of them 3 generation from her grand mom, mom to her , beautiful women. Mungu awajaalie sana . Nawapenda
Huyu mtoto ana akili za kuridhi ndio mana ata ukiuliza swali la kutaka kumchonganisha na upande wa pili anakurudisha kwenye mada big up monalisa kwa malezi bora hayo mengine muachie mungu atamlinda na kumpitisha kwenye njia sahihi iko siku atakufuta machozi
#BLESSINGS.... UKO VIZURI SANA KIAKILI; KUJIELEWA; KUWA NA UELEWA MKUBWA KATIKA KUJIELEZA NA KIKUBWA ZAIDI NI KUJIAMINI KWAKO.....#GO...DAUGHTER ...GO...
@@patriciacarlo7236 subutu eti damu ya kikenya wala baba yake hakuwa mkenya ni alikuwa mtanzania anae ishi kenya upo masatula yani tushawazoea nyinyi mpaka samata mnasema mkenya kumbe loh nihicho English tu chakuongea lakini hamna lolote tunawashinda kwa kila kitu loh tz yetu kama ulaya ila kenya vumbi tupu tunawasubiria mpigane vita vya wenyewe kwa wenyewe tuwaletee msaada wa mahindi upo
Binti mzuri,mwenye elimu nzuri na anajieleza vizuri,mcheshi yaani hadi raha,Mungu akuongoze binti,walimwengu ndo hawahawa
Jimkk
J
Nimependa kujiamini kwako, tunamshukuru marehemu Tyson Kwa kuiachia dunia image yake. Isipokuwa mwanangu Sonia nikushauri kitu, Katika ulimwengu huu watu hawata kusifia, wala kukukumbuka Kwa elimu kubwa uliyo nayo, Bali Kwa kile ulichoifanyia dunia. Kwa hiyo unapokwenda masomo yako ya juu kuwa muangalifu Sana kwenye kuchagua cha kusoma, ili uje ukitumie kuifanya dunia itoke Hapa ilipofikishwa isonge mbele. Asante
Mungu azidi kukubariki sonia Huna baya ulilo ongea Sema binadamu kila mtu na upeo wake wa kutafsiri jambo au neno na huwezi kuelewesha watu wote wakuelewe ndiomaana Kuna kufell na kufahuru so we forcuse na kile unacho amini upo nacho collect ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
She is Smart...the way She Speak Express her maturity in mind..Nice
Safi sana kuwa na hofu ya Mungu ndo kila kitu! Big up my young!
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
She is right about her mom , amazing description about her mom. I love all of them 3 generation from her grand mom, mom to her , beautiful women. Mungu awajaalie sana . Nawapenda
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Masha Allah hongera binti unajua kujieleza ,hongera kwako binti na MLEZI aliyekulea
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Safi sana....Hofu ya Mungu ni kila kitu.Nakuoenda sana dogo.Mungu akulinde daima.Msalimie mamiiiii...❤️♥️🙏
Hua sina tabia ya kutazama interview hadi mwisho hasa hizi za wasafi ,ila kwa binti huyu nimeimaliza anajua kujieleza Mungu amuongoze
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Yaaan 2ko wt ht mm leo nimeanglia had mwisho
@@ashakidide9982 Pamoja Asha kidide
Hapo kwenye hofu ya Mungu nimekuelewa sana Mungu akubaliki
Huyu mtoto ana akili za kuridhi ndio mana ata ukiuliza swali la kutaka kumchonganisha na upande wa pili anakurudisha kwenye mada big up monalisa kwa malezi bora hayo mengine muachie mungu atamlinda na kumpitisha kwenye njia sahihi iko siku atakufuta machozi
mm nampenda sana amemuheshimisha mama nabibi yake
She is very smart ,,manzari yupo vizuri kwenye masomo yake na anazingatia shida ipo wapi mavani ni moja ya ujana tu watu wengi hupitia
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Mmmh nimzur kama mama yake
@@saumumaliki5462 sanaa
She is totally smart...live your life achana na wasenge wamitandaoni
True! Stop comparing her to others...(Big up babygirl....I love yr reasoning)...👏👏💪💪
Uko poa ustishwe na walimwengu Mtoto mzurii ❤️
She is very Smart*🥰🥰🥰🥰🥰
Safi Sana Roho mtakatifu anamuongoza💪✌️
All I can say is she is smart and confident
She's so beautiful, ebony, Melanie whiskey voice wow! Mashaallah
God bless you lady..
Beauty with Brains....go gal..! 💪💪
Safi sana mtoto mzuri endelea kuwa na hofu ya MUNGU pongezi kwa monalisa na bibi yako kwa malezi mazuri
Yaan kabint kana Akili Mashaallah kanajua kujibu vizuri
#BLESSINGS.... UKO VIZURI SANA KIAKILI; KUJIELEWA; KUWA NA UELEWA MKUBWA KATIKA KUJIELEZA NA KIKUBWA ZAIDI NI KUJIAMINI KWAKO.....#GO...DAUGHTER ...GO...
Sonia yupo smart to the best.............hadi she outsmarted huyoo anayehojii...
Kweli hongera sana ukiwa na off ya Mungu utayaweza yote na utafaidi maisha yako hongera sana
Very matured understanding from Snia
Uko vizuri Sana sonia
Kid is so good on all aspects
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
🤣🤣🤣🤣🤣 SIJASEMA MH MH MH SIJASEMA🤭🤭 Love u baby girl unaongea vya ukweli kabisaaaah 😘😘😘
Very interesting I love you Sonia
Hongera kipnz Mungu azidi kukusimamia kwa kila jambo dear
She get coffidence i like that
Safi sana Sonia unajielewa sana ww mtoto kwahiyo hata nyie mnae hoji mnaongeza maneno wakati mwengine sio vizuli mnagombanisha watu
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Mashaallaha , neno moja t kutoka kwangu mngu akupe msimamo huo , hongera sana
Good sister I love ue naomb mung akuzdishie
Ka beautiful sanaa and smart girl
Wewe nimzuri sanaaa Sonia nakupenda
Aunt hongera mtt wako unamlea vzr sana nimependa anahofu yamungu
She looks like her mom
True.....🙆
Napenda kibezi chake 😂😂anaoñgea vzr
Hongera mtoto mzuri
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Kuwa na hofu ya Mungu nimekupenda bulee Mungu akuongoze binti mzurii
Nice nakupenda sonia
Dah respect Sana sister
Soniaaaa nakupendaga weyeeee
Mungu akurinde kipenzi
Like mother like daughter
Àsante ukiwa nahof ya mungu bca🙏🏾
Daaah IQ kali safi sana
I like her voice as she speaks so cool
UnajielewA_Mungu_akusaidie
Kzr sana🥰🥰🥰🥰
Mbona ajaongea vibaya kuhuc kutosoma vyuo vya bongo Ila jamani wa watu wamekuza sanaaa ilo swalaaa duuh!
Ninyi Yupo vzr totally yaan
She sounds like gigy money🙌🏽 bt yupo bright
Mama sonia malezi umebobea homgera mama❤
Mashallah maboork katoto karembo 😘😍😘😍🙏
Shout out kwa duwe santana na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri 🤝👏👏
Sonia mdog wanG ngoma ikivuma snaa hupasuka na maneno ya waja yanarejeshaa nyuma maendeleo...boraa achaa maisha ya insta baki homee
Maskini Sonia mungu ssidoe
Mungu anisaidie nipate mtoto km sonia
Nlichogundua she is very smart
Very smart. Maswali ya mtego ya Kiswahili ya huyu mtangazaji ameyalipua kiuhakika. Very Smart indeed.
Positive mindset 💪
Wow kanapenda kusoma kana penda kazi mungu akusimamie hata mm napenda mama yangu aitwe mama yake dr jeny KUSOMA RAHA
Exactly mama your papers are more Important, it feels good to have your papers
Very smart
Self discipline is all In life, period.
Growth up girl, katulize Akili uko lkn nako kunawalimwengu chamhmu kujitambua
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Btw am a big fan of yr Mom!!...very Mature...
Mtoto mzuriii❤
Kazuriiii
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Soma mtoto mungu akubariki umlee mama yako soma kwa nguvu zote
Toto Zuuriiiii kweli 🔥🔥🔥❣️❣️❣️
Sauti 😘😘😘😘😘❤️
th-cam.com/video/x0VwFoGQLkY/w-d-xo.html
Uwwwiiiiiii
Umeona ee sauti inatisha kwakweli duuh
Kwani khofu yamungu ikoje???nashangaa uvae nguo uchiii kisha udai unakhofu yamungo no..hapo khofu yamungu haijafahamika
Bora ukasomee nje na ukae uko kikazi.sio usome nje, kaz tz utakula hasaraa...all the best cute girl
Kufnya ,kazi na mambo mengine ni majaaliwa yake mungu
Kweli kusoma raha soma wee, ungekuwa huna akili kwl lkn akili za kusoma unazo na pesa zp SOMA
Nampenda huyu mwana
Confidence 10/10
Intelligence 10/10
Swag 10/10
Beauty. 10/10
Talent 10/10
Paula hana chochote kwenye hii list ,ni sex machine tu,,,, msimlinganishe .
😆😆😆
Usiongelee mabaya kwa Paula mungu Hupendi
Hahaaaa
😂😂😂😂 Ten nil
Hapo kwenye beauty umebug paula ni mzuri zaidi ila tatizo mungu hakup vyote
Nice
Nakutakia uendelee kuwa na hofu ya Mungu.Utafika mbali sana.🔥
Umeanza kuvuta bangi aotangu zamani mana sauti iyo siyakike pliz
Kafanana mamaake
Voice so sweet 😘🥰🎀😻
Wambie waache kukufuatilia Kwanzaa umejitunza Sana na unajiheshimu
Men she's upcoming star
Akili mingi
Monalisa version...
Mzuri Sonia jamani hadi raha ila wasafi mnamchonganisha na Paula ayo maneno yenu
Sonia una akili alafu una sauti nzuri,hongera Monalisa nakukubali
haha she z so open and funny
Kwa kwel.Nmekapend aka ka binti kanajieleza vzul sana
Hii
Wonderful baby Girl
Saf Sana sonia
Sonia subiri kwenda chuo tu achana na paula huyo muhuni amelelewa vibaya na mama yake
Huyu mtoto anaakili kichizi
Damu ya ki Kenya hiyo,si unajua wakenya na shule😀
@@patriciacarlo7236 subutu eti damu ya kikenya wala baba yake hakuwa mkenya ni alikuwa mtanzania anae ishi kenya upo masatula yani tushawazoea nyinyi mpaka samata mnasema mkenya kumbe loh nihicho English tu chakuongea lakini hamna lolote tunawashinda kwa kila kitu loh tz yetu kama ulaya ila kenya vumbi tupu tunawasubiria mpigane vita vya wenyewe kwa wenyewe tuwaletee msaada wa mahindi upo
@@aishaarusha894 kuywa soda habibty nitalipa wakenya wanajiona sana ndoo maana wasomali wanawatawala
@@aishaarusha894 na wa Kenya wachafu jamani khaaaaaaa wakija Tz wanajishaua kumbe hakuna kitu mfyuuuuuuu watuachia Sonia wetu
sasa kwani huko hakuna walimwengu
Wow🥰
Ni msenga sana