Wezi waliovalia sare za polisi wavamia kituo cha mafuta na kuiba shilingi 5,000 eneo la Matungulu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Maafisa wa usalama katika eneo la Matungulu,Kaunti ya Machakos wanachunguza kisa cha uhalifu ambapo watu wasiojulikana waliovalia sare za polisi walivamia kituo cha mafuta kwenye barabara kuu ya Kangundo kuelekea Nairobi na kuiba pesa. Kulingana na wafanyakazi wa kituo hicho cha mafuta, wahalifu hao waliojihami kwa bunduki walitoweka na shilingi elfu tano .

ความคิดเห็น • 72

  • @nasinyamaatassi9540
    @nasinyamaatassi9540 ปีที่แล้ว +19

    Polisi wa Kenya ndio wezi.

  • @b.9811
    @b.9811 ปีที่แล้ว +8

    Ni Police tu ,
    Hakuna cha wezi waliyo vaa.....?
    Ni Polisi wezi waliyo vaa nguo zawo za sare wameiba katika kituo cha mafuta.❤

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 ปีที่แล้ว +1

    Acheni kutudaganya hii kenya waizi weng ni police tu 😂😂😂😂😂😂badae waende kwa ruto wali towa wp nguo😂😂😂😂😂ruto serekali yako wanaiba mpaka pesa ya wanaishi😂😂😂😂

  • @josephmaluki
    @josephmaluki ปีที่แล้ว +4

    😅😅😅😅😅😅Hii economy itafanya watu wafanye mambo baya

  • @AnnieAbdi-l8l
    @AnnieAbdi-l8l ปีที่แล้ว +7

    Imagine 5 policemen stealing 5000 shillings' what a shame??

    • @binbenmartin3425
      @binbenmartin3425 ปีที่แล้ว

      Hio ni pesa mingi kwa hii economy.😂😂😂

    • @eddahwekesa1951
      @eddahwekesa1951 ปีที่แล้ว

      Kila police 1000 shillings 😁😁😁

    • @sarahkwamboka8190
      @sarahkwamboka8190 ปีที่แล้ว

      Kama hawaaibiki kuchukua vinje (50 Bob) kwa matatus 5k ndo wataaibikia kweli?

  • @kinaragtown
    @kinaragtown ปีที่แล้ว +2

    Hao hao tu

  • @TaminaTamina-fy8yd
    @TaminaTamina-fy8yd ปีที่แล้ว +3

    I though ni ma police tu kwani wametua wapi nguo aki Kenya 💔

  • @enginierthalion-kid4998
    @enginierthalion-kid4998 ปีที่แล้ว

    We mhudumu nae mbona useme pesa kidogo namna io....tumia fursa hio bda. ungechuka zako nawe, useme laki tano imeenda, eti 5k na simu😅

  • @msa3957
    @msa3957 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣 polisi kabisaa. Njaa itawaua na vile munapiganga watu wakitaka gharama ya maisha upunguzwe? Nkt

  • @kinaragtown
    @kinaragtown ปีที่แล้ว

    Funny thing about this guy's niI wale wale

  • @RAJ-R64
    @RAJ-R64 ปีที่แล้ว +1

    Penye Ruto ametufikisha....sahi watu wataibiana vibaya sana.....ngojeni muone

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

    S yasemekana waliongezwa pesa

  • @clementosumo7746
    @clementosumo7746 ปีที่แล้ว +6

    This story doesn't add up. So employees at the petrol station turned on alarm to test it, and robbers heard the alarm and decided to pay a visit?

  • @happysoul5356
    @happysoul5356 ปีที่แล้ว +1

    Doing what there boss is capable of. Bure kabisa.

  • @TribesofManchester
    @TribesofManchester ปีที่แล้ว

    Sasa juu ya 5k seriously

  • @protichnarokwest6405
    @protichnarokwest6405 ปีที่แล้ว

    Sare Gani Hao ni polisi

  • @florencembone4513
    @florencembone4513 ปีที่แล้ว

    😅 njaaa

  • @Sodea-ej9qg
    @Sodea-ej9qg ปีที่แล้ว

    Kang,udo road is patrolled heavily by policemen at night, iusually spot officers harrasing boda bodas for bribes, so hiyo cku walikosa pesa kwa highway, so these officers wakavamia kwa mafuta shame on them😱

  • @patrickmwanzia1041
    @patrickmwanzia1041 ปีที่แล้ว +1

    Uyo baba no fun wa trossard wa Arsenal 😂😂❤

  • @alexmutwiri8769
    @alexmutwiri8769 ปีที่แล้ว

    Wait😂😂😂😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 ปีที่แล้ว +1

    wallai hao ni polisi 😂😂😂😂

  • @sifunajnr9907
    @sifunajnr9907 ปีที่แล้ว

    5k😂😂

  • @Robani-st2ok
    @Robani-st2ok ปีที่แล้ว

    No see

  • @faridahmanassen8371
    @faridahmanassen8371 ปีที่แล้ว

    Mbona hii story is not adding up? Na kwanza elfu tano inaibwaje na polisi tano 😂😂😂😂 I thought 5 million lakini citizen nyinyi hii pia ni habari kweli😂😂😂😂

  • @dedanpasil10
    @dedanpasil10 ปีที่แล้ว

    😮

  • @PETERMUSEE-uv2tz
    @PETERMUSEE-uv2tz ปีที่แล้ว

    7

  • @pabloesc7755
    @pabloesc7755 ปีที่แล้ว

    Wait....have they been hinding somewhere just waiting for this day of testing the alarms?...aaai hapo kuna majibu mengi kiluliko maswali..

  • @gugahmediaafrica9405
    @gugahmediaafrica9405 ปีที่แล้ว

    Elfu tano gaaaiii ..watafanyia nn hio pesa ..5k ni pesa yangu yakununua snacks a day ..woi woi

  • @aheudit
    @aheudit ปีที่แล้ว +1

    ATI what testing the system, how did they know

  • @moneyspell985
    @moneyspell985 ปีที่แล้ว

    Wizi wa Rand 700 ndio Habari mnatupa? Mko down kapipe za shonde

  • @paulshimenga6573
    @paulshimenga6573 ปีที่แล้ว

    Enyewe kumekauka, petrol station mzima wako na thao tano tu.sasa watu waibe wapi jameni?

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 ปีที่แล้ว

    Shilingi 5,100 ndio inawafanya mpaka mnabeba bunduki😂😂😂

  • @ahmedbillow3416
    @ahmedbillow3416 ปีที่แล้ว +1

    5000 ni pesa za kutangaza kweli tokeni hapo

    • @bbd359
      @bbd359 ปีที่แล้ว +1

      Kwani waliziokota??

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 ปีที่แล้ว +2

    Khai na ni wakubwa haki😢😢😢

  • @alexmnai-lx7ye
    @alexmnai-lx7ye ปีที่แล้ว

    Walitest alarm kama inafanya..ikakuwa hio ndio signal ya kuwaambia wakuje wachukue 5ngwanyez

  • @furahakuria4353
    @furahakuria4353 ปีที่แล้ว

    hao ni police..ata hizo mwili zao zinakaa za police

  • @willydfrey2465
    @willydfrey2465 ปีที่แล้ว

    I thought it's jokes wakikataa kuniwekea mafuta asubuhi...haijah it was true story

  • @michaelkioko3861
    @michaelkioko3861 ปีที่แล้ว

    Hawa ni rouge police. System ya majambazi

  • @NewtonWebster
    @NewtonWebster ปีที่แล้ว

    Fuckin 5000 I thought ni $5000😅😅

  • @SSs-fn4hs
    @SSs-fn4hs ปีที่แล้ว

    Government pay police good money please 😊

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 ปีที่แล้ว

    Hao ni mapilice but shukuruni Mungu hawakuwajeruhi

  • @Rich-Man820
    @Rich-Man820 ปีที่แล้ว

    Those are ruto rogue killer police

  • @safihassan6170
    @safihassan6170 ปีที่แล้ว

    Kenyan kuna vituko 😂😂

  • @patricklwamba254
    @patricklwamba254 ปีที่แล้ว

    Robers in police force

  • @nelvinawino9196
    @nelvinawino9196 ปีที่แล้ว

    Where are we heading as anation 😢 so sad
    Mnipitie guys

  • @aheudit
    @aheudit ปีที่แล้ว

    Kila mtu Ako na 1000 mfukoni

  • @davidshepherd846
    @davidshepherd846 ปีที่แล้ว

    Polisi majambazi!!!

  • @husnah2542
    @husnah2542 ปีที่แล้ว

    Eeeeiiii 5k😂😂😂

  • @lilac8794
    @lilac8794 ปีที่แล้ว

    😂😂😂wueeh

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 ปีที่แล้ว

    Hao ni wao tu walikuja kuiba

  • @lydiahkimani4147
    @lydiahkimani4147 ปีที่แล้ว

    How sure are you c police

  • @rosebarasa467
    @rosebarasa467 ปีที่แล้ว

    Only 5k😂😂😂😂😂

  • @evanschaedirectoreffortcon6264
    @evanschaedirectoreffortcon6264 ปีที่แล้ว

    These were police officers

  • @benardoenga2876
    @benardoenga2876 ปีที่แล้ว

    Just 5000 ndio watu wanasteal kenya kuna mambo

    • @sarahkwamboka8190
      @sarahkwamboka8190 ปีที่แล้ว

      50 bob kutoka kwa madreva huwa ni nyingi lkn 5k nyingi zaidi, sishangai.

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani,

  • @NicoleMakaveli-wr6mm
    @NicoleMakaveli-wr6mm ปีที่แล้ว

    Kazi ni kazi walikosea tu kutovaa mask ya ruto wakiwa kwenye hustling zao

    • @philipsabwa2771
      @philipsabwa2771 ปีที่แล้ว

      acha ujinga msee

    • @DavidNyamongo-un1sc
      @DavidNyamongo-un1sc ปีที่แล้ว

      Mbwa hii toa umavi hapa

    • @philipsabwa2771
      @philipsabwa2771 ปีที่แล้ว

      @@DavidNyamongo-un1sc You sound like a very weak and fragile man. Why don't you grow some balls and behave like a man ?

  • @eddahwekesa1951
    @eddahwekesa1951 ปีที่แล้ว

    Na nguo za police walitoa wapi?

    • @tinam5206
      @tinam5206 ปีที่แล้ว +1

      Ni police men tu! 😂

  • @iduabsura4959
    @iduabsura4959 ปีที่แล้ว

    Hio 5 k kla mtu tenga,glad nobody got hurt 🤕,but it's traumatising,poleni

  • @aheudit
    @aheudit ปีที่แล้ว

    Kindikindi