ASKOFU AMJIBU TRUMP - NI YULE ALIYEWATETEA MASHOGA KANISANI - ASEMA HATAOMBA RADHI KWA CHOCHOTE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 85

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 วันที่ผ่านมา +2

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 9 วันที่ผ่านมา +3

    Buruza huko gerezani Hilo ni halifu kama wahalif wengine. Mh.Rais msweke ndan mara moja huyu ataendelea kukuharibia vijana wa Taifa la kesho. Tunakupenda KIONGOZI wa Dunia.❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 9 วันที่ผ่านมา +5

    Makanisa kama hayo ndioo hufanya Wakristo waonekane imani yao ina mushkeli , ila Sidhani wenye imani ya kweli wanafurahi imani yao kuingia ushoga makanisani😢

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 10 วันที่ผ่านมา +15

    Huyu ndo atawaponza mashoga wenzake 😢😢😢 Trump Hana mchezo

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 วันที่ผ่านมา +2

      Wanacheza na Dini padr na helen wap na wap 😢

    • @Zuu673
      @Zuu673 10 วันที่ผ่านมา +1

      Shoga hili khaaa

    • @NyanjeBoy
      @NyanjeBoy 9 วันที่ผ่านมา

      DINI😮😮​@@FatumaJumanne-p4d

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 9 วันที่ผ่านมา +3

    Shetani hajawahi kuomba radhi, ana kiburi haswaaaa 😂😂😂😂

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 9 วันที่ผ่านมา +1

    Si ajabu kuona kanisa limetekwa na watumishi wa adui na ndio maana moto upo Marekani maana kanisa linatumiwa na shetani kumtukana Mungu. Hata wanawake wachungaji wametokana na matakwa ya wazungu, lakini kwenye Biblia hakusemi hivyo, hawaruhusiwi wanawake kuwa wachungaji na kutawala juu ya wanaume 1 Timotheo 2: 8-15;1Wakorinto 14:34-38; Waefeso 5:22-24. Haki za wanawake za kidunia sasa zinahimizwa duniani kote ili watawale juu ya wanaume ili kupinga neno la Mungu linaloagiza kuwa Mume ni kichwa cha mkewe. Na kanisa nalo likiongozwa na roho ya dunia, nalo linatumiwa na adui kunadi kumpandisha juu mwanamke dhidi ya mwanamume. Basi majanga yatazidi kuongezeka kadri mbio hizi za uasi zinavyozidi kushamiri.

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 9 วันที่ผ่านมา +1

    Watumishi wa shetani wamejaa makanisani na kukubaliwa na wachungaji wa shetani waliovaa joho la watumishi wa Mungu. majambazi, wachawi, wasiopenda sheria za Mungu, mamisi, wanamuziki waitwao waimbaji wa injili huku wakimtukuza shetani bila kujijua, wanaharakati za shetani kupinga ukichwa wa mwanamume na kuwainua wanawake wamejaa makanisa na kuliendesha kanisa. Si ajabu watumishi hao wakitetea ushoga kuunga mkono papa alivyosema kutetea mashoga. wakristo wa kweli ni namba ndogo sana wasionekana machoni pa jamii maana giza limefunika nuru kwa kiwango kikubwa na ndio maana majanga yanazidi kuongezeka duniani.

  • @ayoublupande3007
    @ayoublupande3007 10 วันที่ผ่านมา +5

    Hahaha 😂 yn Kanisa linatetea mashoga kweli mpo seriously jmm😢

    • @Zuu673
      @Zuu673 10 วันที่ผ่านมา

      Uto askifu shoga nae

  • @Juyo56
    @Juyo56 9 วันที่ผ่านมา +1

    Yesu turehemu❤tu

  • @hemedmbondejr
    @hemedmbondejr 10 วันที่ผ่านมา +7

    Hawa ndo wenye ukristo wao sasa. Mana ukristo ulitokana na wazungu haya sasa kumeanza kuchangamka.🙈🙈🙈🙈🙈

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 9 วันที่ผ่านมา

      Absolutely ukristo ni wazungu wameleta aya acha tujionee mambo😂😂😂

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@hanifa9153
      Hapana sio hivyo mnadhania, kumbukeni Yesu alituambia kuwa siku za mwisho ni za hatari , na ndio hizi tunazo, hatuwafuati Bali twafuata tu Yesu.

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@mutuasteve2179
      kama wamfuata Yesu wapi aliwaambia muwe wakristo?

    • @mutuasteve2179
      @mutuasteve2179 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@salimchimwaga8384
      Wewe binafsi jichunguze mwenyewe maana kila moja atasimama mbele ya kiti cha enzi peke yake, kwa hio chunga siku zinayoyoma usije ukapatikana bado tayari, mpokee Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako.

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 9 วันที่ผ่านมา

    Hivi kweli huyu ni wa Mungu au ni wa upande wa pili

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. 10 วันที่ผ่านมา +2

    Haw ndo MAASKOFU wa SIKU HIZI 😊

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna kuomba msamaha yote ni matokeo ya walivyo ijenga amerika...😅😅😅😅

  • @SammyCharo-y8k
    @SammyCharo-y8k 9 วันที่ผ่านมา

    Mume awe mume mke awe muke tu 😂😂😂😂😂😂

  • @amosmagesa7512
    @amosmagesa7512 9 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu askofu shoga

  • @Moha-l3c
    @Moha-l3c 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu askofu atakua msagaji😂😂

  • @MirriamDevis
    @MirriamDevis 9 วันที่ผ่านมา

    Akae nao kwako

  • @stanslausdismas8724
    @stanslausdismas8724 9 วันที่ผ่านมา

    Tatizo mamlaka za juu za Kanisa kupewa mwanamke,mwanamke anakuaje Askofu wa kanisa anafika altaren anaongea umbea na mambo ya Hisia🚮🚮🚮

  • @EzekielTv49
    @EzekielTv49 10 วันที่ผ่านมา +3

    Ila media za Tanzania muwe makini msikurupuke,,hapo Trump anasema PUBLIC ndo iombwe radhi na sio kama wewe mtu wa media ulivyosema kuwa Trump ndo aombwe radhi

    • @tumusiimeomukama3151
      @tumusiimeomukama3151 9 วันที่ผ่านมา +1

      Yani medi za bongo mimi saa ngingine bora utafute habari za nchi husika. 😢

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49 8 วันที่ผ่านมา

      @@tumusiimeomukama3151 Hata me huwa nasikilliza interview husika,,,,watanzania wanapenda uongo na uchawa ndo maana hii nchi haisongi mbele

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 10 วันที่ผ่านมา +2

    Huyo sio mama ni shoga

  • @Mrmohadi.OFFICIAL
    @Mrmohadi.OFFICIAL 10 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona askof mwenyewe shoga

  • @omarabdallah7080
    @omarabdallah7080 10 วันที่ผ่านมา +2

    Askofu mwnyewe nishoga

  • @Mwajumaramadha
    @Mwajumaramadha 9 วันที่ผ่านมา

    Hata mm namtetea askofu

    • @RizwanAbdallah
      @RizwanAbdallah 7 วันที่ผ่านมา

      Kwann wamtetea askofu

  • @achibelatotolakijaka4687
    @achibelatotolakijaka4687 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Sasa anafunza nn waumini hafai kabisa watu watafuta njia yaku komesha shoga yy ana tetra mshenzi Sana

    • @NyanjeBoy
      @NyanjeBoy 9 วันที่ผ่านมา

      Acha makasiliko mmedandia treni kwa mbele,

  • @suleimanmohd.7197
    @suleimanmohd.7197 9 วันที่ผ่านมา

    Hawa ndio wakiristo.😂

  • @NeemaMhina-km8ok
    @NeemaMhina-km8ok 9 วันที่ผ่านมา +1

    Fumba mdomo wako, waarabu ndio wenyewe kwa kupenda hayo, je ni wakristo? Tena narudia fumba domo lako.

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 4 วันที่ผ่านมา

    Viongozi wa dini wanatakiwa waungane na Trump kukomesha ushoga.Trump anatakiwa ashukuriwe sana.

  • @AmaniMathod
    @AmaniMathod 9 วันที่ผ่านมา

    HATA KAMA WARABU NDIO MICHEZO YAO LAKINI HAWA WATU WA DINI WANA WAIBISHA WANA LUHUSU USHOGA NA USAGAJI NDANI YA KANISA AISEE

  • @Drsilo-v5k
    @Drsilo-v5k 10 วันที่ผ่านมา +4

    Ukiristo uwo ushoga

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 9 วันที่ผ่านมา

    Shetani hawezi kuonewa huruma kazi imeendelea

  • @omarabdallah7080
    @omarabdallah7080 10 วันที่ผ่านมา +3

    Yeye mwenyewe ni shoga

  • @Jonas-t9h
    @Jonas-t9h 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu askofu kashafirwa

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 9 วันที่ผ่านมา

    Duuh kumbe nae atakuwa m.......ng

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 9 วันที่ผ่านมา

    jinsia ni mbili tu! Trump asimamie hapohapo!

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 10 วันที่ผ่านมา

    Huyo asikofu nayeye nishoga anawatetea mashoga wezie namuombea trump apitishe Shelia yakuwanyonga

  • @PlickaChacha
    @PlickaChacha 10 วันที่ผ่านมา

    Wanatakiwa kuomba radhi kwa jamii sio kumwomba trump

  • @OttoChiduo
    @OttoChiduo 10 วันที่ผ่านมา +2

    Watetea uovu+watenda maovu duniani

  • @ChandeSaid-s7y
    @ChandeSaid-s7y 9 วันที่ผ่านมา

    Wakristo mashoga san

    • @ThemonitorOfficial
      @ThemonitorOfficial 9 วันที่ผ่านมา

      Usicheze na iman shauri ako

    • @ChandeSaid-s7y
      @ChandeSaid-s7y 9 วันที่ผ่านมา

      @ThemonitorOfficial marekan makanisan ushoga umearalishwa duuuh

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 6 วันที่ผ่านมา

    Peleka mahakani shangazi illo

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wana utu upi kizazi cha zinaa,hiyo si ndiyo ilileta maafa Sodoma na Gomora?

  • @jombadulla
    @jombadulla 9 วันที่ผ่านมา

    hapa wenzetu ndo wanakosea ,kiongozi wa dini unatetea ushoga, eti dini hyo,badala ya kukemea yy anatetea,pumbavu

  • @ip_header
    @ip_header 10 วันที่ผ่านมา

    Kiongozi wa dini anatetea Ushoga, kweli dunia imekwisha..!

    • @NyanjeBoy
      @NyanjeBoy 9 วันที่ผ่านมา

      Ukristo iv ni din 😂😂😂

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hizi dini jaman tumepigwa yani askofu kabisa anatetea ushoga?

    • @Zuu673
      @Zuu673 10 วันที่ผ่านมา

      Shoga nae

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 10 วันที่ผ่านมา +2

    Hata hako kamama mkikatizama nikama vile nishoga iyo kanisa inalana kabisa hakuna upako utakuwa juyenu njomana moto hawutaki kuisha lonsangelese juya kuteteya maovu.

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 9 วันที่ผ่านมา

    Trump funga hilo kanisa this time watakoma na ameshasaini

  • @MohamedAbdhallah
    @MohamedAbdhallah 10 วันที่ผ่านมา +2

    Kwani askofu haujui kilichomkasirisha huko Sodoma na Honorary?

  • @Keyjop
    @Keyjop 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo askofu ni mwanamke au mwanaume??

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 10 วันที่ผ่านมา +1

      mwanamke

    • @Zuu673
      @Zuu673 10 วันที่ผ่านมา

      Shoga

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 9 วันที่ผ่านมา

      Na mm nilikua sielewi 😂

  • @IddyMichael-m2d
    @IddyMichael-m2d 10 วันที่ผ่านมา +1

    Unaripoti kiislamu midia ni ya wesilam

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 9 วันที่ผ่านมา

      Jamani hoja siyo media ya muislam hoja ni wazi Askofu anatetea ushoga kanisani mbele ya Raise wa marekani

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 10 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu nae ni mtu wa rangi nyingi 🤔

  • @BenjaminAndrew-vu2we
    @BenjaminAndrew-vu2we 2 วันที่ผ่านมา

    Asikofu huyo nmjinga kabsa

  • @RobartMbapila
    @RobartMbapila 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu turehemu watoto wako tunakukosea sana 😭

    • @justinmbangukira7034
      @justinmbangukira7034 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@NyanjeBoy Kwani amekosea kuomba msamaha kwa Mungi

    • @justinmbangukira7034
      @justinmbangukira7034 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@NyanjeBoykwani amekosea kuomba msamaha kwa MUNGU?

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 10 วันที่ผ่านมา +2

    Ila mm niko upande wa askofu wa mchongo kwn mtu akita kufanya usenge mwacha tu kwann mnyimtu uhuruwake

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 วันที่ผ่านมา +2

      Hadhabu ikshuka hai haichagui 😢

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 9 วันที่ผ่านมา +1

      Tatizo halipo kwa uhuru wa mtu tatizo unasimamamia mambo ya yesu halafu unatetea ushoga tena kanisani haaa😂😂😂

    • @arafatali2796
      @arafatali2796 9 วันที่ผ่านมา +1

      dah staghfiru kwa mung wako wew kumbe nawe ni mtu wa kuttea rang nying wee utakubali nyumban kwako watu wafany mapenz wajinsia moja heb staghfiru kwanza dah mungu atusamehe hatujui tutendalo dah

    • @MubarakaAlmakhumiyy
      @MubarakaAlmakhumiyy 9 วันที่ผ่านมา

      Hili kumbe nalo shoga

    • @EmmanuelChrispin-bo5xh
      @EmmanuelChrispin-bo5xh 9 วันที่ผ่านมา

      @@MubarakaAlmakhumiyy liko wapi tene hiloshoga ww mbn umevaa bakuli kixhwani kwn ww chizi kilamtu anahuru wake bwana

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 10 วันที่ผ่านมา +1

    Hakuna jipya mabiblia yenye maandiko y ushoga