Asante kipenzi somo zuri nina maswali machache, mwani napata kwenye maduka gani??? Shea butter nayo napata maduka gani?? Nikisha tengeneza kama sina hiyo brenda ya kulinisha shea butter nafanyaje??
@@JeniferMoses-sy5vr kama unapatikana dar kwenye yale maduka yanayouza dawa dawa za asili huko hukosi na shea butter tumia ile raw na kama huna hand blender unaweza tumia blender ya kawaida

@jescamathewofficialsite7539 Asante kwa kunijibu vizuri kabisa!! Nitatafu mahitaji nitengeneze, nitumie harafu nitakupa mrejesho,my dear, harafu na hiyo ravender ya kukata harufu inapatikana maduka gani na yenyewe???
@@JeniferMoses-sy5vr maduka yanayouza vyakula nenda kko hukosi